No video

TAZAMA BAJAJI KAMA RANGE, INAUZWA MILIONI 13, SPEED 120, SITI NNE, TAIRI NNE

  Рет қаралды 133,815

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 268
@user-eh5ss4dw1c
@user-eh5ss4dw1c 7 ай бұрын
Kwa kweli hii habari nzuri sana,lla baada ya kumtaja Mama nimefika nduki.
@maalimmadi6030
@maalimmadi6030 7 ай бұрын
Maashallaah😊
@lvanyDaniel_pw7kk
@lvanyDaniel_pw7kk 7 ай бұрын
Mungu abaraki kazi ya mikono yako
@FaridiMohamed-dd4hr
@FaridiMohamed-dd4hr 7 ай бұрын
Wengi kwenye comment naona wanaandika roho mbaya tu kama rahisi c mtengeneze za kwenu ckujui hunijui ila kaz nzur brother mungu akutangulie katika kazi yako
@DM_15
@DM_15 7 ай бұрын
Yes niliwai kuiona kwamtandao nikajaribu kuagiza garama zakodi nausafiri zinazidi beiya chombo hapoa ndoonilikwama
@gooleserviceyoutubescandar3450
@gooleserviceyoutubescandar3450 7 ай бұрын
Kaziiendelee Amiiin.
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 7 ай бұрын
❤❤❤mashallah
@vanny387
@vanny387 7 ай бұрын
Izo Babaj uku south africa ziko nyingi sanaa lakini zinamwonekano kamo uyo ila zina langi la jaune
@Silyvesta
@Silyvesta 7 ай бұрын
Hiyo ni aibu kubwa kwa wenye range rover hahaha 🤣🤣🤣
@user-be4wt9ng2u
@user-be4wt9ng2u 7 ай бұрын
We mchokozi hahahaa
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 7 ай бұрын
MashaAllah ❤ kazi nzuri
@hot2music
@hot2music 7 ай бұрын
kzfaq.info/get/bejne/nKuaotuWt9-ye4k.htmlsi=0rz7ABFTq-HfEnJZ
@allyniga5889
@allyniga5889 7 ай бұрын
ilove u
@fahadomar5809
@fahadomar5809 7 ай бұрын
Safi sana ila nasisi huku Zanzibar tunajitaji jee, amejipangaje kuingiza Zanzibar
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 7 ай бұрын
Sema serikali usimsait pres directly
@medidaudi8335
@medidaudi8335 7 ай бұрын
Kwa USA 🇺🇸 si kweli hakun mamb kam hayo. Labda huko china 🇨🇳
@TheDonn007
@TheDonn007 5 ай бұрын
Bora hata na wewe umesema😂😂😂 maana hananikela kila akitaja akisema ziko marekani
@richytarimo4656
@richytarimo4656 7 ай бұрын
sikasikia ujamuuliza Ina ac na hili joto la dar salam😊😂😂😂
@user-qe6xc4nm8u
@user-qe6xc4nm8u 7 ай бұрын
Haya mungu atujalie maisha maref tutaona mengi Sana baada ya miaka kazaa
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 7 ай бұрын
Saafi sana mzee
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 7 ай бұрын
Tanzania ndio wanaroho zamajaribio
@ezekiamgimbaofficial5694
@ezekiamgimbaofficial5694 7 ай бұрын
Juzi nimeziona kariakoo
@josephservicechannel2734
@josephservicechannel2734 7 ай бұрын
Wambie tunazigitahitaji sana
@samtelah7578
@samtelah7578 6 ай бұрын
Jitihada za😀😀😀😀🙌🏿🙌🏿
@Stan-103
@Stan-103 7 ай бұрын
Huyu jamaa ni mhuni sana😂😂 hii gari inaitwa "BAJAJ AUTO RE60 " yeye kachukua bodykit za mchina za kma range, ndo anatuokota zipo Marekani
@frankezakayo4447
@frankezakayo4447 7 ай бұрын
ASA wewe nae mbona unafahamu yote hayo!!!
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 7 ай бұрын
😂😂😂😂 huku marekani hata sijawahi kuziona
@revmwakifwamba9812
@revmwakifwamba9812 7 ай бұрын
Sasa mtu kajitangaza Sasa wewe wivu unatoka wapi mbona husema kuwa unazijua mpaka mtu mwingine aseme hebu kaa kimya wewe mwenzako kathubutu
@jeffhard5773
@jeffhard5773 7 ай бұрын
Usafiri uko vizuri ila tatizo hayo mapicha uliyo bandika huko nyuma Kuna watu sio shabiki wa Lissu na hamshabikii Mbowe Wala Samia na anaichukia siasa kabisaa kutokana magumashi ya Nchi hii ushauri wangu kwako ondoa ushabiki na ukeleketwa ili ufanye kazi Zaid watu wamechoshwa siasa mbovu za Nchi hii.
@Stan-103
@Stan-103 7 ай бұрын
@@revmwakifwamba9812 Umesikiliza video nzima au unabwabwaja bure
@user-me6fr2oq8x
@user-me6fr2oq8x 7 ай бұрын
Ama kwl Tanzania tuko juu bajaji Kama range duuu Safi sanaa
@fidellujo8362
@fidellujo8362 7 ай бұрын
Wazalishe zaidi na wizara husika zinazoingiliana na usafirishaji ikiwa na taasis zinaweza kuzinunua na kuzitawqnya nchini ku promote uzalishaji
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 7 ай бұрын
Mzee Umevaa Tshet Hio Umeletewa Na Mzamini Nini Uvae Unavyotangaza Bajaji Huo Upinde😹😹
@cantonaiddy6042
@cantonaiddy6042 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@vintagemusicgroup9236
@vintagemusicgroup9236 7 ай бұрын
Ni kinaifanya isajiliwe kama ‘Motorcycle’?
@bongoreview1738
@bongoreview1738 7 ай бұрын
Mawazo yangu ya kununua Range nimeairisha bora ninunue TESLA Yani Range na Bajaji zifanane 😂
@hamisishabani8864
@hamisishabani8864 7 ай бұрын
😂😂😂
@uhurujan2244
@uhurujan2244 7 ай бұрын
Ukienda kununua nistue twende😊
@mawazochaula3642
@mawazochaula3642 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@hancymachibbula4355
@hancymachibbula4355 7 ай бұрын
Nilipenda kusikiliza lakini niliposikia tu anashukuru mama kwa jitihada zake ikabidi nitoke nduki
@Stan-103
@Stan-103 7 ай бұрын
Marekani haiwezi kuwa na vitu kma hvo, hvyo tunatengenezewa Africa
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb 7 ай бұрын
Hakuna USA hata nchi za Ulaya, zitakua huko China na nchi zingine za Asia na Africa.
@ikouwasi7644
@ikouwasi7644 7 ай бұрын
We umetembea marekani yote
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 7 ай бұрын
Marekani wako focused kwenye vehicles za umeme. Si kwamba wanashindwa ila focus ya uchumi wao haiko huko
@Stan-103
@Stan-103 7 ай бұрын
@@ikouwasi7644 Kasome vehicle import regulations au (VIR) ya US ndo utajua namaanisha nn, mfano marekani kuna sheria kwamba kila vehicle itakayotumika iwe na safety standard ya atleast 3 star according to NHTSA
@Stan-103
@Stan-103 7 ай бұрын
@@jasonwatz7457 Ni kweli lakini huo ni mpango wa miaka ya mbele kwamba kufikia 2050 kila vehicle iwe electric, lakn mpka leo petrol cars bado wanatengeneza, hio bajaji nimekataa kwamba haiwezi kwenda marekani kwasababu ya rating ya safety standard kwenye umiriki wa gari hio sheria imetolewa na NTHSA
@user-vp6ol3kq6g
@user-vp6ol3kq6g 6 ай бұрын
Sijaipenda
@vintagemusicgroup9236
@vintagemusicgroup9236 7 ай бұрын
A motorcycle (motorbike, bike, or, if three-wheeled, a trike) is a two or three-wheeled motor vehicle steered by a handlebar from a saddle-style seat. Kwanini inapewa usahili wa ‘MC’ (Motorcycle) wakati hilo ni gari?
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 7 ай бұрын
Haya ni nagari sema, wanafanya uhuni kuyaita bajaji ili kukwepa ushuru mkubwa bandarini.
@sumatanjunior231
@sumatanjunior231 7 ай бұрын
Yaaani tuna nchi ya ajabu sana.
@denisnchimbi
@denisnchimbi 7 ай бұрын
Nzuri sana hizo very low cost, zitanunuliwa nyingi sana hapa Tanzania
@hamisishabani8864
@hamisishabani8864 7 ай бұрын
Nimekuja kusoma comments wale wanaokataa marekani hakuna ivi vidudu tuko pamoja
@anthonybeti-sh6cb
@anthonybeti-sh6cb 7 ай бұрын
🤣🤣🤣
@user-gx2vl9wx7e
@user-gx2vl9wx7e 5 ай бұрын
bajaji Iko vizuli sana tunaletewa changamoto mafundi
@chibudangote0126
@chibudangote0126 7 ай бұрын
@snash tz fanya preview
@adozenaziz8362
@adozenaziz8362 7 ай бұрын
mhhh wahuni sio watu zila zatatu zimeua kinoma nazinaendelea sasa hii nawabongo tukibeba namkaa kutoka ndalambo bado vichwa kwamwaka dah😢inakilo ngap kuipa speed yote hiyo
@abdallahlugendo3221
@abdallahlugendo3221 3 ай бұрын
Zipungue bei kidogo
@TheDonn007
@TheDonn007 5 ай бұрын
Hakuna kitu kama hicho marekani Hapo umetudanganya
@dstaroficial
@dstaroficial 7 ай бұрын
Hiyo ni gar kwann utuambie bajaje tupe kigezo
@user-kc4ou9km2j
@user-kc4ou9km2j 7 ай бұрын
Mbn husemi kuwa unaweza safir umbali gan tusije nunua kwa ajili ya safar za vijijin kwetu
@iddiramadhan790
@iddiramadhan790 7 ай бұрын
Vipi ina air-condition?
@user-pp5tu6nz9k
@user-pp5tu6nz9k 6 ай бұрын
Kenya ilikuja walioiita v8 lakini ilikua matairi matatu hakuvuma sana sizioni sasa nafikili watu hawakununua coz ziliuzwa ghali
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 7 ай бұрын
Sheria iwe Kali kwenye ufundishaji na upatikanaji wa leseni kabla hawajaanza kutuua barabarani
@user-ez3ub7hk3y
@user-ez3ub7hk3y 6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Bakari_motors7
@Bakari_motors7 7 ай бұрын
Big Boss Itambo
@michaelsylvestre8475
@michaelsylvestre8475 7 ай бұрын
Huyu jamaa kavaa rain bow🌈 simuelewi 🤭
@Abuu2645
@Abuu2645 7 ай бұрын
Huon mawingu ya mvuaa😅
@hassanluhwago3978
@hassanluhwago3978 7 ай бұрын
Huyu jamaa si mkweli kwanza Bei IPO juu tofauti sana mara mbili ya bei halisi ok ndo Bongo😅
@kamole3
@kamole3 7 ай бұрын
Mungo huyu jamaa, hakuna kitu kama hii marekani.
@mkutanopaul4773
@mkutanopaul4773 7 ай бұрын
Mie niko Marekani na Hakuna kauchafu kama hako. Japo niko Marekani vijijini lakini hapa hazipo. Nimetembea miji mikubwa Kuna scooters sio bajaji. Polaris Slingshot ndio bajaji pekee hapa
@omarjuma2937
@omarjuma2937 7 ай бұрын
​@@mkutanopaul4773hbr kaka naomba namba yako kuna jambo tuongeee
@wilfredmlaki822
@wilfredmlaki822 7 ай бұрын
Mpumbavu sana huyu! Hakuna uchafu kama huo america
@ZANZICTSOLUTIONS2
@ZANZICTSOLUTIONS2 7 ай бұрын
Mbona mnalalamika sana kuna mtaa Tanzania unautwa Marekani jamani 😂😂😂
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 7 ай бұрын
Mama Mungu akubaliki umewafrahisha wafanya biashara Tanzania wanaraha Tanzania saaafi mama samia hoye
@aubreykasoyaga1665
@aubreykasoyaga1665 7 ай бұрын
Marekani hakuna Takataka kama hiyo
@TheDonn007
@TheDonn007 5 ай бұрын
Kabisa 😂😂😂
@Zenny89
@Zenny89 7 ай бұрын
We tukome wamarekani!!! Hatuna upuuzi Kama huo huku🤣
@IgnasOlgwanae-jz9fg
@IgnasOlgwanae-jz9fg 4 ай бұрын
Bajaj ipo vizuri issue ni bei swa na y gari😅
@BoiSlee
@BoiSlee 6 ай бұрын
"Usalama ni mkubwa sana kwasababu inatairi nne." 😂😂 Kwa mantiki ya huyu jamaa, kwahiyo Eicher ni salama sana kuliko Tesla Truck. (4:05)
@kisrahcogar8538
@kisrahcogar8538 7 ай бұрын
Aache upumbavu huyo America hawatumii hzo v2, hajielew huyo ndo mana kavaa t-shirt ya upinde 😂
@GoldenchipsChips
@GoldenchipsChips 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@bongoreview1738
@bongoreview1738 7 ай бұрын
😂😂😂
@user-th5xz1fg5t
@user-th5xz1fg5t 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@rehaniabeta
@rehaniabeta 4 ай бұрын
Mama Samia hapo kaingia VP
@aloycesteven5998
@aloycesteven5998 7 ай бұрын
Mbona kavaa flana Ina rangi za kuumiza macho
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 7 ай бұрын
Tanzania sihami
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 7 ай бұрын
Wawekeze waje kutuletea ushoga maanawabongo mkitajiwa marecan km mmtajiwa pepo
@yudadaniel4867
@yudadaniel4867 6 ай бұрын
hv nyie range mnaijua au mnaisikia?
@ZuenaRamadhani
@ZuenaRamadhani 7 ай бұрын
Ishakua gali tayar msituchoshe
@barnabamdachi8909
@barnabamdachi8909 7 ай бұрын
Na bado kinazimika kwa kuishiwa mafuta
@user-lq7kv7sx3t
@user-lq7kv7sx3t 7 ай бұрын
Hio nguo vipi hizo rangi za, reimbow nineshituka au ndio kakuletea muwekezaji 😂😂😂
@shafiismaily9223
@shafiismaily9223 7 ай бұрын
Wachina balaaa😂
@kamgishaisaya4763
@kamgishaisaya4763 7 ай бұрын
Ziko poa, bali wanatakiwa kushusha bei zake nasi tuta nunua
@randomtube3002
@randomtube3002 3 ай бұрын
Ndoto yangu ya kumiliki Range Rover imetimia mgenistua mapema kabla Ex wangu hajajua nikamlipue nayo 😂😂😂😂😂
@gladysmsele4291
@gladysmsele4291 7 ай бұрын
Jamani madam President naomba ninunulie kama hii nateseka sana siwezi kutembea miguu jmn nisaidie birth mate wako
@moidasilwamba5712
@moidasilwamba5712 7 ай бұрын
Sawa nitakununulia
@sumatraveler1957
@sumatraveler1957 7 ай бұрын
MAREKANI HUKU AMNAGA BAJAJI MZEE .
@user-co2ei4uy2y
@user-co2ei4uy2y 7 ай бұрын
Millard ayo naomba Mimi Niko Zambia naitaji moja
@FredrickKinyua-bh1hs
@FredrickKinyua-bh1hs 2 ай бұрын
Pesa ngapi ya kenya.nahitaji kununua hiyo gari
@vincentmokenye4465
@vincentmokenye4465 7 ай бұрын
Naona nikimiliki range
@fasanitztiri5371
@fasanitztiri5371 7 ай бұрын
Safi ila mngeongeza ibebe angarau watu 6 milioni 13 nyingi
@cantonaiddy6042
@cantonaiddy6042 7 ай бұрын
Hizi co Bajaji ni gari, Bajaj ni Tajiri 3
@herrwin.
@herrwin. 7 ай бұрын
huba na ma indrive , zimeingiiwa,, wale wenye ist lazima waziuze tuu
@GwankoTv
@GwankoTv 7 ай бұрын
hii ni bana matumizi.
@tanzaniacarschannel6975
@tanzaniacarschannel6975 7 ай бұрын
Kuhusu gari hii kutumika marekani si kweli..this is not legal car to be used in America.. also for 200cc engine to consume 1lt per 28km that is so inefficient engine.. probably a small gas gazzler
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 7 ай бұрын
Furahieni wawekezaji Toka nje lini wtz mil60 watengeneza magari ni aibu wtz hatujui kutengeneza hata yebo tunatengenezewa na wawekezaji
@htx1873
@htx1873 7 ай бұрын
MAREKANI HAKUBA BAJAJ 😬😬 Hii PIA ISINGERUHUSIWA KUUZWA MAREKANI. Hizi hazitoruhusiswa USA ports .
@victorronald1449
@victorronald1449 7 ай бұрын
Hiyo ni gari tu
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 7 ай бұрын
Ulaji wa mafuta
@hamzamuhammad8473
@hamzamuhammad8473 7 ай бұрын
What part of America uses this thing city and state please?? we don’t use unsafe equipments over here Acha kudanganya watu
@anthonybeti-sh6cb
@anthonybeti-sh6cb 7 ай бұрын
🤣🤣🤣
@thadeyngingo1504
@thadeyngingo1504 7 ай бұрын
Hiyo ni gari usituletee mbwembwe bhan
@BenLeeBl
@BenLeeBl 6 ай бұрын
Sifa zikizidi ni ufala....katumia hela yake kuagiza bajaji ushuru kalipia then anamshukur raisi.......afu acha kudanganya watu usa hakuna hizo takataka
@luqmanndagula245
@luqmanndagula245 7 ай бұрын
Kwanini hizi dili za kutengeza bajaji msimpe masoud kipanya (kp)😂😂😂
@Tajiri222
@Tajiri222 7 ай бұрын
Acheni Uhongo, Marekani ya wapi utazipata hizo wewe 😂😂😂😂😂😂😂😂
@sumatanjunior231
@sumatanjunior231 7 ай бұрын
Eti Marekani hahaha watu waongo. Marekani hakuna Bajaj bana cause DOT hawajaruhusu hio kitu.
@prince.eric_msemwa9732
@prince.eric_msemwa9732 7 ай бұрын
Hapo mambo ya mvua utawala 😅
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 7 ай бұрын
Hizi ni gari muache maneno mengi
@user-up6ee2jx4j
@user-up6ee2jx4j 7 ай бұрын
Hiyo t, shirt ya huyu jamaa
@CharlesLeoMgaya
@CharlesLeoMgaya 7 ай бұрын
Anamtaja Mama kila mda utadhani ndo amemsaidia kuimport😂😂😂😂 si normal busness hii jamani. Sasa na anaenunua ndege atamtaja Mama mara ngapi???
@user-gx2mh1xs4e
@user-gx2mh1xs4e 7 ай бұрын
Kwahiyo Range Rover kwisha habari
@jeffhard5773
@jeffhard5773 7 ай бұрын
Usafiri uko vizuri ila tatizo hayo mapicha uliyo bandika huko ondoa ushabiki na ukeleketwa ili ufanye kazi Zaid kuna watu sio shabiki wa Lissu Mbowe Wala Samia wamechoshwa na siasa mbovu za Nchi hii ushauri wangu kwako ondoa ushabiki na ukeleketwa ili ufanye kazi.
@cosmasdaud
@cosmasdaud 7 ай бұрын
Huyu mwamba ni mbunifu, asihusishe china sasa
@user-be4wt9ng2u
@user-be4wt9ng2u 7 ай бұрын
Tanunua ikishuka ml 8
@Kukuvillagepoultrysolutions
@Kukuvillagepoultrysolutions 7 ай бұрын
Je ina AC?
@jumaakalama4719
@jumaakalama4719 7 ай бұрын
Mbona wananivuruga kwan hiz bajaji au gari?
@josephstephen2047
@josephstephen2047 7 ай бұрын
bajagari
@salumjabir813
@salumjabir813 6 ай бұрын
Mama katoka wap sasa....uchawa wakikuda huo
@kisokatvonline3704
@kisokatvonline3704 7 ай бұрын
Kagar kafamilia hako
@isacknyaga104
@isacknyaga104 7 ай бұрын
Mm hapana bajaji ni bajaji tu
@SamweliMwalyungu-du5ln
@SamweliMwalyungu-du5ln 7 ай бұрын
Ss tuna weka na mizigo juu
@user-iv7st2ku5r
@user-iv7st2ku5r 7 ай бұрын
Huyo anaeojiwa mbona kavaa flana inabendera ya mashoga😮😮😮
@desolz3809
@desolz3809 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@ashrafurwegoshora4227
@ashrafurwegoshora4227 7 ай бұрын
Hii bongo hata siiyelewi,masoud katengeneza gari aijulikani ilipo,hii takataka inapigwa promo
@saidjesh51
@saidjesh51 7 ай бұрын
Wanataka kushtakiwa hawa
@godfreymushi6966
@godfreymushi6966 7 ай бұрын
We mjinga marekani hamna huwo ujinga wa mchina
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 30 МЛН
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 10 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 41 МЛН
Gari ndogo ya umeme inayotumia umeme wa elfu 1 na kutembea km 100
9:32
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 30 МЛН