THE CLASSIC Q THE DON: NGWEA NI GOAT/NI GENIUOUS /NILITENGENEZA MCHIZI WNG,BANG,STYLE TATU SIKU MOJA

  Рет қаралды 3,331

Jabir Kuvichaka

Jabir Kuvichaka

Жыл бұрын

Another episode ya The Classic na moja ya watayarishaji bora wa muziki wa muda wote Tanzania ambaye wakati fulani alifanya maajabu yake pale Bongo Records,Q The Don .
hapa amefunguka maambo mengi kupitia safari yake ya muzki
enjoy na usiache ku subscribe

Пікірлер: 19
@salumjumah5648
@salumjumah5648 10 ай бұрын
Q The Don
@bakwine
@bakwine Жыл бұрын
Braza naomba umtafute Spider wa Mambo poa. Atupatie story za marehemu Stave 2k na John mjema
@chappagold
@chappagold Жыл бұрын
Daaah long tym sana huyu jamaa we mic it 💥💥💥
@khalidibero
@khalidibero Жыл бұрын
Duza pekee alietengeneza hits song nyingi nje ya jiji la Dar.
@mbarakasaidi8243
@mbarakasaidi8243 Жыл бұрын
CNN 2009
@sabanajunior3243
@sabanajunior3243 Жыл бұрын
Upo smart sna Tena ndo ulikuwa ndo ujio wa bongo records nakumbuka walienda clouds fm kutambulisha
@danielmihanjo5472
@danielmihanjo5472 Жыл бұрын
Mchizi wangu ya Nako 2 Nako,Sauti ya Geto beat za Hip hop alikuwa anazinyonga sana
@mackjr5291
@mackjr5291 Жыл бұрын
Q ze don
@gabrielndauka6346
@gabrielndauka6346 Жыл бұрын
Heeyo Q yaani hakuna kitu tunafanya ..ni kukesha kakesha yaani tuna...kesha
@atenionesmo_A10
@atenionesmo_A10 3 ай бұрын
anhaa kumbe ndo yeye nikajua n fid katajwa
@ayoubbilali1050
@ayoubbilali1050 Жыл бұрын
kwa mara ya kwanza namuona producer q... mtu mbaya kabisa
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Hawa maproducer wanajuaa ona wanavyongea kiproffesional Maproducer sahv makanjanjaa tu
@sabanajunior3243
@sabanajunior3243 Жыл бұрын
Sana ndg yangu
@ismaelmatano3571
@ismaelmatano3571 Жыл бұрын
👍
@RichardCossan-rk1ub
@RichardCossan-rk1ub Жыл бұрын
✌️✌️
@emmakisula3601
@emmakisula3601 11 ай бұрын
Nimenoti kitu, Q anaongea kama P.funk na imekaa poa sana
@samirmswahili
@samirmswahili Жыл бұрын
Kuvi unabanja yai kama muatalanta
@sabanajunior3243
@sabanajunior3243 Жыл бұрын
Dah kwa mala ya kwanza ndo namuona huyu jamaa ila pat one mbona ujaweka nigga jay
@niggahoodthemc9156
@niggahoodthemc9156 Жыл бұрын
✊👮
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 57 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 128 МЛН
WATUNZA MISINGI:TUTAENDELEA KUBISHA
4:39
Watunza Misingi
Рет қаралды 7 М.
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 57 МЛН