EXCLUSIVE: MARLOW AIBUKA BAADA YA MIAKA ZAIDI YA 10, AELEZA SABABU ZA KUSIMAMA MUZIKI, AMTAJA BESTA

  Рет қаралды 40,361

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 208
@semakids254
@semakids254 Жыл бұрын
We miss you Marlaw . Please come back. Love from Kenya
@rodgersgregory7198
@rodgersgregory7198 Жыл бұрын
He seems to be very humble and sad/unhappy at the same time.
@casmilmurengezi3603
@casmilmurengezi3603 Жыл бұрын
Rita is my all time fav! Thanks Marlow you have many fans in 🇷🇼
@pastoraile7195
@pastoraile7195 Жыл бұрын
Kwel tulikuwa kwenye matatizo kipindii kile 2008
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 Жыл бұрын
Nymbo ya Rita ilkua ikinihuzunisha mno sijui utoto ule🤣🤣🤣basii nkawa siiipendiii
@n.nsengimansaidati1034
@n.nsengimansaidati1034 Жыл бұрын
Nilikua nampenda saana saana from Rwanda
@hassansaid3833
@hassansaid3833 Жыл бұрын
Daaaaah aisee hizi nyimbo mpaka Leo hii nikiwa na msongo wa mawazo hua zinaniliwaza sana. Kwani kipindi hicho nilikua na life daaaah mtihani
@KevinOmondi-jm8me
@KevinOmondi-jm8me 20 күн бұрын
Pii pii is my first bongo song I heard from Tz ....it was amazing..
@jumalele5910
@jumalele5910 Жыл бұрын
My favorite artist in 🇹🇿 long time brother
@DM_15
@DM_15 Жыл бұрын
Jamaa anaficha sana maisha ya nyuma ya mziki
@messaabbas739
@messaabbas739 Жыл бұрын
Nyimbo za Marlow zilishika sana na still azijaisha ladha ❣️❣️❣️❣️ila kwa hii interview Marlow sauti inakimbia microphone 🎙️,,unanichosha jamani kuskia but nakukubali mnoo buddy 👍 from 254 🇰🇪❤❤❤❤❤❤
@gredagroup
@gredagroup Жыл бұрын
Hzo nyimbo zifanyiwe remix au accoustic version then marlaw aziupload kwenye digital platforms zake ni mtaji mzur kwake
@officiallymercymargaret3259
@officiallymercymargaret3259 Жыл бұрын
Indeed 👏🏽👏🏽👏🏽i love his songs
@koticollins
@koticollins Жыл бұрын
Kweli kabisa, sauti nzuri ya kuita
@estheralex8579
@estheralex8579 Жыл бұрын
Exactly
@saidsidaz
@saidsidaz Жыл бұрын
Wazo zuri sana
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 Жыл бұрын
Good idea...ideas skuizi ndio madini
@bonifacejuma5706
@bonifacejuma5706 Жыл бұрын
Quality is not an accident,is an art of an intelligent work,we still remember u bro.
@josuasdf7567
@josuasdf7567 Жыл бұрын
My favorite artist in tz legend❤🎉😊
@njungedennis8227
@njungedennis8227 Жыл бұрын
This guy is a legend..this how success looks like, continue with that spirit bro
@nyiqatonyiqa7114
@nyiqatonyiqa7114 Жыл бұрын
Kaka ni mpole sana na mwenye ufundi wa maneno na kauli zake positive pekee, kuongea mungu kila mstali ❤❤❤❤
@kelvinmunishi4755
@kelvinmunishi4755 Жыл бұрын
🔥🔥🔥Marlaw rudi kwenye game
@michilita2959
@michilita2959 Жыл бұрын
Riataaa was my 👌 Marlow ulitingisha Sanaa wakati wako
@feruzmbaya1967
@feruzmbaya1967 Жыл бұрын
Nimependa sana capella zako Marlow natamani uje ufanye show ya muziki kasulu fm Club kigoma.nitasimamia show hiyo kama promota na nitakulipa brother tukikubaliana🤲
@stuartkudeba
@stuartkudeba Жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/ib2PipSEp73YY4E.html
@yusufunguruko8080
@yusufunguruko8080 Жыл бұрын
Aisee bonge la kipaji, tafadhari rudi kwenye game, unajua sana kuimba, una sauti nzuri sana ambayo ni original (siyo fake ya kubana pua), nakuhakikishia ukirudi utawafunika wengi hawa watoto wa leo, yaani bado una energy kubwa sana ya mziki, mimi nilikuaga mshabiki mkubwa wa nyimbo zako - you are very talented guy, pls come on again.
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 Жыл бұрын
Wimbo wa Si Mimi& Daima na Milele it's my favorite songs
@lilianlornah586
@lilianlornah586 Жыл бұрын
This guy used to be my favorite artist,sijui what happened,that time alkua so handsome,sahi maisha imemchapa,the vocals were on point,kwanza busu la pinky
@saidmwinyi7062
@saidmwinyi7062 Жыл бұрын
Nampendaa huyu mshkaji kipindi hicho eti najiiita Marlow hata sikufanana nae nyimbo ya pipi piii pii 😂😂😂😂😂 tu imenikuta nakujiita marlow 😂😂😂
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 Жыл бұрын
Marlow nafurahi kumuona kipindi hicho nikiwa mdogo nilienjoy sana nyimbo zake🇧🇮
@puritynaneu6763
@puritynaneu6763 Жыл бұрын
Marlaw please come back..much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@marlodemarlove9281
@marlodemarlove9281 Жыл бұрын
Mamaeee mwamba upoo Na Kukubali sana Sanaa duh myaka mingi sana ❤️❤️❤️❤️❤️
@emmanuelkitum4125
@emmanuelkitum4125 Жыл бұрын
Mbayumbagu my favorite
@joelosu5167
@joelosu5167 Жыл бұрын
My favourite artist all the way much love bro your song bidii always keeps me energetic👊👊
@mkenyamzalendo254
@mkenyamzalendo254 Жыл бұрын
Hii ni interview I have been waiting all my life. Nimefurahi kumskia kitoka kwa Maringa Lawrence alias Marlaw Rita. Pick up brother!
@stevesaleca2997
@stevesaleca2997 Жыл бұрын
This guy is talented. I miss him . He made me travel to Tz for the first time looking for my love . Oh God , Mwamba huyu.
@kennytv8875
@kennytv8875 Жыл бұрын
he is way better than diamond
@hollanddutch-day
@hollanddutch-day Жыл бұрын
Legend Marlow Rita was my best favorite song
@pastoraile7195
@pastoraile7195 Жыл бұрын
Big up please ft Alikiba from Tanzania
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Tumekumic Marlaw❤❤
@d98music12
@d98music12 9 ай бұрын
My all time and favorite artist from Tz I like your song No go
@yahomeshopllc5950
@yahomeshopllc5950 Жыл бұрын
Mwamba huyu BRIDGES hizi za TZ love you sana kk from USA 🇺🇸
@VicentMark
@VicentMark Жыл бұрын
Long live my dear artist of all time. Nakukubali sana yaani. Bembeleza, Ritah, Daima na milele dah unyama mwingi. Mungu akubariki sana nyimbo zako ninazo kwenye simu na sichoki kukusikiliza. Love u always
@reallifeperspectiveUG
@reallifeperspectiveUG Жыл бұрын
he seems unhappy😌, may he get over all what he is going through.
@berusarga2897
@berusarga2897 Жыл бұрын
Umelogwa ww. Rudi kwenye game ngoma moja tu hawa watoto wanakimbia
@neemamwanga5447
@neemamwanga5447 Жыл бұрын
Marlow nakupenda sana muziki wako nikisikia nafeel raha sana
@noxiousmashairi
@noxiousmashairi Жыл бұрын
Mzuka sana aise.. Nairobi Kenya respects Marlaw from way back
@chancekivuruge
@chancekivuruge Жыл бұрын
FUNDI WA MUDA WOTE❤
@benmramba1023
@benmramba1023 Жыл бұрын
Maloow noma san💥👋💫
@kingwilmason1744
@kingwilmason1744 2 ай бұрын
Want to see you back, bro. Miss you a lot
@smartworld6153
@smartworld6153 Жыл бұрын
Last tym nimekuona Nyanguge kituo cha mafuta mkuu, , ...ulikuwa katika majukumu ya kiserikali
@muzerwadeo638
@muzerwadeo638 5 ай бұрын
Why didi you stop with music mr Marlaw? In DRC 🇨🇩 we love you too much. Come back in music the legend Marlaw. Ritha is my favorite song which make me happy!
@edgarkoech5726
@edgarkoech5726 Жыл бұрын
bembeleza is all my alll time time favourite lakini ndugu ulitukosea kujitoa kwenye industry
@basekekasusu3186
@basekekasusu3186 Жыл бұрын
Bro anajua kuimba 🎉❤
@cisselamerverille5286
@cisselamerverille5286 Жыл бұрын
Interview inaonekana ilikua poa Sana ila hamkujipanga kwenye mitambo...
@mazibahamis952
@mazibahamis952 Жыл бұрын
Anajua sana huyuu broo arud kwenye game tena
@dantemaina6008
@dantemaina6008 Жыл бұрын
Marlaw is my favorite since ata sai nko na songs zake kwa simu kwa gari
@aggiemarley5742
@aggiemarley5742 Жыл бұрын
Nilikuaga shabiki mkubwa sana wa nyimbo za huyu jamaa. Em arudi basi
@maicofidelix3549
@maicofidelix3549 11 ай бұрын
Noma sana maroo
@mira748
@mira748 Жыл бұрын
Hii interview ni kama hajapenda kuja kuzungumza kwa sababu hataki kuongelea maisha yake. Anaongea kwa kuweka siri sana. Anaonekna kama kuna kitu kilimkuta alafu hakikuwa kizuri kwenye maisha yake. Iko kama ana vinyongo.
@fatumaseif696
@fatumaseif696 Жыл бұрын
Huyu interview ilitakiwa afanyiwe na Millard mwenyew au Salama, Mtangazaji kajitahidi lakin kashindwa kumsababisha afunguke zaidi
@geeva99
@geeva99 Жыл бұрын
Anaye muhoji anahoji kwa mindest ya clout za sasa, badala ya ku highlight legacy yake, hawa wasanii walijitoa sana huwezi kumuhoji kwa shallow mindset kama hii
@kassimsaid4696
@kassimsaid4696 Жыл бұрын
Sasa wewe ulitaka hadi idadi ya chupi halizonazo ukatajie jamn😅😅😅😅
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 Жыл бұрын
Talent 🙌🏿🙏🏿
@jessyjacob2433
@jessyjacob2433 Жыл бұрын
Kama ulizikubali nyimbo za Marlow achia like Yako apa
@inearclassictz1233
@inearclassictz1233 Жыл бұрын
This is too big❤❤❤❤
@Jaydenkulali
@Jaydenkulali Жыл бұрын
Nampenda sana Malow
@angelantinda1009
@angelantinda1009 Жыл бұрын
Amazing marlw mems sana uyu kakaka
@lizahadongo1801
@lizahadongo1801 Жыл бұрын
Bado umenuna Rita na bembeleza nazipendanga tu sana welcome back Marlow next ni Hussein machozi🇰🇪
@scollantandu2350
@scollantandu2350 Жыл бұрын
Ila nyinbo zako bzuri sana ♥️
@sireddy2012
@sireddy2012 Жыл бұрын
Talented #taa itawale
@edwardfaraji1133
@edwardfaraji1133 Жыл бұрын
Huyu ni mtu asiyejulikana anazani hatujui anakula maisha Tu mziki co ndio tegemeo lake sana 😂😂😂...
@MRJ1308
@MRJ1308 Жыл бұрын
Hahaha unamwongopea mbona alikataa
@catherinekihengu2420
@catherinekihengu2420 Жыл бұрын
Naapa si Mimi duh Marlow nyimbo zako zilikuwa hatariii
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Dah jmn hii nyimbo haiishi utamu jmn❤❤❤❤
@Arivo254
@Arivo254 Жыл бұрын
Rudi kwa game bro, we are missing you from 254 🇰🇪
@geeva99
@geeva99 Жыл бұрын
kazi na hela sio direct proportional ukielewa hilo unapata peace kama anayoielezea hapa, hizi big dreams ideas zilizoko around entertainment industry ni utapeli, life is better than dreams and nightmares are also dreams
@bienvenukichambaomar5067
@bienvenukichambaomar5067 Жыл бұрын
I was your fan from 🇨🇩 DRC
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q Жыл бұрын
Marlowwwwwwww👏👏💪💪👋👍👍👍
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 Жыл бұрын
Marlow na mtangazaji kwani ni brother 😂😂
@cyrilingosi5279
@cyrilingosi5279 10 ай бұрын
Lawrence Marima aka marlaw great man my agemate
@mwajomberobert
@mwajomberobert Жыл бұрын
Mkali wao.. Marlow
@meshackhaule
@meshackhaule Жыл бұрын
Oya fikisha jumbe zetu kaka 😊😊😊😊 mwambie jamaa aludi ata sile kaz za live band tuee tunamuona mitandaini ili akitoa kazi tufanye kusambaza zaidi
@elizaboster9479
@elizaboster9479 Жыл бұрын
Nakumbuka Bembeleza Dah tulienjoy sana me na kakangu na WiFi yangu
@bestonmambo2623
@bestonmambo2623 Жыл бұрын
I miss dis guy
@davidosodo548
@davidosodo548 Жыл бұрын
weuweeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nyangigenyabitwano1180
@nyangigenyabitwano1180 Жыл бұрын
Yaani mimi ninasikiliza mziki wake hadi leo
@MohamedKofa-yf9mz
@MohamedKofa-yf9mz Ай бұрын
Hakika marlaw alivuma sana,mpangilio wa vyombo na sauti yake ilikuwa tamu.
@MohamedKofa-yf9mz
@MohamedKofa-yf9mz Ай бұрын
Tupe kitu Niko Pwani Ya Kenya.
@kuvetamzazi8689
@kuvetamzazi8689 Жыл бұрын
Marlo nyimbo yako ya Rita ilinisaidia kumrudisha shemeji yako kwenye mikono yangu. Rudi mwamba, uwezekano wa kutusua ni mkubwa sana 100%
@shabansalum1102
@shabansalum1102 Жыл бұрын
Unahis mwamba anataka kutusua angalia ushauli wako wee
@shabansalum1102
@shabansalum1102 Жыл бұрын
Watu wanafanya mziki starehe wanapenda hawafanyii njaa kama wasanii wenu wakina almasi
@luciamsani
@luciamsani Жыл бұрын
Aaah Marlow enzi hizo niko sec bro yuko vizuri sana kwenye game
@emanuelwattai5777
@emanuelwattai5777 Жыл бұрын
nice song
@brand-c-thedangote
@brand-c-thedangote Жыл бұрын
My dream ilikua one day nifanye collabo na uyu jamaa yani 😢😢❤❤
@AREA51KENYA
@AREA51KENYA Жыл бұрын
13 from 2010 to now 2023
@dollymiraz2730
@dollymiraz2730 Жыл бұрын
Marlaw amepotea bana,, welcome back
@jackisonkapingo1199
@jackisonkapingo1199 Жыл бұрын
Jamqn saut hoyeeeeeeeerrrrr😍😍😍
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@inearclassictz1233
@inearclassictz1233 Жыл бұрын
Rita,Pipi Pipi my all time song😅
@sedekiakiza
@sedekiakiza Жыл бұрын
Like. 10k za congole kwa mwamba,sauti bado ina quality
@lidyaedward876
@lidyaedward876 Жыл бұрын
Msogezeeni maic kuna muda asikiki vizuri @millard ayo
@ekisuka1
@ekisuka1 Жыл бұрын
Aisee we missed the guy, come back.
@feronandsulubu6711
@feronandsulubu6711 Жыл бұрын
Na bado sauti haijachuja kabisaa🎉
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Жыл бұрын
Bro hizi nyimbo imba ziwe mpya ❤
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 Жыл бұрын
Yaani ingenoga sana na angeuzaa sanaaa
@user-qh3bw4sb4z
@user-qh3bw4sb4z 8 ай бұрын
Maisha bhana unaweza kushaangaa akienda bss akapewa noo
@KevinOmondi-jm8me
@KevinOmondi-jm8me 20 күн бұрын
You were hotter than diamond
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Dah jamaaa anajua
@teddytemu331
@teddytemu331 Жыл бұрын
Busu la pinki Rita ❤️❤️
@aminamnyaruge8574
@aminamnyaruge8574 Жыл бұрын
Duu Hawa ndio ma legendary sauti hazichuji
@nsiamushi5363
@nsiamushi5363 Жыл бұрын
amekaa mbali na mic bhaasi hata hackiki poa woooi
@miriamlaurean2226
@miriamlaurean2226 Жыл бұрын
Wow, wow
@rozapetro1647
@rozapetro1647 Жыл бұрын
Dah missed this
@samwelmdodo1358
@samwelmdodo1358 Жыл бұрын
Interview sauti mara ipo mara inaondoka hasa akiongea marlaw,inakera!
@Pius_pius
@Pius_pius Жыл бұрын
👑👑
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 Жыл бұрын
Bembeleza🔥🔥💃ilkua hatar sana
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 Жыл бұрын
Busu la pink 💗 nalo hatar🔥🔥🔥
@jesusislord9190
@jesusislord9190 Жыл бұрын
Watoto wa 4?? Yaaaa hongera sana
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 40 МЛН
Rais Samia Ashindwa Kujizuia Kwenye Uzinduzi wa Albam ya Harmonize
8:37
THE CLASSIC MARLAW PART 2 : NDOA SI SABABU YA UKIMYA WANGU
40:05