Kongole J TV ZNZ kuendelea kutuletea darsa za Sheikh DR. wetu Msellem Ally. Allah akulipeni kila la kheri. Napenda sana mnavyo andika heading za darsa husika kwa kubainisha sura na Aya inayosomeshwa ktk video husika. Hii imewafanya kuwa tofauti kabisa na Online TV zingine. Jazakallah kheir. Twamuomba ALLAH amuhifadhi sheikh wetu nanyi mnaotufikishia darsa za SHEIKH wetu, AMIN
@nadhiruabdul1097 Жыл бұрын
Masahihisho kidogo, ktk video/darsa hii ni tafsir ya SUratul FAJIR 14-17 na sio Al IMRAN km ilivyo andikwa.