Mzee Gurumo, Bitchuka, Maina, Moshi na Momba. Hakika ilipendeza sana
@zilipendwatz74942 жыл бұрын
naam
@mussabakili1641 Жыл бұрын
Nazipenda sana hizi
@omaryswalehe12252 жыл бұрын
la msingi ni mshikamano wa mapenzi na kutojali ya watu binadamu hawana jema. Nakuahidi wewe ni wangu tu mpaka kufa. Hakika ujumbe murua pamoja na solo ya Marehemu Mabela ni hatari sana
@zilipendwatz74942 жыл бұрын
uko sahihi
@betinangimbudzi40372 жыл бұрын
Enzi zile. Oh jamani natamani kurudi ile miaka 1991.
@zilipendwatz74942 жыл бұрын
You'll need a time machine for that, mashine ya kukusafirisha kurudi miaka ya nyumba. 😆😆 Hizi nyimbo hurejesha kumbukumbu nzuri
@zilipendwatz74942 жыл бұрын
for that you'll need a Time-Machine
@ochumedy3282 Жыл бұрын
daaah nakumbuka zamani sana nlikuwa nausikia huu wimbo ama kweli