#TAZAMA

  Рет қаралды 9,074

Wizara ya Ujenzi

Wizara ya Ujenzi

Жыл бұрын

Пікірлер: 21
@michaelsiweya4969
@michaelsiweya4969 Жыл бұрын
Mjenzi namba moja ni JpM... Haya yote tunayoyaona jasiri mwanzilishi ni Magufuli .. R. I. P... Mzee wetu Magufuli... Hapa tunamshukuru Mama Samia kwa kukamilisha hii miradi
@nuhubushiri4382
@nuhubushiri4382 Жыл бұрын
Kila jambo na wakti wake wakti wake ulipita aliyofanya tuliyaona Sasa hayupo KAZI inendelea hata tukilia,tukisema,haisaidii kitu Nchi IPO viongozi wapo mambo yanaenda Kwa Kasi bila kutishiana maisha saaafii sana Mamaaaaa KAZI iendeleee
@shakaurembo477
@shakaurembo477 Жыл бұрын
Rip jpm Akika uliupiga sana ❤️✅
@NtanunuraWillsonBaru
@NtanunuraWillsonBaru Жыл бұрын
Kazi iendelee hilo ndilo muhimu tuwe na hekima ktk kila jambo kwani siku za nyuma miradi ilikuwa inatelekezwa sasa hapo ni jambo la kumpoteza mh Raisi
@mathiasmalilakanti-st2hd
@mathiasmalilakanti-st2hd Жыл бұрын
JPM alikuwa kiongozi mzuri sana.
@NDEWARA
@NDEWARA Жыл бұрын
Ndoto😢😂😂😂
@veronicalaiser7869
@veronicalaiser7869 Жыл бұрын
Ni kazi inaendelea.
@zuberiramadhani1347
@zuberiramadhani1347 Жыл бұрын
Wamejisima data wote kila mtu mama mama mama..mmeshamsahau alie mfanya awe kwenye hicho kiti wabongo bwana....lala pahali pema palipo na wema baba 😳😳😳😳💞💞💞upendo wetu bado uko palepale Hadi kufa
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 Жыл бұрын
Hata baba yako humkumbuki kama unavo mkumbuka huyo kafiri wenu
@zuberiramadhani1347
@zuberiramadhani1347 Жыл бұрын
Sikulaumu hizo ni akili zako ndipo zilipoishia 🤣🤣🤣🤣
@sabbob574
@sabbob574 Жыл бұрын
​@@mansooralaisri5200 usitukane hivyo. Kwanini unamwita Mzee Magufuli Kafiri, kwani kafiri ni mtu anayeponga Magufuli Kapinga nini? Jitambue ndugu na wala usidhani upo sahihi ktk maisha yako na imani.
@SajidaKhalfan-em7yh
@SajidaKhalfan-em7yh Жыл бұрын
Angekosa kuendeleza mama
@HashimuAbubakar-ej8gc
@HashimuAbubakar-ej8gc Жыл бұрын
Magufuli nikama maji uspo yaoga utayanywa hongera sana jpm ungekuwepo tungekuwa mbali sana tutàkukumbuka kwà mazuri sikwa mabàya
@queenmilan2024
@queenmilan2024 Жыл бұрын
yani Magufuli angekuwepo tungekuwa mbali
@matheobaha773
@matheobaha773 Жыл бұрын
Ningefurahi kma hawa wazungumzaji wangemkumbuka mwanzilishaji wa hii miradi , kwann as if hawamjui?
@jengadaudi-oe9wq
@jengadaudi-oe9wq Жыл бұрын
Magufuri magufuri miladi yote alisain yy tunaomba na yy mama asain miladi mikubwa ya ujez mitatu tu,,magufuli Tren mwndokas magufuri umeme rufiji magufuri ikulu Dodoma magufuri Dalaja la Busisi Dalaja Mto wami Dalaja la sarendar ,,,Magufuri alikua noma sana Mwenyez Mungu ampe Nuru ya Maut mbele ya Haki
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq Жыл бұрын
Mimi nasema mungu amuweke mahala pema peponi wanajisifia hawajui alodhubutu kufanya yakafanyika asigeacha hii alama wageweza ndo maana alisema kazi iendelee sio kazi yake maalumu ni amekuta kazi ndo maana yy anawakilisha kilichoachwa na mpendwa wetu mangufuli
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 Жыл бұрын
Umejisahau kabisa Magufuli kuingia Peponi sawa sawa na Ngamia kupitia kwenye Tundu la Sindano. Kadhulumu roho nyingi za watanzania.
@chumamasunga8855
@chumamasunga8855 Жыл бұрын
Kibondo mpaka Mheshimiwa waziri anawafahamu Kwa unishi Duh!!🤣🤣🤣🤣
@sadocklundi5216
@sadocklundi5216 Жыл бұрын
Nadhani hujamuelewa Waziri, Waziri kamasnisha watu walioko mbali ndio wanaweza wasione kinachoendelea hapo, Kibondo imetumika kama mfano wa watu walioko mbali na eneo la tukio
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 6 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 32 МЛН
Ronaldinho Gaucho Goals That SHOCKED The World
7:01
iLance7i
Рет қаралды 8 МЛН
SGR MWANZA ZEGE HALILALI, UJENZI DARAJA LA KM 1.4 WAANZA
12:04
TRC RELI TV
Рет қаралды 46 М.
UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MABASI YA MWENDOKASI AWAMU YA NNE   DAR UNAENDELEA
7:04
HUU NDIO MUONEKANO WA DARAJA LA KIGONGO -  BUSISI MWANZA
8:09
barmedastv
Рет қаралды 57 М.
Curve Goals That SHOCKED The World
5:35
iLance7i
Рет қаралды 42 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН