TAMKO LA WADHAMINI WA TAASISI YA ANSAAR (AMYC) BAADA YA KUZUIWA KUSWALI EID MWAKA 1998

  Рет қаралды 7,754

IHSAAN TV

IHSAAN TV

4 ай бұрын

Hili ni Tamko lilitolewa na Wadhamini wa Taasisi ya Ansaar Muslim Youth Centre (AMYC) tarehe 01/02/1998 katika Msikiti wa Ansaar Barabara 19, Tanga - Tanzania.

Пікірлер: 107
@AshirafuHamimu-td7xo
@AshirafuHamimu-td7xo 4 ай бұрын
Dah !ila Mwamba umepambna muda mrefu sana, Allah akuhifadhi.
@AbAlhuraas
@AbAlhuraas 4 ай бұрын
Mashallah ,halaf kuna mahizbi wanasema ati sheikh barahiayan hakuwahi kufundisha sunna,Allah atawafedhehesha wote
@abuumaryam185
@abuumaryam185 4 ай бұрын
Allah awahifadhi mashekh zetu wa haqi
@user-qm2of7vd3k
@user-qm2of7vd3k 4 ай бұрын
Haqi hii ilianza mwaka gani nipe jibu nijuavyo Mimi haqi ilianza baada ya kuja mawasiliano hivi punde jee kabla mawasiliano masahaba tabii na tabiin walifungaje na mawasiliano wakati ule hakuna jee funga zao na idd zao zote ni batil nenda ukasome acha ushabiki hino ni dini
@YuusuphSuleiman
@YuusuphSuleiman 4 ай бұрын
Allaah akbar shekhe kuawahur haki inatakiwa ismame hawa walamapilau yadhulma waskutishe maana ukila piau msiban umefanya dhulm
@user-qm2of7vd3k
@user-qm2of7vd3k 4 ай бұрын
Sheikh mche mola kuna mwezi wa bakwata huu ni urongo ulio dhahiri mwezi ni katika viumbe vya mwenye ezi mungu hiyo bakwata ina mwezi hii leo hizi si porojo ati mwezi wa bakwata
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 4 ай бұрын
Upo si huo Mufti wenu anaolilia autangaze!maana tunavyofahamu muandamo WA mwezi ni mmoja,tarehe ya Muislamu ni moja na Kwa hadithi aliyopokea Aisha Radhi za Allah ziwe juu yake,amesema:Mtume (saw)amesema tutafunga siku moja(sote)na tutafungua siku moja(sote) sasa ni vipi leo Bakwata na nyie wafuasi(chawa)mufunge kivyenu na kufungua kivyenu?
@mroojnr.2756
@mroojnr.2756 4 ай бұрын
Assalam alaykum. Huo mkanda una mambo matamu sana ukiachana tu na hilo tamko, kuna mambo mengi sana matamu ndani ya mkanda huu, kama unaweza sheikh upandishe wote youtube wengine sisi tulikosa mahali pa kuupata
@user-tw4nf6bv8b
@user-tw4nf6bv8b 4 ай бұрын
Mijisufi isiyojua historia wala kufuatilia uislam haya skia nondo hiyo Haya hayajaanza leo 2024 tangu 1963 ilipoundwa tu Bakwata mambo yakaanza
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 ай бұрын
MAWAHABI MNAWATANGAZIA WANAWAKE WSKUSAIDIENI KUJA ILI WAWE WINGI KISHA MKIMALIZA IDDI HUKU WARI WA WATU MNAWATONGOZA NA MIMBA ZA NJE KIBAO MSHAWAJAZA WARI WA WATU. TUMEPATA KHABARI YA VITENDO VYENU VICHAFU MKISINGIZIA IDDI KUSWALI NA WANAWAKE KUMBE MNAFANYA UFUSKA.
@mrsultanzimbwe6746
@mrsultanzimbwe6746 4 ай бұрын
Huu ndio usomi sasa
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 ай бұрын
Upi? Kuwasingizia maimamu walifata mwezi wa kimataifa?
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 4 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 nyie hamuna hoja na hoja Shehe wenu wa Buguruni kadomeni visa mbali mbali wakati wa Mtume(saw)juu ya muandamo WA mwezi na yeye muone hakufunga na kufungua Kwa kupewa taarifa!wacheni kufanya kibri na dini ya Allah na kuwatukuza akina mashehe wa Buguruni ambaye ajandika hata ukurasa mmoja wa mambo ya kielimu ukiachilia mbali porojo anazozitowa ktk vyombo vya habari
@user-qm2of7vd3k
@user-qm2of7vd3k 4 ай бұрын
Sheikh mche mola kuwa mkeli huu wako ni uzandik wahali ya juu anasema ati mwaka wa 1989 ati ulimwengu mzima ulifunga na muandamo moja ila kenya na tanzania huo muandamo uliandama nchi gani tujulishe nasi wakati muundu wa dunia haukubaliani na mwezi wa kimataifa kwa sababu wengine ni mchana wengine ni usiku sasaulitekelezwa vipi huo muandamo wa 1989 huu ni urongo dhahir na ilhali wewe uko kwenye mwezi mtukufu wa ramadhan
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 ай бұрын
Mawahabi kwa uongo Sawa sawa na samaki na maji. Hawaachani hata mpaka ya kifo Chao pia huwadanganya malaika huko kaburini na ndio watafungwa midomo ili iseme mikono na miguu kwasababu KWAO MAWAHABI UONGO NI SUNNA YAO YA MTUME WAO IBILISI
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 4 ай бұрын
Apo yupi ni muhongi kati yake au ww mmh 1998
@MohamedAbdallahSaid
@MohamedAbdallahSaid 4 ай бұрын
Hii ni fitna ambayo mpaka leo sijaona faida yake. Waislamu wamegawanya mapote mawili. Ikiwa Fatwa zote ni sawa kwa nini hatukufuata ile ambayo ingetuunganisha .Umoja wa Waislamu ni lazima .Hapa Ulamaa Wa Salaf wameturudisha nyuma. Allah aalam.
@user-cr5jy8mk6r
@user-cr5jy8mk6r 4 ай бұрын
Jirekebishe lugha yako hakuna Mwezi wa Bakwata kwani OMAN IRAN YEMEN na kwinginiko kuna BAKWATA ? Nyinyi ANSWARI mna matatizo sana
@AbduliSeleman
@AbduliSeleman 4 ай бұрын
Achakcha hujaskiliza mashekh wako waserkali
@mababa-tv..s.z.b.4905
@mababa-tv..s.z.b.4905 4 ай бұрын
Wew ni kichaa chengine uliyevamia unabishana na habar ya mwaka 98 dahh atar
@mababa-tv..s.z.b.4905
@mababa-tv..s.z.b.4905 4 ай бұрын
Tanzania kuna mashekh wa uislam na waislam na kuna mashekh wa serikali weka akilin sisi hatutak mashekh wa serikali marfuk hatuwataki alaf ni taasisi kama taasisi nyengine ama chama kama vyama vngine sas wasijione wao ndo wawakilish au wasimamiz pekee wa uislam uislam ni wa wote
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 4 ай бұрын
Sasa unakasirika nini?uliambiwa mwezi wa Bakwata?maana tunavyofahamu na ndio ilivyo hakuna miandamo miwili,sasa kwani nyie hamuamini kwamba mwezi unaindama mara moja?na je hao wanaouona nyie hamuwaamini?au ndio hivyo muambiwavyo kuwa wanaofuata kalenda na sio mwezi?
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 4 ай бұрын
Yaani Hawa Maghulafi hata akili Tu za kawaida hawataki kutumia je kweli watazama ktk bahari ya elimu ya dini?
@saidingoma5416
@saidingoma5416 4 ай бұрын
Bakwata siyo dhehebu hayo ni mawazo yako tu
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 4 ай бұрын
Basi yako katoliki (usalama msaraba)
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 4 ай бұрын
Serekali haina dini,lakini mara nyingi huwaingilia waislam ktk ibada zao!! Lakini kwa WAKIRISTO kila dhehebu linafanya mambo yake linavyotaka bila kuingiliwa!!
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 ай бұрын
Uongo
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 4 ай бұрын
Hii ni ishara mbaya Kwa Bakwata taasisi hii sio ya manufaa Kwa Waislamu wanaojitambua
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 4 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 naona sindano imekuingia vizuri!
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 ай бұрын
@@AliSalim-yu4mo bakwata ishazoea kusemwa na mpaka leo ipo vizuri Alhamdulillah. Ubaya mnao nyie mawahabi tu
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 4 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 kwanini isizoee!na wao baada ya kuuendeleza Uislamu wanaugawa?na kutumia hiyo Bakwata Kwa maslahi Yao?au hujaiona ripoti ya bandarini wakati wa mchakato wa DP WOLRD?inayoonesha mchongo wa Bakwata na Kanisa Katoliki?
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 ай бұрын
Mtapata tabu sana mawahabi kwa uongo wenu na fitna zetu Bure tu
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 4 ай бұрын
Mtu kama wewe hata elimu huna sizani kama sio.mgamga wa kienyeji Yani unaona hyo Leo vile inakutesa moyoni mwako
@saidkabwana1831
@saidkabwana1831 4 ай бұрын
Hv ni kipi wakifanyacho ambacho kipo nje ya uislam, sema ukwel na Allah akuona na malaika waandika
@dullyahmedally9929
@dullyahmedally9929 4 ай бұрын
Bora umemwabia atulie tu
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 ай бұрын
@@hamidudigogo5863 Mganga mkuu ni Allah sw, akisha Mitume yake, akisha Maswahaba wa mitume, akisha wanaowafuata wao. Kwahio kama wewe hujafika daraja ya uganga (kiarabu ni utabibu na kwa kizungu ni doctor) basi hujafata mila za Mtume saw. Pili. Usipayuke sana wewe muwahabi ni pembe ambayo ALIITABIRI Mtume saw itakuja ndio nyie kuwa mtakuja na fitna na kufunga kivyenu. Kwahio ongea jambo tukueleww
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 ай бұрын
@@saidkabwana1831 Kilichopo nje ya Uislamu ni kuwakuta watu AHLUSUNA wenye madhehebu yao akisha wakavamia madhehebu wakiwadanganya watu ati wao wanafata madhehebu manne na kuwasingizia uongo maimamu wanne kuwa ati wanafata mwezi wa kimataifa kwasababu wanawaona wafuasi wao ni wapumbavu hawajui kujisomea vitabu. Hakuna dhehebu lolote katika madhehebu manne ya Ahlu sunna linalokubali mwezi wa kimataifa. Kama unayo dalili lete tupambane hapa hapa. Lakini uongo upo kwenye damu za mawahabi sishangai sana. Pili. Mtume saw na maswahaba na tabiina wote karne bora ilikuwa hatangazi mtu yoyote mwezi ila ni mmoja tu, na Madai ya waislamu kufunga tofauti nchi moja ni madai ya uongo yafaa kutupiliwa mbali. Huo ni uongo pia wa mawahabi kuwadanganya wafuasi wao maskini wasiojua kitu kama wewe wakawalisha ramadhan ya mwisho wakiwababaisha ni skukuu. Ni mambo ya uongo anasema mdomoni bila dalili yoyote ila ya fasaha ili kuwarubuni waislamu maskini wa elimu. Haya ni mambo ya BIDA'A POTOVU za mawahabi kujificha katika kivuli ati wao ndio wafanyao sunna na wengine ni washirikina bila dalili za kisheria. Haki ipi ya kuwatangazia watu mwezi umeonekana Hali kisa cha wazi cha ibn Abbas ra swahaba wa Mtume saw mtukufu mno alisema baada ya kupewa taarifa na nchi jirani kuwa mwezi uliandama kabla yenu akasema " hatufungui mpaka tuuone mwezi wenyewe, NA HIVI NDIO AMRI YA MTUME SAW". ☝️ Kwahio kufuata mwezi unaoandama kwenye nchi yako anao tangaza MUFTI wa nchi hio NI AMRI YA MTUME SAW. Kwakuwa mawahabi mnafata shahawa na amri ya ibilisi na Mtume saw akawaita ni pembe ya Shetani, hatuna shaka na nyie juu hilo ila msituingilie sana katika Uislamu wetu mkavamia kutuletea mrengo wa shetani wa kufuata mwezi wa kimataifa, hio sio wasia wa Mtume saw
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 4 ай бұрын
BARAHIYAN NI HATARI KWA UMOJA NA MSHIKAMANO WA WAISLAMU. kzfaq.info/get/bejne/eNSCnMWLmc-vfnU.htmlsi=29NLMGK22NsBklh9
MAISHA NA HISTORIA YA SHEIKH OTHMAN MAALIM
45:49
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 82 М.
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 66 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 206 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 26 МЛН
Shaykh AbdulRaheem Limbada I Mufti Dr Manzoor Mengal I Spiritual Retreat
1:56:52
Dundee Central Mosque
Рет қаралды 1,8 М.
SHEKH MUHAMMAD ISHAQ NA ABUU IDDI
9:14
mirath tv online
Рет қаралды 2,3 М.
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 66 МЛН