Рет қаралды 7,201
Moja ya waimbaji bora wa kiume wa muda wote Tanzania Banana Zorro alifika kwa mara ya pili kwenye The Classic ya Efm na kupiga stories nyingi na Jabir Saleh Kuvichaka na kufunguka mambo menig tusioyafahamub kuhusu muziki wake na muziki kwa ujumla.