No video

RAIS SAMIA AMPIGIA SIMU RC MAKONDA, AONGEA MAZITO KAMBI YA WAGONJWA ARUSHA

  Рет қаралды 91,998

TimesFMTZ

TimesFMTZ

Күн бұрын

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 45
@ladooladoo1285
@ladooladoo1285 Ай бұрын
Asante Dr samia kwa kuwajali wananchi wako, kumbe huwa unawafatilia viongozi kuhakikisha kazi inaendelea kama ilivopangwa unastahili sifa kwani una mengi ya kufanya lakini pia unajali walio chini kabisa Mungu akubariki
@CHIZANOMBEDULE
@CHIZANOMBEDULE Ай бұрын
Makonda unaupiga mwingi sana unamuwakilisha MH na Dr Samia vizuri sana mm nakuombea Mungu akulinde endelea kuwapambania watanzania Mungu awe nawe
@user-ev9yp5zc4m
@user-ev9yp5zc4m 14 күн бұрын
Hongera sana mheshimiwa makonda kwa kutangaza uzuri wa Mama
@mondestaTV
@mondestaTV 14 күн бұрын
Hongera sana DC makonda pambana usikate tamaa mungu anakusimamia
@EliasMungas
@EliasMungas Ай бұрын
Samia hongera Sana mungu we mbinguni akulinde akupe Maisha marefu
@user-ik1rd5ts4z
@user-ik1rd5ts4z 10 күн бұрын
❤❤❤❤ CCM oyeee mama Samia Safi San makonda hongera
@LukongaMasenga
@LukongaMasenga 13 күн бұрын
Jamani watanzani nawaombeni tusimame imala tuweze kutimiza malengo yetu
@LameckMkude
@LameckMkude 5 күн бұрын
Asante saana Laisi wetu wa jamuhuli ya mungano wa Tanzania kubainisha ukweli huo tupo pamoja nawe by Lameck
@OkothAroko
@OkothAroko Ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa,chapa kazi.
@user-ww1rf6iz4p
@user-ww1rf6iz4p 6 күн бұрын
Jaman makonda Mungu akusaidie
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq Ай бұрын
M.mungu atakubariki muheshimiwa makonda pamoja na mama yetu samia. Nyinyi ndio viongozi tunao wapenda. Sio kama mwingulu na bashe kazi yao ni kula pesa ya serikali tu.
@PatrickMarko-z6u
@PatrickMarko-z6u Ай бұрын
Mungu awabariki sana kazi iendelee
@mondestaTV
@mondestaTV 14 күн бұрын
Mkuu DC nitakutembelea Arusha tuombe uzima Kwa mungu Samia oyee kazi idelee
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf Ай бұрын
Makonda anaekima sana
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Ай бұрын
Hadi raha
@GodfreySimoni
@GodfreySimoni Ай бұрын
Vizuli jembe makonda mungu anajambo nawewe uko mbelen mungu akubaliki mama
@RishmaSudi
@RishmaSudi 23 күн бұрын
Ubarokiwe rc makonda
@user-jc3uh2mp8f
@user-jc3uh2mp8f 2 күн бұрын
🎉chapa kaz baba
@ASHAYONGO
@ASHAYONGO Ай бұрын
Asante sana mungu kwawema na fadhira zako , naomba kwako mungu usiwaache nakuwapungukia madactar Hawa ambao wameamua kuwahudumia wangonjwa Hawa wa Arusha uwarinde uwaponye pia usimshau mkuu makonda pamoja mama yetu Samia ,mungu uwaponye uwalinde pia uwatunze
@JemsiDaudi
@JemsiDaudi 17 күн бұрын
Hongera sana baba yangu Mungu akubariki sana kazi iendelee
@FrancisChuwa-tk8xt
@FrancisChuwa-tk8xt 26 күн бұрын
Huu ni ubunifu wa kipekee. "Kazi iendelee!"
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi Ай бұрын
Jitihada zako zinakubalika.
@UpendoCharles-z5q
@UpendoCharles-z5q Ай бұрын
Mko vizuri sana viongozi wetu.mwenyezi mungu awalinde baraka ziongezeke katika kaz nawapenda sana
@WalterTerry-v2b
@WalterTerry-v2b 20 күн бұрын
hongera sana kaka
@pascalPetro-h5q
@pascalPetro-h5q 24 күн бұрын
Wana arushamlikuwana kiliokingi kupatakiongoziwa wanyonge hayasasa mama amewaleteapungamkono kwa mama.
@JohnStephen-f5i
@JohnStephen-f5i 26 күн бұрын
Hongera sana Makonda ni mchapa kazi duh
@user-oo1yi1hn6n
@user-oo1yi1hn6n Ай бұрын
Asanteni, viongozi wangu
@jacintanjogu944
@jacintanjogu944 Ай бұрын
mimi Kenya zimutuobee
@WilliamSairimo
@WilliamSairimo 7 күн бұрын
🎉
@WilliamSairimo
@WilliamSairimo 7 күн бұрын
🎉
@WilliamSairimo
@WilliamSairimo 7 күн бұрын
😮
@ZuhuraIbrahim-q9r
@ZuhuraIbrahim-q9r 9 күн бұрын
Muheshimiwa Rais tunaomba Makonda utuletee huku mtwara alau utuonjeshe faraja zake.
@naamanidamasi6125
@naamanidamasi6125 26 күн бұрын
Hakika mweshimiwa rais uishi MAISHA MAREFU nakushukuru SANA RC WETU makonda Kwa upendo wako.hakika nami nimepata matibabu Nimepona MUNGU awabariki madaktari kwa kujitolea kutusaidia nakutuvumilia nawapenda saaaana
@user-sd5zf6fz4v
@user-sd5zf6fz4v 9 күн бұрын
Makonda kaka uwe hivo hivo usije ukawa km chalamila yule mzee anamajibu mabovu kwa wananchi hana upendo km ww makonda
@halimadamasi2770
@halimadamasi2770 Ай бұрын
Mashallaah mashallaah ❤❤❤
@Allymedard-d3l
@Allymedard-d3l 22 күн бұрын
Good
@Hawa-rt3jl
@Hawa-rt3jl 19 күн бұрын
Wallah machozi yamenitoka kwa furaha nyingi binafsi ccm mzima nampenda mama na makonda allah awahifadhi nawapenda jaman hawa watu mimi😢
@halimadamasi2770
@halimadamasi2770 Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@TazaloTazalo
@TazaloTazalo Ай бұрын
Muimbajiwainjiribellakombo.
@RichardalfredynomboRichard
@RichardalfredynomboRichard 22 сағат бұрын
Waludishe pesa yangu crb bank account fanya bihashala bodaboda pikipi
@simonedward244
@simonedward244 Ай бұрын
Hadi najisikia araha moyon
@IssaYassin-v5m
@IssaYassin-v5m Ай бұрын
Mchungaji msigwa
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 Ай бұрын
This is the worst way of managing public affairs.Both Samia and Makonda shame on you.
@FarajaMaiko-vq2zd
@FarajaMaiko-vq2zd 23 күн бұрын
Bos mchawi
@pascalPetro-h5q
@pascalPetro-h5q 24 күн бұрын
Mh makonda watanzania nawana arusha wanakuonasana unavyokuwamsaada kwa wanyonge hakikamwenyezimungu atakulindapigakazibaba.
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 38 МЛН
TUNDU LISSU AMSHIKA KOO RAIS SAMIA KWA KUHONGA PIKIPIKI NCHI NZIMA
5:55
Chadema Media TV
Рет қаралды 45 М.