TAFSIRI YA NDOTO KUOTA UNAOA AU UNAOLEWA AU UPO HARUSINI"SHEIKH ABUU JADAWI.

  Рет қаралды 9,677

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

Жыл бұрын

#ShkAbuuJadawi #Tafsirizandoto #Zvponlinetv #Mwanza

Пікірлер: 33
@user-jv1ch4tr8q
@user-jv1ch4tr8q Ай бұрын
Allah akulipeni kheri
@EstherDennis-yg8uk
@EstherDennis-yg8uk 5 ай бұрын
Mm nimeota niko kwenye sherehe za harusi
@singolady276
@singolady276 11 ай бұрын
Inshaallah
@user-jv1ch4tr8q
@user-jv1ch4tr8q Ай бұрын
Mimi nimeota naolewa na mume wangu ila hakufika nilikuwa najiandaa lakini naelewa km ni yy atakuja nikapita nashtuka hajafika naomba unijibu shekh
@HellenTj
@HellenTj Ай бұрын
Hata mm
@mwanasitimohammed5565
@mwanasitimohammed5565 3 ай бұрын
Mm nimeota naolewa na mpenzi wangu ..na cha zaidi nina mimba
@dmshana4242
@dmshana4242 10 ай бұрын
Mim nimeota naolewa lakin anaenioa hayupo Ila nimevaa shela kabisa na viatu na naenda kurembwa Ila hakuna muziki Tena na sijamaliziwa kusiukwa sijui inamaan gani
@januzajmust3552
@januzajmust3552 7 ай бұрын
Bado upo hai mpaka saiv
@user-jz8sj5us1h
@user-jz8sj5us1h Жыл бұрын
Shukraan
@user-jz8sj5us1h
@user-jz8sj5us1h Жыл бұрын
Nimeolerewa arafu nikaondok
@user-jz8sj5us1h
@user-jz8sj5us1h Жыл бұрын
Napia nimeota nacheza na simba na namchezea simba simba anacheka
@user-jz8sj5us1h
@user-jz8sj5us1h Жыл бұрын
Na anizulu
@user-oy5lt8xt5d
@user-oy5lt8xt5d 10 ай бұрын
Mimi nimeota nauzuria harusi
@maggnyaboke6209
@maggnyaboke6209 9 ай бұрын
Mm sina mume but Niko na boyfriend na nikaota nikiwa kanizani nikifanya harusi watu walishangilia sana na tulikua pamoja na my boyfriend i thank God for that ❤
@marybosy
@marybosy 9 ай бұрын
Bless God 🙏 utafanya in the name of Jesus 🙏
@maggnyaboke6209
@maggnyaboke6209 9 ай бұрын
@@marybosy Ameeen 🙏🙏
@MariyamuHuseni
@MariyamuHuseni 6 ай бұрын
asalm alekum jamani mimi naota naolewa na kwakati mimi Nisha ulewa tayari sijajua inamaana gani
@AshuraAyubomar
@AshuraAyubomar 9 ай бұрын
Na vip ukiota kunamtu anataka akuoe lakini ukakata kwa kusema nampenda mtu fulani ambaye nd mpenzi wako unamaana gan
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 2 күн бұрын
Je umeota upo Kwenye shamrashara umechorwa piko, ila mume hakuwepo, ila hapo hapo ikajiendeleza nipo kwenye huba zito na tunapendana sana na mtu mwenye cheo kikubwa na tunapendana na tupo Kwenye huba na mama akaja akasema umempendea nini huyo mwanaume, ila tukaendelea na upendo je inamaana gani shekhe na nimeota huo upendo wetu tupo Kwenye mazingila ya kifahar huku uarabuni ukiangalia sijaolewa
@user-jm2uh6mk3g
@user-jm2uh6mk3g 2 ай бұрын
Mmi mmetoa mume alioniacha kaniowa ten pia yup
@user-jz8sj5us1h
@user-jz8sj5us1h Жыл бұрын
Sheikhe mm nimeota naorewa ila ndoa iyo tupo wawil ty
@user-jm2uh6mk3g
@user-jm2uh6mk3g 2 ай бұрын
Mim mmeota nimeolew n mume alionicha uyo uy lkn yup anatk kuozeshwa
@user-wu1nb1wv2w
@user-wu1nb1wv2w 6 ай бұрын
Asalam alaikum shekh naomba namba ya wastap
@Mundhir1111
@Mundhir1111 Ай бұрын
Shekh rafik yang kanambia kamuota mama yak mdogo lkn keshakufa zaman alafu anamuota mzm alafu anasema kaota yy anasukuma juu ya horofa alafu anakufa shekh hii ndoto ina maana gn
@SwafaaHussen
@SwafaaHussen 7 күн бұрын
Maan mm nimeolew mke wa pil bt nimeota ninaolew tena n mtu ninayemjua na anamke namwanaume yupo bt nkakataa nkasem cwez kuolew mke wa pil tena then nkaondoka nn maan yake
@nishawangaiwangai9765
@nishawangaiwangai9765 6 ай бұрын
Mimi niliota nataka kuolewa lakini kuna watu waniambia huolewi naule alikua ataka kunioa alikua amenioa natukatemgana zamani hiyo ina maana gani ustadhi
@AlhajalaNilongo-pe5jd
@AlhajalaNilongo-pe5jd 10 ай бұрын
Mimi nimeota Niko kwenye harusii ya rafikiangu wako wote wawili. Alafu mamdogo ameniota mm Niko naolewa na mume uko. Inamaana gani?
@user-fe8cx8fj9o
@user-fe8cx8fj9o 5 ай бұрын
Samahan shekh mume wangu kaota naolewa na mume mwingine inamaan gani
@officialcandleboy6923
@officialcandleboy6923 2 ай бұрын
Na mimi pia nimeotaga ndoto hiyo mke wangu kaolewa na mtu mwengine nika hizarau cause nilikua nampenda sana , na Leo hatupo pamoja tena
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur Ай бұрын
​@@officialcandleboy6923mmeachana au
@user-sf8cw7zl2d
@user-sf8cw7zl2d 6 ай бұрын
Nimeota natolewa posa lakini nimekabiziwa mwenyewe nilivyokemea nikashtuka
@SwafaaHussen
@SwafaaHussen 7 күн бұрын
Km je umeota unaolewa bt ukakataa hiyo ndoa baad yakubembelezw sab bd umesimamia msimamo haiwezekan nn maan yake
@fatnaharerimana2030
@fatnaharerimana2030 7 ай бұрын
jameni mimi nimena ndoto naolewa mumu yupo lkn hatuonani n pia baba harusi alikuwa ameongea n wazazi wangu sikuelewa hiyi ndoto nisaidieni kw hili naomba
أذكار الصباح بصوت الشيخ العفاسي | Morning Athkar | Les invocations du matin
23:25
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 23 МЛН
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 5 МЛН
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 34 МЛН
NDOTO KUMI ZINAZO TABIRI KIFO // SHEIKH ABUU JADAWI
34:30
ABUU JADAWI ONLINE TV
Рет қаралды 1,6 М.
MWL ALIKO MWALULILI: UKIOTA NDOTO UNAFUNGA NDOA
14:09
MWL ALIKO NA DORCAS MWALULILI
Рет қаралды 1,6 М.
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 23 МЛН