Kristo tumaini letu. Mpiga kinanda uliitendea haki sherehe hongera saana na wanakwaya wote mungu awabariki sana.
@geraldenare98384 ай бұрын
The Sister Drummer is the best ... Keep it up my dear sister in Christ
@philomenanango47815 ай бұрын
Am a Catholic from Kenya and am impressed !
@njbtv29825 ай бұрын
Thanks for watching njombe tv get subscribed we have another event like this on march this year from mafinga iringa
@marcelinoliheta85075 ай бұрын
Pambio zuri saaaaana. Melodia ya Kiasili. Limeimbwa kwa uchangamfu sana hadi raha. Hongera sana Baba Askofu Mpya Kyando waimbaji na wanajimbo wote. KANISA MOJA KATOLIKI LA MITUME
@othmarluwawilo83085 ай бұрын
Vabena vayangu mwinomile Wuuuuwi, na Vakinga mwegiye umwana ndeti. Tuvabena na Vapangwa tulumbe avayesu vatupelye umwana.🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Avakinga mwanukile amaua
@alicemwingira16455 ай бұрын
Wimbo mzuri sana.Hongereni watani zangu.
@chrissmerchy20355 ай бұрын
Hongereni sanaaa mmefanya kuonekana kwa furaha na sherehe kuonekana kua ni sherehe yenye furaha na mvuto katika Imani thabiti ya Dini na kiongozi Mteule❤❤❤
@user-xe8xv6so6s5 ай бұрын
Hongera m/limu Ayubu myonga. Kwa kunogesha Misa. Umeipamba ipavyo na kinanda ❤❤
@phoibepyuza9375 ай бұрын
Hongera Baba Kyando Mungu akutunze akupe afya njema hekima Moyo nyofu tunza Kondoo wa Mungu Kwa ujasiri .
@adelinelyaruu30365 ай бұрын
BABA ASKOFU HONGERA. MUNGU AENDELEE KUKUTUNZA NA KUKULINDA AMINA🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@mariapatrickpapii-pg5qb5 ай бұрын
Mungu akubark sana baba kyando
@gradientlife5 ай бұрын
Inguluvi yivavikage wakukaye. Organist Ayubu Myonga, Sister mpiga tumba na kwa kwaya yote hongereni na wana jimbo. Bishop Kyando tunakutakianutume mwema. 😊
@njbtv29825 ай бұрын
Asante saana Kwa niaba ila na Mimi Njombe tv mnishukiru
@gradientlife5 ай бұрын
@@njbtv2982 hongera sana
@user-gw8ml4uf4x5 ай бұрын
Hongera Baba Munguakulinde
@Luganoamos-jv5in5 ай бұрын
Kyando baba lao bana,ni haki Yao kufurahia kabisa
@albertmaneno5 ай бұрын
Wimbo mzuri... yeeyeyeyeyee.... hongera Kyando
@Misol0035 ай бұрын
Ukatoliki Raha jamaniiiiii,sihami
@othmarluwawilo83085 ай бұрын
Bishop Kyando Congratulations, at Mafinga I was some years ahead to you. I diverted to civil service, despite of it God is our priority. ❤❤❤
@EmanuelTemba-fr6xc5 ай бұрын
Yeyeyeyeye hongera kyando
@user-wl2yl8zw7e5 ай бұрын
Ongera Bishop
@njbtv29826 ай бұрын
Hongera kyando kuwa askofu wa tatu Jimbo la Njombe