MSWAHILI: ATENGENEZA GARI KWA KUTUMIA INJINI YA PIKIPIKI / INAKIMBIA SPEED 120 KWA SAA / WATU WAWILI

  Рет қаралды 524,310

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

MSWAHILI: ATENGENEZA GARI KWA KUTUMIA INJINI YA PIKIPIKI / INAKIMBIA SPEED km 120 KWA SAA / WATU WAWILI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 628
@damaspmtz1018
@damaspmtz1018 2 жыл бұрын
Ongera Sana kwa ubunifu, endelea na fuata mawazo ili ufanye Jambo kubwa zaidi ya hilo
@trio12gito
@trio12gito 2 жыл бұрын
Kazi nzuri kijana. Serikali iwasaidie vijana kama hawa katika kujiendeleza katika ubunifu.
@ruthwatson3057
@ruthwatson3057 2 жыл бұрын
Mungu amjalie kaka yetu kwa kujitahindi. Milango yake ya bahati ifunguke na aweze kuendelea na sifa mzuri na mafanikio ya nduniani isimpite hata kidogo. Hongera sana mdogo wetu🙏🙏
@dille_td
@dille_td 2 жыл бұрын
♥️
@godifrey5268
@godifrey5268 2 жыл бұрын
Asante
@ayshaaisha7630
@ayshaaisha7630 2 жыл бұрын
Maishallaha mtaji wamasikini ninguvu yake mwenyewe allah azidi kuwatia nguvu papanene tutafika
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 2 жыл бұрын
Ingekuwa video chafu wangeomba connection but kwa ubunifu huu hawaongei🤭🤭🤭
@AsiaMkusa
@AsiaMkusa 2 жыл бұрын
Sasa hapo zitajitokeza mamlaka za ukaguzi kama mia na zitaleta Giza kwenye Nuru kama yule wa bajaji
@ronaldsariah8760
@ronaldsariah8760 2 жыл бұрын
Umeona sasa. Yani mpaka RITA wataenda
@reaganrogathi5615
@reaganrogathi5615 2 жыл бұрын
Nakubal
@husseiniddy5401
@husseiniddy5401 2 жыл бұрын
Na gari la kipanya
@taifocuscompany9246
@taifocuscompany9246 2 жыл бұрын
😀 Tanzania yetu
@mahmoudmeja2469
@mahmoudmeja2469 2 жыл бұрын
Hongera sana kwake hivi ndo vitu tunavyovitaka Tanzania…. Investors muiangalie hii kwa hicho pana saaaanaa jamaa anajua kinachotakiwa hapo ni support sasa….
@mamaprince5420
@mamaprince5420 2 жыл бұрын
Wabongo 2nakuwa wajuaji saaana kuliko mwenye kitu
@henrystanley4077
@henrystanley4077 2 жыл бұрын
Duh safi sana n hongera sana kijana wa kiafrika kufanya ubunifu mkubwa namna hii🇹🇿😘
@cyprianerick5980
@cyprianerick5980 2 жыл бұрын
Jaman awezeshwe anaweza naomba serikali imuendeleze ndo mambo yanavyo anza mapa kufikia kitengeneza magar yetu
@benedictkihombo348
@benedictkihombo348 2 жыл бұрын
Hongereni sana jamani Vijana kwa ubunifu wenu mzuri,,, Serikali iwaangalie kwa jicho la tatu iwawezeshe.
@laurentjoseph5646
@laurentjoseph5646 2 жыл бұрын
Nimependa Sana hiyo gari, Wa TZ oyeeeeeee! Kumbe tunaweza bana nakubali wazee
@mnyampaamnyampaa5780
@mnyampaamnyampaa5780 2 жыл бұрын
Safi sana mzee Zembwela. Nadhani hii clip ingewafikia viongozi
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Mashallah, hongera sana mdogo wangu kwa kazi nzuri
@mugoaron7937
@mugoaron7937 2 жыл бұрын
Mwanzo mzuri
@georgengolo4553
@georgengolo4553 2 жыл бұрын
Au wa mecall mbona kama siyeye
@djddjd2726
@djddjd2726 2 жыл бұрын
Wow that's nice keep it Mungu azidi kukuongezea hicho kibali
@hendrykessy2007
@hendrykessy2007 2 жыл бұрын
Ubunifu mkubwa sana kijana mwenzangu Mungu ajalie upate watu wakukuwezadha upige atua kubwa zaidi dunia ikutambue kwa ubunifu wako
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 2 жыл бұрын
Nimeipenda San hiyo ni kitu kikubwa San hiko watu kam hawa wangetusaidia kutengeneza nagari yetu wenyewe wapo wengi sana kama hawa
@charleswaraka821
@charleswaraka821 2 жыл бұрын
Acha ufala we mtangazaji sasa unawakosoa hao jamaa unajikuta fundi kumbe msenge acha dharau, Hongera sana hao jamaa
@joelchomete2372
@joelchomete2372 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu alinde African huu mtanzania ni Bora na miongoni mwa wakwanza ktk greatest artist
@matimati7013
@matimati7013 2 жыл бұрын
Mtangazaji fala Sana Ana choyo Sana na kuhusudu na kudharau. Hafai hata kuwepo kwenye screen mjinga. Aende akadome. Mpe moyo, msifu mpe matumaini. Kaka Safi Sana jitahidi kuwa creative mungu akuongoze ufanye makubwa.
@idrisamngagi284
@idrisamngagi284 2 жыл бұрын
Mi naona hata camera man hajatenda haki. Ajaribu kuangalia wazungu wanavo explain vi2 km hiyo. All in all jamaa mpo vizuri sana . naamini dunia itawaona
@evelyneproduction7343
@evelyneproduction7343 2 жыл бұрын
So talented, Mungu akusaidie sana ufika viwango vya juu
@azizally5283
@azizally5283 2 жыл бұрын
Hongera sana kijana mwenzetu ushauri uliopewa ufanyie kazi tengeneza kikubwa zaidi
@ommythebestotb4383
@ommythebestotb4383 2 жыл бұрын
Shida turiyonayo katika taifa letu_hatutakikabisa kuwapa_sapota VIJANA wabunifu. Kijana hongera!!! Mm nikushauri ukomae zaid acha kutegemea saaaana serikal. Hongera sana
@stewartomary8922
@stewartomary8922 2 жыл бұрын
Kweli ww kabali Yao babu,chuma big up brother 🙌 umetisha sana hapo kwenye gearbox mzee
@abdallahmzee4335
@abdallahmzee4335 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana umeifanya ila ushauri uliopewa na mzee mbwela n mzuri sana kiongeze kiwe na space ya kutosha kitakuwa kitam sana
@rezikomer9552
@rezikomer9552 2 жыл бұрын
Namufurahikiya saaana mashaaallah mungu amubariki
@khamisshee5131
@khamisshee5131 2 жыл бұрын
Ni kama anajikuna upeeleee 😅😅😅 Lkn ame tisha sana awezeshwe 2 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@edwardmyinga3030
@edwardmyinga3030 2 жыл бұрын
Hongera sana Godfrey,ww nimekuvulia kofia,maana nifundi mzuri sana wa magari, now umeunda chako,Hongera sana
@kayalaonlinetv
@kayalaonlinetv 2 жыл бұрын
Yuko sehemu gani uyu mwamba
@godifrey5268
@godifrey5268 2 жыл бұрын
Asante
@j.a.c.o.4429
@j.a.c.o.4429 2 жыл бұрын
@@godifrey5268 mwanang saanaa unapatikana wapiii naomba namba yako
@fredkakamilion5497
@fredkakamilion5497 2 жыл бұрын
Very talented, congratulations brother
@Khadija-qr4cr
@Khadija-qr4cr 2 жыл бұрын
Hongereni sana mmejitahidi sana na nzuri sana
@mwanagwakyala3213
@mwanagwakyala3213 2 жыл бұрын
Safi Sana,zembwela huyo anaweza kufanya Zaid ya hapo tatizo mfukoni
@officialmadylove4418
@officialmadylove4418 2 жыл бұрын
Safi sana kwa ubunifu
@-kagerayetubw9jx
@-kagerayetubw9jx 3 ай бұрын
Mtangazaji mjinga sana akuna lamana apo ety simama vizuri Angekuwa mimi unsinge nioji ningeondoka zangu
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 жыл бұрын
Ubunifu wa hali ya juu sana 🙌🇶🇦
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Sana
@edwinwaluye2161
@edwinwaluye2161 2 жыл бұрын
Huyu kijana anahitaji sana kushangiliwa na kupewa msaada ili akuze kipaji. Inafaa akapeleka ubunifu wake Kitengo cha Ubunifu UDSM - R&D kwani huko anaweza kupata wanataaluma wakaboresha zaidi hapo alipofika.
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997 2 жыл бұрын
Huyu jamaa ametisha sana🇹🇿🔥🔥🔥
@marconzilankoma7581
@marconzilankoma7581 2 жыл бұрын
Hongera sana kwake kazi nzuri sana
@user-ml6hp6ov6y
@user-ml6hp6ov6y 11 ай бұрын
Yes vizuri sana
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
Sema shida ya waafria hawawekagi maarifa yao anajua thaman ya alivyovitumia t lakin mzungu cost m6 ataweka na maarifa yake M3 wewe unatumia m2 halaf unauza M3.2
@thisboyisgreat
@thisboyisgreat 2 жыл бұрын
Kwaniwe sio mu africa?
@dannyelias382
@dannyelias382 2 жыл бұрын
Sawa mzungu
@saidathuman2998
@saidathuman2998 2 жыл бұрын
Safi sana mzee kwa ubunifu mkubwa. Big Up
@gladwelltailor
@gladwelltailor 2 жыл бұрын
Well done Tz for Africa keep going with engineering 🇰🇪🇬🇧✍🏽📖🙏🏽
@sabunitv2121
@sabunitv2121 2 жыл бұрын
Saf San shida hawatamuona dah
@gladwelltailor
@gladwelltailor 2 жыл бұрын
@@sabunitv2121 write to samba suruhu might be a solutioin to exposing tz to the world 📖🛐🙏🏽
@hamicbrighton4746
@hamicbrighton4746 2 жыл бұрын
Wewe mswahili unasumbua sana Yeye katengeneza ya kuendesha mwenyewe halaf una4ce ikufae wewe
@mrsinia3064
@mrsinia3064 2 жыл бұрын
Honger sana kwa ubunifu broo!👊👊
@shadrackfidel809
@shadrackfidel809 2 жыл бұрын
Idea ya mbunifu wetu ninzuri sana, ila mtangangazaji wetu dah kidogo kajisahau bana mimi nikihojiwa hivo naweza kujikuta napanic tu
@abdul-rahmanahmed2791
@abdul-rahmanahmed2791 2 жыл бұрын
Sio mbaya ni muamko wa kumfanya atengeneze kitu Bora zaid
@rehemaamry4585
@rehemaamry4585 2 жыл бұрын
Badala ya kuonyesha tukio...nae anashangaa
@irenejoseph5925
@irenejoseph5925 2 жыл бұрын
hongera sana
@kozzomix120
@kozzomix120 2 жыл бұрын
Akakakitu noma sana big up from BURUNDI 🇧🇮
@shabanialfani5394
@shabanialfani5394 2 жыл бұрын
Dogo chukua ushauri kwa Zembwela hilo bonge la kazi unaweza kupiga Hela sana baadae maana hicho cha kishua
@hojabinafsi1471
@hojabinafsi1471 2 жыл бұрын
Ndugu yangu unahoji kuhusu chombo au unaenda kutoa ushauri kwenye chombo cha watu, uliza next model itakuwaje
@zakatothman1645
@zakatothman1645 2 жыл бұрын
Simuelew
@user-gp7mh1ce9z
@user-gp7mh1ce9z 4 ай бұрын
Mtangazaj far kweli siungetengenez wew yaan unamfundish mweny kipaj chak watangazaji wengine siuach kaz iyo bol uwe polisi
@mosesmusopole7032
@mosesmusopole7032 2 жыл бұрын
Malalamiko mengiiiiii,, sikiliza Kwanza mwenzako ndo Mwanzo wa ubunifu
@mrsinia3064
@mrsinia3064 2 жыл бұрын
Kbs
@dannyelias382
@dannyelias382 2 жыл бұрын
Hafai huyo mzee hajui kumtia moyo mtu
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
Mpaka anatia kichefuchefu na huyo jamaa ana moyo sana, me ningemfukuza sababu amejawa na kebei
@Galloping_Tv
@Galloping_Tv 2 жыл бұрын
Ataengeneze nyingi, tununue vya kwetu kudadeki.. tuanze na uyu tumuwezeshe afanye kitu
@philippeter198
@philippeter198 2 жыл бұрын
sure
@ikeallaround794
@ikeallaround794 2 жыл бұрын
Hii ni concept ya kile kigari cha lodilofa...wahenga mtakuwa mnanisoma.
@hassanabazar9411
@hassanabazar9411 2 жыл бұрын
Nimependa sana ubunifu na uwezo wake akiboresha atangaze na bei tusapot wa Tanzania wenzetu
@ismailmneka2967
@ismailmneka2967 2 жыл бұрын
Zembwela kazngua sana kila kitu anamkosoa tu zee fala kweli ili
@josephlwago5950
@josephlwago5950 2 жыл бұрын
AFRIKA TUNA VINGI SANA VYA KUFANYA TUKIACHA KUEGEMEA KWA ULAYA ULAYA
@galantsoldier9258
@galantsoldier9258 2 жыл бұрын
perfect timing to me, thanks bro.
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 2 жыл бұрын
kazi nzuri bro
@AminaLibisa
@AminaLibisa 4 ай бұрын
Nampa hongera uyo kijana kwa uvumilivu wa kumsikiliza uyo zembwela maana anaboa ningekua mimi ningemtimua so poa kumvunja moyo badala ya kumtia moyo
@YFM-rq9td
@YFM-rq9td 3 ай бұрын
Kweli ametumia Lugha za Kejeli sana🤔🤔 yaani
@jonajimify
@jonajimify 2 жыл бұрын
Hongera sana ndugu yangu. Omba kibali kwa serikali uweze kuunda magari kama hayo na kuuza....👍
@TheNdaki
@TheNdaki 2 жыл бұрын
Respect Sana Kaka!
@deodatusmagagura6793
@deodatusmagagura6793 2 жыл бұрын
Kwa Africa tumeshuhudiwa watu kama hawa wanapigwa vita vikali, wanachekwa na kutowezeshwa. MUNGU tusaidie waafrica
@dennismatuku3620
@dennismatuku3620 2 жыл бұрын
Walai tena
@sdeshnjwetr6707
@sdeshnjwetr6707 2 жыл бұрын
VIVA TANZANIA ♥️🇹🇿♥️🇹🇿👍
@kambamazig02024
@kambamazig02024 2 жыл бұрын
Kijana anahitaji mentor ambaye anajua engineering design ili amsaidiea kudesign concept car yenye uwezo wa kila aina ya mtu kuweza kuiendesha.
@flavianmpandaloni9028
@flavianmpandaloni9028 2 жыл бұрын
Kama serikali hasa kupitia wizara husika imchukue kijana waenda karakana na wafanye kitu kizuri kuhusu ubunifu huu
@sammyibrahim6654
@sammyibrahim6654 2 жыл бұрын
Mtangazaji badala ampe mtu moyo ni kukozoa sana
@amirimahadhi1062
@amirimahadhi1062 2 жыл бұрын
Camera man mzembe Sana naye kaenda kushangaa 😅😅
@latifamohammed61
@latifamohammed61 2 жыл бұрын
Kasahau kazi yake😂😂😂
@herielinassary3645
@herielinassary3645 2 жыл бұрын
Broo nakupenda sana toka ukiwa East Africa redio wee uko nakipaji toka kwa Allah aki unachekesha sana ataukiwa unabonga
@mlyambisipaul8399
@mlyambisipaul8399 2 жыл бұрын
We mtangazaji unazingua, mpe ushauri ila siyo kumfokea
@mbondelotv8380
@mbondelotv8380 2 жыл бұрын
Nimeipenda.hongera sana fundi.pia bwana zebwera umenifurahisha sana umempaisha Jamaal mtanzania.nipe tano
@jomba6514
@jomba6514 2 жыл бұрын
Mungu awasimamie mfike mbali ila mtangazaji kweli mswahili khaaa
@Kevjoseful
@Kevjoseful 2 жыл бұрын
Zembwela umezidi lawama.. hiyo ni Go Khart na huyo kijana anastastahiliia hongera... mawazo yako ni finyu
@obrigadoofficial1506
@obrigadoofficial1506 2 жыл бұрын
Ni vizuri tuka support vipaji like this 🔥🔥
@salimsaid8757
@salimsaid8757 2 жыл бұрын
Mswahili ukosawa Kwa upekuzi 👍
@francismiho226
@francismiho226 2 жыл бұрын
Nimeipenda na mm naitaji km hii
@ismailkinyoz1617
@ismailkinyoz1617 2 жыл бұрын
Ujuaji mwingi zembwela .....unasahau jamaa kajitengenezea yy na vipimo aliweka kwa ajili yake sasa unalazimisha kiwe unavotaka wew.....All in All muhamasishe jmaa mana kajitahidi then weka oda yako akutengeezee unayotaka wew
@dimerciamuderhwaofficiel1997
@dimerciamuderhwaofficiel1997 2 жыл бұрын
Courage bro j'aime ta créativité
@sicac33
@sicac33 2 жыл бұрын
Amejitahidi sana! Wange mpa msaada zika zalishwa in mass production then hata wakaanzisha michezo ya hii kama kuleta awareness
@uhurutv6751
@uhurutv6751 2 жыл бұрын
Kidude kizurii kinomaaa aseee nakipatajeee nitambee mtaaani hapa
@SheeeMundoo
@SheeeMundoo 20 күн бұрын
Look so good idea
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 2 жыл бұрын
Muhusika ya hii Briefing ana uelewa mdogo sn wa kutofautisha maana halisi ya gari na pikipiki na ndiomaana kaweza kuongea kwamba "mtu katengeneza gari kwa kutumia engine ya pikipiki,hiyo siyo gari bado ni pikipiki sababu engine yake ni pikipiki,najua akil yake inajua kwamba kila chombo cha moto chochote kilicho na mataili manne bc ni gari lkn si kweli,mfano trekta siyo gari bali ni machine operate,yale yote makatapila siyo magari ni mashine operete,hivyo tofaut ya gari pikipiki ndege na kadharka ni Engine na siyo kingine
@iguchiparkdaacha6882
@iguchiparkdaacha6882 2 жыл бұрын
High level
@raunation4112
@raunation4112 2 жыл бұрын
Huyu jamaaa nimemfahamu. Kunavideo yake. Niliona. Anakitita cha pesa kimetokanana. Na ufund wa pikipik. Na akasisitiza vijana. Watafute pesa nimemkumbuka bro big up
@GonzavesBaraka
@GonzavesBaraka 3 ай бұрын
Ila big up brother wawekezaji wa Tanzania wajiunge pamoja na serikali kumuwezesha huyu kijana ikiwezekana watengeneze kiwanda cha kutengeneza magari hata kwa kua assemble ili tuongeze uchumi wa Tanzania yani magari yatengenezwe hapa na yauzwe hapa kwa bei nafuu hence itainua uchumi wa tanzania
@damiantz9828
@damiantz9828 2 жыл бұрын
Hongera sana kaka unajua
@bakariabdul8377
@bakariabdul8377 2 жыл бұрын
Nice job African boy... Good one...bei gan kama ukiamua kuuza au kama mtu akitaka umuundie..? Saafi sana mwanasimba...Simba wa Tanzania... Nchi ikushike mkono baana...
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 4 ай бұрын
Uyu mtangazaji msenge sanaaaa
@binthatv2794
@binthatv2794 2 жыл бұрын
Safi sana félicitations ila jalibu ukapanue kidogo ili kisha uweke kiyo cambele ili upunguze mupepeyo wambele kaza Kaka umepatiya kabisa🇧🇮 😍
@salimaanna6898
@salimaanna6898 2 жыл бұрын
I love Africa! Total Freedom! No licensing to drive! Thank you God!
@ruthwatson3057
@ruthwatson3057 2 жыл бұрын
What r u talking about no licence to drive in africa? Not from our current africa plus this guy just said he is a driver. Where n how do u think he learned about how a manual transmission works? Vyeti viko mkononi. Of cause there is freedom but that does not mean no licences. Usipoteze watu kwa uongo.
@mixinfo6202
@mixinfo6202 2 жыл бұрын
That's not true.
@brownchuze4441
@brownchuze4441 2 жыл бұрын
Nice one
@Bongoviking
@Bongoviking 2 жыл бұрын
Hahahah lol unazani sisi wanyama?
@salimaanna6898
@salimaanna6898 2 жыл бұрын
@@ruthwatson3057 You are right, but maybe you didn’t understand my point. Does the driver have a license to drive that invented vehicle? If yes, when will it expire? In the USA that vehicle cannot be on the road. There are procedures to let it be on the road. I understand we are on the same page. You tell me. Is it true that if you hold a class c driver’s license, you are “legally” allowed to ride a motorcycle or other types of vehicle in Tanzania? I LIKE OUR (AFRICAN) LIFE STYLE. Elsewhere you must be licensed for different types of vehicles. I LOVE MY CONTINENT (Africa)!
@changanikisesa7021
@changanikisesa7021 2 жыл бұрын
Wawoo well done brother very creative.
@Tango696
@Tango696 2 жыл бұрын
MTANGAZAJI UMEKOSEA SANA.TAALUMA YA UTANGAZAJI HAIKO HIVYO.Naamini
@emanuelcrispin5721
@emanuelcrispin5721 2 жыл бұрын
Jamaa Yuko vizuri amebuni
@Theonemedia01
@Theonemedia01 Жыл бұрын
safi sana hii, ubunifu wetu Mtaani
@benjaminabisemba5331
@benjaminabisemba5331 2 жыл бұрын
Safi sana kabisa
@alxlinker9140
@alxlinker9140 2 жыл бұрын
What a nice car
@ramadhanimussa3961
@ramadhanimussa3961 2 жыл бұрын
hongera mwana tz mwenzangu yani roho imeniuma sana viongozi wenye dhamana mkoap wanatuzalau sana wenye vpaji mtaani kipaji chenye kuangariwa ni mpiratu jamani huo niutajiri veta mkoapi sido mkoapi kusanyeni vujana kma hao wengi wanaishia mtaanitu mnataka nani ajetusaidie r.i.p jpm ungekuepo saaizi nadhani tusikika sauti zetu
@sufianimsangi1249
@sufianimsangi1249 2 жыл бұрын
Baba yangu pia amehamisha injini ya pkpk kwenye Gari ndogo Suzuki na inatembea vzuri tuu Gari IPO usangi mwanga Kilimanjaro
@mahomamahoma775
@mahomamahoma775 2 жыл бұрын
Nao ni ubinifuu pia
@shadrackmwamkili5186
@shadrackmwamkili5186 2 жыл бұрын
Mimi naona tuingie kwenye mashindano na hizi gari atengeneze nyingi
@joharialbab3209
@joharialbab3209 2 жыл бұрын
Kongole dogo tuseme hiyo umetengeneza kwa ajili ya watoto. Sasa ongeza body upana ili mkubwa akae vizuri..
@daboy_255
@daboy_255 2 жыл бұрын
Sisi tuna ma genius sana sema wazungu wako na wivu sana hawapendi tunachokifanya
ZIJUE ALAMA ZA DASHBOARD YA GARI YAKO NA MATUMIZI YAKE
8:11
TMN Portal
Рет қаралды 50 М.
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 30 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН
HOUSE GIRL EP 12 || SEASON 2 || Love Story💕💕
19:25
BUSATI TV
Рет қаралды 22 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /24/ #love
30:52
BabaJoan
Рет қаралды 40 М.
Wabunifu wa Injini ya ndege (Jet Engine)
4:29
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 13 М.
MWANAFUNZI MALAYA
13:01
MR BIGI BIGI
Рет қаралды 1,1 МЛН
❗малой пива, захотел а получил..😅 #pov #story
0:47
Перезаливы Skeepoffa
Рет қаралды 1,7 МЛН
MAGIC FINGER TRICK TUTORIAL 😱😳
0:11
Milaad K
Рет қаралды 14 МЛН
@juanchinbrodie #comedia #humor #juffec #felipecharry #amigos
0:15
Felipe Charry
Рет қаралды 19 МЛН
как пройти скулбоя за 36 секунд?
0:22
Holy Baam
Рет қаралды 1,4 МЛН