uko wrong my Guy sometimes lazima u Fight, Ngoja AI iwe moto utajua how to save yourself just incase God will not come to intervene .
@user-ql6hg7fy9pАй бұрын
Hii sasa ndiyo Marekani tunayoijua
@user-sb3vt1yh9sАй бұрын
Nimecheka kwa sauti imeshanyesha huko
@azasam1447Ай бұрын
Fbi na cia hamna ulinzi imara kbc bora bongo
@user-ql6hg7fy9pАй бұрын
@@azasam1447 Sasa hili tukio la mauwaji lingetokea Urusi, vyombo vya habari vya magharibi ungesikia wakisema CIA na FBI walikuwa wanajua na waliwatahadharisha. Hawa ni matapeli wakubwa wao wenyewe ndio wahuska haya mengine ni mbwembwe tu na propaganda.
@dandara008Ай бұрын
@@azasam1447😂😂😂😂 acha utani fatilia vizuri iyo ilikua inside work mzee CIA na FBI knew about it sema is an inside job walitaka wamfanye trump kama walivyo mfanya JFK ila sio eti kwamba awajui akati kuna mwana alikamtwa kwa kupitia social media tu acha utani na surveillance ya marekani wewe
@issalyanali4119Ай бұрын
Huwezi mpiga Putin kuzembe vile
@Abdulrahmaniluhumba-kf6sdАй бұрын
Kisha wanazishtakigi nchi za kiafrika kuwa hazina demokrasia ....
@musiccaentertainment100k8Ай бұрын
Kwan democrasia ni nini😅😅
@omarymwaluko9765Ай бұрын
@@musiccaentertainment100k8democracy ni ushoga
@dandara008Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 ona sasa yan hajui chochote anaropoka Trump kawa targeted kwa sababu nyingi sio inchi ni Sera za chama ,marekani wazungu kibao wanajitambua na wana hofu ya mungu kama wewe, issue ni viongozi wa vyama vya siasa democratic part VS republican mzee kama unafatilia fatilia mpk mwisho usitikise mti maembe hayaja wiva
@dandara008Ай бұрын
Sera nyingi za ubaguzi juu ya watu weusi na ndoa za jinsia moja zimeidhinishwa na kuanzishwa pia kutekelezwa na chama cha democratic part ambao ndo walikataa pia kufuta utumwa mpk chama cha republican (abraham lincoln) kupiga vita kufuta biashara hiyo na pia kuwapa watu weusi nafasi ya kufungua biashara na kununua ardhi
@dandara008Ай бұрын
Na ata ivo marekani ni REPUBLIC OF UNITED STATES kwamba inchi zote ambazo zipo ndani ya bara la American (canada,australia etc)kuungana na kutumia sarafu moja ya kiuchimi na mifumo ya kisiasa na sheria za inchi kwaiyo Sisi wenyew Africa tunatakiwa kujita REPUBLIC OF AFRICA kwa sababu bara la africa ni moja usipagawe na mipaka ya wakoloni democracy is like saying socialism
@eve3894Ай бұрын
Asante sana Sky . I was waiting for you to report this. You and your team am doing a great job. Lots of love from London ❤
@redtk2971Ай бұрын
We na we icho kingereza cha mkoa gani kwani😂
@mathiaslyamunda2526Ай бұрын
Kabisa
@salimbahatisha3003Ай бұрын
Ni London hii hii yenye kiengereza iki au London lounge ya kule ubungo external jeshini😁
@GoodDeeds-JesusАй бұрын
@redtk @salimbahatisha Inaonekana ninyi wawili ni wajuaji sana halafu hamjui kitu, hapo alichosea kikubwa hasa ni kipi? Inawezekana hata mkiulizwa kakosea wapi mnaweza kuwa hamjui. Kakosea kwa bahati mbaya nina uhakika huo kwasababu kila kitu kipo sahihi isipokuwa kAtype "am" badala ya "are" kwa mtu muelewa anafahamu kabisa ni bahati mbaya, wabongo sisi kwa chuki na wivu asee!
@habibahabiba7128Ай бұрын
Hatari@@redtk2971
@KS-iw7qvАй бұрын
Washenzi Mungu Ajaalie NA wao Wapigane Wao kwa wao... kama wanavosababisha mauwaji kwenye ULIMWENGU huu.....🤲
@dandara008Ай бұрын
😂😂😂😂 siku america ikidondoka jua adi bongo mzee acha kujichetua kaka fatilia siasa mwanzo mwisho isishie njiani
@KS-iw7qvАй бұрын
@@dandara008 mbona tayari ameanza kidogo kidogo kuondoka kwenye sovereignty ya dunia.. Hii kawaida huwa kidogo kidogo
@rasvegas8991Ай бұрын
Dj sima alisemaga yupo salamaa
@AliAbdousalamiАй бұрын
Marhaba SNS kwa kututa Habari Zauhakika , Hongera ❤
@elmelekidaniel3015Ай бұрын
INGEKUWA AFRICA UNGESIKIA WANATAKA KULETA WALINDA AMANI WA UN WAKATIKWAO AMANI HAIPO
@DavidMwamengoАй бұрын
Sky this is so great, I really appreciate your effort 👌 💪, I think in Africa we practice democracy despite everything which happens here, united state they should come to Africa and learn from us how to practice democracy, anyways its really bad for Trump hoping he will get back to his feet soon
@jumamussantuicheАй бұрын
Na amini dunia awafuati marekani democrasia.bali wanafuata misaada na uwoga.
@sonnyr1899Ай бұрын
Halafu vyombo vya magharibi hawajasema kanusurika kifo bali wanasema eti Trump kaumiya 😮😮😮 Ukweli utakuja tu.
@dandara008Ай бұрын
😂😂😂😂😂 hao ni CNN ndo mana Trump anawaitaga fake news america is so divided yan utahisi vyombo vyote vya habari vina sugarcoat vitu ni kweli hata raia wanapata shida juu ya icho kitu ndo mana wanatumia social media kama X au TRUTH social kupata habari pure
@dandara008Ай бұрын
censorship is real na huo ni mfano mdogo
@JamalDikolagaАй бұрын
Duh aisee Pol San
@ayshasaid1547Ай бұрын
Damu ya gaza itawaghalimu watageukana wenyewe kwa wenyewe Mungu ajibu maombi
@nassercurtis9579Ай бұрын
Unaongea upuuzi mjinga wewe, huyu ni mkweli hafichi hata maovu yao ndio hawampendi, na kuhusu gaza ameshasema sana raisi wa sasa ameziba masikio ukumbuke huyu ni rafiki wa Urusi maana yake uwepo wake ungepunguza vita.
@rjqaasam4587Ай бұрын
Aaamiin
@TunuAdam-gc9rcАй бұрын
@@nassercurtis9579kweli kabisa unachokisema
@ayshasaid1547Ай бұрын
@@nassercurtis9579 wewe ndio mwehu usiejitambua
@zeinababdi4757Ай бұрын
I was watching live when it happened 😮
@Lewinglovbi6699Ай бұрын
Ingilikuwa Africa kwetu hapo wangilisema wazungu mpka basi tu😂😂😂
@evelynemugeni2369Ай бұрын
Nawao njo wanaleta migogoro Africa
@user-xo9rb7wj7sАй бұрын
Kwanini wasisemwe, ni wanafik sana ndo wao kwa makusudi wanailetea Africa na n'nchi zengine migogoro kwa zimwi liitwalo democracy
@dandara008Ай бұрын
@@user-xo9rb7wj7sKabisa sema we unataka mfumo wa chama kimoja ili iweje ukifatilia chama cha democratic kimekaa madarakani muda mwingi na kina kura za watu wengi weusi lakini chama hicho hicho ndicho kilikataa kuwachilia watumwa wawe huru kimewanyima reparation watu weusi kwaiyo na ni chama cha watu wanaotaka ajenda zao zitimizwe🌈 2016 ulimuona wap trump anaenda inchi za watu anawambia wakubali ushoga akuna kwasabubu yeye anatokea chama cha republicans na sasa chama cha democratic kimemaliza muda wake na raia wanamtaka trump arudi madarakani lazima watime nguvu kubaki madarakani hasahasa pale kiongozi anaerudi madarakani ataki shogo na ajenda zao
@emmanuelmanga25Ай бұрын
Hao hao secret services watammaliza na huyo waliyemuua ni mtu wao
@MohammedAlly-hp8fgАй бұрын
Yes wla ujakosea ni mchezo tu umefanyika kwa sbbu zao ilikumjengea Iman mbele za umma na kumchafua mwengine ujinga ujinga tu
@omarymwaluko9765Ай бұрын
Nyiny mashoga mnasemaje hiyo ndio marekani halisi
@RyannkaeАй бұрын
Hapana kuna mda unawekwa huru ila hawa ndo wwamefanya drump asife walimrukia mapema na kumuweka chini wao wakakaa juu yake sisi tulikuwa nao live
@AmaniMathodАй бұрын
Joe Biden anawaza vita na trump wanajuwa kwamba watashinda... trump na Vladimir ni marafiki na marekani hawataki Hilo wao wanawaza vita
@jamesraphaelmdima4729Ай бұрын
LGBTQ+ Community hawamtaki trump!
@dandara008Ай бұрын
@@jamesraphaelmdima4729Trump kafanya mengi chakwanza Amani ukiangalia middle east kwanzia 2016-2020 kulikua hakuna vita Putin alimuheshimu trump kwasababu alizuia bomba lake la mafuta kwenda Europa kwaiyo putin lazima angekua mpole ili afanye biashara kwasababu Russia bila mafuta awana nguvu ya kupigana vita na Trump alikua anajua ilo kwamba hata uwe na vifaru elfu hamsini mabumu hayajifyatui yenyewe lazime wese liwepo na United Arabs walikubali kuendele kuuza mafuta kwa dola na USA ilikua no1 katika uzalishaji wa mafuta kwaiyo hakuna ambaye angeweza kununua mafuta kutoka russia bila kua na hofu kutoka marekani na kwaivyo trump miaka yote 4 ilikua na Amani pia wana inchi waliishi maisha mazuri kwa kushuka kwa bei za mafuta na kila kitu ni mafuta (umeme) pia soko la hisa lilikua zaidi ajira zilikuwepo sio tu kwa watu weupe bali ata watu weusi na raia south american na wachina waliopo marekani ivyo kila Race ilikua inapata ela ya kuendesha maisha yao uhalifu ulipungua uhamiaji haramu pia kwaiyo trump alikua totauti sana na Rais waliopita na ndio mana masocialist awakupenda na wana taka wakabi madarakani pia kwaiyo kwa wao wanamuona trump kama tishio ila kwa raia wanamuona Tumaini lao la mwisho
@ramdanmbara8500Ай бұрын
Daah, kwa tukio hili sasa NAMKUBALI SANA DJ SMA. na kuanzia leo najiunga kwenye group la whatsapp
@fauzanhamedАй бұрын
hujachelewa sana
@fauzanhamedАй бұрын
karibu kweny ulimwengu wa ukomboz wakifikra
@shafiiramadhaniАй бұрын
Hiyo ndiyo tofauty ya sns nawengine
@FgldesignsАй бұрын
Haya waendelee kutuaminisha Marekani kuna Amani na Demokrasia
@RizikiQueenАй бұрын
Marecani akuna amani mimi niko uku amna amani kbs
@gracenbarnes5254Ай бұрын
Hakuna amani sehemu gani ya marekani kazini,mtaani,kazini au wapi mimi naishi marekani sijakutana na kadhia yoyote
@ce-08Ай бұрын
😂😂 watu bhana amani ipi nyinyi mnayoitaka changamoto ndogo ndogo Kila nchi zipo hakuna nchi ambayo inaamani kama vile uko peponi haipo hyo nchi
@omarymwaluko9765Ай бұрын
Marekani mashoga
@dandara008Ай бұрын
@@omarymwaluko9765😂😂😂😂 ushadanganya mpaka basi ukitaka kujifunza anza umpya anziaa na WORLD ECONOMIC FORUM na kama umesoma kitabu cha think and grow rich utaona jinsi gani majina makubwa ya mabilionea wa kimarekani ndio wanotaka kutumia njia hii kutawala dunia yote ndio mana wanatoa ela ili kusambaza agenda hii ndhani corona pia imekufunga macho kwaiyo sio tu America kama utafatilia nlichokwambia utagundua inchi ya Marekani ikijakudondoka Hakuna inchi yoyote itakayo baki zote zitadondoka kwaiyo usichukie inchi bali fatilia watu wanaoichafua inchi na MALENGO hayo hasa ni nini
@ContentSmartphone-rq6poАй бұрын
Huyu ndio rais ajae kwakweli😊😊
@ayubusossy2893Ай бұрын
Perfect keep it up Brother Sky
@user-jo5ig8ww1bАй бұрын
Watauwana wao kwa wao kwa laana za watoto wa gaza
@fasterwalker1464Ай бұрын
Watoto wa Gaza kvp
@DavalsonMarlonyАй бұрын
upo tz unaiwaza gaza how😅😅😅
@harrisongakure-ob7kwАй бұрын
Na wacongo
@KS-iw7qvАй бұрын
Mushafahamu musijitoe akili....
@humphreymwihambi4330Ай бұрын
Unawaza udini tu. Congo, Sudan wanauana kuliko Gaza mbona husemi?
@evelynemugeni2369Ай бұрын
Inchi inaotufunza democracy kwetu Africa 😢
@officialyoung6Ай бұрын
Ni hatar
@DrNelsonJohnMuhirweАй бұрын
Asanteni Sana
@hamzafishten9560Ай бұрын
Mpo vizuri
@Torono_95Ай бұрын
Africa niwakati wetu kuwatumia barua ya onyo waache izo mambo zao
@jemjay1011Ай бұрын
Was waiting for this
@sammy-b6281Ай бұрын
Wanasiasa ni wajanja sana wakiwa Kwenye kampeni wanatupumbazisha kwa matukio ya kweli na ya uwongo .
@richarddavidmkАй бұрын
Traore awe makin sana zile ishu za watu kumlaki aachane nazo. Mfikishie taarifazake
@ShabanKarim-tv3vnАй бұрын
Marekani niinci yaajabu wahuni niwengi
@EmmanuelLupojaАй бұрын
Hapa kwenu hawapo si juz tu JPM ametoweka
@KassimAlly-xp4dzАй бұрын
Iyo ki2 kaipanga mwenyewe ili awe katika safe side wa2 wamuhurumie m2 apewe kazi ya kumpija yy amkose kabisa huu ni uongo imepangwa na wao wenyewe
@hemedrashid2921Ай бұрын
tenaaa boraaa wangemuuaaa wnyonyajii wa bara la africa na wabuguzii na watesaji wa wafricaa wenzetu huko americaa
@jeanmusamba8448Ай бұрын
God is good he survived
@user-ii6gs2jg4gАй бұрын
Mbona kama utabili niliousoma kuuwawa kwa Trump unataka kutimia jaman.
@KassimAlly-xp4dzАй бұрын
Trump amepanga yote ayo
@josephkiwale374Ай бұрын
Kitabu cha ufunuo wa Yohana kilishaga mmulika trump kitambo!!what a mysterious book
@mussakiziyzi408Ай бұрын
Dah ! Kwa hio wakam mau zinde sio ?
@user-kh7bc4js1mАй бұрын
Dah!amshukuru mungu cna
@ankalmzito254Ай бұрын
RUTO MUST GO
@agwalubifaridah7079Ай бұрын
Mchewww
@ankalmzito254Ай бұрын
@@agwalubifaridah7079 hata kuandika haujui nadhani pia kusoma haujui.....
@MaridadiRashidilikwesoLikwesoАй бұрын
safi sana ulafi wa madaraka umezidi
@shaabanramadhan6770Ай бұрын
Siasa za wenzetu zina hatarisha maisha yao sana
@Gulfnas1Ай бұрын
Sma alisema kitambo!! Hujawahi kufeli
@denisrenatus4935Ай бұрын
Hongera kwa Dj sma na tunasubl uchambuz wake kwa hili tukio
@saudamwinyipembe5749Ай бұрын
Africa tujifunze kujiendesha wenyewe si kutengemea hawa watu ambao hata wanaoneana wivu wao kwa wao 0:00
@amanijampion3045Ай бұрын
Ila hajadhurika sana
@salimfaraj5509Ай бұрын
Hiyo mipango ya serikali ya marekani. Wanajua Trump akiwa raisi atasitisha kupeleka silaha Ukraine na kuacha kuisapoti Ukraine.
@fahadfaraj6474Ай бұрын
Sio wanajua ameshasema hakuna shilingi itatoka kwenda Ukraine
@user-eg1ts2fu9zАй бұрын
yaleyale aliyo sema DJ sma
@peterIrungu-bq1hjАй бұрын
Hii ni kiki ya Wana siasa
@SaraphinaKidoti-qe7giАй бұрын
Uwauwane mamaeeee washazoea kutufanya tuuwane africa wafeee
@AfricaamkenitznawenusoАй бұрын
Nchi inayo tetra haki za binadamu! Hovyo. Biden na jopo lake anahusika
@FredCharles-u3zАй бұрын
Acha Africa ingekua urusi leo sipat picha
@adamkapolo8817Ай бұрын
Dj sma alitabiri mwezi mmoja kabla
@user-es4uf6gj7uАй бұрын
Acha owongo
@user-it7ih1it3mАй бұрын
Dj sma alitabir kitu gan tujuzane
@Niget-us1npАй бұрын
@@user-es4uf6gj7usababu ufwatiliwi fuyus
@adamkapolo8817Ай бұрын
@@user-it7ih1it3m alitabiri kuuwawa kwa ant west viongozi wote wanaopinga magharibi alimtaja pia trump
@muanashaswaleh5110Ай бұрын
Hii twataka ruto afanyiwe mana ame tushinda Tabia
@lisawilliam2491Ай бұрын
Duh
@radjamtaki5597Ай бұрын
Taarifa za kushambuliwa kwa patriot defensive system huko ukraine mbona hamtupi???
@salmaalimusa6809Ай бұрын
Watajijua wenyewe.
@SalehSonda-bz3hlАй бұрын
Africa amka acheni kuuwana acheni vita kaenipamoja serikali na waasi amani ipatikane,moto hauzimi moto,moto unazimwa na maji.
Kweliiii mtuu amepanga kukumalizaa anapigaa risasi Kama njuguu angekuwa mtuhumiwa angekuwa anania kweliii angepitaaa na kichwaaaa 😂😂😂😂
@GibsonNtamamiloАй бұрын
Kwahiyo huyo aliyekufa amejiua 😂😂😂
@robertkabuthia2781Ай бұрын
That was close
@kennedyjomo9255Ай бұрын
Democracy is not Democracy
@JeivinMtunduАй бұрын
Afu tunaambiwa marekani kuna democracy..ukitaka kujua waandishi waa marekani hawakubali nchi yao kuchafuliwa wanaandika simpo tu ashambuliwa iwe hapa bongo tungeyasoma mengi freemason wangehusishwaaaa
@surusuru1994Ай бұрын
Duuh hatary😳😳
@goodluckmwamboneke5591Ай бұрын
Wamelitengeneza shambling hili, limekaa kisiasa sana na huku marekn wengi hawajaliwekea manan sana
@scorasticaclement6308Ай бұрын
Tukio la Kutengenezwa Mpaka Kuuana Duuh Sio Poa
@rumdeesonsoa1811Ай бұрын
Hawajaliwekea maanani kivipi wakati kila chombo kinatangaza?
@worldhappiness1181Ай бұрын
Sio la kutengeneza Bro, kwan kuuana viongoz huko marekan imeanza leo
@hilarymtepa9811Ай бұрын
Love it love it.
@mootelahamongus633Ай бұрын
Ndiyo tunaambiwaga hiyo ni nchi ya demokrasia.
@moseskulola6913Ай бұрын
Kazi suri Sana ya lizi walipo mu protect trump
@user-xo9rb7wj7sАй бұрын
Toka zako damu zimetoka..jamaa yako kaafa , walinzi wameprotect nini😅😅
@brownjulius8514Ай бұрын
Asee wamarekani shikamooo
@user-hj4bc5uh2xАй бұрын
Nakingine utaskia mshambuliaji anaasili yakiarabu au kiparestin
@uwembatvonlineАй бұрын
Wao kwa wao,, ndiyo maana wamemuua ili kupoteza ushahidi 😂😂mchezo wake Trump huo
@TrinaRoman345Ай бұрын
Afu utakuta wapuuzi wamoja huku kwetu wanasimama jukwaani na kujinadi jifunzeni demokrasia Marekani 😢 sijui wanatuona sie wananchi hatuyaoni yanayoendelea huko kwako 🤔
@Theman-dn8voАй бұрын
Sawa sio adi marekan hta hapo kwa jitani zetu tunajifunza ila kwetu hapa hakuna hio
@OmbeniSengambiАй бұрын
Hahahaha duniani ukiwa tofauti na watu wengine kinachofatia vita tu kwanzia mitume viongozi wa serekari mbaka famiria
@user-fj5dy9hh5vАй бұрын
Hiyo ndio historia halisi ya mabeberu wanaposema sisi sio wastaarabu ni kwasababu ya uchonganishi wao ila wao wamekua sio wastaarabu kwa kutuua sisi makutuibia mawekuja kustaarabika baada ya kuiba sana duniani kote na kuua watu kwa njia tofauti ikiwemo utumwa
@user-xt3pq4hb2rАй бұрын
Marekani ya maqaidi
@user-hi8le2vb7zАй бұрын
Nampongeza Mpiga picha aliyeipata io shot ya chini akiwa kashapigwa
@bahatichungu8312Ай бұрын
All fighters are in dangerous,oh!! God protect them.
@stevenmahinda657Ай бұрын
Kwann auawe badala ya kumkamata...
@martinisadru9899Ай бұрын
Mbona hatari sana!,, mwamba trump aishi,,,
@SimonJeshi-nq1hsАй бұрын
Hio ni nchi yenye democrasia !!!!!!€€€!!!!!!
@omarymwaluko9765Ай бұрын
Democracy ya ushoga
@salumunsabimana6502Ай бұрын
👏👏👏👏👏💪💪
@sharonvugutsa969Ай бұрын
😢😢😢😢😢😢
@fallykhan2383Ай бұрын
Hii mbaya sana😭😭
@RyannkaeАй бұрын
Nasikia aliye jaribu kumuhuwa ameuwawa nawana nchi
@rumdeesonsoa1811Ай бұрын
Tukio kubwa sana hili na limenishitua sana
@mdimistudio6041Ай бұрын
Daaah wanataka kumuua mwamba
@solomonjackson3827Ай бұрын
Mwenye maono Hafi mpaka yatimie
@cheiknamouna2058Ай бұрын
Im smelling something bad wacha kiumane vizur tuone😂😂
@emmanueljohn7253Ай бұрын
Kama yeye kakoswa basi tupeni taarifa za hao walokuwa nyuma yake
@samwelipima3795Ай бұрын
Jamaa huyu ananguvu Sana kisiasa pale marekani hasa kwa watu namanisha raia Ila kwawenye mfumo hawamwelewagi kabisa mmmmh Kaz nakumbuka maneno ya hayati JPM amani tuliyonayo hapa inatutosha hao wageni (wazungu) kwao hakuna amani ambayo huwa wanatuzuga nayo isipokua wajuzi wakucheza na akili za waafrica
@alnaseralshaukail3350Ай бұрын
Hawa watu hawafirii chochote ubongoni mwao wanawaza kuwa tu hadi lini?
@amournassorsaid7694Ай бұрын
Soon watakuja na propaganda zao za kuwa ni ugaidi na watawasingizia waislam na ikiwa tofauti wataita hate crime hio ndio marekani na ulaya.
@evelynemugeni2369Ай бұрын
Kweli kbsa
@African511Ай бұрын
Haya sasa wenye Democrasia yao,ndiyo mwalimu sahihi wa kuharibu Democrasia,Africa shitukeni,Rudini kwenye tamaduni zenu.
@ramadhankilango9088Ай бұрын
Awe makini kwakua ki majukwaa tiari kamshinda Biden
@ShabanKarim-tv3vnАй бұрын
Nazidi kupenda taarifa zenu
@allyiddy6311Ай бұрын
Naona kma bado meng yanakuja kweny uchanguzi wa rais America
@Brunotarimo10Ай бұрын
Big up trump
@johnnkelebe7360Ай бұрын
Marekani wao kwa wao hawaelewani harafu leo kuna watu wanasema US ni nchi yenye utulivu, amani na demokrasia. Hakuna kitu kama hicho US ni Wauwaji tu.
@rumdeesonsoa1811Ай бұрын
Kwn nchini kwetu tunaelewana? Imagine na sisi tungeruhusiwa kumiliki silaha kila raia kama Marekani