No video

Tumeanza leo safari ya Kenya|Semina itakuwa Nairobi Umoja2 Market 2

  Рет қаралды 4,795

PROMOVER TV

PROMOVER TV

2 жыл бұрын

Пікірлер: 115
@gracewahu8741
@gracewahu8741 2 жыл бұрын
Karibuni kabisa Nyumbani kenya ingawaje tuko bali kidogo wengine wetu, tunawaombea tunanena Damu ya yesu iwafunike Roho mtakatifu awaongoze , tutafuatilia hapa hapa online 🙏🏽
@hildpaul7823
@hildpaul7823 2 жыл бұрын
Watumishi wa Mungu mfike salama
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
Amen barikiweni na muwe na safari njema YESU KRISTO awatangulie
@pendonaomi1825
@pendonaomi1825 2 жыл бұрын
Mungu awaongoze na kuwarinda ktk kuifanya kazi yake🙏
@leahbhoke8718
@leahbhoke8718 2 жыл бұрын
Karibuni saaana Nairobi Kenya watumishi wa Mungu Bwana Yesu Awafunike na Damu yake awape ulinzi barabarani na awatunze
@veronicahmui6419
@veronicahmui6419 2 жыл бұрын
Karibuni sana kenya... twawapenda sana. Kenya hakuna matata. Mungu awajalie safari njema kwa jina la Yesu
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
Ameeen...nawafunika kwa damu ya YESU
@milkahwambuinjengambothu6173
@milkahwambuinjengambothu6173 2 жыл бұрын
Karibuni Kenya. heri ningepata nafasi ya kuja Nairobi. Bwana Yesu awalide na awatunze
@florencemueni1183
@florencemueni1183 2 жыл бұрын
Karibuni sana nyumbani watumishi wa Mungu i wish ningekua nyumbani niwaone kwnza Amieli unitia nguvu sna za kiroho na ushuhuda wake....i love u guy's save journey
@samajtz173
@samajtz173 2 жыл бұрын
Majeshi ya BWANA Yesu kristo yawarinde Mfike salama. Tuko pamoja Amani ya Yesu iwendani yenu.
@josephinemuhonja743
@josephinemuhonja743 2 жыл бұрын
Amina.karibuni Kenya watumishi wa Mungu. Safari njema na Mungu awalinde kwa jina la Yesu Kristo
@lynodari3824
@lynodari3824 2 жыл бұрын
Asifiwe Bwana wetu Yesu Kristo ...Haleluia! Karibuni sana Kenya watumishi wapendwa wa Mungu. Na mje Mombasa pia.
@kelvinmbutu240
@kelvinmbutu240 2 жыл бұрын
karibuni sana kenya.God bless
@theophiledeleternel9152
@theophiledeleternel9152 2 жыл бұрын
Bwana awabariki sana kbs kwa kazi ya Bwana mnayoiendea
@lucykarebe1567
@lucykarebe1567 2 жыл бұрын
Karibuni sana Nairobi Kenya Bwana Yesu awalinde katika safari Mfike salama Amina.🇰🇪
@wiliezecharia9575
@wiliezecharia9575 2 жыл бұрын
Safe journey,welcome kenya
@munywokimakaa4777
@munywokimakaa4777 2 жыл бұрын
Karibuni Kenya we love you guys.
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 жыл бұрын
Safari njema ikawe ya baraka mbele za bwana muimalize kazi ya Mungu salama
@emmanuelmtui4076
@emmanuelmtui4076 2 жыл бұрын
Safari njema
@sisterolivia9874
@sisterolivia9874 2 жыл бұрын
Tuko tayari... A kenyan in Asia Am glad about your efforts in building the kingdom of God.. Glory to almighty God
@user-kn3lh1co6u
@user-kn3lh1co6u 2 жыл бұрын
Amen amen karibuni Sana mtulishe kilicho andaliwa n mungu
@aminam.410
@aminam.410 2 жыл бұрын
Safari iwe njema Bwana Yesu awafikishe salama
@wkjshsxbbsbs6392
@wkjshsxbbsbs6392 2 жыл бұрын
Most highly welcome to Kenya 🇰🇪🇰🇪may God guide you always watching from Saudi Arabia
@yvettekyalika907
@yvettekyalika907 2 жыл бұрын
❤️❤️🔥🔥 BWANA YESU asifiwe 🔥🔥❤️🔥
@japhetthabit9428
@japhetthabit9428 2 жыл бұрын
Ameen Mungu awatangulie
@piliechildofkingjesus4594
@piliechildofkingjesus4594 2 жыл бұрын
Karibu sana nyumbani Kenya. Mungu awatangulie kila mtakapoingia nakukanyaga. Mbarikiwe sana
@justinianrubandwa7957
@justinianrubandwa7957 2 жыл бұрын
Bwana YESU KRISTO awe pamoja nanyi katika safari yenu, awabariki sana katika uinjilishaji, jina lake lipate kutukuzwa milele na milele Amina.
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 2 жыл бұрын
Ameen welcome Kenya 🇰🇪 we love visitors
@salomekemunto1373
@salomekemunto1373 2 жыл бұрын
Karibu Sana wachungaji kwetu Kenya na Injili iende Mbele.
@reginaindakwa7812
@reginaindakwa7812 2 жыл бұрын
Karibuni Kenya , safari njema
@melesianageorge2012
@melesianageorge2012 2 жыл бұрын
Mungu awatangulie mfike salama na mrudi salama
@sallymumia8425
@sallymumia8425 2 жыл бұрын
Glory to Jesus Christ, hallelujah, waiting for you.👏👏👏👏👏
@bettywanjala5630
@bettywanjala5630 2 жыл бұрын
Karibuni sana sana Nairobi
@charigrace5993
@charigrace5993 2 жыл бұрын
Damu ya Yesu iwafunike, Shalom
@jeanettenkurunziza862
@jeanettenkurunziza862 2 жыл бұрын
Karibu kenya
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 2 жыл бұрын
Karibuni Kenya
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Wooow GOD is good all the time.. YESU wangu afakishe salama mrud salama ktk jina la YESU litukuzwe 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 wapo wameshajiandaa kuwapokea watumish was YESU alyeshinda kifo na kaburi. Mbarikiwee San pastor na promover TV.
@pendonaomi1825
@pendonaomi1825 2 жыл бұрын
Jacktan hongera kwa hayo mafunuo Kaza mwendo utapokea taji isiyoharibika
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@johnmkama8074
@johnmkama8074 2 жыл бұрын
Amina sana
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 2 жыл бұрын
Karibuni kenya watumishi wa Mungu twawaombea safari njema,,Kenya twapenda wageni muwe huru kabisa Neno la Bwana liende mbele watu wafunguliwe waokoke katika jina la Yesu KRISTO mwana wa Mungu Amina.
@alexamutawa5396
@alexamutawa5396 2 жыл бұрын
Karibuni sana
@noelashaoona
@noelashaoona 2 жыл бұрын
Be safe and stay blessed
@mwananyamalaz4427
@mwananyamalaz4427 2 жыл бұрын
Tunawapata sana Asante Sana God bless you 🙏
@carolinemwugusi8945
@carolinemwugusi8945 2 жыл бұрын
Safari njema watumishi wa Mungu mfike salama nyumbani Kenya
@danielkigesa1718
@danielkigesa1718 2 жыл бұрын
Bwana yesu awatangulie
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
Woooi unfortunately am out of my country Kenya ... would be glad to meet you but I know there will be a time ...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪barikiweni Wachungaji
@josephomuto3240
@josephomuto3240 2 жыл бұрын
Karibuni Sana Kenya. Sanaaa. Sanaaaaa.
@levismike16
@levismike16 2 жыл бұрын
karibuni\ kenya
@naomimunanga6363
@naomimunanga6363 2 жыл бұрын
😀😀👍 karibuni sana kenya, mungu awasafirishe salama.
@elizajeremiah774
@elizajeremiah774 2 жыл бұрын
Karibuni Sana Kenya Mungu awatangulie
@rebecashidika7801
@rebecashidika7801 2 жыл бұрын
Mungu awatangulie na kuwalinda Kwa damu ya Yesu mfike salama kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti aliye hai.
@amishambar3418
@amishambar3418 2 жыл бұрын
Welcome Sana Sana katika jina LA yesu safari njema bwana awatangulie katiaka safari yenu
@saramss7262
@saramss7262 2 жыл бұрын
WOW 😲😲😲 Mungu nimwema atafanya wepesi wake asanteee SANA jackat
@saramss7262
@saramss7262 2 жыл бұрын
Aminaaa Watumishi mbarikiwee SANA
@monicahnjeri257
@monicahnjeri257 2 жыл бұрын
karibuni sana kenya
@cynthiawanyonyi5094
@cynthiawanyonyi5094 2 жыл бұрын
Karibuni sana Kenya. Mungu awalinde
@zeldamzena9295
@zeldamzena9295 2 жыл бұрын
Mungu awabariki sana watumishi..lakin mara baada ya safari ya kenya muendeleze basi ule ushuda wa mch Amiel katekela msimu unaofuata ..ni shuhuda nzito zenye fundisho na zenye kutufungua mengi sana mbarikiwe sana.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@Monika-cp2gk
@Monika-cp2gk 2 жыл бұрын
Karibu Kenya 🇰🇪
@dainesykalinga7133
@dainesykalinga7133 2 жыл бұрын
Mungu awe kiongozi wenu .
@tracyirene8917
@tracyirene8917 2 жыл бұрын
Mbona Tuu Tupo ! Tunawasubiria kwa hamu Jacktan na Wenzako na Mtumishi Safari Njema Mungu na Awalinde 🙏
@annacharles2842
@annacharles2842 2 жыл бұрын
Bwana YESU awatangulie na kuwalinda
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 2 жыл бұрын
MUNGU Awatangulie na mrudi salama
@zipporahmibei9007
@zipporahmibei9007 2 жыл бұрын
Welcome Kenya watumishi wa mungu
@janendegwa1748
@janendegwa1748 2 жыл бұрын
You are so much welcome.may the almighty give you journey mercies in Jesus mighty name
@juliekhaeli8560
@juliekhaeli8560 2 жыл бұрын
Karibuni sana watumishi wa mungu
@mr.nyakundi8617
@mr.nyakundi8617 2 жыл бұрын
Msafiri sasa karibu kwa safari kenya
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 2 жыл бұрын
Karibu Sana kenya
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 2 жыл бұрын
Karibu Kenya
@mariamngowa2882
@mariamngowa2882 2 жыл бұрын
Amen safari njema Mungu awatangulie
@ruthmwikali6993
@ruthmwikali6993 2 жыл бұрын
Karibu kenya,
@irinenzai7368
@irinenzai7368 2 жыл бұрын
Karibuni sana kenya
@fredrickmuia8855
@fredrickmuia8855 2 жыл бұрын
Karibuni 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@kmwendemusic5379
@kmwendemusic5379 2 жыл бұрын
Karibuni sana, ndio nyumbani kabisa
@eliasmoisesmbedo7297
@eliasmoisesmbedo7297 2 жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@achsahcharles6728
@achsahcharles6728 2 жыл бұрын
Travel safe, Salaam kwa mtumishi Amieliiiii😀😀😀😀😀
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Mbarikiwe KILA la kheri injili isonge mbele
@carolinekimario3550
@carolinekimario3550 2 жыл бұрын
Karibu Sana
@ayetafatuu8715
@ayetafatuu8715 2 жыл бұрын
AMINA AMINA MTUMISHI WAMUNGU KARIBU KENYA AMA I YA BWANA IANDAMANE NYANYI
@conqueror4107
@conqueror4107 2 жыл бұрын
Wow.. Karibuni sana nairobi jacktan
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Asante
@joackimmbonde4125
@joackimmbonde4125 2 жыл бұрын
Asifiwe Bwana Yesu
@charletsada8779
@charletsada8779 2 жыл бұрын
Well come Kenya 🇰🇪
@marykilila8786
@marykilila8786 2 жыл бұрын
Safari njema Mungu awe nanyi
@riccahcate8126
@riccahcate8126 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen journey mercies from God. May the blood of Jesus Christ protect you all through your mission
@alfredkuria7673
@alfredkuria7673 2 жыл бұрын
Karibu sana Kenya Psalms 121:8
@marcelinekahawara8304
@marcelinekahawara8304 2 жыл бұрын
Mungu awatangulie
@Sahammer
@Sahammer 2 жыл бұрын
Karibuni
@vickyndinda4132
@vickyndinda4132 2 жыл бұрын
Pamoja
@rosepeter8996
@rosepeter8996 2 жыл бұрын
karibuni kwetu KENYA.mwambie katekela awache kunyoa pank😂😂amesha okoka na kuacha maovu anyoe sambamba😂🙏.
@IamPsalm-hk1fx
@IamPsalm-hk1fx 2 жыл бұрын
Journey mercies
@emanuelmsaky8074
@emanuelmsaky8074 2 жыл бұрын
MUNGU awatangulie
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
Ooooooow hallelujah 🙌 🤍
@jkkim3848
@jkkim3848 2 жыл бұрын
Karibu kenya ila mje Mombasa pia
@veronicastanley3955
@veronicastanley3955 2 жыл бұрын
Msafiri salama
@titusmumo54
@titusmumo54 2 жыл бұрын
Karibuni Sana Kenya
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 2 жыл бұрын
Mungu awatangulie mkutano ukatukuke uwepo w mungu uwafunike hakika
@noellanduwimana51
@noellanduwimana51 2 жыл бұрын
Ndugu watumishi wa mungu tutawaombeya natunawaombeya safari njema
@titusmumo54
@titusmumo54 2 жыл бұрын
@@noellanduwimana51 Amina
@titusmumo54
@titusmumo54 2 жыл бұрын
@@janethmwihumbo1289 amen amen
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Vijana wenye Nguvu humuaibisha Shetani kutangaza jina lake
@fanuelodede3106
@fanuelodede3106 2 жыл бұрын
Karibu sana ninataka kuongea na jactan niko na story
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Tafadhali mtafte Jacktan Wasap +255784074462
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 2 жыл бұрын
Dar tunaomba tukutane naye jamani
@manyanyazakaria
@manyanyazakaria 2 жыл бұрын
Watanzaniaa jaman tuko wapi mbona wakenya wengi hapa safar njema😁
@ellyitete938
@ellyitete938 2 жыл бұрын
Mungu AWABARIKI mmechanja?
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen, hapana hatujachanja
@charityjulius6142
@charityjulius6142 2 жыл бұрын
Huyo mtumishi kanyoa nywele kama wa dunia mbona
@kithia100
@kithia100 2 жыл бұрын
Karibu sana Kenya akuna matata
@dainesykalinga7133
@dainesykalinga7133 2 жыл бұрын
Mungu awe kiongozi wenu .
PART 1: UTASHANGAZWA NA UWEKEZAJI HUU/ NG'OMBE ANAUZWA MILIONI 30
31:59
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 24 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 35 МЛН
Maisha na vifo vya mitume wa yesu
13:28
Shane Tv
Рет қаралды 7 М.
EDWIN SIFUNA || I  AM SORRY
21:49
Eroo Mtetezi
Рет қаралды 29 М.
A Muslim Man Enters a Church - They Laughed
39:53
Sabeel Ahmed
Рет қаралды 1,4 МЛН