TAREHE

  Рет қаралды 4,537

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

7 ай бұрын

Пікірлер: 111
@hassangalgallo8496
@hassangalgallo8496 7 ай бұрын
Ndacha influenced me to become Christian in 2019 after listening to his debate for long time. I'm from marsabit
@beyondsavanna6028
@beyondsavanna6028 7 ай бұрын
La ilaha ila Jehovah
@dannyosolo2752
@dannyosolo2752 7 ай бұрын
Mfuate Yesu
@hassangalgallo8496
@hassangalgallo8496 7 ай бұрын
@@dannyosolo2752 kabisa siwezi rudi nyuma
@alexandermulilison5844
@alexandermulilison5844 7 ай бұрын
Happy to hear that.
@sirpleasureb
@sirpleasureb 7 ай бұрын
karibu kwa njia ya haki john 14:6.
@dannyosolo2752
@dannyosolo2752 7 ай бұрын
Yesu ndiye Bwana wa mataifa yote na viumbe vyote ulimwenguni....FOLLOW JESUS❤
@alphalungele1518
@alphalungele1518 7 ай бұрын
Namu sikilia Sulle huruma sana asije akafanywa kama Mazinge
@erickangima970
@erickangima970 7 ай бұрын
Ndacha barikiwa sana. YESU ndiye njia ya ukweli na uzima. Hata Waislamu wanamungoja
@rehemafredrick7794
@rehemafredrick7794 7 ай бұрын
God bless you Ndacha
@isaacklazaro3780
@isaacklazaro3780 7 ай бұрын
Karbu sana Ndacha kwa Maranyingine Tanzania mjada huu si wakukosa ndg
@rehemawekesa
@rehemawekesa 7 ай бұрын
Naomba Paulo Hassan awe msomaji yuko vzr sanaa
@muvurwanezaanitha742
@muvurwanezaanitha742 7 ай бұрын
Mungu mpe nguvu mtumishi wako Ndaca Roho Wa Bwana Akuvike nguvu na hekima yahali ya ju kwajina La Bwana Wetu Yesu Kristo Amen❤
@tuliaalimasi6404
@tuliaalimasi6404 7 ай бұрын
Amen!
@waltergekone3879
@waltergekone3879 7 ай бұрын
Amen
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 7 ай бұрын
Sasaka mwenyewe akimwona ndacha anamwogopa hakika mtumishi ndacha barikiwa sana
@duncanmwangi1605
@duncanmwangi1605 7 ай бұрын
Mungu naoba,utulide tufukiche hiyo siku na Amani , kieleweke
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 7 ай бұрын
Mdahalo mufanye JumPili na jumatatu jioni Tafadhali
@ernestcharles4288
@ernestcharles4288 7 ай бұрын
Asije akakimbia tena uyo dr sule kama mwanzo ndacha mmoja ni sawa na masheikh wanne na hawawez
@patrickmucha2968
@patrickmucha2968 7 ай бұрын
Ndacha tunakuombea nakatika jina la yesu wewe ni mshidi
@feisalhamoud8637
@feisalhamoud8637 7 ай бұрын
Allahuakbar dohh Ndacha Ujipange sana na Uongo 😂
@SirikwaMollel-kj9zu
@SirikwaMollel-kj9zu 7 ай бұрын
Sule wwe ni km myahudi na dacha ni yesu kristo kwa hiyo kupiga huwezi ni kutapatapa tu maan njia ya kweli ya mungu ni moja.
@saimonsimiyu840
@saimonsimiyu840 7 ай бұрын
Tunangoja sana tena sana,mwalimu ndacha tunakuombea sana mungu akupe hekima na imani yake ili uakilishe wakiristo kwote ulimwenguni mwenyezi mungu akulinde jamani
@IdiiMusiwa
@IdiiMusiwa 7 ай бұрын
😢😢
@Nolithajack12
@Nolithajack12 7 ай бұрын
Ndacha ❤we love you so much
@byamasumakali2139
@byamasumakali2139 7 ай бұрын
Mwalimu Ndacha Mungu akupe roho wake akuongoze kwainjili iyo kubwa
@Mejaclub
@Mejaclub 7 ай бұрын
Mwalimu Ndacha woyeeeee💪💪naona ukibatiza dr Sule
@richardnganya2311
@richardnganya2311 7 ай бұрын
Kuna kuduta katika fikra na hilo ni nje ya uwezo wa binadamu katika suala zima la Karama. Tumaini Moja na Imani Moja kwa Mungu Mmoja.
@fauwilliam6780
@fauwilliam6780 7 ай бұрын
nilikuaga mkristo jina ila kupitia mafundisho ya ndacha nimekua mkristo kamili ninaejielewa naomba Mungu amuongoze Mwalimu ndacha aweze kuwafungua wengi
@Penninahgm
@Penninahgm 7 ай бұрын
Hata mimi mpendwa nilikuwa masabato jina ila sai nashukuru kabisa Mungu ambariki sana na ampee hekima ipitayo hekima zote za ulimwengu huu
@rashidgona1808
@rashidgona1808 7 ай бұрын
Mbona aliweka siku mbili peke yake at least angeweka wiki tukaona mbio zao wote wawili,, mwalimu ndacha tuko pamoja na Mungu akuongoze kila hatua unayoichukua katika Imani 🙏🙏🙏🙏
@saimonsimiyu840
@saimonsimiyu840 7 ай бұрын
Huyu Dr sule muoga,eti siku mbili2,nisawa wacha tu tuone vile atatetea uislamu kwa hizo mada mbili kivumbi ataonyeshwa
@alexandermulilison5844
@alexandermulilison5844 7 ай бұрын
Na achague mjandala Bora....sisi wasabato hawasherekei chrisimasi
@francismukuha872
@francismukuha872 7 ай бұрын
Hapo sawa...ni tayari kuwa mujahideen kama Kuna hoja ..tunasubiri Kwa hamu ,,,Yesu Asifiwe,,,***
@jaffoburu3275
@jaffoburu3275 7 ай бұрын
May God lead His people in truth
@samlomnyaki5749
@samlomnyaki5749 7 ай бұрын
Hapo sawa kabisaa lazima kieleweke..
@richardnganya2311
@richardnganya2311 7 ай бұрын
Patachimbika !! Kuna Haki na Kweli !! Kuna jamaa aluwahi kuandika kitabu.. aliitwa Sulman Rushidie..
@mimbamimbz3990
@mimbamimbz3990 7 ай бұрын
Dacha kiboko yao ulimwenguni.....YESU NDIYE NJIA
@tuliaalimasi6404
@tuliaalimasi6404 7 ай бұрын
Amen 🙏
@EzekielMwamba
@EzekielMwamba 7 ай бұрын
Tuendelee kuomba Mungu atujalie hiyo siku.
@fkkmedia
@fkkmedia 7 ай бұрын
Nabii Eliya na manabii wa uongo kieleweke sasa
@sirpleasureb
@sirpleasureb 7 ай бұрын
ndacha mungu na akulinde salama.
@Inkubutembo7779
@Inkubutembo7779 7 ай бұрын
Tunaenda kujizolea waislam waje kwenye kweli.
@EzekielMwamba
@EzekielMwamba 7 ай бұрын
Maoni yangu tujiandae mwalimu Ndacha akae Tanzania 🇹🇿 hata mwenzi moja afanye mikutano ndio wengi wajiunge na matengenezo.
@tuliaalimasi6404
@tuliaalimasi6404 7 ай бұрын
Kweli kabisa
@dicksonkoech9528
@dicksonkoech9528 7 ай бұрын
Basi msiwe wachoyo wa kutoa
@ferixbromela
@ferixbromela 7 ай бұрын
Kweli kabisa aisee
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 7 ай бұрын
Dr Sule hawezi hoja za Ndacha kwani Ndacha kaiva vilivyo, Biblia kitabu cha Mungu cha kweli na chenye uzima na ndiyo musfaka wa kufika mbinguni na kuurithi uzima wa milele
@waltergekone3879
@waltergekone3879 7 ай бұрын
Dr.sulle anaogopa juu hana kitu anaeza sema wiki nzima bali ako na ya siku mbili pekee
@artskillschegewakibiru4633
@artskillschegewakibiru4633 7 ай бұрын
Ndacha all the way"
@jimpaserics9359
@jimpaserics9359 7 ай бұрын
Mkitoka Tanzania mkutano uwekwe Kenya pia.Yaani away and home
@afandechanel1507
@afandechanel1507 7 ай бұрын
Suley alisema yuko tayari ku garamia show nzima sasa ina kuaje tu lipie ukumbi!!! ???
@alisiakeyz1508
@alisiakeyz1508 7 ай бұрын
Waiting
@fabienkwizera804
@fabienkwizera804 7 ай бұрын
Tunaomba Paulo hassan msomaji wa ndacha awepo Asanteni
@ernestcharles4288
@ernestcharles4288 7 ай бұрын
Yah paulo yule yupo vzur
@rehemawekesa
@rehemawekesa 7 ай бұрын
Naomba Paulo Hassan awe msomaji yuko vzr sanaa
@AidanBosco
@AidanBosco 7 ай бұрын
Sure kajichanganya
@user-wc7xg1ve9l
@user-wc7xg1ve9l 7 ай бұрын
Itakuwa wapi
@ngugimundia6306
@ngugimundia6306 7 ай бұрын
Wekeni mkutano uwanjani watu wengi wasikilize...
@tuliaalimasi6404
@tuliaalimasi6404 7 ай бұрын
Wahislamu wamekwepa ndugu yangu
@justintabu7291
@justintabu7291 7 ай бұрын
Siku mbili ni kidogo sana
@tuliaalimasi6404
@tuliaalimasi6404 7 ай бұрын
Wahislamu wamekataa kuweka wiki.
@lucykamangu5030
@lucykamangu5030 7 ай бұрын
Siku mbili ni chache sana
@tuliaalimasi6404
@tuliaalimasi6404 7 ай бұрын
JINA LA BWANA LISIFIWEEEEE.
@AlieMdogo-oi6il
@AlieMdogo-oi6il 7 ай бұрын
Jaman mbona mnaweka kwenye ukumbi kwanini msiweke kwenye uwanja wa waz kila mtu aingie
@tuliaalimasi6404
@tuliaalimasi6404 7 ай бұрын
Wahislamu ndowamesababishaaaa
@mamalaozphilemonmtawali.8467
@mamalaozphilemonmtawali.8467 7 ай бұрын
Tunawasubiri.
@user-iz8pn7jb4r
@user-iz8pn7jb4r 7 ай бұрын
Wanting
@bensonmunene5150
@bensonmunene5150 7 ай бұрын
Dr.Sule kuweka siku mbili ni uoga,aongezee siku kieleweke
@delickmarco3945
@delickmarco3945 7 ай бұрын
Yani ndacha hakika kwanza Hadi Sasa tunakuombea naamn ww najopo lako lote sk hiyo Bwana atakua nanyi barikiweni kuanzia Sasa.
@justine-2707
@justine-2707 7 ай бұрын
Hapo ni mbali sana na iyo ni biashara mngeweka kw uwaja waja izo garama
@tuliaalimasi6404
@tuliaalimasi6404 7 ай бұрын
Waliosababisha hayo yote ni wahislamu ndugu yangu wala Usimlaumu mwalimu Ndacha.
@feisalhamoud8637
@feisalhamoud8637 7 ай бұрын
Ukienda kuonana Na Doctor Sule Meza Panadoli mana Lazima uumwe na Homa ,umeingia Pabaya Ndacha nna Hamu ifike hio Tarehe 😂😂😂
@daudimichael7338
@daudimichael7338 7 ай бұрын
Dr. Sule ni Dr. wa uganga wa kienyeji labda, maana hajui mambo mengi sana, anatafsiri mambo kama mtu hajasoma kabisa. Ndacha atamuaibisha kwa taarifa yako
@artskillschegewakibiru4633
@artskillschegewakibiru4633 7 ай бұрын
20,000 In ksh. Itakuwa ngapi ??
@AlieMdogo-oi6il
@AlieMdogo-oi6il 7 ай бұрын
Kweli ukiona mtu anarusha mate kujikweza atashushwa muda mchache
@karolmsaki9855
@karolmsaki9855 7 ай бұрын
Sh ngapi kiingilio?
@youngkiki.
@youngkiki. 7 ай бұрын
Kama Sulle ako na qurani yake wakristo tunakazi lakini kama ni hii qurani ya Mohammed Sulle hatomboi hatambaki kuaibika mbele ya waislamu wote wanao mtegemea kama mwezake Mazinge.
@fabienkwizera804
@fabienkwizera804 7 ай бұрын
Tunaomba msomaji wa Ndacha awe yule jamaa alie anza nae itapendeza sana
@salatielkandole
@salatielkandole 7 ай бұрын
Paulo ndiye nahitaji tu, huwa anaboresha maandishi vizuri
@ngugimundia6306
@ngugimundia6306 7 ай бұрын
Hizo siku chache mno?....wakristo tunataka....siku 5....
@tuliaalimasi6404
@tuliaalimasi6404 7 ай бұрын
Kweli kabisa ndugu yangu
@mwoso
@mwoso 7 ай бұрын
Ingekua siku 5-7 ili kieleweke!
@shaggyboy3085
@shaggyboy3085 7 ай бұрын
Hiyo nibiaashala sasa paka kadi acheni kabisa amepewa bule toeni bule
@tuliaalimasi6404
@tuliaalimasi6404 7 ай бұрын
Usiwaseme kwa Ubaya ila... mimi nilichoona tu shida ni kwamba " wameweka pesa nyingi sana kabisa,,,nahiyo ndo Inawezakuonesha hali ya utofauti sasa... mana watu wa online pia watachangiya...wangeweka hata elfu 5000.
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 7 ай бұрын
Sule hutaweza hoja za ndacha Kama mazinge ni profesa kisha alishindwa sembuse ww
@saitotisapiyo5997
@saitotisapiyo5997 7 ай бұрын
2 days 😂😂😂 sulle na unapinga kelele Hivi nkt.
@williamjamanda8892
@williamjamanda8892 7 ай бұрын
Huu mdahalo uwekewe siku Tano au sita hizo siku hazitoshi
@tuliaalimasi6404
@tuliaalimasi6404 7 ай бұрын
Yaani hazitoshi hata kidogo.. na yote imesababishwana kukwepa kwa mwalimuwa kihislamu.
@cuthbertsebastian9626
@cuthbertsebastian9626 7 ай бұрын
kwanini mkutano usiwe open?
@tuliaalimasi6404
@tuliaalimasi6404 7 ай бұрын
Wahislamu ndowamesababisha.
@saitotisapiyo5997
@saitotisapiyo5997 7 ай бұрын
😂😂😂sulle kwisha kama mazinge alianza porojo wewe sasa utaanza nini.?
@daudimichael7338
@daudimichael7338 7 ай бұрын
Uislam ulikuja zaidi ya miaka 600 baada ya Yesu kuondoka duniani, mambo yote yaliyoandikwa kwenye Quran yalishaandikwa kwenye Biblia zaidi ya miaka 600 kabla ya Uislam. Ni dhahiri kuwa Quran ilikopi kwenye Biblia mambo mengi, kupindua baadhi ya mambo na kuongeza machache mapya ya kutunga.
@williamjamanda8892
@williamjamanda8892 7 ай бұрын
Biblia na Quran kipi kitabu Cha Mungu ? Dr Sule apo vipi ?
@muvurwanezaanitha742
@muvurwanezaanitha742 7 ай бұрын
Bibiriya ndiyo sahii❤
@tuliaalimasi6404
@tuliaalimasi6404 7 ай бұрын
Tutajuwa siku hiyo... ila Katika kitabu cha biblia wameandika manabii wa ukweli na kitabu cha Quran nikitabu cha nabii wa Uwongo (Muhammad s.a.w.) kwa mhujibu wa imani yetuuu
@mwoso
@mwoso 7 ай бұрын
Umeanza siasa mapema ? Tuliza boli! Ndacha ni mwamba.
@ngugimundia6306
@ngugimundia6306 7 ай бұрын
Wekeni uwanjani...mambo ya ukumbi.ni kichaka cha kujificha...na biashara ya sule...
@tuliaalimasi6404
@tuliaalimasi6404 7 ай бұрын
Kweli kabisa ndugu yangu, weee Umepatiya.
@TITOtz
@TITOtz 7 ай бұрын
Kadi ya kusapoti ya nini tena? Dr.sule alisema gharama ni juu yake akikubari Ndacha .kwanini dr.sule anakwepa ahadi yake kwamba gharama zote ni juu yake.😄😄 Dr.sule ni muongo kama si muongo gharama na ziwe juu yake kwa sababu ali ahidi
@princeacama401
@princeacama401 7 ай бұрын
Hii itakuwa kali..sulle atagaragazwa peupe twakuaminia mwalimu wetu ndacha
@ernestcharles4288
@ernestcharles4288 7 ай бұрын
Asije akakimbia tena uyo dr sule kama mwanzo ndacha mmoja ni sawa na masheikh wanne na hawawez
@ernestcharles4288
@ernestcharles4288 7 ай бұрын
Asije akakimbia tena uyo dr sule kama mwanzo ndacha mmoja ni sawa na masheikh wanne na hawawez
A Muslim Man Enters a Church - They Laughed
39:53
Sabeel Ahmed
Рет қаралды 447 М.
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 9 МЛН
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
"THE HONORARY KHOJA" Dr Sayed Ammar Nakshawani FULL EPISODE | #1
1:20:20
KhojaKonnection Podcast by CoEJ
Рет қаралды 4,8 М.
MJADALA KATI YA MCH NDACHA NA MCH MWAKEMWA TANZANIA
1:33:33
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 15 М.
UJUMBE WA WAKATI WA MWISHO  TANZANIA
2:12:06
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 4,9 М.
Your Trauma May Be Making You Sick
35:03
CNN
Рет қаралды 6 М.
Nani Mwokozi Wa Ulimwengu
1:47:15
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 27 М.
WELCOME  TEAM BIBLIA NURU YA DUNIA
1:13:34
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 26 М.
NDACHA AVULIWA NGUO NA Pro Dt MAZINGE HAAMINI KILICHOMTOKEA
23:35
arkas online tv
Рет қаралды 22 М.
Alan Watts Opens Up About Religion (thought provoking video)
17:55
Dorothy Shelton
Рет қаралды 2,6 МЛН
What most Israelis hope will happen to Netanyahu when the war is over
16:19
The Sydney Morning Herald and The Age
Рет қаралды 1,7 М.
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 9 МЛН