Kiongozi Paul Makonda, chapa kazi, huku ukiiangalia sheria ya Mungu unayemtumikia, isikupungukie. Barikiwa sana. Wasio kutakia mema watakubali tu.
@RupiaMwigulila25 күн бұрын
Nimesema hayo nikijua kwamba, uongozi wowote unatoka kwa Mungu. Hata ule wa Idd Amin Dadaa wa Uganda ulipata kibali toka kwa Mungu; yeye mwenyewe tu alilewa madaraka ya Uongozi.
@SamiraNyembela26 күн бұрын
Nawapata vizuri Sana ITV from Omani
@AjabuLiberius-o3k26 күн бұрын
ITV,nawakubali sana mko vzuri sana mnajitahidi kurusha taarifa ya habari KZfaq