TAZAMA JWTZ YAUNDA MAGARI AINA YA NYUMBU, VIFARU, ZIMAMOTO, MITAMBO, VIPULI, KAMANDA AFUNGUKA

  Рет қаралды 82,695

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

kamanda wa kikosi cha Nyumbu na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la TATC Brigedi General Hashim Yusuf Komba akizungumza na vyombo vya habari Kibaha Mkoani Pwani ameweza kuelezea majukumu yanayofanywa na shirika hilo katika sekta za Viwanda, ulinzi na usalama, madini, gesi asilia, kilimo, na miundombinu ya kijamii.

Пікірлер: 171
@bensonbenezeth
@bensonbenezeth 2 жыл бұрын
Safi kazi Nzuri, tunafurahi kusikia hivo. Tanzania ya viwanda ya JMP alitaka hivo haya mambo ya kuagiza bidhaa nje, na marighafi TUNAZO ni ujinga.
@EbondoSounds
@EbondoSounds 2 жыл бұрын
💪💪👏👏
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 2 жыл бұрын
Watengeneze na Magari ya Kilimo (Zana za Kilimo) mfano; Matrekta tusiwe tunaimba KILIMO KWANNZA kwa vijembe vya mkono ni ndoto.
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 2 жыл бұрын
Ndugu zangu nalipenda Sana JESHI LETU LA WANANCHI TANZANIA (JWTZ) Ntalilinda,ntalitii,ntaliheshimu,nitaliombea kwa MUNGU WETU WA MBINGUNI....Liweze kuimarika na kulinda Taifa letu la Tanzania.
@rezegerezege691
@rezegerezege691 2 жыл бұрын
Ameen
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 2 жыл бұрын
Nimefrahi hadi nimelia 😭😭😭😭😭mungu ibariki nchi yetu tanzania mungu wabariki watanzania mungu ijaalie tanzania tuwe tunatengeneza hadi nyuklia amin amin amin 🤲🤲🤲🤲
@anthonygikuri
@anthonygikuri 2 жыл бұрын
Tanzania tunaweza. Mungu libariki jeshi letu na viongozi wake. Tutafika tu hata kama tumechelewa
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 2 жыл бұрын
Hongera kwa jeshi letu kutambua kutengeneza vyakwetu kuliinua Taifa letu naona iposiku tutafika na kuunda nyuklia tz
@denniskashasha
@denniskashasha 2 жыл бұрын
Haya ndo mambo tunatamani sana kuyasikia na huku kwetu. Hongera sana Nyumbu. Hongera sana kwa serikali yetu.
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 2 жыл бұрын
Hongereni sn kwa kazi nzuri ss nayaelewa maneno ya JPM mengi tunaweza kufanya wenyewe tukiamua na kila mmoja akitimiza wajibu wk
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 2 жыл бұрын
Hongera sana Jeshi Letu Haya ndo mambo mazuri tunayopenda kuyasikia.....
@ellymaz2187
@ellymaz2187 2 жыл бұрын
Na siyo makongamano kila siku hayana tija
@juliussongoyo4579
@juliussongoyo4579 2 жыл бұрын
Hongereni sana JWTZ kwa kazi nzuri. Hakika mmethubutu kuonyesha njia. Mungu awabariki wataalamu wote wa JWTZ.
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 2 жыл бұрын
Lengo zuri lakini wanasiasa wanaludisha maendeleo nyuma siwaaminifu
@D.P.O
@D.P.O 2 жыл бұрын
Mdogo mdogo na sisi tutatengeneza mpaka ya kifahari ya matumizi ya raia hongereni sana JWTZ
@annanapokeakuponauvimbetha6655
@annanapokeakuponauvimbetha6655 2 жыл бұрын
Hongera sana jeshi letu tukisikia ivyo tunafurahi sana tunapiga hatua
@alphonceelias2551
@alphonceelias2551 2 жыл бұрын
Big up kamanda,huoni uzalendo wa Hali ya juu sana.asante Sana,Asante ,Asante,Mungu awabariki Sana,be blessed.
@stevenobunde9345
@stevenobunde9345 2 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@geuzasilvester1715
@geuzasilvester1715 2 жыл бұрын
Jaman kuna watu tumezaliwa navinasaba vya jeshi.Napenda mnoo na hongeren jeshi letu.
@evancekimath7405
@evancekimath7405 2 жыл бұрын
Ee Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania....!!
@paschalmakono6854
@paschalmakono6854 2 жыл бұрын
Nimejisikia fahari kusikia kuwa, kama taifa tunakuza teknolojia ya ndani ya kutengeneneza magari, mashine na vipuri, hongera sana nyumbu corporation.
@bensonbenezeth
@bensonbenezeth 2 жыл бұрын
Serikali Sasa iwaboreshe miundombinu Hapo naomba vifaa vingine chakavu.
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
Magufuli Kweli aliwafungua macho. MNAWEZA KUTENGENEZA KILA KIFAA , MKIAMUA.
@hansdedes1903
@hansdedes1903 2 жыл бұрын
Hashim Yusuf kombo yoee kaza buti ndugu yangu maendeleo tunayaona Tanzania tunaweza pia akili kichwani fanya kweli ongera sana almighty "Allah" 🙏 be with you peace ✌️ and love 💞💞 always from Thailand 🇹🇭🇹🇭🇹🇭!!**
@kambamazig02024
@kambamazig02024 2 жыл бұрын
Nyumbu wakati wa serikali ya awamu ya kwanza walikuwa wanatengeneza magari ya kijeshi yakiitwa nyumbu, halafu hapo baadae kiwanda kikafa. Nashukuru kiwanda kimefufuliwa awamu ya tano na sasa tunaona mazao yake. Kudos JWTZ
@michaelpatrick4149
@michaelpatrick4149 2 жыл бұрын
Wanaunda?wana assemble ?
@aryazanzibar
@aryazanzibar Жыл бұрын
Hata mimi nataka kufahamu hilo
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 2 жыл бұрын
Nchi za Africa tuondoe zana ya utegemezi wa wazungu na kuacha kuhunda vilaisisha kazi zetu sikila siku nikununua kwao wazungu,ni asala kwa Taifa letu ONA wa Ukraine wanavyoteseka Leo
@marconzilankoma7581
@marconzilankoma7581 2 жыл бұрын
Hongereni sana wakuu tunawatakia ushindi mkuu katika hilii 😍🥰😍🥰💪🏾 Tanzania kwanza mengine badae
@J4UPro
@J4UPro 2 жыл бұрын
Safi sana JWTZ Matunda ya marehemu JPM
@hashiyatmohammedy156
@hashiyatmohammedy156 2 жыл бұрын
Safi Sana Tanzanian kwanza tuijengenchi munguibariki nchi yangu
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 2 жыл бұрын
Madini yetu Sasa yasisafirishwe Tena hatutaki mambo yetu tutatengeza wenyewe silaha za Aina zote ziwepo mungu at atufanikishie ishallah
@simuliaafrica2301
@simuliaafrica2301 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@afwililenisaidie9597
@afwililenisaidie9597 11 ай бұрын
Hilo jambo jema makamanda wetu lazima nchi yetu isimame
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 жыл бұрын
Ongera sana JWTZ .., safi sana , Tanzania kama Russia siku moja ..wazee wa kimya kimya ..
@herryallymaneno8052
@herryallymaneno8052 2 жыл бұрын
Nimependa sana juhudi hizi za kujitegemea,na hasa ktk kuwapa uwezo wa kuchakata mazao yao wakulima wadogo.Tusiogope kuanzia chini wote walio juu leo wametoka huko.HONGERENI SANA
@odenlwila8390
@odenlwila8390 Жыл бұрын
Hongera sana mkuu
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 2 жыл бұрын
TANZANIA hoyeeeeeeeeeee Safi Sana tunafurahi kusikia jeshi letu limepiga hatuwa namna hii.
@testarguy8609
@testarguy8609 2 жыл бұрын
Tunaweza kufuta ujinga kama tukitoa ile dhana kwamba mzungu na mchina ndio wenye akili duniani. R.I.P JPM 😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@alnordarnold5189
@alnordarnold5189 2 жыл бұрын
Asante Sana Mungu atufikishe mbali Tz ameen
@cmantz8837
@cmantz8837 2 жыл бұрын
Jw kunavijana wengi huku mitaani wenye uwezo mkubwa wa ubunifu waiteni wasaidie taifa
@kenethmwangoka460
@kenethmwangoka460 2 жыл бұрын
Hongela jwtz
@castrosiame6390
@castrosiame6390 2 жыл бұрын
Kazi nzuri hongereni na msiishie hapo
@davidkabuka3792
@davidkabuka3792 2 жыл бұрын
Ndo inavyotakiwa big up sana💯💯
@prosperidinya5864
@prosperidinya5864 Жыл бұрын
Pale kwenye kilimo, tunaomba na handpush planter, zinahitajika sana.
@lukehaprimary2574
@lukehaprimary2574 Жыл бұрын
Mama tumuombee azidikuwaunga mkono kama amilijeshi mkuu wa jwtz
@albetopola6356
@albetopola6356 Жыл бұрын
Mungu Awabaliki sana 👍❤🇹🇿
@chidrashid3797
@chidrashid3797 2 жыл бұрын
Safiii saana tuen na gar ndogo za bei lahis ili watanzania maskin nawao wapate usafar kutoka kwenu safii sana
@zabronsimfukwe
@zabronsimfukwe 2 жыл бұрын
Mmetisha.tuongeze nguvu tutengeneze zaidi
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 жыл бұрын
Hongera jpm ulale pena peponi
@idrisamngagi284
@idrisamngagi284 2 жыл бұрын
Ivi kwanini nchi za Africa haturuhusiwi kutengeneza silaha? Raw materials zote zinatoka kwetu. Tujifunze kuhusu Ukraine . ifike kipindi tutoke kwenye ukoloni mambo Leo
@ellymaz2187
@ellymaz2187 2 жыл бұрын
Siyo kwamba haturuhusiwi, hatutaki. Tukiagiza nje ndiyo kuna uaji
@idrisamngagi284
@idrisamngagi284 2 жыл бұрын
@@ellymaz2187 hii imetuathiri sana, unakuta Ndege tunazo lkn bado tunakodi
@ellymaz2187
@ellymaz2187 2 жыл бұрын
@@idrisamngagi284 ulaji ulaji ulaji
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 Жыл бұрын
South Africa wanatengeneza
@lukehaprimary2574
@lukehaprimary2574 Жыл бұрын
Chapeni Kazi kaka wananchituko nyuma yenu kwaulinzi shilikishi
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 Ай бұрын
Mwanzo mzuri
@josephlorri431
@josephlorri431 2 жыл бұрын
Hapo safi...tutafika. Jeshi isipende sana kuongea na raia..siku mkizoea utamu wa madaraka...
@sarahtaste2876
@sarahtaste2876 2 жыл бұрын
Mungu tusaidie hayo manyumbu yasitumike yakae tu huko kambini Aman itawale milele Tanzania
@mwanagwakyala3213
@mwanagwakyala3213 2 жыл бұрын
Nimependa hyo serikali inatakiwa iwekeze Zaid sehemu Kama hz ,napenda Sana vifaa vilivyoandikwa made in Tanzania
@prosperidinya5864
@prosperidinya5864 Жыл бұрын
Jambo jema, ila mchakato unachelewa sana. Tuanze mapema kuzalisha kibiashara.
@officialtaslima5409
@officialtaslima5409 2 жыл бұрын
Kazi nzur kamanda
@onanarosse9657
@onanarosse9657 2 жыл бұрын
Kazi nzuri hongera
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 жыл бұрын
Tengezeni hata vigar vidogo ili tuwasapoti kununua ,kuendeleza Taifa letu
@ezekielkandonga9238
@ezekielkandonga9238 2 жыл бұрын
Hayo ndio maendeleo,Siyo kila siku tunawategemea Wazungu ambao hawatusaidii Chochote zaidi ya kutunyonya tu na kututengenezea magonjwa
@manchalijob9600
@manchalijob9600 2 жыл бұрын
Nimejisikia raha sana watanzania tunawategemea
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 2 жыл бұрын
Hapo nimefurahi sana🇹🇿
@abdulhalim3840
@abdulhalim3840 2 жыл бұрын
Wewe ndio jeshi sio awo wengn Kaz Yao kubuni mbinu za kuwasingizia watu kesi kila cku wakina IGP KAZ YAKE KUBAMBIKIZA WATU KESI TUUUUUUU
@peterchula1990
@peterchula1990 2 жыл бұрын
Kazi nzuri
@jumaothman9449
@jumaothman9449 2 жыл бұрын
JWTZ mupo vizuri ila jeshi la Police! hatari kubwa
@osiamwampashe792
@osiamwampashe792 2 жыл бұрын
Apo sawa tutanunua tengenezeni
@linuslaurent4316
@linuslaurent4316 2 жыл бұрын
Hongera sana
@kamanda007
@kamanda007 2 жыл бұрын
Duh mbona viwanda kama mabanda ya ng'ombe, wawezeshwe hawa, machine wanazotumia zimepitwa na wakati, huruma sana
@saikalyasi2707
@saikalyasi2707 2 жыл бұрын
Hongera Sana serikali
@ruyagilabanchila1733
@ruyagilabanchila1733 2 жыл бұрын
Hivi ndio vitu vya kusikia kutoka hapa nchini
@franaelisumari5108
@franaelisumari5108 2 жыл бұрын
BIG UP
@marymfugwa847
@marymfugwa847 2 жыл бұрын
Shida ya watanzani hakuna uwezashaji wakibuni kitu kimoja ndo hicho tu hawawezi kutengeza vifaa vya kuliteka soko.
@emanuelshayayi54
@emanuelshayayi54 2 жыл бұрын
Unanunua ndg hizo bidhaa.Kama unafanya hivyo jambo jema.
@yusuphmatwi8582
@yusuphmatwi8582 2 жыл бұрын
OYAAA YANUKWEEEE!! (HIYO NDIO NCHI YANGU NIPO TAYAR KUIPAMBANIA KIUTALAMU NA NGUVU NA HALI YOYOTE
@prince.eric_msemwa9732
@prince.eric_msemwa9732 10 ай бұрын
👍
@ramadhanchipokoso1005
@ramadhanchipokoso1005 2 жыл бұрын
Well come in Ukraine
@winterkasela9033
@winterkasela9033 2 жыл бұрын
Matunda ya Jpm
@amanijampion3045
@amanijampion3045 2 жыл бұрын
Urusi tunaenda lini?
@bennykaselle5996
@bennykaselle5996 2 жыл бұрын
tUNAPATA FARAJA SANA KWA KUONA JESHI LINAPIGA HATUA KUKUZA TEKINELOJIA YA NYUMBANI SASA NI WAKATI BUNGE LIANZE KUONGEREA KUWEKA MKAKATI RASMI WA KUKUZA TEKNOLOJIA YA NYUMBA
@mikaelikamili3108
@mikaelikamili3108 2 жыл бұрын
kweli fadha mlio buni hivyo mnapaswa mpandiswe cheo
@hono1232
@hono1232 2 жыл бұрын
Maelezo yako ni mazuri. Lakini naona bado kuna changamoto: Sababu kila mradi unaohutaja ni magari mawili, Gari moja sasa mtapata wapi pesa kama shirika? Ebu serikali inipange mtafute masoko ya kutosha nchi za aftica. Vinginevyo mnachezea rasilmali za nchi. Ebu kuenu serious na miradi yenu. Tungetegemea utuonyesha gari zaidi ya 20, zikiwa kwenye display. Ebu jipangeni vizuri. Nyie mnatuonyesha magari makukuu
@davidndaha9607
@davidndaha9607 2 жыл бұрын
Africa kusini wanatengeneza siraha
@richshayo4924
@richshayo4924 2 жыл бұрын
Mafanikio mengi ya Taifa lolote ni jeshi inching ikilitumia vizuri
@othmanhassan9541
@othmanhassan9541 2 жыл бұрын
Blessed
@allykk1459
@allykk1459 2 жыл бұрын
Sawa
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 жыл бұрын
Safi sana
@African511
@African511 2 жыл бұрын
Hawa nyumbu wako vzri sana
@zefamange7281
@zefamange7281 2 жыл бұрын
HII ILIKUA MIPANGO YA MAGUFUL
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 2 жыл бұрын
Mngesema mnatengeza ingine silandar herd block shafti Kila kitu ningewaelewa hapo naona unga unga mwana tu
@songamberetv2219
@songamberetv2219 2 жыл бұрын
Kweli akili zako zinakutosha uliza company zote zinatengeneza magari sio kwamba vifa vyote wanatengeneza wenyewe vingine wananunuwa kwenye kampani zingine
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 жыл бұрын
@@songamberetv2219 Obvious. Ila watu hawajui!
@abedinegoraphael4774
@abedinegoraphael4774 2 жыл бұрын
@@songamberetv2219 hajielewi huyo hakuna kampuni iliyojitosheleza kwa kila kitu
@livinusmugisha5469
@livinusmugisha5469 2 жыл бұрын
Mhhhhm na wewe ni mtu kweli. Tengeneza basi na wewe ili uwasaidie
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 2 жыл бұрын
Semeni wanatengeneza matank tu hiyo wabongo tunaweza tufikie wenzetu hata kwa asilimia 40 sio kuunga unga hizo kazi hata gerezani wanapiga Hadi huku uswahilini tutengeneze Kila kitu wenyewe gari iwake tuseme kweli hii gari Kila kitu from Tanzania sio mnalalamika lalamika Nini ndo maana bongo maendeleo yanachelew Kila kitu mnaunga unga
@lukehaprimary2574
@lukehaprimary2574 Жыл бұрын
JPM alisema yeye niyohana anatengeneza mapitiyayesu
@hanschuma7734
@hanschuma7734 2 жыл бұрын
Jaman em tufanye yetu jaman isiwe tu tnawategemea hao MaShetan....mashetN hawana mpango wanazingua...jaman mbona tunaweza
@casmirygregory4990
@casmirygregory4990 2 жыл бұрын
Tanzania tunaweza tusiwategemee mabeberu
@fortidaskashaigili7496
@fortidaskashaigili7496 2 жыл бұрын
Hayao ndio mambo tunayotaka kisikia SASA ,nauhakika angekuwepo JPM tungekiwa mbali zaidi ya hapo,maana alipenda tunitegemee,na kujitegemea kunahita viongozi wasio waoga na wanaochukia kuwa ombaomba
@annakisiga889
@annakisiga889 2 жыл бұрын
Jpm alisema tujitegemeee lakin mama msaliti kaamua kuqchana na hii sera ya kujitegemea wakati uwezo tunao mungu tunusuru tupate rais muelewa
@brownm6293
@brownm6293 2 жыл бұрын
They need to do reverse engineering and make spares for daily needs of cars and machines for private sector. They need to avoid doing things for publicity. And the measure of that how far are they in weaning themselves from government fiscus. If not yet then either this is publicity stunt or we are having people in positions bigger than their ability.
@chinchon2126
@chinchon2126 2 жыл бұрын
Ukraine au urusi
@bennykaselle5996
@bennykaselle5996 2 жыл бұрын
WAPEWE MITAMBO YA YA KARAKANA KUBWA KUBWA ZA TRC NA TAZARA AMABAZO ZIMETEREKEZWA
@rehemasalum2531
@rehemasalum2531 2 жыл бұрын
NYUMBU yetu hoyyyyeee
@tanzaboy4824
@tanzaboy4824 2 жыл бұрын
Tunataka ist jaman
@annakisiga889
@annakisiga889 2 жыл бұрын
Kiwanda kama hilki unakuta umeme unazima TU bila sabaubu za msingi kwahiyo kiwanda hiki pia kitatoa ajira lakin mama haon maendelea yetu Kaz yake nikuzurura TU Kila kukivha
@reginaremi7176
@reginaremi7176 2 жыл бұрын
Haya ndo Mambo sio kwenda kupiga magoti huko Kwa wenzetu km ombaomba. Kwakweli huwa inakera kumuona raisi mzima kwenda kuomba eti msaada WA mahindi
@petermwashala9050
@petermwashala9050 2 жыл бұрын
Hiyo ndio Tz inayoendelea. Tunamshukuru MUNGU,kwa kutukumbusha kufanya sasa. Nakumbuka niliambiwa kuhusu Magari yaliyokuwa yanatengenezwa hapa kwetu Aina ya Nyumbu, Chini ya JW Tz yote yamewezekana Mupate Hekima zaidi ya kufanya zaidi. Kazi ziendelee tusonge mbele. NAWATAKIA Mema.
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 2 жыл бұрын
Badala ya kukuta stock kuna magar hara 10 au 20 lkn yako 2 na moja tu sasa cjui unazalisha nn zaidi Ili kutafuta masoko inje
@mountaincoffee7
@mountaincoffee7 2 жыл бұрын
Chakufanya hakuna kuwauzia madini ya kutengeneza .silaha hatar
@wa-mbeyaTv4725
@wa-mbeyaTv4725 2 жыл бұрын
Good news..... Ila tunaomba muandike made in Tanzania ili tuzid kujivunia Mali zetu na tuzid kuipa thaman nchi yetu na Mali zake
@zainamohammed7109
@zainamohammed7109 2 жыл бұрын
Hii ndio Tanzania tunayoitaka sasa muanze kutengeneza madude kama Kig Jon tusiachezewe wa Africa na kuibiwa kila siku
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 127 МЛН
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
BIASHARA YA FAMILIA: MKURUGENZI KIJANA KIWANDA CHA JAMBO ASIMULIA
12:30
Wabunifu wa Injini ya ndege (Jet Engine)
4:29
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 14 М.
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16