Tazama watoto waliotikisa mioyo ya waumini katika tukio la kusimikwa Askofu Kyando jimboni Njombe.

  Рет қаралды 1,185

TRIFF PRODUCTIONS

TRIFF PRODUCTIONS

6 ай бұрын

Watoto Maureen na mwenzie walipokonga nyoyo za waumini wakati wa tukio la kuwekwa wakfu na kusimikwa askofu Eusebio Samwel Kyando wa jimbo la Njombe hapo tarehe 14 Januari 2024, walipoimbisha wimbo uitwao "Ndipo niliposema tazama nimekuja" ikiwa ni utunzi wa Marehemu John Mgandu, Organist katika Video hii ni A.J.Myonga, na waimbaji ni Ukwakata Shirikisho Jimbo la Njombe.

Пікірлер: 8
@kihomboerasto5145
@kihomboerasto5145 6 ай бұрын
Safi sana, huu ni mfano wa kuigwa kwa wazazi na walezi. Tuwalee watoto katika kumjua Mungu kwani dunia ya leo ina mambo mengi sana ya kuwapotezea mwelekeo wa maisha 🙏🙏
@triffproductions4348
@triffproductions4348 6 ай бұрын
Hakika
@veronicahnyamweya2855
@veronicahnyamweya2855 6 ай бұрын
Mfano mzuri kabisah hakika
@triffproductions4348
@triffproductions4348 6 ай бұрын
Hakika
@user-di2ls2fh9d
@user-di2ls2fh9d 6 ай бұрын
😢Waendelee kukua katika roho hiyo
@triffproductions4348
@triffproductions4348 6 ай бұрын
Amina
@user-dn4eo3xg8m
@user-dn4eo3xg8m 6 ай бұрын
Hakika Kila mzazi anatamani Kumuona Mwanae Anapitia Njia Ihii Inapendaza sana Mungu Awasimamie Daima katika makuzi yao ,Shetan Asiwanyakuwe
@triffproductions4348
@triffproductions4348 6 ай бұрын
Amina, tunawaombea wasije wakakengeuka
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 16 МЛН
WIMBO ULIOTIKISA TUKIO LA KUSIMIKWA ASKOFU JIMBO LA NJOMBE
10:32
NJB TV NEWS
Рет қаралды 55 М.
(Wimbo) - KIPIMO
7:14
SAYARI PRODUCTIONS
Рет қаралды 1,1 М.
NDIPO NILIPOSEMA TAZAMA NIMEKUJA
5:37
kmmmm-mtwara
Рет қаралды 2,7 М.
MFAHAMU MATILDER SENDWA By ImbaNasi
20:13
ImbaNasi
Рет қаралды 17 М.
KWETU NJOMBE  BY KIBEKINGA GROUP 0762946594
5:47
MC_JACKSON MGENI
Рет қаралды 70 М.
Sijakamilika - Kwaya ya BMMM parokia ya Ujewa jimbo la Iringa
9:00
TRIFF PRODUCTIONS
Рет қаралды 760
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН