No video

THE CLASSSIC MARLAW PART 1 :KUTOKA KUSIMAMISHA NCHI MPAKA UKIMYA MKUBWA/BEMBELEZA ILIKUA HIT SIKUJUA

  Рет қаралды 18,327

KuviFacts

KuviFacts

Жыл бұрын

Moja ya wasanii wenye rekodi za kipekee kabisa Marlaw alifika kwenye The Classic na kupiga stories na kuvichaka kuhusu maisha yake ya kimuziki na mengine mengi
tafadhali usiache ku subscribe

Пікірлер: 49
@muzerwadeo638
@muzerwadeo638 6 ай бұрын
Lakini umepotelea wapi ndugu Marlaw? Wewe unaimba vizuri sana. Hata kwetu Congo nyimbo zako zilipendwa kweli. Wimbo wako Rita kila wakati ninapo usikia machozi yana dondoka machoni kwangu!!!❤❤❤❤
@user-if2og4pr4x
@user-if2og4pr4x 3 ай бұрын
Natural talent
@GivenTobago
@GivenTobago Жыл бұрын
i miss this guy when i was in high school he used to be my icon lyrically magic very professional vocalist what more can i say
@Manyesha6290
@Manyesha6290 Жыл бұрын
Kipindi hiki more than gold Ni Zaid ya heshima kwa malegend wetu na napata pure music the classic hii Ni nzuri sana. I'll be here listening
@namanisound1990
@namanisound1990 2 ай бұрын
Namukubali marlaw
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 3 ай бұрын
Naikubali sana hiyooo ngoma
@MalewaKapala-qi8ij
@MalewaKapala-qi8ij 6 ай бұрын
Huyu Chali alikuwa ni noma sana, kwangu Mimi huyu ni mwimbajii Bora kuliko akina Diamond , Ally Kibao na akina harmonize
@JescahSimiyu-rm5qp
@JescahSimiyu-rm5qp Ай бұрын
Totally agree
@salumjumah5648
@salumjumah5648 Жыл бұрын
Bembeleza ilikuwa dedication song sana kwa warembo kipindi icho
@jacksonbad
@jacksonbad Жыл бұрын
Jamaa anajua sana.. af ana nidhamu flan iv 😀😀
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
Bembeleza international song tanzania Yote Kwetu Lindi umetusumbua sanaa
@constantinochalle856
@constantinochalle856 Жыл бұрын
Aimbe na King 👑 kiba ni balaa sana
@AbilahSalumu-qx1cb
@AbilahSalumu-qx1cb 2 ай бұрын
Rudi Mezee Baba
@benardmusyoka2623
@benardmusyoka2623 Жыл бұрын
Natokea Kenya but hii song ilitesa sana
@Rhythmic_ThinkersHub
@Rhythmic_ThinkersHub Жыл бұрын
This guy is vocally super talented.
@franksembwana6031
@franksembwana6031 Жыл бұрын
Hyu alikua mnoma sana ukitoa mb doggy miaka hyo kulikua na hyu
@victoriakimathi4983
@victoriakimathi4983 Жыл бұрын
Wallai we miss him,,,
@guluramadhani1799
@guluramadhani1799 Жыл бұрын
🙌🔥🔥🙌
@nehzreal7445
@nehzreal7445 Жыл бұрын
+254 ilishika mwaka 2008 pale daa Marlow mda uo ndo sasa najiingiza kwa ujana mimi
@user-sd4tn5zt1x
@user-sd4tn5zt1x 10 ай бұрын
Upo vzr marlw ilove so much brother
@andrewshustle1331
@andrewshustle1331 7 ай бұрын
Talented marlow!
@patriciamwanuke8451
@patriciamwanuke8451 Жыл бұрын
yaani ulikuwa una sauti nzuri kwakweli tunamshukuru Mungu kutupeleka mtwango sec.God bless you brother
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 Жыл бұрын
Kuvichaka
@greenermichael2057
@greenermichael2057 Жыл бұрын
Marlaw 2007 nlipitia magumu nikawa napenda huu wimbo wa Hellow ma' duuuh nakumbuka mbal sana
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 Жыл бұрын
Hujazeeka mzeee😂😂😂😂😂😂
@juliusmamawinsi
@juliusmamawinsi Жыл бұрын
Noma
@khadijamisayo7476
@khadijamisayo7476 Жыл бұрын
enzi zetu marlaw 🔥🔥🔥🔥
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
😍😍😍😍😍😍😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@samirmswahili
@samirmswahili Жыл бұрын
Wakuchimba
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🙏✌️👊.
@rosemaryshayo9511
@rosemaryshayo9511 Жыл бұрын
Where is him
@mwalitv4555
@mwalitv4555 Жыл бұрын
Kama unajua muziki jamaa huyu ni hatari kuliko Ali kiba..
@victoriakimathi4983
@victoriakimathi4983 Жыл бұрын
Wallai Tena
@jumazahoro3537
@jumazahoro3537 Жыл бұрын
Ana sauti nzuri sio poa
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
Kabisa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
@@TALLUBOY kabisa
@izack9191
@izack9191 Жыл бұрын
Fyooo
@frankymagatory1338
@frankymagatory1338 Жыл бұрын
Marlaw umetuangusha kwenye mavazi hujakaa kisaniii bro, ume2pia kama mimi2 ani inakushusha hadhi hata huwez pata deals,
@izack9191
@izack9191 Жыл бұрын
Mawazi sio usanii bro
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Жыл бұрын
Kuna watu wanavaa kushinda hao wasanii na hawana lolote kikubwa mziki mzuri mavazi sio issue
@AmusedAstronomicalModel-lq3yu
@AmusedAstronomicalModel-lq3yu 7 ай бұрын
Jersey ya taifa sio nguo?
@konakitaatv
@konakitaatv 4 ай бұрын
kina Ed Sheeran wanaimba vzr lkn mavazi huwa ni ya kawaida
@majomamajoma8776
@majomamajoma8776 Жыл бұрын
2006 ulikua shule mbona umezeeka punguza ulabu
@joycemageta4876
@joycemageta4876 Жыл бұрын
Kwan ni mlevi?
@user-ui6xw1oh8h
@user-ui6xw1oh8h Жыл бұрын
Ame sema alikuwa form 5
THE CLASSIC MARLAW PART 2 : NDOA SI SABABU YA UKIMYA WANGU
40:05
Marlaw-Sorry Sana
4:29
Smith Hempstone
Рет қаралды 741 М.
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 28 МЛН
MAKOSA YA KUYAEPUKA KATIKA MALEZI SEHEM YA 4
41:57
BUSATI ONLINE TV
Рет қаралды 139