TIZAMA SHK SHAHRAN AKIZUNGUMZA NA UST MUHAMMED BACHU KWA HEKMA | HUYU KIJANA ANAMANENO SI MAZURI

  Рет қаралды 57,916

Riyadh Tv Online Znz

Riyadh Tv Online Znz

2 жыл бұрын

#RiyadhTvZnz #Zanzibar

Пікірлер: 232
@jumamzee6999
@jumamzee6999 2 жыл бұрын
MashaAllah, Sheikh
@MauroZaratte-r4r
@MauroZaratte-r4r 16 күн бұрын
MashaAllah
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 9 ай бұрын
Tumekuelewa vizuri sana shekhe shahran Allah akupe umri mrefu
@Abuumuqbil4994
@Abuumuqbil4994 Жыл бұрын
Namuomba allah amuongoze shk wa meli nne shaharani amiin
@amourmattar773
@amourmattar773 Жыл бұрын
Mashaallah Allah akupe kila lakheri Allah akupe kila lakheri
@nurdin.mndeme3447
@nurdin.mndeme3447 Жыл бұрын
Ma shaa Allah ,
@nassorbinfundi1196
@nassorbinfundi1196 Жыл бұрын
Masha Allah
@amissandayishimiye-su4wm
@amissandayishimiye-su4wm Жыл бұрын
Allah azidi kukupa taufiq sheikh wetu muhed bacu
@kimbeiyeiddrisaally7532
@kimbeiyeiddrisaally7532 2 жыл бұрын
Maashaallah Mungu amperehma tele na umri mlefu
@nasrimbaraka341
@nasrimbaraka341 Жыл бұрын
Marshallah u.meelzea vzr sana
@husseinsimbano1466
@husseinsimbano1466 Жыл бұрын
Allah amuhifadhi sheikh wetu Mohammed Bachu.
@sleemhamoud4394
@sleemhamoud4394 Жыл бұрын
Khawareej Mohd BACHU
@user-rb8ir9co9k
@user-rb8ir9co9k Жыл бұрын
Aamin
@ibrahimkhamis9133
@ibrahimkhamis9133 Жыл бұрын
Twayyib mashaallah
@abuubakri2970
@abuubakri2970 Жыл бұрын
Mashallah. Ni vyema kufundishana pale panapoonekanwa pana makosa
@HafidhAli-lt5xt
@HafidhAli-lt5xt 10 ай бұрын
Sharakhan Iko hivi hapa duniani msaad, msamaha na kila kitu ila qiyama mwenyezi mungu hata upokea masamaha wa mtu yeyote, kwa kuwa Mtume ni kipenzi cha ndiyo watu watamuendea hapo ni ufahamu Dunia na akhera.
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 4 ай бұрын
Na ukweli ni kwamba sasa Mtume hayupo ameshakufa tutamuombaje,ila siku anayoisema shekhe itakua Qayama kimeshasimama,watu wote wameshatoka kwenye matumbo ya ardhi,ndipo tutakapotaka msaada ili ipite hukumu.
@AaAa-vm8bb
@AaAa-vm8bb Жыл бұрын
Ngoma ikivuma karibu na kupasuka huyu hana hekma ya kuzungumza shekh. gani mwenye ulimi mbaya ajirekebishe maneno yake
@CheerfulJumpingPuppy-kl5ti
@CheerfulJumpingPuppy-kl5ti 4 ай бұрын
Tufuateni tauheed mashehe
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 10 ай бұрын
Yaani watu wa maulidi mnapata shida saana na mnahofia watu wenu wasiwakimbie wakaingia katika sunna? Waachen watu waingie katka sunna achen kupotosha umma
@chimitohtv1269
@chimitohtv1269 Жыл бұрын
Ni kweli huu Sheekh vile ana sema ni shirkii kweli Utam kimbiliya mungu ama mtume Mtume mfuate kile Allh amempatia Man adhaca rasuul faqad adaa Allh
@AbuuZahir2.
@AbuuZahir2. Жыл бұрын
قال الإمام أبو القاسم جنيد بن محمد البغدادي رحمه الله تعالى : *«لكل أمة صفوة، وصفوة هذه الأمة الصوفية»* 📚طبقات الأولياء
@abdulmpakate6844
@abdulmpakate6844 Жыл бұрын
Aheshimu watu, hakuna atakaemfuata shekhewako, lakini akiendelea kutukana mashekhe, watamuelimisha
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Жыл бұрын
Wewe khadija nawewe nenda madrasa kasome usigeuke msafara wa mamba na kenge wamo kasome ndio ukweli utaujua sio kuangalia mitandao
@saidali5077
@saidali5077 Жыл бұрын
Tukiwa duniani huwezi kusema hakuna wa kumkimbilia isipokua Mtume hiyo ni SHIRKI, vyenginevyo hayo maneno yaseme wazi Kua SIKU YA KIAMA tutamfuata MTUME MUHAMMAD SAW kwa ajili ya kutuombea, kinyume na hapo ni SHIRKI
@allylassuh4947
@allylassuh4947 Жыл бұрын
Kaka alotunga kitabu hichi alikua ni fundi kwnye fanni mbali mbali kwaio akiongea maneno yake mpk uwe carefully bila hivo yatakupiga chenga
@allylassuh4947
@allylassuh4947 Жыл бұрын
Jibu kaka ni kwamba siku yakitokea matatizo makubwa kuliko yote au tunapokua na shida kubwa zaid kuliko siku zote kaka hakuna siku itakayo shinda kisimamo cha kiama kwa kila dhiki kwaio ndo siku yenye makubwa kuliko ndo mana tutamkimbilia mtume muhammad (S.A.w) baada ya mityme yote kukataa kutuombea kwaio mtunzi kakusudia siku hio kwaio hapo shirki iko wp ni uelewa tu kaka au kma kuna siku yenye makubwa kuliko hio tuambie
@adamsamata8754
@adamsamata8754 Жыл бұрын
Bachu hana ELIM wala hajui kiitu acha nenda kasome
@abdallahpazia334
@abdallahpazia334 Жыл бұрын
Kweli kabisa Mana tuko duniani huez muomba mtume akakuombee kwa mungu Hali yakuwa tuko duniani mpaka hapo siku yakiama .
@abdulhamidbakar2461
@abdulhamidbakar2461 Жыл бұрын
​@@abdallahpazia334yy kamaanisha hyo sku ya kiama au hamfaham nyny
@s.m.jawadida8868
@s.m.jawadida8868 Жыл бұрын
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم
@asedikombo4609
@asedikombo4609 11 ай бұрын
Mungu mlinde nawanafk shehe wetu muhamad bachu nawazushi katika dini yetu yakiisilamu nawenye chuki nayeye amn
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 2 жыл бұрын
Kigogo hiki Allah akupe umre mrefu muache bachu huyo kasom darsa miez sita anajiona kasom kulik shekh yyt anajiharibia huyu mtoto mdg sn ktk elimu tn akakae kW wana uon asom bado kabisa ht lugha bado kutfsiri a natoa fatwa hhhh
@sefoo8084
@sefoo8084 2 жыл бұрын
Ndugu yangu soma dini kwa kutafuta haqi na sio ushabiki. Shekh bachu katoa dalili zake kupinga maulid, Ikiwa ww unaona maulidi yanafaa toa hoja zako kisha endelea kusoma maulid ila usitoe maneno ya dharau kwa shekh. Ww huwez kujilinganisha na bachu hata theluthi. Huyo unaemuita kigogo hajatoa maneno ya dharau je wewe ni nani? Mihemko na ushabiki peleka kwenye mpira, muziki na siasa sio katika mas-ala ya dini.
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 Жыл бұрын
Ww mate bachu akakutie motoni hv utaingia peponi bila ya kumpenda mtum saw mshabiki ni ww na huyo bachu wko mkosefu Wa elimu
@omarally6819
@omarally6819 Жыл бұрын
الجهلة مثلك مازالت باقية؟!!!
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
​@@ahmadmadaai1357duuu unawaingiza watu motoni!Kwa dalili zipi?wacheniushabiki wa dini!hii sio siasa!
@NMJAsaid
@NMJAsaid Жыл бұрын
Sheikh Mohammad Bachu Allah amuhifadhi na amzidishie ufasaha wa kueleza mambo. Nashkuru nimeona haqqi nikaachana na uzushi wa maulid. Wallahi ni ushirikina mtupu
@badrumbaruku
@badrumbaruku Жыл бұрын
Shekhe soma kwanza ndipo utaijua hak kama shekhe m bachu ndio unaamin kua dunia mzima yy ndo mwenue elmu na kukosowa kila shekhe na yy kujiona bora zaid itakua unakosea sana elim mzur niile yenye hekma na elm pia ni kama bahar unaweza kujiona unacho kiongea ni sahihi kumbe unakosea chakushangaza zaid hawa mashekhe wanaokosowana iv vitabu vyote wanavyo visoma vimechapishwa na watu unajipaje asilimia mia 100 kua shekhe fulan yupo sahih afazal inge kua katafsir quruan maana quruan hakuna kiumbe yeyote anaeweza kuichaleng quruan ila vitabu nimtihan shekhe tusomen sana ii ni akheri zaman kila shekhe anajiona bora yy ila mbora zaid ni Allah.
@aboubakarcombo2198
@aboubakarcombo2198 Жыл бұрын
Ww na huyo Bachu Mna Matatizo Yakumbuke maneno ya Mtume Wanawazuoni Ndio Warithi Wa Mitume Sheikh Nassor Bacho mpk kafa hajawahi kukitupa kitabu cha Barzanji leo yeye amethubutu na hali ya kuwa elimu hyo hana Mwambie Akasome na sio JanjaJanja
@NMJAsaid
@NMJAsaid Жыл бұрын
@@badrumbaruku haya maneno yako itatosha kuwa mawaidha kwa mashekhe wote manake wenye hili tatizo zaidi ni wazushi. Lau mungeifuata dini ilivyoteremshwa kupitia Quran na sunna, yasingefikia hapa isipokua mulipozua ndio mukafungua huu mlango wa kujibizana. Uzushi hautonyamaziwa mpaka watu waende udongoni.
@mussakarata
@mussakarata Жыл бұрын
Allahumma amiin kanibadilisha mengi mnoo
@paulocosmas7232
@paulocosmas7232 Жыл бұрын
BACHU YUKO SAWA HAWA WAZEE VIKWAZO SANA YAN WANAOFIA KUPOTEZA WATU NA KUONEKANA WANAFIKI
@abubakarayubu8938
@abubakarayubu8938 Жыл бұрын
Kwakuwa mtume kawafokea wasokuwa wanajua ndo waona yuko sahihi kweri teja mwenzie teja
@feyxalbarry4595
@feyxalbarry4595 Жыл бұрын
Sasa na ww Paulo cosmas ni wakutia mdomo hapa kweli? Laanatullah nenda kaoge janaba kwanza
@saumsaid1966
@saumsaid1966 Жыл бұрын
Paulo ungetuacha kwakweli heee huku unafanyq nini?
@ibrahimrashid951
@ibrahimrashid951 Жыл бұрын
mimi namkubali shehk wangu bachu naona mashehe ubwabwa wanamchangiya duuuuu
@omarykusah9719
@omarykusah9719 Жыл бұрын
Bachu Ana kibr na niasili yaoo Hana adabu
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i Күн бұрын
Mtachoka huyo kijana as tuna mfahamu vyema. Huyo nimtuhajawana elimu yaubobezi ndoyale Yale alivyo elezwa na Babar
@djumanjike3256
@djumanjike3256 Жыл бұрын
Muhammed Bachu ni mkorofi tena mjinga hajasoma ache elimu ya uwahabe
@hamadali3231
@hamadali3231 2 жыл бұрын
Hiyo ndio shirki yenyewe kumkimbilia Mtume akuokoe
@saidihaji3739
@saidihaji3739 2 жыл бұрын
Nini maana ya SHIRKI ??
@ukwelimchungu183
@ukwelimchungu183 Жыл бұрын
Usidanganye watu mzee shafaa siku ya kiyama iko wazi Hapa hizo beti zinaongelea hapa duniani
@saidyussuf2291
@saidyussuf2291 Жыл бұрын
@@ukwelimchungu183 si mtetezi wa uzushi lkn napenda kuwa na insafu , ina maana ulishiriki katika kutunga icho kitabu ukajua dhamira ya mwandishi ? Na kiama kitatokea wapi kwani ? Na kwani lipo tukio kubwa unlijua kuliko kiama ?
@sihamjamal2234
@sihamjamal2234 Жыл бұрын
@@saidyussuf2291 yaani ulivyo fahamishwa vyote bado unashindana mhhhh maskini roho zenu munaskitisha Kwa kweli manake munamuona mtume kama mtu wa kawaida tuu
@saidyussuf2291
@saidyussuf2291 Жыл бұрын
@@sihamjamal2234 Fahamu nilichokisema halafu ndo ulaumu
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 Жыл бұрын
Matatizo haya sio ya duniani, siku nzito Kama hukuwa pamoja na mtume wewe Mungu hakuelewi.
@saidissa8273
@saidissa8273 Жыл бұрын
Hizi NI Aya au simulizi?
@rashidsuleiman9253
@rashidsuleiman9253 Жыл бұрын
nenda ukasome vyenginevyo itakua wafanya vurugu tu hapa
@thetravelquestservices
@thetravelquestservices Жыл бұрын
hehe unadhani kila mtu ni mjinga?? acha kutubeba kiutoto...hio ni hadithi iko sawa lakini maneno ya barzanji haikukusudia shida za akhera...
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 Жыл бұрын
Nmeamin mzazi waweza kua mwema bt ukazaa kituko
@alikibet5536
@alikibet5536 Жыл бұрын
Mwekeni sawa uyu kijana
@hashimahmed8846
@hashimahmed8846 Жыл бұрын
Wewe umesoma kwanza hata wamzungumzia mtu. Hukusoma nyamaza na uwaskize waliosoma
@kazoletv9991
@kazoletv9991 Жыл бұрын
Minafikiri huyu Mohammed Bachu anataka Kiki na kutumia vibaya Jina la babayake
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 Жыл бұрын
A/a huyu sheikh ni hodari kwa kiarabu na muomba aende madina ama makka univerty aka some Tawheed ilimu lake halina tawheed.
@isaackmlayy6228
@isaackmlayy6228 Жыл бұрын
Punguzeni uongo someni dini achaneni na hadithi yaani
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Жыл бұрын
Ewe kijana acha matusi kasome huna ukijuacho kasome kiarabu kasome nahau usitukana watu usikufurishe watu usije ukapata madhara
@fahmisaid7364
@fahmisaid7364 Жыл бұрын
Wazee hamujui na Mohamad akiwajulisha mwakataa hebu nyamaza
@muftiahmadimahmudulemba1918
@muftiahmadimahmudulemba1918 Жыл бұрын
Tatizo nielimu yakutafsiri na kujua makusudio yamaneno yakielim wanakurupuka tu kusoma hawataki kazifitna tu wafundishe mwalim
@jumamohamed5495
@jumamohamed5495 Жыл бұрын
Hiyo bachu akasome Hana elimu
@jumasalum1171
@jumasalum1171 Жыл бұрын
Ukitaka kumsaidia muhammadi bachu mpe ushauru akaseme
@siti3197
@siti3197 Жыл бұрын
Ndugu mtu hkikosea mfate n umuelez kuliko kuelez kwenye umati wawatu hiyo sio vizuri kuqallam mbele y watu
@fikratulmuhibbonlinetvismail
@fikratulmuhibbonlinetvismail Жыл бұрын
Bachu yaani elimu yake na anavo zungumza tofauti
@abumaryam6909
@abumaryam6909 Жыл бұрын
Sasa hapo ndugu si yu hai yaumul qiyamah? Sasa mtume yuhai sasa? Acha kutukana masheikh
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
Maulidi ni uzushi ulioletwa na Jaafar bin Barzanji!si lolote wala chochote ktk dini!pambeni mupambavyo haiwezi kuwa ni sehemu ya dini ama ukisema ni mashairi ya kufurahisha watu hspo sawaa!
@yunusjuma4340
@yunusjuma4340 11 ай бұрын
Shekhe sharan tunahitaji dalili kwenye maulidi yenu Kuna shiriki na bidaa acha kutetea bidaa
@fatimasaid9469
@fatimasaid9469 Жыл бұрын
Hi hadith niliisikiliza kwa sheikh jamaludin osman. Maisha ya akhera. Umeongea kweli sheikh watu. Allah awahifadhi nyote mutupe dawa ya imani wanaokeshea merekebisana kwa hekma cos mukigombana mtatugawanya ssi tusiokua na elim kma zenu.
@HemedSerious
@HemedSerious Жыл бұрын
Swadakta ndugu umenena vyema, Allah azidi kukuongoza inshallah
@suheilsuheil8780
@suheilsuheil8780 Жыл бұрын
Bachu chizi ndo mawahabi walivo
@abdulimakono
@abdulimakono Жыл бұрын
Endeleeni kuwaita mawahabi mwenzenu kachaguliwaa
@saeedqaseem1283
@saeedqaseem1283 Жыл бұрын
Sheikh shahran kaingia mjadala sio..... bora angenyamaza tu sasa wewe uko mtume salallahu alayhi wasalam unamfata unamuona unamfata akuombeeee je huku duniani pia anakuombea?????? Kwani kukubali kosa kuna shida gani kitabu kimetungwa na mtu makosa ndio ukamilifu wake acheni kulazimisha kosa kuwa sawasawa
@aboubakarcombo2198
@aboubakarcombo2198 Жыл бұрын
Huyo atakaejua kuwa anaulilia Umnati wke ni nani?
@saeedqaseem1283
@saeedqaseem1283 Жыл бұрын
@@aboubakarcombo2198 siku yakiama tutamfata yeye kwasababu tuko naye naye katika mujtamaaa mana nayeye atakuepo uwanjani wacha kukariri maneno hayaingiii akilini
@bintshariffmuhammad620
@bintshariffmuhammad620 Жыл бұрын
Mtoto wabachu maskini hana lolote taka kusomeshwa vizuri afahamu awache kujisemea
@allymahaba3425
@allymahaba3425 Жыл бұрын
Huyu mtoto wa Bachu haifai hata kumsikiliza darsa zake za tafsiri ya Quran. Ni mwongo sana. Yaani yeye anakurupuka tu kukashifu na kujisemea analotaka. Sasa mtu huyo hawezi kutufaa ktk Uislamu.
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
Kama yy hafai basi fanya wewe darsa
@hajisimaikhatib9002
@hajisimaikhatib9002 Жыл бұрын
Mtoto wa Bachu anakurupuka sana bado hajawa bingwa wa kiarabu asikurupuke mwache afahamishe elimu na wakongwe
@salmyhussein6255
@salmyhussein6255 Жыл бұрын
Hiyo ni siku ya kiama, kumwambia mtu akuombe kwa mungu ni sawa, ila kumuomba mungu kupitia kwa mtu ni shirki
@rashidhassan-5511
@rashidhassan-5511 Жыл бұрын
Akasome huyo bachu Kwanza aache kelel anamaliza bando za watu2
@ikramsalum5655
@ikramsalum5655 Жыл бұрын
Jibu hoja chap mzee mbona mambo mengi...
@Official._abby96
@Official._abby96 Жыл бұрын
Jifahamu ndugu yangu uyo si mzee
@ashrafmusa
@ashrafmusa Жыл бұрын
Mhhh
@abuusaalimalmasasiyyu9421
@abuusaalimalmasasiyyu9421 2 жыл бұрын
Hiz ndizo ada za wazushi hata siku ya kiama wakuombwa ni allah kwa sabab shafaa ya mtume haipati mtu isipokua allah aridhie...... Acheni uzushi hayo mabet yenu si qur aan wala hadith si muache tu muwe pamoja na ndgu zenu Huo ufaham finyu Masheikh waliosoma wakabobea wanasema ni shirk wew Nan kweny dini hii wala si hoj maneno yako wew s mwanawachuoni
@saidihaji3739
@saidihaji3739 2 жыл бұрын
Maneno yako ni mabaya saana ndugu yangu . 1} Watu kukimbilia kwa mitume siku ya Qiama ni jambo limethibiti ktk sunna wala sio ushirikina ... 2} Na kama ni shirki basi mitume pia wataingia kwasabb wao ndio wanawaelekeza watu kwenda kwa mitume . 3} Kuridhia au kulingania jambo la shirki pia ni shirki .. 4 } Na alietwambia kuwa Watu wataelekea kwa mitume siku ya qiama wala hawatoenda kwa Allah ni mtume . Na hadiith ni swahiih . Kama umezowea kugawa USHIRIKINA kwa Waislamu wenzako .. Basi mimi nakunasihi hilo jambo acha mara moja . KILICHOKUWA MUHIM KWAKO KWASASA NI KUTAFUTA MWALIMU UKASOME ILI UJUWE MAMBO YALIVO. LITAKUJA KUKUDHURU SIKU YA QIAMA .
@saidihaji3739
@saidihaji3739 2 жыл бұрын
NA KUSEMA ETI MASHEIKH WAKUBWA WAMESEMA PANA SHIRKI HEBU TUTAJIE NI MASHEIKH GANI HAO ?? ILI TUWAPIME NA WALIOSHEREHESHA BETI HIZO . PIA TWAMBIE NI SHIRKI KIVIPI ??
@abdulgadiralahdal901
@abdulgadiralahdal901 Жыл бұрын
Ukisema mpaka mungu. Apende hapo umekosea kwani mungu tayari ashapenda na ndio mtume akasema siku hiyo hiyo shafaa kubwa ni yake . Na kama mungu ni hadi apende na hajapebda basi mtume atakua yuwasema uongo katika maneno yake katika hadithi hiyo ya shafaa. Jee mtume ni muongo ?
@issamatogo2235
@issamatogo2235 Жыл бұрын
Sw mwanachuoni mkongwe
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Жыл бұрын
wewe mamako na babako pamoja na hivyo vijishee vyako ndo kina abdullah bin salun na abuu lahbi, ndo wazushi wa kwanza
@edhaomar2853
@edhaomar2853 Жыл бұрын
Ahurumiwe akijua atarudi nyuma
@user-qs8im7pl5b
@user-qs8im7pl5b 11 ай бұрын
Huyoo mtoto wa bachoo hana akilii
@ahmedrashid7638
@ahmedrashid7638 Жыл бұрын
Ilmu Ni Bahari, tusemeni sana
@adamnguvu1020
@adamnguvu1020 Жыл бұрын
*MANENO YAKE SHEIKH NIMAZULI SANA LAKINI SWALI NI HILI JE,YANAPATIKANA KITABU GANI?mnamsingizia WAKATI ADAMU keshatubia namungu Kesha msamehe REJEA QUR AN Surat BAQARA ukaone mungu alivyowasamehe sasaa leo ukija nahoja eti Atafuatwa Adam akatuombe atasema mm mwenyewe nimekula Tunda cjui hatma yngu HIYO SIO KWELI*
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 Жыл бұрын
Kwani wewe hujuwi hadithi shifaa kwenye vitabu yote ya hadithi ipo sana
@amunikibiriti
@amunikibiriti Жыл бұрын
Riadha swalihin
@alawisoud665
@alawisoud665 Жыл бұрын
Jitahid kusoma wacha upumba ndugu
@abdulrahmanidd5075
@abdulrahmanidd5075 Жыл бұрын
Soma ww mbuzi! Soma hadithi usikurupuke tu kuvaa majoho
@adamnguvu1020
@adamnguvu1020 Жыл бұрын
@@abdulrahmanidd5075 kunguni mkubwa weweee hadith mbele ya QUR AN Haina faida
@Abuumuqbil4994
@Abuumuqbil4994 Жыл бұрын
Hawana dalili Bali wanalinda wali wao wakila mfunguo sita
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 2 жыл бұрын
Kama hamjui maana ya shaafatul udhma musicomment huyu sh. Sharan amezungumza maneno yaliomo kwenye vitabu wacheni ujinga.
@mbaroukrashid6201
@mbaroukrashid6201 Жыл бұрын
Usiwaite waislamu wenzako wajinga ,kama huelewi nakwambia waweza ukawa na elimu kubwa sana na akatokea kuwa bora yule ambae hana elimu isipokuwa ni mcha Mungu tu ,kuna watu hawajasoma kama nyinyi lakin mda wote na kila wafanyalo wako pamoja na Allah wana yaqeen wanatulia kwenye sala zao hawali kharam na niwenye kuheshimu kila haki ya mtu na pia wenye kutoa sadaka . Leo hii anatokea mtu anaita waislam wenzake wajinga hao makari utawaitaje
@abdulazizmwipi9295
@abdulazizmwipi9295 Жыл бұрын
@@mbaroukrashid6201 ndgu yngu umeongea vzr xn ila usilalie upande m1 mnasihi na bachu anayeita waislam wenzake washrikina
@mbaroukrashid6201
@mbaroukrashid6201 Жыл бұрын
@@abdulazizmwipi9295 yah nitatizo hilo si unajuwa elimu za watoto wa kidigital wao wanashot cut to ,kuna tafauti kusema sio kweli na kumwambia mtu muongo ,
@abdulazizmwipi9295
@abdulazizmwipi9295 Жыл бұрын
@@mbaroukrashid6201 lakn kumpa mtu shutuma kusema sio kwl U kumwita muongo yan tyr ushamtia dhimma kubwa wakat yy ana hoja zake na hpo ndy fitna huanza maana kama bachu angekaa kimya angeongeleq ya kwake yasingetokea hayo
@mbaroukrashid6201
@mbaroukrashid6201 Жыл бұрын
@@abdulazizmwipi9295 kakosea dogo tumsameheni
@adammuhidin3016
@adammuhidin3016 Жыл бұрын
kumbe mnakubali kuwa maulidi hayakuwepo kipindi cha mtume s.a.w wala katika wema waliotangulia 😄😄😄basi sisi wanyonge wa mungu tunasimama apo apo hatupokei uzushi uzushi achilia mbali izo shirki zilizomo
@swalehemrombo9301
@swalehemrombo9301 Жыл бұрын
Kwani we mwenyewe hapo ulikuwepo wakati wa mtume au wema waliotangulia.!? Kwahiyo we mwenyewe hapo uwepo wako ni uzushii.!!
@adammuhidin3016
@adammuhidin3016 Жыл бұрын
@@swalehemrombo9301 watu wakizungumza mamb ya dini sio lazima ufosi uongee kukaa kimya na kujifunza nako ni ibada
@hashamadewa6451
@hashamadewa6451 3 ай бұрын
Watoto wakijua lugha tu wanafoka na mapovu. Hahahaaaa uuuuiiiiiii
@kasimlimo7356
@kasimlimo7356 Жыл бұрын
Wpenda wali wa maulidi wote watamponda Sheikh Mohammad bachu
@teedosuleish6155
@teedosuleish6155 Жыл бұрын
Qul bifadhlilahi wabirahmati wabidhaalika fal yafrahu...ebu afsiri apo mana maharusini mwapika wali ama ugali???😂😂
@HemedSerious
@HemedSerious Жыл бұрын
Kwa wali nao ni haramu au maana nyny hamchelewi kuharamisha
@sgrinsocial6180
@sgrinsocial6180 Жыл бұрын
Acheni ujinga wa kutetea ushirikina nyie wazee. Subiri mfe ndo mtajua ubaya wa huo ubaya wa ushirikina mnaoutetea.
@masoudhassanomary1544
@masoudhassanomary1544 Жыл бұрын
We mzeee katilie nyumban kwako na mkeo usiwadanganye watu wazima sawa
@ibn_maleeqqeibraheem_188
@ibn_maleeqqeibraheem_188 Жыл бұрын
Muhammad bachu yuko sawa ww ndo ulokurupuka na huna maneno mazuri mtabakia hivo hivo na upuuzi wenu wa barzanji,mushrik nyote watu wa maulidi
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Жыл бұрын
mpuuzi wa kwanza huyo malaya wako halafu wewe mpuuzi wa pili
@ibn_maleeqqeibraheem_188
@ibn_maleeqqeibraheem_188 Жыл бұрын
@@mafiatv5479 we hata hujielewi maskini .....skulaumu dini yenu ya,maulidi hio ilokufanya paka watukana bila,kuona,haya..ovyo kabisa
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Жыл бұрын
@@ibn_maleeqqeibraheem_188 wataka kutukanwa, kwa sisi dini yetu ni maulid, hatuswali, hatusomi kur aan, hatufungi, hatuhiji, hatufanyi lolote? ittaqi llah, sema kweli, usiseme tu km wajifurahisha, hii dini
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Жыл бұрын
@@ibn_maleeqqeibraheem_188 ndg kuna dini ya maulid? kua mkweli
@ibn_maleeqqeibraheem_188
@ibn_maleeqqeibraheem_188 Жыл бұрын
@@mafiatv5479 fwateni quran na sunnah tosha hio ndo mtume aloacha ,barzanji zanini sasa...mbona hamtaki kutafta ilmu lakini hao mashekhe wenu wawapotosha
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 2 жыл бұрын
Shafaatul udhmaa iko kwa Mtume Muhammad peke yake munajifanya munafuata na hamumjui vizuri.
@kristinaojambo3611
@kristinaojambo3611 Жыл бұрын
Tafsiri yako ni fitna kwa ummahh. Bona siku ya maulidi hufafanuwi mambo hayo.tahadhar
@Abuumuqbil4994
@Abuumuqbil4994 Жыл бұрын
Ahlu ubwabwa hwakubali Wana tetea wali tu
@farhathassan7178
@farhathassan7178 Жыл бұрын
angefanya kutafsiri ili tuone kama alikosea muhamad bachu, mtume mwnyw alishasema kuwa yeye atawaombea wafuasi wake siku ya kiama, ilitakiwa aseme kuwa hata huku duniani kwamba ni yeye wa kumkimbilia tukiwa na matatizo yetu, kama hakusema sasa kwa nn tumuendee yeye wakt mwnyew alishakufa na tunaambiwa sisi ndio tumuombee dua?
@aboubakarcombo2198
@aboubakarcombo2198 Жыл бұрын
Ww unaweza Kumuombea Dua Mtume?
@swalehemrombo9301
@swalehemrombo9301 Жыл бұрын
@@aboubakarcombo2198 ..daaaah.!! brother Hawa wasomi wa mitandaoni Hawa wa siku hizi kazi kweli kweli wallahi !! Heti anajifaharisha kabisa nayeye anaweza kumuombea mtume Dua hetiii.! 😅😅
@swalehemrombo9301
@swalehemrombo9301 Жыл бұрын
@farhathassan7178..wewe hasa hivyo ulivyoo na mizigo yako uliyonayo ambayo unangojea rehma za Allah ndio mtume hasaa ategemee Dua Toka kwako wewee.!! 😂😂😂Asee daàah.!! Someni jmn vijana wa Sasa achaneni na hizi elimu za mitandaoni zitakupotozeni.!
@farhathassan7178
@farhathassan7178 Жыл бұрын
@@swalehemrombo9301 mm sitakutilia shaka juu ya uislamu wako, lakin nakutilia shaka juu ya sala zako. unasali vip? unatoaje shahada yko? km haya unayafanya basi hujui ulitendalo, hujui kama kila muislamu akiswali humuombea dua mtume, Allah amnyanyue daraja yake na ampe wasila? yani hujui hata sala yako ami halaf unajichekesha? Basi acha nikufunze hapa unufaike bila ya choyo wala gharama. Omar (RA) amesema nilimuomba mtume ruhusa kwenda umra na akaniruhusu, kisha akasema (mtume) usitusahau ndugu katka dua zako... hadithi wamepokea abuu daud, ibn majah na tirmidhiy nenda katizame au waulize mashekhe zko, na pia mtume amemuahidi ataemswalia na kumuombea wasila kwa Allah kuwa atamuombea siku ya kiama. Yani unajichekesha kama unajuwa vile kumbe hamna lolote! Bali ww ndio uchekwe, unatakiwa ujue kuwa katika haki za mtume ni ww kumuombea katika kila swala na kila unaposikia adhana. Na mwisho, acheni kupelekeshwa, someni acheni kwenda na upepo mkajifanya mnajuwa kumbe mnajidhihirish kuwa hamjui kitu mnatumia akili tu. Njooni na dalili mnatumia tu akili za kawaida, natumai makibu yng yamekufika na yamekunyoosha.
@farhathassan7178
@farhathassan7178 Жыл бұрын
@@aboubakarcombo2198 ina maana ukubwa wako huo hujui kuwa kila siku unatakiwa umuombea duwa mtume katika sala zako? haya nimemjibu mwenzio huko chini, nenda kachukue kozi sina haja ya kurejea. Ikiwa mtume mwenyew amesema tumuombee ww nani useme kuwa hatuna haja ya kumuombea? kwann tusimuombee? kwann akasema tumuombee mwnyw? lakini unaijuwa sala yako? unasemeje katika tashahhud au unataka nikufundisheni hadi tafsiri?
@khadijasaid5065
@khadijasaid5065 2 жыл бұрын
Muwacheni kumtaja vibaya shekhe wetu Muhammad bachu MUNGU amempa kipaji kizuri nakisomo awashinda uchungu wanini..MUNGU AMUHIFADHI shekhe wetu Muhammad bachu..
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 2 жыл бұрын
Mna shekhe au shehena mwambie a kasome ht mm nawez kysimam nae kW hoja hna lolot
@Abdulhalim-ty6ij
@Abdulhalim-ty6ij Жыл бұрын
sheikj mohd bachu anapupa baya
@Abdulhalim-ty6ij
@Abdulhalim-ty6ij Жыл бұрын
hana hekkma sheikh muhammad bachu
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 Жыл бұрын
Hamna kitu kwa shekhe wako huyo
@shaibhasan9233
@shaibhasan9233 Жыл бұрын
Bachu sio sheikh ni njaaa tu
@shaibhasan9233
@shaibhasan9233 Жыл бұрын
Muacheni bachu han lolote
@allylassuh4947
@allylassuh4947 Жыл бұрын
Kwaio siku ya kiama ni mtume gani atauombea umma ili kila mmoja apewe hukmu yake wakupumzika apumzike jibu ni mtume gani ataombea umma au ni yupi tutakae mkimbilia kma sio mtume
@sihamjamal2234
@sihamjamal2234 Жыл бұрын
Aachwe kweni kakamatwa ki kiherehere chake amepata msomi anamjibu aachwe aseme atakavyo
@masoudhassanomary1544
@masoudhassanomary1544 Жыл бұрын
Hujielewi ww mzeee akili yako ni matope
@saumsaid1966
@saumsaid1966 Жыл бұрын
Dozi imekuongia nini
@rashidsuleiman9253
@rashidsuleiman9253 Жыл бұрын
@@saumsaid1966 weye ni mshenzi mkubwa, punda wa mawahabi
@saumsaid1966
@saumsaid1966 Жыл бұрын
@@rashidsuleiman9253 mbona maneno makali ustadhi.
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 Жыл бұрын
Hayo ni maelezo na tafsiri zako tu, kitabu hakijasema hivyo, ushirikina wa wazi kabisa , ni kama wakiristo wanavo utetea uungu wa yesu wao.
@MuyaDadirri-mw1rt
@MuyaDadirri-mw1rt Жыл бұрын
nenda madrasa ndo ujue Yana Toka wapi
@MuyaDadirri-mw1rt
@MuyaDadirri-mw1rt Жыл бұрын
nenda madrasa ndo ujue Yana Toka wapi
@MuyaDadirri-mw1rt
@MuyaDadirri-mw1rt Жыл бұрын
nenda madrasa ndo ujue Yana Toka wapi
@MuyaDadirri-mw1rt
@MuyaDadirri-mw1rt Жыл бұрын
nenda madrasa ndo ujue Yana Toka wapi
@mrsultanzimbwe6746
@mrsultanzimbwe6746 Жыл бұрын
Teteeni uzushi tu lkn Akhera
@mafiatv5479
@mafiatv5479 Жыл бұрын
mzushi wewe, mungu ndo ajua tutakwenda wapi? wewe mwenyewe wajijua utakwenda wapi? mpumbavu tu
@HemedSerious
@HemedSerious Жыл бұрын
Lkn akhera nn ? Au unataka kutupeleka motoni mkuu maana nyny hamchelewi
@pandumakame6421
@pandumakame6421 Жыл бұрын
Shehe umechemsha kwa maulid ni bidaa
@aminirashid2833
@aminirashid2833 Жыл бұрын
Weee sheikh nenda kasome Tena bado.
@bintshariffmuhammad620
@bintshariffmuhammad620 Жыл бұрын
Mtoto wabachu maskini hana lolote taka kusomeshwa vizuri afahamu awache kujisemea
@farheenmasoudchannel2495
@farheenmasoudchannel2495 Жыл бұрын
Bachu Hana lolote umejuaje kaka Siri ya elimu yake km yupo sawa ama hayupo sawa ALLAH ndio anajua
@hamadali3231
@hamadali3231 2 жыл бұрын
Hiyo ndio shirki yenyewe kumkimbilia Mtume akuokoe
@shaphiasabani5760
@shaphiasabani5760 Жыл бұрын
Ww ni mpumbavua kama ww unamkataa mtume bc tafuta uma wako maana yy ndio aliyetuombe azabu zOte
@khamismohd5290
@khamismohd5290 Жыл бұрын
Shekh duniani ni tofauti na akhera maelekezo yote yamefundishwa na utaratibu acha kubabaisha
@mubaarakamussa9567
@mubaarakamussa9567 Жыл бұрын
Assalaam alaykum warahmatu llahi wabarakaatuh,,,,mimi nina maoni tofauti,,,,NINA OMBI KWA SHEIKH MOHAMMED BACHU,,,,CHONDE CHONDE,,,,TUPE ULICHO JAALIWA NA ALLAH AZZA WAJALLA KTK ILMU,,,,,WAACHE HAWA WANAO KOSEA KOSEA KTK ILMU YAO,,,,WEWE FUNDISHA MADA ZAKO KUNA UMMA UNASUBIRI MADA ZAKO,,,,,SASA UKIANZA KUPITIA MADA ZA WALIZOKOSEA ILI UZIWEKE SAWA,,,TUTAONA UNA MINAAKASHA MIIINGI,,HATA SIKU NYINGINE TUTAKUWA WAVIVU KUSIKILIZA MAJIBIZANO,,,,,,,KUNA UMEBAHATIKA KWENDA KWA DR ISLAM MOHAMMED SALIM,,,,CHUKUA SEHEMU YA TABIA YAKE YA KUEPUKA KUJIBU JIBU MADA ZA WATU,,,,,,,NAIPENDA SANA TABIA HII,,,,,,
@abujole3992
@abujole3992 Жыл бұрын
Ikiwa humkimbiliye mtume utamkibiliya nani
@abujole3992
@abujole3992 Жыл бұрын
Wewe nimjinga kweli ikiwa hutaki mtume akuokowe kesho akhera nani ataokowa watu ila ni mtume Mohamed ndiye atatupatia shifa
BACHU APEWA SOMO LA MAULID NA SHEIKH SHAHARAN
13:33
EL-BAHSAANY TV
Рет қаралды 20 М.
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 30 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 84 МЛН
SNURA AMMWAGA MACHOZI SHEIKH SHAHRAN AMSOMEA AYA HIZI ZA MUNGU
11:13
Riyadh Tv Online Znz
Рет қаралды 13 М.
SHEIKH SHAHRAN MUSA JONGO TAFSIRI YA QURAN SURAT ZILZALA 1-8
1:13:18
RVS Online Tv
Рет қаралды 8 М.
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku,31 Julai 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 698
MAKARAMA YALIYOMTOKEZEA SHEIKH WALID
17:20
DARSA TV
Рет қаралды 143 М.
SHK.SHAHRAN MISAFARA YAO BARABARANI ISIWATIE PRESHA HAYA NI MAISHA YA MPITO TU
18:24
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 88 М.
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 30 МЛН