Umaskini wangu faraja yangu usingizi wangu. Mungu nipe ridhiki halali.
@mahamedabdi18813 жыл бұрын
Amiin yarbi
@pendolazaro46863 жыл бұрын
Kabisa kila mtu anakiwango chake cha mafanikio Mungu aliyompangia
@zuenajohn83253 жыл бұрын
@@pendolazaro4686 umeonaee.
@rashidahmed80713 жыл бұрын
Umuongo hujapata
@carolmwangi62233 жыл бұрын
K.Mziwada Me Mkenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ila ninakupenda tena Sana. Yani siwezi elezea Aki. Keep it up K.Mziwada.
@avitydamian19943 жыл бұрын
Diamond wewe ndo simba wa tz unatisha sana tena watasubli mnoo
@saidiramadhani58563 жыл бұрын
Simbaaaaaaaaaaaaa ww unatisha
@issamvugusi5143 жыл бұрын
Cmbaaaaaaaaaaa anaunguruma Tz MUNGU nimwema
@suleimanjokoro3 жыл бұрын
Naseeb,,kama utanisikia,mnunulie mzee Abdul kindinga flani hivi,napendekeza iwe Toyota Avensis new model,ili naye afarijike hata kama ni baba mlezi naamini ana KAMCHANGO kwako hata kama ni kadogo.Binafsi nakukubali Sana Mungu kakujaalia nyota Yako inang'aa.💪
@capteinchuimchafu78943 жыл бұрын
H baba HV yukoje Huko je mwijaku baba levo alisema lakin
@pendolazaro46863 жыл бұрын
Kila mtu anakiwango chake cha mafanikio so hongera kwake
@eliasmutsumbirwa74153 жыл бұрын
Jm
@michaelmchau60893 жыл бұрын
Asante sana umeleta heshima bongo kwa gari hilo lakifahar
@kennygiftmalawi20w063 жыл бұрын
Asante Asante platnumz
@richardsprian73673 жыл бұрын
Simbasimbasimbasimba Africa
@borahmlamba50303 жыл бұрын
Simba wa Afrika Diamondi
@tygerfire90862 жыл бұрын
Big sana mond
@matukiotvonline63663 жыл бұрын
Nakubalii
@rashidjuma19693 жыл бұрын
Yani dah maisha bwana kweli mungu humpa anae mtaka na humnyima anae ntaka cc wengine hata ile kula ya maramoja nishida dah haya bwana hongera sana mondi simba
@saidabdallah37373 жыл бұрын
👍👍👍💯💯
@hamisimohamedhamisi32413 жыл бұрын
Hongera kaka mwichapu atakoma mwaka huu wanyeshe makimba mbwa hao h baba kunya mabc tuone kimba lako
Ndo ivo maisha atulingani bana sie mond anatutisha sababu katupita kifedha lkn huyo huyo mond pia anawatu wake ambao awezi gusa hata pua tu kifedha mfano yule kad b alomzawadia saa mwanae ya milion miatano na uchafu sasa jiulize mond anaweza tia miguu pale hayo ndo maisha ktk dunia hii tupige kazi
Mondi n shida toomuch money mondi anamanoti sii kitoto hakuna msanii wakumfikia bongo hii
@personcriticalthinking71623 жыл бұрын
Mungu nilinde na kidogo changu kitokacho kwa jasho langu ya bila miinuko. Sahisi n raha wakati wa sacrifice n vilio hehe heee
@stevemakalicomedy51043 жыл бұрын
Simba Ni Simba tu
@gizakazeno16883 жыл бұрын
eti sawa nimekaa ni gari! hiyo yako inaitwaje
@richadandrew18893 жыл бұрын
salut,mond
@hanifamasudi97323 жыл бұрын
Muacheni ushamba
@sadamkhamis19563 жыл бұрын
Simba ni chibokoooooooo
@golder34103 жыл бұрын
Kwan Gari lenyewe linasemaje
@joseckndubi82483 жыл бұрын
nguvu za giza end times umeyaweza masharti ya freemason
@tygerfire90862 жыл бұрын
Wewe utabaki ivo na shida zako umejuaje kama nguvu Za giza
@sakinaabdallah77133 жыл бұрын
Hatujapato kusikia Watu wakikaa n'a kubisha iwapo star wao kafanya vizuri Ila huku kwetu , Léo hili bovu , Jana ni la second hand, yote yanini hayo kanununua kanununua, that's seat hoyiiiii jamani panda diamond wawache waseme Yako yanakunyokea tuuuu WE love you simba
@mosetidaniel25513 жыл бұрын
Magari kama hiyo mengi Kenya !!!! Mbona makelele ????
@shabanmakata73293 жыл бұрын
Mhhh, 🤣🤣, mungu Yu pamoja nasi
@laizakimalokileli85603 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@mwayadickson60443 жыл бұрын
inawezekana, ni pesa tu
@emmanuelnicholaus27413 жыл бұрын
Naomba jamani atembee huyo mkubwa wa pua lakini akili zake makasi
@richardsprian73673 жыл бұрын
Piga kazi simbaaaaaaaaaaaa piga kerereeeeeee
@agnesmabula85213 жыл бұрын
Jembe
@josephinajosephu68593 жыл бұрын
😅😅ushamba mzigo kwan kila kitu chako lazima ukuweke waz😤😤😤
@abdulyunusi49833 жыл бұрын
Diamond no MTU wa ajabu xan ambaye hakuna msanii mwingine zaidi yake
Fuck all hatters 😀😀😀😀😀 Ustadhi Juma na Musoma Mwinijaku na H baba kimyaaaaa .
@hakimalen7123 жыл бұрын
Zanzibar TX huku achen ishamba
@samlisili70323 жыл бұрын
WAZARAMO WANASEMA MKULU BULE. (yani mkubwa bule)))mwijaku ww ni MTU mzima lkn bule kbs.......kumbuka uliapa kutembea uchi ...hy tunasubiri majabu ya yako......mi nakuomba punguza ngenga......naww km unaweza kufanya zaidi ya diamond. fanya tuyaone 🤣😂😂😂🤣pole sn blaza kaka
@sabinaonline65753 жыл бұрын
Gali lenyewe bayaaaaaaaa
@teddylameck213 жыл бұрын
Wivu tu muone
@quanrayemmanuel2033 жыл бұрын
Una teseka ukiwa wap
@luzugatv52703 жыл бұрын
Nunua na wewe hilo baya nyau wewe
@onesmoelias85093 жыл бұрын
Unaesema baya hata tail za baiskel hauna
@rogerabdallah4393 жыл бұрын
Kama feki na wewe kanunuwe iyo feki kuma wewe na ostazi mla nguruwe
@nancyg86643 жыл бұрын
😂😂
@AcroBantu3 жыл бұрын
Sio gali ni gari, jaribu kuzitumia vizuri L na R...
@mickeychui56313 жыл бұрын
Una meemee nyingi!! Sana !! Your title don't match what you say!! I unsubscribe!!!
@officialssimba21813 жыл бұрын
Fake fake pirate only
@johariboniface71553 жыл бұрын
Usijione umefik utakuf utaviach
@raykas99763 жыл бұрын
Hayo maneno ya mafukara. Tafuta pesa acha maneno ya shombo. Aliyenacho anacho tu.
@asyaasya37663 жыл бұрын
Ndiomana zari kamtimua kiben ten wake huyu mondi anamihela Jmn amejua kutufungisha midomo hatuna tena lakusema
@acrenjulius16753 жыл бұрын
Umetishaaaa diamond platinum me it up simbaaaaa
@acrenjulius16753 жыл бұрын
Umetisha Sana diamond platinum kept it up simbaaaaaaaaaaaaa we ndoooo baba laoooooooo