KUNYWA SODA BABA, ONGEZA SIFA WAONE WIVU, KABILA LAKO SIO SHIDA KWANGU - HELLO MR. RIGHT

  Рет қаралды 266,904

ST BONGO TV

ST BONGO TV

6 ай бұрын

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Пікірлер: 590
@EudoziaKichomi
@EudoziaKichomi Ай бұрын
Jamaan Dr. Alya unavaa vidhuurii unapendezaa Sanaa nakupendaa buree🥰🥰🥰
@elvisbabu1324
@elvisbabu1324 6 ай бұрын
I like the way Tanzanians do there Mr right, hii yetu ya kenya waa..very short episodes in KZfaq as if they don't want us to see what happened. Anyway congrats guys
@Ann-Strong
@Ann-Strong 6 ай бұрын
I stopped watching kenyan show, nilihamia huku au Nigeria
@DaughterofUbuntu1988
@DaughterofUbuntu1988 6 ай бұрын
Zalast year ndio ziko full, though inachangamsha na ofweneke 😂😂😂😂😂😂😂😂 titavumilia tuu
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 6 ай бұрын
Karibu sana Tanzania hatuna mbamba wa choyo❤
@jeremymakis1715
@jeremymakis1715 6 ай бұрын
Hata Mimi nilihama.... Kenya Mr right ni za tene😅
@stephenngala1048
@stephenngala1048 5 ай бұрын
and kelele mingi sanaaa
@FaithSamuel-yc7dw
@FaithSamuel-yc7dw Ай бұрын
IlaMc gara b nakupenda bure, hata me mmewangu ni muhaya of course ❤❤❤❤
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 5 ай бұрын
Johari sio mke wakuowa Anakibuli anadhalau huyo nimoto wakuotea mbari Mungu amempenda huyo kijana
@ronateaguko9718
@ronateaguko9718 6 ай бұрын
Hae garab, lulu diva and alia, watching from neighbourhood, love the show, l'm from kenya 🇰🇪
@Rena57478
@Rena57478 6 ай бұрын
Finally Sharon 👏 Congratulations Hope all goes well🙏
@user-dm6xg1ue8i
@user-dm6xg1ue8i 6 ай бұрын
Chukua maua yako mhaya mwenzangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@nuruurio8319
@nuruurio8319 5 ай бұрын
Mr. Right bila mwijaku ni nzur sanaa
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 5 ай бұрын
Mpende akupendaeeeee
@VivianKimath
@VivianKimath Ай бұрын
Huyu mdada mshamba alaf mbaya knma johari aisee asingeropoka tu😂😂😂
@Zariaty-wy1dy
@Zariaty-wy1dy Ай бұрын
😂😂😂❤❤ mahariii muwe mnanitumia mm ndo mkwee
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas 6 ай бұрын
Uyo anaetaka makabila amchonge wa kwake ampe na kabila la kwake mshamba huyo dem😂
@SmilingDeer-kg5vt
@SmilingDeer-kg5vt 4 ай бұрын
Uyu dada msenge kwer wakutia bazi
@musicheals1545
@musicheals1545 6 ай бұрын
Muwe mnatupatia update baada ya hapo mambo zinaendaga vipi huko njeeee😂😂😂
@user-jz7td8kb6n
@user-jz7td8kb6n 6 ай бұрын
Yaan mwenyewe nataman kujua.. ikiwezekana wawe wanatupa na kad za harusi
@mathewbundu235
@mathewbundu235 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@foumshaaban5949
@foumshaaban5949 6 ай бұрын
😄🤣😂
@PatsonSimpito
@PatsonSimpito 6 ай бұрын
Kabisa ani
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 6 ай бұрын
Hahaha,apo Niku date tu one-way namwishoni wanamwagana😅
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 6 ай бұрын
Johari we ni mpumbavu, kama umtaki siusepe!! Na wewe mbona umeenda kujitangaza kutafuta bwana hadharani!!! Kama we mzuri cungekuwa ushaolewa...Na utakuja kupata koromaaa ulie, Na ulivyo na sura ngumu kama sinki la choo.
@RachelRachel-zx6dx
@RachelRachel-zx6dx 6 ай бұрын
Haaaa
@user-is3og1hc8r
@user-is3og1hc8r 6 ай бұрын
Apo sasa😂😂😂😂
@zuenakhassim
@zuenakhassim 6 ай бұрын
Anajikuta haendi choon😅😅😅
@metrineomega1635
@metrineomega1635 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂nabaki TU hapo pa sura ngumu kama sink ya chooo, walai uyo apigie hii coment,
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 6 ай бұрын
Sema wewe tena kwa sauti😂😂😂😂😂
@user-qh2ij3kj8s
@user-qh2ij3kj8s 6 ай бұрын
Hbu n mm nipate mr right wakihaya ❤
@gracelazaro
@gracelazaro 6 ай бұрын
Yarabi naomba uniambie huo wimbo Kanumba nan na upenda sana❤❤❤❤❤❤❤
@josephinemhina1246
@josephinemhina1246 6 ай бұрын
Kaimba Barnabas
@Heartbrown1
@Heartbrown1 6 ай бұрын
Kaimba barnaba ila auwez kuupata ni special kwa hiyo show
@masudiamani4501
@masudiamani4501 6 ай бұрын
mbna mie ninao
@LeonardGeorge-jj4bu
@LeonardGeorge-jj4bu 6 ай бұрын
Upo bana acha uongo .... Nenda google andika Mr Right by barnaba utaupata....
@user-fe9op5yn3t
@user-fe9op5yn3t 6 ай бұрын
Kaimba barnaba kipenz
@diva_20162
@diva_20162 2 ай бұрын
Mimi mwenyew nimezaliwa na kukulia kanda ya ziwa ila johari kazingua sana unaleta ushamba sana wewe mambo ya kabila ya nn tena😊😊😊
@MwanaidiSalehe
@MwanaidiSalehe 6 ай бұрын
😢jmn ponguzeni hivo nyimbo jmni mnaboa
@adamomondi6359
@adamomondi6359 6 ай бұрын
Hongera sharon ❤Mapenzi matamu
@elnecemily1306
@elnecemily1306 6 ай бұрын
kumbe muhaya mwenzangu wao
@hildephonceerasmus8178
@hildephonceerasmus8178 2 ай бұрын
Bita
@Maryam-vj1rb
@Maryam-vj1rb 6 ай бұрын
Alya ni me ku miss AlhamdulliAh umerudi tre jolie fille
@alexndihokubwayo8010
@alexndihokubwayo8010 6 ай бұрын
Johari ajiowe mwenyewe
@user-ne8zu9vs8y
@user-ne8zu9vs8y 6 ай бұрын
Johari simpendi makabila yanahusiana nn na mapenz ovyooo sula yenyewe mbaya😏😏
@user-vb2co6cs9k
@user-vb2co6cs9k 6 ай бұрын
Hahaha
@GraceLeonard-ip5fk
@GraceLeonard-ip5fk 6 ай бұрын
mpuuzi huyo
@Mariah28.pretty
@Mariah28.pretty 6 ай бұрын
Punguzeni sauti ya mziki unaocheza huko nyuma kiasi tafadhali yafanya tusisikie vizuri
@abdibilali4186
@abdibilali4186 6 ай бұрын
Kiukweli mm ni mtu wa Tanga ila wahaya wapo smart sana na wanajitamvus sijui kwa nn watu wanawachukulia negative ,oky Johari endelea na jazba zako
@hildephonceerasmus8178
@hildephonceerasmus8178 2 ай бұрын
Ana stress huyo kama sio kisiran
@richardmaxwell3991
@richardmaxwell3991 6 ай бұрын
mbona kama wadada mnawaleta ambao madish yao yameyumba🤣🤣🤣🤣🤣
@user-qg7el6gc5j
@user-qg7el6gc5j 21 күн бұрын
Nyieee.... hii ni kweli au wanatuigiziaga... Embu walopitia hapo wanipe ushuhuda
@FraviusEmilian
@FraviusEmilian 4 күн бұрын
Safiii broh wahaya hatuna baya
@ReganMaliyatabu
@ReganMaliyatabu 6 ай бұрын
namchukia johari sanaaaaaa
@daineszephrinedaineszephrine
@daineszephrinedaineszephrine 6 ай бұрын
Wahaya oyeee
@JudyLee-hf9cy
@JudyLee-hf9cy 6 ай бұрын
Huyo johari ni msenge mbwa
@ddsmchau1712
@ddsmchau1712 6 ай бұрын
Huyu JOHARI sio mzima, hii ni shida nyingine na atasubiri sana!
@sophiekivuyo6028
@sophiekivuyo6028 6 ай бұрын
cheki mtt huyoooo tena kazuriiiii joharii kabakiaa kutoaa macho kama fundi saaa 😊😮 😂
@SerenakaremboDzombo
@SerenakaremboDzombo 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@halimahassan1930
@halimahassan1930 6 ай бұрын
Mim simpendi uyu joari atabaki uyu atopata bwana ndio mana alishindikana akakosa bwana😂😂😂😂😂😢chefu
@user-cw1jh2yd9g
@user-cw1jh2yd9g Ай бұрын
Jamani hico kipindi nakipenda sana tatizo nipo mbali natamani mimi pia ninge ingia apo.😢😢
@Huncho_taitan_breezy
@Huncho_taitan_breezy 6 ай бұрын
Huyo johari mshamba sana
@daviccharles
@daviccharles 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@VivianKimath
@VivianKimath Ай бұрын
🤣🤣😅😅😅
@NuruNgole
@NuruNgole 6 ай бұрын
NIKWELI WAHAYA NOMA KWELI
@DaughterofUbuntu1988
@DaughterofUbuntu1988 6 ай бұрын
I will love if yhy can mix this three countries Kenya Uganda and Tanzania maze 😂😂😂😂😂😂😂
@Jackmushil
@Jackmushil 6 ай бұрын
Huyo Johari mtaani hawajaweza kumchagua mpaka akaamua kuja kujinadi alivyo na sura nzito haswa anapoongea kwa jaziba lisura sijui linakuwaje. Tupo hapa huyo Johari ni ngumu sana kumpata mwanaume asubiri akifika 30 aanze kuzunguka kwa makanisa kuombewa apate mume. Libaya huku anaponda hajui hata kujibu kwa nidhamu unampondaje binadamu mwenzio hivyo bila kujali hisia zake, eti wapare sijui wahaya, akija mchaga si ndo atatuponda mpaka basi. Kwani huko mtaani kwake hamna wa kabila lake mpaka aje humu?
@user-li1fl4jp3r
@user-li1fl4jp3r 6 ай бұрын
😂😂😂 Naomba nitabasam tu umeongea kwer best Johar atachina hapo
@makrinaibinga-on2qx
@makrinaibinga-on2qx 6 ай бұрын
Yaan huyu johari ni km Maggie kenya hawawez pata wenza😅
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 6 ай бұрын
😂😂
@danielmichael2755
@danielmichael2755 5 ай бұрын
Kahaba hao wengi wao wanajiuza nshawaona
@hadijahashim809
@hadijahashim809 5 ай бұрын
Ha ha ha Wee mushi wewe😂😂😂😂
@Jay41996
@Jay41996 2 ай бұрын
Naombeni mawasiliano ya huyo jenipher mke mzuri sana, nimemuelewa
@user-jr3mo3je3k
@user-jr3mo3je3k 6 ай бұрын
Johari wamtoe aiseeeee anaropokaaaaa tu sura lenyewe la hovyo
@ZulekhaMohamed-st2vu
@ZulekhaMohamed-st2vu 2 ай бұрын
Ahaha jaman 😂
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 6 ай бұрын
Johari anazingua sana
@SalvinJastin
@SalvinJastin 6 ай бұрын
Background inazingua
@anajoycejoseph3313
@anajoycejoseph3313 6 ай бұрын
Kwanza uzungumzaji wa Johari ni dhairi kuwa sio wife material ni mbabe sana hongera kijana kutuletea wifi mpende usimletee makasiriko ya mke wa kwanza kuwa naye karibu maana mke anachepuka kufuata na umbali wa mapenzi kwake
@faridalihondo3322
@faridalihondo3322 6 ай бұрын
Uyu johari jaman simpendi mim Yan halinaga hata point za maana endelea kudoda apo kwenye podium mwaya na ukiendelea ivo utapata koroma
@metrineomega1635
@metrineomega1635 6 ай бұрын
Johari ana nini ukimuona hafai uyo,anasahau anakunia kama watu wengine, yake mwanzo yanuka kama sewage ya nchi
@mziwandamziwanda
@mziwandamziwanda 6 ай бұрын
upo km mimi namchukia ana mdomo sanaa😢😢😢😢
@faridalihondo3322
@faridalihondo3322 6 ай бұрын
@@mziwandamziwanda Yan uyu dada sjui vp asee
@faridalihondo3322
@faridalihondo3322 6 ай бұрын
@@metrineomega1635 sjui angekua mzur ingekuaje asee mtu kakazania kabila kabila heee
@mziwandamziwanda
@mziwandamziwanda 6 ай бұрын
@@faridalihondo3322 ana nyali sana pia yaan ananiumiza kwakweli 😢😢
@user-di8hg8ri4h
@user-di8hg8ri4h 6 ай бұрын
Johari ni bongolala😂😂
@ElishaJoakim-ir2qf
@ElishaJoakim-ir2qf 6 ай бұрын
❤❤❤❤hayo ndo mapenzi
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 6 ай бұрын
Congratulations 🎊
@ziporaa8570
@ziporaa8570 6 ай бұрын
Mwijaku alienda wapi
@user-iv4eg1cv2f
@user-iv4eg1cv2f 6 ай бұрын
Johari acha kelel bhana sura yenyewe mbaya😋😛
@danstanamwtata1866
@danstanamwtata1866 Ай бұрын
Jennifer iwapo utasoma hii comment, nimevutiwa na urembo wako na upole wako🌹🌹🌹
@floraflora5964
@floraflora5964 6 ай бұрын
Hongera sana muhaya mwenzangu wifi tunae❤❤
@charles23436
@charles23436 6 ай бұрын
Hapo kwenye kulea ujauzito sio wako had siku ya mwisho ya kujifungua ntaungana na wew maana yamenikuta piaa ivo ivo
@RoseKesi-zj4yy
@RoseKesi-zj4yy 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 nikikumbuka ex wangu alininyang'anya mwanangu kwamba atamlea mwenyewe na akati sio wake 😂😂😂😂😂 Yuko anakazana kulea
@Preciousamaya
@Preciousamaya 6 ай бұрын
Rose wewe chizi kweli nimecheka km fala😂😂😂😂😂
@GraceLeonard-ip5fk
@GraceLeonard-ip5fk 6 ай бұрын
​@@RoseKesi-zj4yyNawe ukampatia😂😂😂
@babychiishinaa8473
@babychiishinaa8473 6 ай бұрын
😂johari kampenda ila anawazingua😂😂
@shedrackjoshua834
@shedrackjoshua834 6 ай бұрын
Kuna vitu kwenye maisha vinatisha sana yaani huyu johari ukija kuangalia maisha yake halisi unaweza kumuonea huruma..na hivi alivyo zinazoumia ni sehemu za siri.
@janetnyanchera1252
@janetnyanchera1252 6 ай бұрын
🤣🤣🤣me laughing in a manner that pleases My God 😅
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 6 ай бұрын
Huyo kaka 😊
@khalsaalrawahy391
@khalsaalrawahy391 6 ай бұрын
Punguzeni mziki hatusikii kitu
@RayyanRayyan-rt9cg
@RayyanRayyan-rt9cg 6 ай бұрын
Yani kati ya madem 12 mie nilimuona jack ni bonge la dem yan mke kabsa yule dada
@Joyrah
@Joyrah 6 ай бұрын
Johari kila kabila halitaki🤣🤣🤣🤣
@user-xu5rh6ub5j
@user-xu5rh6ub5j 6 ай бұрын
Congratulations
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 6 ай бұрын
😂😂 Mmenichekesha lulu diva na wenzakp😂😂😂❤
@MusaPaul-te6kp
@MusaPaul-te6kp 6 ай бұрын
Johar punguza jaziba dada bado hujasema na utasema yaan mpaka useme😂😂😂😂😂
@AmadiusNgongi
@AmadiusNgongi 22 күн бұрын
🤣
@jayommy3632
@jayommy3632 5 ай бұрын
nice
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 6 ай бұрын
Punguzeni sauti ya kawimbo tafadhal, ni kaziri lakini ni kakubwa mnoo.
@magreciousthomas3527
@magreciousthomas3527 6 ай бұрын
Uyo johari ni box yan ataganda apo mpk 2030😂
@user-fs2lb3cs7z
@user-fs2lb3cs7z 5 ай бұрын
Akhiii shaban umejua kunifurahishaaa...hongeraa
@bhokesaid3264
@bhokesaid3264 6 ай бұрын
Johari anadanganywa na tako lake yani anaamini tako ndio kila kitu basi wait tuko hapa atasugua gaga had ajute
@janetakinyi2968
@janetakinyi2968 6 ай бұрын
Watching live from kenya❤❤ l think Johari should be cancelled she doesn't know what she want...kama angekua mzuri sanaaa asingekua hapo angekua kwenye ndoa sasa hivi...nkt!!!!!
@user-eg6ml8wn7i
@user-eg6ml8wn7i 6 ай бұрын
Huyo dada boya sana tuachie kabila letu
@boashamah3642
@boashamah3642 6 ай бұрын
Bro mwambie kabisa aache shobo na kabila yetu Watching from Australia 🇦🇺
@EstherElisaThomas
@EstherElisaThomas 3 ай бұрын
Tena akae Kwa kutulia😂😂😂😂🤣
@hildephonceerasmus8178
@hildephonceerasmus8178 2 ай бұрын
Tautumanya ogu😅😅
@SashaOscar
@SashaOscar 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 kwa wahaya ni kwl wana sifa ila xx utafanyaje inabd uangalie ww unatak wa kabil gn ikiw ni kabila ambalo hulitak unakaa kimya tu unaendelea kusubr
@angelaschwarz-f1r
@angelaschwarz-f1r 10 күн бұрын
za kenya ndizo zinabamba jameni
@santinosabugo2114
@santinosabugo2114 6 ай бұрын
huyo dada siyo muolewaji muhaya mbona hana shida
@delvinmoraa4883
@delvinmoraa4883 6 ай бұрын
Nimependa tz sijui mbona❤
@bantu573
@bantu573 5 ай бұрын
Wewe
@happynazalenonazalenomndew5990
@happynazalenonazalenomndew5990 4 ай бұрын
Huo niukwl kbsaaa nakusuport my dear johari
@suleOficialtz8451
@suleOficialtz8451 6 ай бұрын
Huyu dada hana hakili yeye anadili na makabila au anatafuta wa kuendana nae mbona mambo ya makabila yalisha pitwaga na wakati
@OlyUpowerfuljesus
@OlyUpowerfuljesus 6 ай бұрын
Atapitwa na wote
@mziwandamziwanda
@mziwandamziwanda 6 ай бұрын
mtoen johari jmani 🙌🙌
@user-fh3ev5ly8n
@user-fh3ev5ly8n 6 ай бұрын
Wewe johari utasubiri Sana na kupata kwako mtu ni shida,mtaani umeshidwa na huko utashidwa mpumbavu mmoja
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 6 ай бұрын
Halafu ukimwangalia ni kijeba kabisa yani ni age go angalia kono lake linavyo ning'inia😂😂
@user-sq4mo3mg2q
@user-sq4mo3mg2q 4 ай бұрын
Mungu atusamehe wanawake wote
@charlesopudo7192
@charlesopudo7192 6 ай бұрын
Follow up required before and after the show please.
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 6 ай бұрын
Huyo johar nikiangalia vinyonyo vyake mi hoi
@zainablove22
@zainablove22 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@Monaish___mooon
@Monaish___mooon 6 ай бұрын
Baba yangu rafiki yake muhaya yani yule baba anamauwa yake kweli yani msikalili kbs
@user-sj7wt8mn1j
@user-sj7wt8mn1j 6 ай бұрын
No comment nainjoy tu
@user-ev9sv3ik8e
@user-ev9sv3ik8e 5 ай бұрын
😮😂😂 amsubili babu yake.
@mfungonishauri4234
@mfungonishauri4234 Ай бұрын
Huyo alosema kuhusu dini... A akaa very mature
@Geshilali
@Geshilali 2 ай бұрын
Siku moja napenda kuja kuona live mr right
@teddymboya1437
@teddymboya1437 6 ай бұрын
Nipo marangu kilmanjaro naenjoy asanteeeeni sana
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 6 ай бұрын
Huyu johari anajiona chipis kuku kweli mtu lisura kama ukwaju kama mtu humtaki unatuliza makaliyoo wacha shopoooo
@azizaaziz9261
@azizaaziz9261 6 ай бұрын
Mbona ukwajuu
@FloraKamanzi
@FloraKamanzi 6 ай бұрын
Johari we Mshamba sana, ndo maana upo hapo kutafuta soko na hutapata mtu. Utarudi kama ulivyokuja
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 5 ай бұрын
Kwa soksi hizi asivae tena😂😂😂
@KulwaRichard-hs4ew
@KulwaRichard-hs4ew 5 күн бұрын
wote hapo sio bikra washachezewa na wahuni af wanataka tuwaoe mmmh, muhaya umetisha san achana nao
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 6 ай бұрын
Ndio Hivyo Mungu Awasamehe Tuu Wanawake Ndio Wakaabiwa Wengi Wanaenda Motoni Kwa Mambo Kama Hayo...
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 5 ай бұрын
Nampenda sana Lulu
@user-lw4iw2vq5m
@user-lw4iw2vq5m 6 ай бұрын
Ahhh www umpumbav sanaaaa johar um
@ellymwampashe8927
@ellymwampashe8927 6 ай бұрын
Nasubiri mpaka siku Johari apate mr right. Ila naona ntasubiri sana......huyu dada Mungu amsaidie😅😅😅😅
@lareineminah1353
@lareineminah1353 6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 Tuta choka
@user-lr5jo6vs5l
@user-lr5jo6vs5l 5 ай бұрын
😂😂😂yaan me had ananikera,,,
@NeemaLivingstoneMichael
@NeemaLivingstoneMichael 5 ай бұрын
Wapo wapi wahaya jamani me nawataka
@MourineMushie
@MourineMushie 6 ай бұрын
Johariii johari johari nakuitaa mara tatu pungu ww mbonaa umenyataa ww mwenyw mbayaaaaaa afu unasema kaka wawatu mbay ovyooooo msengeee sana ww mamaeee
@yusuphvicent4175
@yusuphvicent4175 6 ай бұрын
We doctor noma sana unajua kucheza na vichwa vya watu kwa kwel nimekusoma maqnq cna uhakika km aliechaguliwa yupo hapo aiseee sema umejenga vzr sana ndo inatakiwa hvyo
@uwimanacitegetse9926
@uwimanacitegetse9926 6 ай бұрын
Natamani nimwone kijana atakaye mpenda Johali 🥹nawumiyasana anavyowadisi vijana wawatu 🤔
@EveliusEdwin
@EveliusEdwin 6 ай бұрын
Johari muone komwe lake hlo na bado anabagua wahaya nshomile eti wana sifa utabaki hvyohvyo
@stephenhabwe5295
@stephenhabwe5295 6 ай бұрын
Nimependa hio capol mwaaa
WHO DO I LOVE MOST?
00:22
dednahype
Рет қаралды 79 МЛН
I prefer a disciplined  beautiful girl  who is humble  ||Hello Mr.Right
20:13
StarTimes Official
Рет қаралды 698 М.
BEST ENGAGEMENT PARTY EVER 'Joshua & Maria' -MC SOGOHE
50:53
LEMMY LITO SOGOHE
Рет қаралды 4,8 М.
🤣❤️
0:46
Dragon Нургелды 🐉
Рет қаралды 719 М.
Что произошло в ресторане!
0:16
Victoria Portfolio
Рет қаралды 9 МЛН
Vampire Girls FIGHT Over Boy 😈
0:32
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 8 МЛН
Vampire Girls FIGHT Over Boy 😈
0:32
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 8 МЛН
Сначала скажи, а потом не мамкай 🗿 #shorts
0:16
Вика Андриенко
Рет қаралды 1,9 МЛН