TAFSIR ZA NDOTO ZA WATU WALIO KUFA // MAJILIS YA KWANZA//SHEIKH ABUU JADAWI

  Рет қаралды 33,405

ZAINAB ONLINE TV

ZAINAB ONLINE TV

2 жыл бұрын

TAFSIR ZA NDOTO ZA WATU WALIO KUFA // MAJILIS YA KWANZA//SHEIKH ABUU JADAWI

Пікірлер: 72
@AthmanMbui-om9nw
@AthmanMbui-om9nw Жыл бұрын
shukran wa jazakumLlahi kheiry
@user-ce1ly7dl9j
@user-ce1ly7dl9j Ай бұрын
Nimemuota baba angu alishakufa nimemuota anaumwa sana nami naumwa pia najiandaa niende nikamuone naogopa sana alifariki miaka mingi sana,nimeota anaumwa sana tumbo mpaka kwenye kitovu chake pameoza mm ndo niko sehem tofauti najiandaa nikamuone😢😢
@user-td9tv3xt3f
@user-td9tv3xt3f 29 күн бұрын
Asalam alaikum mimi nineota natoka safarini nimefika nyumbani nikamkuta mama yangu mareemu ame kaa uwanjani kalibu na mpapai nikapita ndani nikamkuta mke wangu ambae nimesha muacha yuko na mwanangu wa kike ila yule mke wangu alikua nikama mgonjwa alipo niona alikasilika sana nika toka nnje nikaenda pale alipo mama nikawa naongea nae nilimsalimia akaitikia akaniuliza kwenye mfuko ume beba nini nikamjibu nimebeba nyama akasema sawa nitaenda kukuombea kule ma nikaanza kulia mala nikashituka naomba niambie maana yake
@missmoona4497
@missmoona4497 2 жыл бұрын
Shukran sheikh, waaleykum msalamu warahmatullah wabarakatuh, sheikh mm nimeota naongea na mtu aliekufa tena anafurah mwenyewe ktk maongez yetu ,naumiza kichwa kujua nn maana yake😩😩
@amiramukambanza3207
@amiramukambanza3207 2 жыл бұрын
Jazakkallah kheri
@yasinikunyuma2168
@yasinikunyuma2168 2 жыл бұрын
Ikiwa nimemuita baba sikiwa ana liliwa na wajukuu zake name nipo pemben huku nikimuombea Dua baba mungu ampunguzie adhabu ya kabri nn maana yake hi ndoto
@deodatussalvatory8596
@deodatussalvatory8596 2 жыл бұрын
Shehe shukran kwa elim mm newah kuota naongea na mtu alishakufa mara 3 nn maana yake
@omanamenmct1600
@omanamenmct1600 2 жыл бұрын
Mungu wangu kwahiyo leo mm jimeota bibi yangu kaja lkn tuko kwenye nyumba isiyojulikana na bibi yangu ameshakufa ,eeh mwenyez mungu nisaidie tena ilikuwa kama kunashuguhuli bibi akaja kulikuwa na furaha tukampokea
@lilianrichard9065
@lilianrichard9065 10 ай бұрын
Nimeota bibi yangu alishakufa lkn nimeota anaumwa sana akaniomba nimsaidie kumunyanyua chini ili atembee nilimshika na kumbeba na nikamfuga kanga began nn maana yake
@user-dl8rg2gm8x
@user-dl8rg2gm8x 9 ай бұрын
Asalam arykum shehe mm nimepata maiti anaoshwa maji yakaanza tupuyama inakinyesi samahani shehe leo sina sadaka inshaala nikipata
@atugonzalugemalila5142
@atugonzalugemalila5142 Жыл бұрын
Nimeota kiongozi wangu wa zamani aliyekwisha fariki nikimyoa ndevu na ananiambia wewe uko na ela nyingi na wakati sina
@jamillahmussa3775
@jamillahmussa3775 2 жыл бұрын
Asalaam Allaykum warahmatullahi wabarakatuh, naam ukiota kupaa angani,, chini Kuna watu wanahitaji kukudhuru, lakini wanapo jaribu kuku Usha hawafanikiwi unazidi tu kupaa zaidi na zaidi,, Cha pili wakati mwengine nikiota kitu au jambo lazima litendeke Sana vifo
@mohamedmtumwa3456
@mohamedmtumwa3456 2 жыл бұрын
Jini mahaba uyo
@AnnaKahimba-bh7kh
@AnnaKahimba-bh7kh Ай бұрын
Niunge
@kiznationtv8055
@kiznationtv8055 Жыл бұрын
Nmeota jananapta sehemu nkakuta waganga sijuw wachawi lakini wale wachawi wakanitumia mbwa weusi wanifukuze nikakimbia sana nimefka nyumbani nikawa naita mama mama nkasikia anaitika kwa mbaali nikaita tena akaitika sasa akaitika akatoka nje aisee mama alikufa akiuwa mtu mzima hivi kiasi lakini nimemuona kama ana miaka 30 Hivi daah aisee 😢 tumeongea sana alafu tukaagana kuwa tutaonana tenah akanambia mungu akipanga inakuwa tu akaniambia wala usiogope alafu nkashtuka usingzn
@saufaHassan
@saufaHassan 10 ай бұрын
Shekh niunge
@ThuwaibaShehe
@ThuwaibaShehe 2 ай бұрын
A.alykum, mm nimeota nakufa lakin kabla ya kufa ninawausia watu ambao nakaa nao wazidi kufanya ibada,wawe karibu na Allah subhanahuwataala lakin pia nilikuw natoa shahada,hapo hapo nikashtuka,please naomba majibu ya ndoto yangu,kuna mwaka mmoja niliota ndoto kama hii ila nilikuw namuusia mama yangu na dada zangu kuwa karibu sana na Allah subhanahuwataala, na mara hii nimeota tena
@zainabjuma2405
@zainabjuma2405 Жыл бұрын
Asalm alekhum sheick, mm huwa kwa family yetu mm ndio huwa na ota ndoto Sana za ukweli, mutu aki enda kufa kwa family naotesha kabisa flan na tukiamkaamea agha huyo Ata chocho lazima niote. Leo kwa ndoto nimemwota nyanya yangu akini agha kuwa Sasa yeye ana ondoka na yeye Alikufa kitambo Sana aka ni paka mate kwa uso akasema haya kwaherini nenda kaolewe, huwa naota Mara kwa Mara watu wa family walioga Lakini yeye ameni stuwa Sana Sana kuniambiya anaondoka hadi Nika liya.
@zainabjuma2405
@zainabjuma2405 Жыл бұрын
Naomba uni add kwa group sheick
@saidmohamed7578
@saidmohamed7578 Жыл бұрын
mimi nimeota nimeenda kuwa uliza wadogo zangu kwa wewe shaban mama alipo kuwa anafaliki alisema nini nanini nikamuka na kuamuka
@user-dl8rg2gm8x
@user-dl8rg2gm8x 9 ай бұрын
Asalam arykum shehe mimi nimepata maiti anaoshwa
@user-pz8qk7ke4h
@user-pz8qk7ke4h 20 күн бұрын
Mi niliota nimeshika mbuzi nyeupe nampelekea nayo n vipi sheikh
@hekimafashion-ev8nk
@hekimafashion-ev8nk Жыл бұрын
Nimeota mtu aliyekufa namjua nijirani napia mtu huyu akafa anapika chakula chakuuza nawatu wakawa wana kula kwake nachakula hicho kwakweli nikichafu sikuzuri sana halafu ndoto ikaendelea kuna mtoto wakiume amabe km ana changa nikiwa hihi sasa tukawa tuna mkombiza ili tumkamate aka kimbilia nyumbani kwenye chumba huku ndani alipo ingia kukawa kuna watu nawajua wengine siwajui sasa yule mtu aka wa ana sumbua kufungwa mikono nyuma mimi nika toka nikaenda kwayule mama nika mwambie Hawa watu muda wote huo hawa mtoi tena chumbahicho kilikua changu kufika pale alipo nilipo muelezea hakujibu akawa yuko bize nawateja wake lakini nikawa nimesahau smyangu palenyumbani kuna kijana mwenzangu ambaye namjua wakawa washaa mtoa yule mtu anye changanikiwa sijajua waliko mpeleka yulekija akaniletea sm yangu niliyo isahau hukua kichwani akiwa amebeba begi languo lakini begihilo nalijua tunalo hapa nyumbani nahuyo mama nikweli ana mtoto ambae akili zake haziko sawa tafadhali ostadhi naomba tafsir yandoto hii
@AyuniSuedi
@AyuniSuedi 9 күн бұрын
Asalam aleyk nimeota na mtu alokufa tunapiga stori inajirudia inamaanisha nn
@augustinolugagala
@augustinolugagala Жыл бұрын
Shekh Mimi niliota namuona kaka aliyekufa miaka kumi iliyopita Ananikaribisha nilipokuwa nimeenda kuanza kazi bandarini yeye akiwa mfanyakazi wa muda mrefu katika bandari hiyo,akinielekeza na kunisisitiza Sana kufuata maelekezo ya bosi wetu. Ndoyo hiyo niliiota Mara mbili. Pia naomba uniunge kwenye group
@husseinnuru7544
@husseinnuru7544 4 ай бұрын
Xhee Hy ninjema ila jiandae nasafali saw mana nixhelia kuwa mola anakuonyexha
@nasraomarry8970
@nasraomarry8970 Жыл бұрын
Shekhe mm nime otaa marehem ana nidai deni nika muliza deni gani akasema pesa nika muliza mbona uku ni kumbusha basi nika mlipa nusu nusu nika mwambia nita Kumalizia
@zainabuchingwalu9951
@zainabuchingwalu9951 2 жыл бұрын
Mashaallh
@rukianassoro8890
@rukianassoro8890 Жыл бұрын
shee mm nimeota bahari alafu imejaa maji machafu nikairuk kwa kipaa kwenda upande wa piri nikakutana na vizee viwir nikawa nakemea kikiristo vikawa haviogop nilivyo visomea kislamu vikawa vinaogop inamaanisha nini iyo alafu badae nikaambiwa maji yameshapungua tuwai kuvuk kivuko kile kizuri lkini sikuwai kuvuk inamaanisha nini
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
@@rukianassoro8890 sina sana utaalamu wa ndoto ila swali sana swala 5 na soma sana Qur an Yaani zidi kufanya kheri njema Hao wazew sio watu wazuri
@augustinolugagala
@augustinolugagala Жыл бұрын
Mimi bado ni mwanafunzi chuo sijamaliza masomo mpaka mwakani
@dashuusaid3412
@dashuusaid3412 Жыл бұрын
Shehkh me naota ndoto nipo na babu yangu tunatembea wote lakini alishafiki
@bintathman3926
@bintathman3926 2 ай бұрын
Nna shekhe ukiota unafanya tendo la ndoa na bwanako aliekufa inamaana gani
@carolineoyieko4791
@carolineoyieko4791 2 жыл бұрын
Nimeota napigana na dada yangu aliyekufa,vita
@kassimkibwe4614
@kassimkibwe4614 4 ай бұрын
Assalamu alayka ustadh, Mwaka 1990 nilioa mke na sikukaa naye muda mrefu nikaacha naye, Mwaka 2001 huyo mwanamke amefariki na Mwaka huu wa 2024 nimemuota tukiwa pamoja na nakuomba unyumba, je! Inaishara gani?!!
@kassimkibwe4614
@kassimkibwe4614 4 ай бұрын
Namuomba unyumba
@dusengezubeda
@dusengezubeda Жыл бұрын
Mimi nimeota nduguyangu alifariki amoananielezea gisi kifo kilimfikiya
@nasraomarry8970
@nasraomarry8970 Жыл бұрын
Asalm alkm shekhe niunge kwenye group
@user-sd7vv9ed6t
@user-sd7vv9ed6t Жыл бұрын
Mimi nilifiwa namwanangu nimeota nimemkuta anatoka kwenyenyumba kijijini kwetu ananiambia Toka kapelekwa huko ajanjwa maji akitaka maji wanamwambia anywe yakwenyesinki la choo nikamuuliza umekunywa kasema ajanywa nikampa miji ajanywa alafu nikamchuku nikampeleka nyumba nyingine sijui nnini tafsili yake
@fatmajoza9457
@fatmajoza9457 2 жыл бұрын
Asalam alykum shekhe kwa mfano umeota umeolewa na maiti maan yak nin
@kkkm6404
@kkkm6404 Жыл бұрын
Asalam aleykum sheh mimi nimeota na marehem kwamtu lakin mimi nakataa kwenda ananilazimisha kisha nikawa nakimbia namuogopa tena ananikimbiza nikawa nasoma sura ndio akapotea nikashituka sasa tisa usiku
@FloraMkango-jj5io
@FloraMkango-jj5io Жыл бұрын
Habari mimi nimeota nimekutana namtu aliekufa akanipa sidiria yake nimfulie je shee indoto inamaana gani?
@samuelmwita6341
@samuelmwita6341 7 ай бұрын
Je ukiwa unakula na nyanya yako aliyekufa inamaanisha nini
@luqmanelectricaluqman3043
@luqmanelectricaluqman3043 2 жыл бұрын
Assalamualaikum...kuota na maiti akikupea chakula kama mahindi bichi
@mozaseifwanatubaniasurayak3974
@mozaseifwanatubaniasurayak3974 2 жыл бұрын
Jazakallahu khaira
@corandamisi9005
@corandamisi9005 Жыл бұрын
Mimi niliota nakula namutu ambaye amesha kufa
@zainabsalim9401
@zainabsalim9401 Жыл бұрын
Asalam aleikum warahma tullah,sheikh mimi niliota na babangu marehemu akinipa maagizo nitoe nyoka wakubwa wawili kwa sambani la nyanyangu na huyo huyo nyanyangu naotaga akinifanyia sihir sanasana kwa ndoto zangu,je ina ma'ana hii ama ni fitna za shaitani tu
@muddymandoa8359
@muddymandoa8359 Жыл бұрын
Asalamu aleykum mi Nilikuwa naomba kuunganishwa kwenye glop
@shukranijaiton8382
@shukranijaiton8382 10 ай бұрын
Nimeota ndoto Mamaang mkubwa alie kufa nimemwona amekuja nyumbani kwake ameingia na ameshika chungu kipya nn maana yake
@AnnaKahimba-bh7kh
@AnnaKahimba-bh7kh Ай бұрын
Sheikh me nimeota Jan usik nimeona mait nyingi. Mochwal zimepangana afu anaesimamia ni rafik angu nin maan ake
@mwanaidibushuti9929
@mwanaidibushuti9929 2 жыл бұрын
Shukuran shekhe nimeota ndoto kidogo inafanana na hizi nimeota na mbusu marehemu nyanyangu ila Alisha kufa kitambo karibia miaka kumina na jee hii nayo maana yake nn
@zarinahassan658
@zarinahassan658 Жыл бұрын
Allah akran😓😓nimemuota baba yangu ananiomba maji ya kunywa nikampa😭😭😭
@alisaidabdallah1480
@alisaidabdallah1480 Жыл бұрын
Mtolee swadaka
@allanjumaa2921
@allanjumaa2921 Жыл бұрын
Sadaka kwa wingi
@hajiratiabdulhajiratiabdul7880
@hajiratiabdulhajiratiabdul7880 Жыл бұрын
Miminimeota nikomsibani nainajiludia ilawatu siwajui
@AlhajjhajjAlhajjhajj
@AlhajjhajjAlhajjhajj Жыл бұрын
Nimeota namnyonyesha mwanangu mchanga aliekufa... Naomba kujua maana yake
@lusajokajombo1529
@lusajokajombo1529 Жыл бұрын
Naota ndoto na waliokufa
@bakaliniazawadi8880
@bakaliniazawadi8880 Жыл бұрын
Asalam aleyku warahmatulallh wabarakatuh mwenyenyumba alishaga kufa nimeota amenipa magimbi nikapika nikayala ilayalikuwamagum mazuri baada yaapo kulikuwa nduguyake naeakanipa magimbi hayohayo nikapita nashituka maanayake nini?
@mwanamisiabdallah5409
@mwanamisiabdallah5409 Жыл бұрын
Asalam aleykum Shee Mimi nimtota nimempa mtoto wakakaangu maji na Alisha farika nisaifie
@ndayambajefikirini7252
@ndayambajefikirini7252 2 жыл бұрын
Sheikh nimekuamini,kabisa kwatafsiri zako,nimeota nduguyangu kishakufa,tuko ndani ananionesha viatu vyeupe bouti,nakuniambia kua alikua ameviwekesh,nikamjibu uwaminifu nijambo lakheri duniani.2) shemeji yangu mwanamke kaota ananywolewa ndevu na nywele zakichwa ,pia nakatoto kake kakike pia kaka nyolewa nywele nisaidie tafsiri
@mariamraiyane1673
@mariamraiyane1673 Жыл бұрын
Mi naota nikipeana chakula Kwa wafu😭😭😭😭😭nisaidie mara Kwa mara
@edwinsanga6661
@edwinsanga6661 2 жыл бұрын
Niliota naongea na kaka aliye kufa nini tatizo Namba uniombee dua.
@eriqfat-hkimathi5997
@eriqfat-hkimathi5997 Жыл бұрын
A.a kama kamuota mke wangu kafa...tafsiri yake nini?
@Prrtyboi_i.n
@Prrtyboi_i.n Жыл бұрын
Sheikh mm nawota mandazi yako yanachomwa yako chini yangine yameja jua ya kitanda nini mana yake
@allyshaban4288
@allyshaban4288 Жыл бұрын
Asallam aleykum warahmatullah wabarakaatuh naomba niunge shekh wang niunge kwnye group
@idrisaadam4652
@idrisaadam4652 Жыл бұрын
Shekhe mm nimeota niko na shangaziangu aliefariki tuko msibani na mm ndo mgawa chakula lkn shangazi yangu anafuraha kweli
@lilianrichard9065
@lilianrichard9065 Жыл бұрын
Nimeota ananipa kitu cha thaman mme wangu ambaye kwa sasa ni marehem inamaana gani?
@AnnaKahimba-bh7kh
@AnnaKahimba-bh7kh Ай бұрын
Niunge
@fatmaalwiy7651
@fatmaalwiy7651 Жыл бұрын
Asalam aleikum shukran shekh mm niliota kaka yangu alikufa hivi karibuni ananiomba nimkangie mayai alikua ananjaa nikamkangia nn maana yke pia tunaonba namba yko
@AmisiBaruani-ed3tc
@AmisiBaruani-ed3tc 5 ай бұрын
Niunge
Kuwaota Waliofariki | Dr. Islam | HorizonTV Short Clips
3:11
HorizonTV Kenya
Рет қаралды 258 М.
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 45 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 19 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 3,2 МЛН
UKIOTA NDOTO HIZI UJUE DUA ZAKO ZISHAJIBIWA
13:07
Mponda Media
Рет қаралды 4,1 М.
UKIOTA NDOTO UKAONA ALAMA HIZI | JUA NDOTO HIYO NI YAKWELI | SHEIKH SHARIFF MAJINI
32:41
HII KHUTBA IMEWALIZA WENGI MSIKITINI
37:12
Sheikh Muhammad Bahero
Рет қаралды 439 М.
TAFSIRI ZA NDOTO ZA KUFA /Imamu Mponda
8:06
Mponda Media
Рет қаралды 6 М.
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 45 МЛН