WELCOME TEAM BIBLIA NURU YA DUNIA

  Рет қаралды 26,967

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Жыл бұрын

Join this channel to access its benefits:
/ @biblianuruyadunia

Пікірлер: 129
@alexmutuma4411
@alexmutuma4411 11 ай бұрын
Uju diye mwalimu wa kkristo pekeyake duniani
@WaneneOmbade-ro9cd
@WaneneOmbade-ro9cd Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi WA Mungu Alie juu
@nyaungaosiemo9341
@nyaungaosiemo9341 7 ай бұрын
I feel blessed whenever I listen to Pastor Ndacha's teachings. Be Blessed 🙏
@NyancheraObure
@NyancheraObure 8 ай бұрын
Thanks bro for your good job be blessed bro from Nairobi Kenya ❤❤❤
@edwinisinta5351
@edwinisinta5351 Жыл бұрын
That's a wonderful ministry we need a TV station to broadcast that message all over the world......
@edwinkaris9602
@edwinkaris9602 Жыл бұрын
Kazi safi kabisa..hii ministry sii mchezo, ni war department ya warning,,2billion souls worldwide ziko at risk,hii ministry inaexpose uwongo na kuonyesha ukweli so that people are set free
@furahinimbise3382
@furahinimbise3382 Жыл бұрын
Nahitaji kumpa seaport huyu mwalim Ndacha lkn sina uwezo E Yesu wangu nipe ngvu na maarifa niweze kuiseaport kazi yako iende mbele zaid🤲🙏
@paulomtweve3819
@paulomtweve3819 Жыл бұрын
Dua zako kwa Mungu kwa ajili ya mwalimu n msaada mwing muno
@edwinezawadi2736
@edwinezawadi2736 3 ай бұрын
Mungu akubariki saana mtumishi
@chrispinmdachi551
@chrispinmdachi551 Жыл бұрын
Mwalimu ndacha karibu Taveta sub county, Mungu katika Bwana wetu Yesu Christo azidi kuwa bariki
@silvesterkirombo-ov2lw
@silvesterkirombo-ov2lw Жыл бұрын
Afike taita sio??
@chrispinmdachi551
@chrispinmdachi551 Жыл бұрын
Kabisaa akaribie tutachangua kwa hali na mali
@alphalungele-479
@alphalungele-479 Жыл бұрын
Wa Islam wanahitaji msaada wa kiroho nasio wakimwili.
@elizaeliza8803
@elizaeliza8803 Жыл бұрын
Mungu akulinde mtumishi ufike kwetu MALINDI watu wanapotea
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
Ndacha shetani alaaniwe
@felicienshela4932
@felicienshela4932 Жыл бұрын
🇨🇩 From CONGO, Mwalimu , Mungu mwingi wa Rehema aku zidishie nguvu📖, hongera sana kwa kazi nzuri 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@jeanninemunezero6469
@jeanninemunezero6469 7 ай бұрын
Waislam pole sana hamujuwi cochote
@isaacmaingi9488
@isaacmaingi9488 Жыл бұрын
Mwalimu waambie ulikuwa muislamu ukaujua ukweli,ukawa mwana wa mungu Kwa kumwamini yesu mwanawe,,
@suzanaagustinookelo4953
@suzanaagustinookelo4953 5 ай бұрын
Awezi kuwa. Muongo ajawai kuwa muislamu ila ni uweza wa Mungu na nguvu za Mungu zipo ndani yake
@rashidgona1808
@rashidgona1808 Жыл бұрын
Mwalimu ndacha tafadhali her ukae coast kwa muda ili uokoe waisilamu nakuombea sana🙏🙏🙏🙏🙏
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
Ndacha shetani alaaniwe
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 9 ай бұрын
Ss tumeshaokolewa na mtume Mohammed
@rashidgona1808
@rashidgona1808 9 ай бұрын
@@saphinalutaha9077 nipee andiko Mohammed aliwaokoa na aliwaokoa kwa njia gani
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 9 ай бұрын
@@rashidgona1808 mafundsho yake tu niukovu tosha najuwa ww utasema yesu alikubebea zambi
@jeanninemunezero6469
@jeanninemunezero6469 7 ай бұрын
Ndacha Mungu akuzidishiye
@georgeachiengrestinpeacebr7215
@georgeachiengrestinpeacebr7215 6 ай бұрын
Baraka tele mtumishi
@barackamosi4116
@barackamosi4116 10 ай бұрын
Weka kuruhani mbali na wa toto mana hiyo ni uchawi
@BernardChesoli-rj3nw
@BernardChesoli-rj3nw 9 ай бұрын
Mungu akubari mtumishi Kwa elimu kuu kama hii
@Emmanuel-nx1hi
@Emmanuel-nx1hi 7 ай бұрын
Ubarikiwe mwalimu ndacha
@Kasule-nq3no
@Kasule-nq3no 9 ай бұрын
Wa pata watu hawaja soma kiboki yk yahya
@jeanninemunezero6469
@jeanninemunezero6469 7 ай бұрын
Ratizo la waislam hawana roho mtakatifu iri waelewe
@stephenwebala
@stephenwebala Жыл бұрын
Kupitia huduma hii,nimegundua wengi ni mashabiki wa dini...wengi hawana elime ya dini zao...
@JonasAndre-er2uy
@JonasAndre-er2uy Жыл бұрын
Umeongea ukweli. Unajuwa ndugu zetu wa islamu awasomaki iyo vitabu vyao , na hawajuwi siri nyingi ilio ndani ya iyo dini. Ndio kwaman wao peke wanataka pigana kuhusu hao wanao towa iyo siri katika vitabu.
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
Ndacha shetani alaaniwe
@bennyotheyoungndaga4567
@bennyotheyoungndaga4567 Жыл бұрын
Felix may God bless you❤
@vincentasava1529
@vincentasava1529 10 ай бұрын
Najifunza mengi kutoka kwenyu Mbariwe Mwalimu na kikosi
@casaica2993
@casaica2993 Жыл бұрын
Uislamu utaisha tu waislamu hawasomi vitabu vyao
@hajinkulunge8493
@hajinkulunge8493 Жыл бұрын
Wewe hufuatilii kumbe fuatilia kilasiku tunaongezeka
@dicksonkoech9528
@dicksonkoech9528 Жыл бұрын
Ndio inazidi kuongezeka
@JonasAndre-er2uy
@JonasAndre-er2uy Жыл бұрын
Ndio iyo niukweli. Awajuwi siri iliyomo katika iyo dini.
@TimotheoGoloba-vi7cd
@TimotheoGoloba-vi7cd 10 ай бұрын
waisilam somen vitabu vyenu maana mngekuwa mnavisoma mngekuwa mmesha acha misikit mkaingia kansan
@BillyJohn-pe5hq
@BillyJohn-pe5hq Жыл бұрын
Wape ukweli wao maan wamepotea
@issackabdi7001
@issackabdi7001 11 ай бұрын
Ndacha
@patrickmaina9085
@patrickmaina9085 Жыл бұрын
Amina
@ezekielmwamba9106
@ezekielmwamba9106 Жыл бұрын
Amen barikiwa sana mtumishi Ndacha Roho wa Mungu ako nawe popote utakuwa mbaka mwizo wa dhahari.
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
Ndacha shetani alaaniwe
@mkongoman6613
@mkongoman6613 Жыл бұрын
Ubalikiwe mwalimu ndaca mungu akuzidishie myaka yakuishi apa duniani uzidi kudufundisha akupa Pepo yake
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 9 ай бұрын
Wakrsto ni wajga hawajiulz ata malaika mbiguni wanaswal Kama wanavyoswali waislam kla ktu klichoumbwa ladhma kmusujudia mungu Sasa itakuwa je majn yasmsujudie mungu
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 9 ай бұрын
Ndacha unapotosha sana watu
@dicksonkoech9528
@dicksonkoech9528 Жыл бұрын
Subhaana Rabbi ala
@hajinkulunge8493
@hajinkulunge8493 Жыл бұрын
Mapaja Yako wazi
@TimotheoGoloba-vi7cd
@TimotheoGoloba-vi7cd 10 ай бұрын
Namimi naomba uniuzie vitabu hivyo vtabu vya waisilam Mimi nipo tanzania
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
Laana zote za Allah zimteremke ndacha! Ameen
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 Жыл бұрын
Mungu amuongoze aione dini ya haqqi maana ame potea na anapoteza wengine
@BillyJohn-pe5hq
@BillyJohn-pe5hq Жыл бұрын
Mungu wa kweli haez laan kaz nzur anayofanya ndacha
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
@@BillyJohn-pe5hq mungu wakweli ni yupi? Yesu
@stephenogachi2205
@stephenogachi2205 Жыл бұрын
Naona kwa comments section islam hasira zimepanda kweli
@davidmghanga8502
@davidmghanga8502 Жыл бұрын
MUNGU amesha bubariki mwalimu ndacha ninyi mnaolaani laana zote zinawarudia ninyi na familia zenu , AMEN AMEN AMEN mnafikiri ndacha anaenda kwa akili zake MUNGU anamtumia vilivyo na anatumia vitabu zenu pia kueneza ukweli unao waumiza
@khamishaji9508
@khamishaji9508 Жыл бұрын
upuuzi wa kubadilisha maandiko
@caleboyweri8023
@caleboyweri8023 Жыл бұрын
Your time is coming coz hujagunguliwa macho wee ni kipofu
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
Ndacha shetani alaaniwe
@erickmaisha4773
@erickmaisha4773 7 ай бұрын
​@@yabdul1782🤣🤣🤣
@hamisimwagarashi9501
@hamisimwagarashi9501 Жыл бұрын
Ila jitahidi kaka ubadilike maana mi najua ukweli waujua lakini huwezi ufwata kwasababu ya biashara unayo ifanya kwa watu
@caleboyweri8023
@caleboyweri8023 Жыл бұрын
My friend okoka
@hamisimwagarashi9501
@hamisimwagarashi9501 Жыл бұрын
@@caleboyweri8023 maana ya kuokoka nini?
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
Wewe ndacha shetani mkuu malun. Wachezea waisalmu akili kuwa changanya. Ulaaniwe maisha kumbavu! Wasoma Qur'an aya kukata na kugeugeu. Laana za Allah ziku shukiye kwa uwingi shetani.
@yahayajuma1401
@yahayajuma1401 Жыл бұрын
Nikosa kumlaani muombee" Dua" mungu ampe hidaya "ndacha "anajua kweli yote"kulikua nawabishi wengi kuliko"huyu "mungu aliwapa hidaya"saizi wamepata neema ya uislam "kwaiyo nahuyu" hatujui ya mungu"
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
@@yahayajuma1401 huyu mpotovu kazi yake kupoteza wakristo na waislamu.
@ericnahayo8223
@ericnahayo8223 Жыл бұрын
@@yabdul1782 wewe unakufuru Abdul unafaa kubadirika ufuate ukweli kwa maana Islam ni ya shetani
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
@@ericnahayo8223 kumbe maluun kama ww wa shetani ndacha wameja. Mushazoea kutawaliwa na mzungu na sasa mzungu kawatawala na ushatani wake.
@MajiiIfande
@MajiiIfande 3 ай бұрын
Shetani amesilimu na kisha unamlaani??
@issackabdi7001
@issackabdi7001 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂 ndcaha
@alsamali6964
@alsamali6964 Жыл бұрын
Maliza maandiko basi usiyakate.
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
Ndacha shetani alaaniwe
@aliemdogo
@aliemdogo Жыл бұрын
Wafungue akili maana wamefunikwa na sufuria LA moto
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 9 ай бұрын
Mungu alishatufungua
@nzorimfaki8112
@nzorimfaki8112 6 ай бұрын
Ndacha huna hoja...Wacha kukata Aya hao ni makafiri ndio waliosema ya kwamba Muhammad amekuja na uchawi aloridhi kutoka Kwa watu wa zamani
@abibumbota5160
@abibumbota5160 5 ай бұрын
Quran imesema ajajitungia uchawi ni wa waisilamu
@hamisimwagarashi9501
@hamisimwagarashi9501 Жыл бұрын
Una wababaisha watu wasio na elmu
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
Ndacha shetani alaaniwe
@RECOLONIZE_RIGHT
@RECOLONIZE_RIGHT Жыл бұрын
Nje ya mskiti!!! USISAHAU HIO
@nsengiyumvafrancois4837
@nsengiyumvafrancois4837 Жыл бұрын
Tunakupongenza sana kabisa Mwalimu Ndacha. Umetujenga wengi kiRoho. Tume kuFuata kwa mda mrefu hapa Rwanda/Kigali. Ukikuja once tutafurahi. Swali langu ni hizo Vitabu muhimu unatumia tunaweza aje kupata? Asante
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
Ndacha shetani alaaniwe
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
Ndacha shetani alaaniwe
@hajinkulunge8493
@hajinkulunge8493 Жыл бұрын
Umeishiwa hoja Ndasha
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 Жыл бұрын
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤗🤗🤗
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
Ndacha shetani alaaniwe
@yahayajuma1401
@yahayajuma1401 Жыл бұрын
Kurani ndo hiyo anabadilisha tafsiri na anaweka viraka" "ndacha we chezea kurani muda si mrefu utaijua kUrani ni ni"
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 Жыл бұрын
Kuran Ina Mambo mengi sio sahihi, tunalazimisha kuwa kweli lkn ukweli uko palepale mfano ndoa ya muta, nabii kupewa sumu, mwanamke Hana haki, Mohamed kuchukua kipofu nk nk
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
Ndacha shetani alaaniwe
@erickmaisha4773
@erickmaisha4773 7 ай бұрын
​@@yabdul1782aliesilimu ama mgani?
@hajinkulunge8493
@hajinkulunge8493 Жыл бұрын
Mvalisheni nguo huyo Mama hapo
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
Ndacha shetani alaaniwe
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 Жыл бұрын
​@@yabdul1782 shetani ni Mohammed mla mtoto wa miaka 9 alaniwe kabisa Huyo nguruwe..
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 Жыл бұрын
We Wacha kuwa na macho ya kuzinii
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
@@samutykuntathebantu8402 shetani kafiri atoka mate kumbavu
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 Жыл бұрын
@@yabdul1782 kumbavu we na laana unayotakia wenzako ikufwatee kondoo ya Mohammed
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Жыл бұрын
ndacha anaehoja za kitoto sanaaa.... ila kwel zitamsumbua sana asieujua uisilamu vzur!!! kwanza lazima ujue quran sio kitabu ambacho kila mtu anaweza leta tafsiri yake kwa jinsi inavyomfit kama ilivobiblia!!! Aya za quran hazikua zinashuka ovyo ovyo tu zilikua zinashuka moja baada ya nyingine kwa sababu maalumu, hvo miongoni mwa njia za kuzijua aya za quran ni lazima ujue sababu ya kuteremshwa iyo aya.. sasa ndacha ww hata elimu hiyo huna lini utaweza kuwa hata na chembe ya uwezo wa kuitafsiri aya za quran?? nenda kasome tafsiri za aya kutoka vitabu maarufu vya tafsir na ujifunze aya flan ilishuka wapi, na ilishuka kwa nini, kuhukumu nini, baada ya kutokea tukio gani!!! na pia ujifunze pia ufaswaha wa lugha ya kiarabu vzur ili uweze kuisoma quran katika lugha yake ya asili kwani kiswahili au kingereza si kipana katika utajiri wa maneno kama kiarabu!!!! kwa sisi kdg tunaejua pakurejea tukiona hoja unazozitoa tukienda kusoma maelezo ya makusudio ya hizo aya tunacheka tu na kumuomba Allah akujalie uongofu!!! mfano mdg ni iyo aya 2:97 nenda kasome tafsir yake kwny kitabu chochote alafu uje unishukuru apa!!!!!!!!
@erickmaisha4773
@erickmaisha4773 7 ай бұрын
Njoo na za kijini Achana na zakitoto
@graceafred8676
@graceafred8676 Жыл бұрын
Amina
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
Ndacha shetani alaaniwe
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
Laana zote za Allah zimteremke ndacha! Ameen
@user-pg6tb9py3s
@user-pg6tb9py3s Жыл бұрын
Matako wwe
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
@@user-pg6tb9py3s ka mpe shetani ndacha hizo makato zako.
@dianamutuku4089
@dianamutuku4089 Жыл бұрын
,😂😂😂😂😂😂😂😂
@jeremiahnjagi
@jeremiahnjagi 7 ай бұрын
Laana za shetani si kitu mbele ya mungu wa kweli
@yabdul1782
@yabdul1782 7 ай бұрын
@@jeremiahnjagi shetani si ni mamako aliye kuzaa wewe shetani mdogo!
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
Laana zote za Allah zimteremke ndacha! Ameen
@chancekambale3498
@chancekambale3498 Жыл бұрын
Mungu yupi ??
@user-qk7ll4wo8n
@user-qk7ll4wo8n 11 ай бұрын
😂😂😂😂mungu wenu limbukeni hufanya analoagizwa na maamuma kma wewe mpuuzi wewe
@yabdul1782
@yabdul1782 11 ай бұрын
@@user-qk7ll4wo8n kamcheke mamako haku kufunza kiswahili bali ushetani na ukumbavu.
@erickmaisha4773
@erickmaisha4773 7 ай бұрын
Bila ushetani Yani uislamu si shetani kasilimu🤣🤣
@yabdul1782
@yabdul1782 7 ай бұрын
@@erickmaisha4773 umethibitisha ww pia shetani n akili zaki shetani. Revelation 2:13Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha Shetani; nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hata katika siku za Antipa shahidi wangu, mwaminifu wangu, aliyeuawa kati yenu, hapo akaapo Shetani. Cheka kwa kati matako sasa!
WELCOME  TEAM BIBLIA NURU YA DUNIA
2:25:43
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 31 М.
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 12 МЛН
Je, ni siku ipi saihi ya ibada part 3
46:05
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 20 М.
wajibiwa maswali yao
32:11
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 51 М.
ukweli ambao umekanyangiwa na viongozi wa makanisa(mapastor),, Yesu ndiye Mchungaji mwema
1:12:11
MASWALI NA MAJIBU- NDACHA NAKURU
1:06:53
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 140 М.
MAKANISA NA MAASKOFU BY MAZINGE
17:42
KENYA DAWAH TV
Рет қаралды 60 М.
Mdahalo: Utatu na Uunga kati ya Pr. Henry Kang'entu na  Pr. Francis Ndacha
1:52:20
SAUTI NYIKANI MINISTRY
Рет қаралды 15 М.
MUHATHARA debate mji wa busia na pastor mkorofi ndacha 3
32:11
BURHAN DAAWAH
Рет қаралды 14 М.
Uislamu na majini...mjini kisumu | part 2
1:08:23
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 23 М.
Nani Mwokozi Wa Ulimwengu
1:47:15
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 27 М.
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 12 МЛН