Tazama Mbiu ya Pasaka ilivyoimbwa vizuri na Shemasi Hamilton Kikoti mbele ya Askofu Mkuu Ruwa'ichi

  Рет қаралды 166,508

Jugo Media

Jugo Media

2 жыл бұрын

𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+255757560764?text=NIUN... JINA HAPA) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+255757560764?text=Taar... Ujumbe au Video Hapa)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Пікірлер: 173
@christopherkarurama2957
@christopherkarurama2957 2 жыл бұрын
Uimbaji wenye stahiki ya heshima ya Ibada. Ubarikiwe na Bw Mungu 🙏🙏
@sellinamagesa7084
@sellinamagesa7084 2 жыл бұрын
Mungu akutangulie tumtumaini daima,Mbiu ya Pasaka ni Salam nzito,Ina masifu,inatukuza ,Ina maombi,Ina shukrani ,KUOMBA msamaha, ñguvu na utukufu wa Mungu,Ina faraja ,mbarikiwe watu wa Mungu,wabarikiwe na wote walioimba Mbiu ya Pasaka 2022
@mesiahdhambi3112
@mesiahdhambi3112 Жыл бұрын
??? .
@experiuschota-op3qk
@experiuschota-op3qk Жыл бұрын
Shemasi Mwakikoti, hongera sana kwa kujaliwa sauti ya kuwapeleka watu kwa Mungu . Tunafarijika sana Wanairinga kwa kutuwakilisha vema. Bela Twilumba. Mwanakwetu.
@godfreykacholi121
@godfreykacholi121 2 жыл бұрын
Shemasi Kikoti nakuombea kwa Mwenyezi Mungu ufikie daraja la upadri na hata uaskofu, ukardinali na upapa.
@peterkalezi4272
@peterkalezi4272 Жыл бұрын
Hongera sana Father Kikoti watching in 2023
@brigitakaiza1579
@brigitakaiza1579 Жыл бұрын
Voice from heaven... proud Catholic 🥰
@mamawanenoadventinaelias1201
@mamawanenoadventinaelias1201 2 жыл бұрын
Mungu aibariki sauti yako ikawe baraka Kwa watu wengine.
@luciambilinyi2645
@luciambilinyi2645 2 жыл бұрын
Hongera sana shemasi Mungu awe nawe kila jambo ufanyalo kwa sifa na utukufu wake
@filbertnjau8738
@filbertnjau8738 2 жыл бұрын
hongera sana shemasi kwa sauti yenye kusisimua na mbiu inayotuletea faraja barikiwa sana shemasi KIKOTI
@doricekibona5993
@doricekibona5993 Жыл бұрын
Kumbe ni huyu ni Shehemas basi Mungu akutunze daima karibu Tanga uje umwone Kaka yako Joseph Kikoti 🙏🙏
@BonifacePeter-dk2vb
@BonifacePeter-dk2vb Жыл бұрын
Hongera baba kwa kusoma vizuri mbiu ya Pasaka Barikiwe sana katika utume wako
@lucymassoi9363
@lucymassoi9363 2 жыл бұрын
Hongera sana shemasi Kikoti. Hakika MUNGU anakaa katika Sifa na Sifa zake ni za Milele 🙏🏼
@johnkaria7824
@johnkaria7824 Жыл бұрын
Hiyo ndiyo sauti ya kipasaka asante baba
@alexmusyoka384
@alexmusyoka384 2 ай бұрын
Mbiu ya pasaka, things like this make me to never miss services especially from holy Thursday to Easter sunday. What a voice brother!!!
@andrewassey5108
@andrewassey5108 Жыл бұрын
Thanks God that I am Christian especially Roman Catholic 🙏🙏🙏
@cecyjoseph2955
@cecyjoseph2955 Жыл бұрын
❤ naipenda Roman Catholic forever.... Balikiwa shemasi
@titusmwilombe9332
@titusmwilombe9332 2 жыл бұрын
Hii ndiyo liturjia ya Kikatoliki. Kinyume cha hivi, kulia lia na kuhangaika ni uzandiki usiotuhusu Wakatoliki. Hongera sana shemasi.
@Mary-br3ft
@Mary-br3ft Жыл бұрын
U
@bettymandyanga2954
@bettymandyanga2954 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mcglmsigala3552
@mcglmsigala3552 Жыл бұрын
Seconded
@ijueimanikatoliki980
@ijueimanikatoliki980 Жыл бұрын
Hao wa kulia Huwa wanalizwa na madeni mengi na shauri ya mlo mmoja
@gracemanoti2199
@gracemanoti2199 Жыл бұрын
Huu ndio ukatoriki bwana Asante Yesu
@nesphorykitatu253
@nesphorykitatu253 2 жыл бұрын
Just love the way he flows in Swahili lot of love from Kenya..
@stellawambura9124
@stellawambura9124 2 жыл бұрын
Asante umeimba vizuri sana Mungu akutegemeze ufikie lengo lako
@paulbugwi6647
@paulbugwi6647 2 жыл бұрын
MBIU YA PASAKA imesomwa Vizuri, nywele zinasisimka Honger Shemas KIKOTI
@lucymassoi9363
@lucymassoi9363 2 жыл бұрын
HAKIKAAAA 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@julithermayombya6572
@julithermayombya6572 Жыл бұрын
Hongera shemasi umeiimba mbiu ya PASAKA kwa weledi mkubwa! I'm Proud to be a CATHOLIC ❤
@danwakaba7557
@danwakaba7557 3 ай бұрын
@jamesmissanga9734
@jamesmissanga9734 2 жыл бұрын
Hongera Shemasi Kikoti, wewe ni tunda LA Kanisa Katoliki.
@mariavianeypeter2991
@mariavianeypeter2991 2 жыл бұрын
Safi sana shemas umeimba vizuri
@csato9415
@csato9415 Жыл бұрын
Naendelea kusikiliza mbiu hii ya pasaka leo 4/8/2023. Hongera sana Fr. Hamilton Kikoti, wakati ukiimba mbiu hii ulikuwa shemasi.
@stanslaushoya5255
@stanslaushoya5255 Жыл бұрын
Na mimi pia
@annaosmond6442
@annaosmond6442 9 ай бұрын
Na mimi pia
@paulinamwasubila7021
@paulinamwasubila7021 Жыл бұрын
can't stop listening and i never get tired.
@rayanzachariah1185
@rayanzachariah1185 2 жыл бұрын
Vyema sana shemasii kikotii the future of priesthood to youu is beautiful😍
@audipeter4576
@audipeter4576 2 жыл бұрын
Hongera sn shemes kwa usomaji makini mzuli wa mbiu ya pasaka sauti mzuli mungu akujarie
@julianandoweka7165
@julianandoweka7165 2 жыл бұрын
Mungu akutunze sisi kama familia ya kikoti tunakiombea Mungu akuhifadhi
@eustacemgawe5454
@eustacemgawe5454 2 жыл бұрын
Nimeipenda sana
@annmacharia9069
@annmacharia9069 Жыл бұрын
God chooses the best. How can he create all beauty and fail to draw one beautiful voice to sing His praises. Proud of you Deacon ❤
@angelabarbuto8071
@angelabarbuto8071 2 жыл бұрын
Complimenti benissimo cantatata che voce soave 🙏❤️che dio ti benedica 🙏
@matildamasonda377
@matildamasonda377 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa MUNGU
@themirrow3433
@themirrow3433 2 жыл бұрын
Kila siku asubuhi lazima nisikilize hii ibada . Mungu akubariki sana Shemasi Kikoti.
@chrishara1590
@chrishara1590 2 жыл бұрын
Extraordinary rendition of the beautiful chant Exultet. Happy Easter from Nairobi.
@Mary-br3ft
@Mary-br3ft Жыл бұрын
So much gifted
@antoniatemu7221
@antoniatemu7221 Жыл бұрын
@@Mary-br3ft nafarijika Sana ninapoisokia mbiu ya pasaka ubarikiwe sana
@DevotaAlfred
@DevotaAlfred 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana na mungu kwa uwo uwezo ulio jariwa na mungu mungu akupe maisha marefu uenderee kulitumikia kanisa lake
@georgealphonse8624
@georgealphonse8624 2 жыл бұрын
Fadha upo vizuri mungu akutangulie
@sarafinafranci8481
@sarafinafranci8481 2 жыл бұрын
Mungu awe nawe kwa kila hatua utakayoifanya kwa sifa na utukufu wa Mungu.
@monicahminai1452
@monicahminai1452 Жыл бұрын
Owesome...I cant stop listening....sweet voice...
@menancemhombwe2267
@menancemhombwe2267 Жыл бұрын
Asante Mt. Ambrose kwa itunzi wa hii kitu
@jovitusrugahenda7139
@jovitusrugahenda7139 2 жыл бұрын
Simply beautiful shemasi alijiandaa
@margaretoyugi7137
@margaretoyugi7137 2 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@flipaclipanimationz6790
@flipaclipanimationz6790 2 жыл бұрын
Duh! Atukuzwe Mungu.
@ummimarunda5982
@ummimarunda5982 2 жыл бұрын
❤❤❤❤Hongera Baba
@helenavanpraag8576
@helenavanpraag8576 Жыл бұрын
I love ❤️ 😍 to hear this every Easter and feel at Peace
@kakoyolasayuki1111
@kakoyolasayuki1111 Жыл бұрын
Shemasi Kikoti God bless you, for the beautiful Easter Chant. So Blessed. We all Catholics feel the presence of God
@neuletikkollection9396
@neuletikkollection9396 Жыл бұрын
So moved by both the lyrics and the voice congratulations
@lucymutuura3756
@lucymutuura3756 2 жыл бұрын
wonderful, you are really gifted ,may God bless you 🙏
@hrmwecau566
@hrmwecau566 2 жыл бұрын
It is amazing to follow it...i feel like risen to straight to heaven
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 2 жыл бұрын
Kikoti 👏🏾👏🏾👏🏾
@angelabarbuto8071
@angelabarbuto8071 2 жыл бұрын
🙏❤️Dio ti benedica 🙏❤️
@israelmikola1862
@israelmikola1862 2 жыл бұрын
Father kikoti Safi Sana Kwa jumbe nzuri pamoja na mafundisho yako
@DeniceDamian
@DeniceDamian Жыл бұрын
Asante baba mungu akutangulie katika utume wako
@altoemily4969
@altoemily4969 8 ай бұрын
Beautiful voice blessed voice Godly praise voice may Lord guide us. Amen
@elmelindamtende8928
@elmelindamtende8928 Жыл бұрын
Waooooo so nice
@margaretikongo1782
@margaretikongo1782 2 жыл бұрын
Extraordinary
@augustinomaufi4535
@augustinomaufi4535 Жыл бұрын
Beautiful, safi sana
@florahkimbage9571
@florahkimbage9571 2 жыл бұрын
Mbiu ya Pasaka imesomwa vizuri jamani mpaka mwili umesisimka kama tunapaa Leo mbinguni 🙏🙏🙏🙏🙏
@wacekendonga5658
@wacekendonga5658 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu sana nimeimba mbiu ya Pasaka miaka minne, sifa kwa Kristu Mfufuka. Hongera shemasi kwa uimbaji mwema
@mathewnjuguna4231
@mathewnjuguna4231 2 жыл бұрын
Hongera sana. Well done.
@dickymodest2745
@dickymodest2745 2 жыл бұрын
Just beautiful
@alexlugembe655
@alexlugembe655 2 жыл бұрын
Blessing rendition
@regnaldhamaro4288
@regnaldhamaro4288 2 жыл бұрын
Cogratulation father
@experiuschota-op3qk
@experiuschota-op3qk Жыл бұрын
Hongera Sana, Shemasi. Uko vizuri. Nahisi kama niko na Mungu physically. Kudadeki.
@rachellerachealrakela5938
@rachellerachealrakela5938 2 жыл бұрын
This is soo beautiful am soo proud and Love my Catholic Faith which is so rich 🙏💕
@AnisiusiStanislaus-iz2lc
@AnisiusiStanislaus-iz2lc 7 ай бұрын
Asante kwa Neno zuri Baba
@stephenodongo8821
@stephenodongo8821 2 жыл бұрын
This is humbling
@gertrudeolisa3392
@gertrudeolisa3392 Жыл бұрын
He just did justice to this Mbiu ya Pasaka...hongera shemasi.
@kikotijoan5655
@kikotijoan5655 2 жыл бұрын
Be blessed my kaka.
@johnalexandermushi6720
@johnalexandermushi6720 Жыл бұрын
Hii sauti na tune ya mbiu ya Pasaka hata miaka 10 utafikiri imeimbwa leo. Mungu akubariki sana Pd Hamilton.
@kenanmalindisa6430
@kenanmalindisa6430 4 ай бұрын
heavenly chant
@dominickmfoi8486
@dominickmfoi8486 2 жыл бұрын
Beautiful!!
@unitytzdar9553
@unitytzdar9553 2 жыл бұрын
Shemasi KIKOTI, nimekuita kwa jina lako. Umeonesha kuwa kweli una wito, ilinde hiyo zawadi ya sauti aliyokujalia MUNGU
@user-bq7nl9ui7s
@user-bq7nl9ui7s Жыл бұрын
Good voice I like it congrats
@theodosiangowoko5022
@theodosiangowoko5022 25 күн бұрын
Anaimba vizuri sana hchoki kumsikia
@user-gx8je4fp5b
@user-gx8je4fp5b 11 ай бұрын
Amina
@cheziagwegime4296
@cheziagwegime4296 2 жыл бұрын
Hongera sana, mungu awe nawe
@MariaMpongwe
@MariaMpongwe 3 ай бұрын
Hongera sana shemasi umetisha,KONGOLE BABA
@tajirifundi
@tajirifundi Жыл бұрын
Safi sana nivyema
@kivivilojane
@kivivilojane 3 ай бұрын
Hallelujah!barikiwa sana Padre,
@rachaelgichimu4738
@rachaelgichimu4738 Жыл бұрын
Beautiful Catholic tradition
@rosekapingu-hs5rd
@rosekapingu-hs5rd Жыл бұрын
Mbingu na zifunguke kwa sauti hii nzuri . Hongera sana Shemas Kikoti
@lodgermsoma2154
@lodgermsoma2154 2 жыл бұрын
bora sanaa 🙏🙏🙏
@jeromenjiwa9078
@jeromenjiwa9078 Жыл бұрын
Well done fr.Hamilton
@martinmurimi5240
@martinmurimi5240 Жыл бұрын
Wonderful singing
@lilianmnabwiru7074
@lilianmnabwiru7074 2 жыл бұрын
Simply the Best. Thanks Brother Hamilton
@erickkangalawe2784
@erickkangalawe2784 2 жыл бұрын
Safi Sana
@norbertmigodela571
@norbertmigodela571 3 ай бұрын
Well done my brother,Haichoshi kusikiliza
@Rogasian
@Rogasian 3 ай бұрын
Mungu akulind shemas
@alexjovin2981
@alexjovin2981 5 ай бұрын
Ameitendea haki 🙏
@VincentDamiano
@VincentDamiano 3 ай бұрын
Barikiwa sana shemas daraja la upadre tayar mkuu amekutazama kwa jicho la tatu
@DeogratiusMwachali-uy1kx
@DeogratiusMwachali-uy1kx Жыл бұрын
Kiukweli hapa ndipo ulipo utofauti wetu na madhehebu mengine
@sarafinafranci8481
@sarafinafranci8481 2 жыл бұрын
Asante sana shemasi
@daudlweno1137
@daudlweno1137 3 ай бұрын
Mungu akubrik san
@lucymassoi9363
@lucymassoi9363 2 жыл бұрын
Umeimba vizuri sana Mbiu ya Pasaka Shemasi Kikoti.
@CosmasNyadu
@CosmasNyadu 3 ай бұрын
Mungu ni mwema
@sophiamanhya7676
@sophiamanhya7676 Жыл бұрын
Najivunia kuwa mkatoriki
@mcmtumishi5262
@mcmtumishi5262 2 жыл бұрын
Shemasi kikoti... Miss you brother from the days of TYCS kanda ya Pugu
@florandomba6822
@florandomba6822 2 жыл бұрын
ASANTE BABA SHEMASI ,,,,,,UMEWAKILISHA VEMA KANISA LA MUNGU ,,,,ENDELEA KUBARIKIWA,!!!!
@kaingorichard4181
@kaingorichard4181 2 жыл бұрын
Looh,mbiu imepigwa vyeema kabsa
@DevotaAlfred
@DevotaAlfred 2 ай бұрын
Ee yesu msimamizi wa mapadri wetu utuombeee
@saimomgermanus4649
@saimomgermanus4649 Жыл бұрын
Siku ya ubatizo wangu, nilimwambia Mungu nitashika dini Catoriki mpaka kufa.
@elizabethndunguru3882
@elizabethndunguru3882 Жыл бұрын
Amina Sana ❤
@kalundepius3161
@kalundepius3161 4 ай бұрын
@frolamnabwiru702
@frolamnabwiru702 5 ай бұрын
Mbiu hii ya Pasaka huasichoki kuisikiza hua inanifarijisana MUNGU akubariki Kwa kipaji cha kuimba vizuri
@AnnamaryAndrea
@AnnamaryAndrea 2 ай бұрын
kaka kikot mbiu umeitendea haki hongera
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 18 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 25 МЛН
MBIU YA PASAKA | Easter Exultet
11:59
Lucid tv
Рет қаралды 19 М.
🔴#live KUPEWA DARAJA TAKATIFU  LA UPADRE JIMBONI SINGIDA
9:53
VIWAWA HALI YA HEWA ONLINE MEDIA
Рет қаралды 307
MAASKOFU WAMTEUA PADRE KIKUDO SEKRETARIETI TEC,ASKOFU RUWA'ICHI APANGUA SAFU YA MAPAROKO...
16:02
MBIU YA PASAKA
11:59
Imani Kuu
Рет қаралды 1,4 М.