Asante Sana kaka davistar kwakutukumbuka tulikua tumekumiss Sana sisi shabiki zako umetuletea story mpya🎉chukua maua yako mungu akubariki uendele kutupa story nzuri za kutufundisha🌹❤️
@DavistarMataMediaDM8 күн бұрын
Amen ahsante tupo pamoja
@sophiebanga95338 күн бұрын
Welcome back umenona saana mtu makini
@jumayusuph96096 күн бұрын
@@DavistarMataMediaDMasate sana tumekumic kaka mpka tumekonda ukipotea uwe unatuambia tusiwe na wasi wasi
@josephmulli375 күн бұрын
@@DavistarMataMediaDM28:04
@saidabdalla89968 күн бұрын
Mzee wa kazi anaonekana kuna mambo anapitia ambayo magumu sana kwasababu na hisi tangu anze ichi kipindi kunavitu vingi vibaya anavijuwa na pia na watu wanao fanya ivyo vitu vibaya pia anawajuwa kwahiyo watu wana muinda sana tumombeeni wadau
@osmundmtavangu8 күн бұрын
Davista kanyong'onyea sana. I fell something bad had been going through him. Mungu akutie nguvu tuko pamoja.
@nalandayusuf6413 күн бұрын
karibu sana Davimastar kazi zako tuli kuwa tumesha zi kumbuka
@jovinmancomedytzКүн бұрын
Mbona hawezikujielezea vizuri anatafunatafuna kama mbuzi tu yani anaboa sanaa
@mwami_the_don_8 күн бұрын
Jamani tumchangieni davista tujiongeze kaaah mpak aseme wakat katutoa mbal na katoa sana matongo tongo juu ya hii dunia
@mwakilamwaki17187 күн бұрын
Awake namba tumsapoti davista ata elfu 5 to kwa kazi nzuri anayo fanya
@paustephano6 күн бұрын
Tunaanzia wap Sasa?
@paustephano6 күн бұрын
Mnaonaje tukatengeneza group whatsup na tutume humu link anataka atajiunga na mwenyew davista awepo then tuanze michango hapo