TUNATOA HUDUMA YA KUFUNDISHA MBWA MAFUNZO YA AINA ZOTE | WE ARE PROVIDING QUALITY TRAINING FOR DOGS

  Рет қаралды 329

Mifugo Tanzania

Mifugo Tanzania

9 ай бұрын

TUNATOA HUDUMA YA KUFUNDISHA MBWA MAFUNZO YA AINA ZOTE | WE ARE PROVIDING QUALITY TRAINING FOR DOGS
Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackvetclinic @joackanimalclinic @joackanimalclinic
Tunatoa mafunzo ya aina zote kwa mbwa, kinatakiwa ni mteja kusema anaitaji mbwa wake apewe mafunzo ya aina GANI au anataka mbwa wake awe na tabia zipi
Mfano ya mafunzo tunayotoa kwa mbwa ni:-
1. Kumfundisha mbwa utii
2. Kumfundisha mbwa ukali na mbinu zote za ulinzi.
3. Kumfundisha mbwa kutoa kuwa muharibifu wa kula vitu kama viatu, masofa, nk na tabia ya kuchimba na kuharibu maua.
4. Tunafundisha mbwa tabia ya kunusa vitu na kutambua (snifing).
5. Kumfundisha mbwa wanao pigana mara kwa mara kuto pigana.
6. Mafunzo ya kutokujisaidia ovyo, ndani au nje ya nyumba.
7. Mafunzo ya kumtoa mbwa uoga kama anashindwa ata kubweka.
8. Mafunzo ya kumtoa mbwa ukali ulio pitiliza.
9. Mafunzo ya mahusiano kati ya mbwa na mbwa pia kati ya mbwa na binadam.
Hayo ni machache ila tunafundisha mafunzo ya aina zote za mbwa, kwa ubora wa hali ya juu na kuhakikisha mbwa wako anaiva vizuri ni wewe tu mteja kusema unataka mbwa wako aweje.
WE TRAIN FOR BETTER ACHIEVEMENTS
#tunafundishambwa #wetraindogs #dogtraining #mafunzoyambwa #ufundishajiwambwa #mafunzoyaukali #mafunzoyautii #mbwawaulinzi #mbwamkali #mbwawakali #joackdogtrainigacademy #hudumayakufundishambwa
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
mifugotz@gmail.com
KZfaq: • Tunauza Vifaranga wa b...
Website link: joackcompany.business.site/
Google location: maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6p...
#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania🇹🇿 #tanzania #mwanza #rockcity #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #animalhospital #dodoma #matibabuyawanyama #dodoma #animalhospital #doghospital
JOACK TRAINING ACADEMY | WE TRAIN FOR BETTER ACHIEVEMENTS

Пікірлер: 1
@yuzzotz8178
@yuzzotz8178 8 ай бұрын
Aina gain ya mafunzo unayo tumia
FURSA UFUGAJI MBWA| ZIJUE SIFA NA FAIDA ZA MBWA AINA YA BOERBOEL
16:17
J FIVE TV ONLINE
Рет қаралды 4,1 М.
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 59 МЛН
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 67 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 4,8 МЛН
Dog training।। hand handling ।। practice।।
3:58
Dog training school 🐕🐶
Рет қаралды 4,3 МЛН
Ufugaji mbwa: Karin ajivunia Mbwa hawa wanaompa furaha.
7:10
ZIJUE TABIA ZA MBWA NA JINSI YA KUFUGA MBWA WA ULINZI
1:48
Biashara ya mbwa ilivyobadili maisha ya kijana wa Tanzania
4:09
BBC News Swahili
Рет қаралды 16 М.
Dog harness lead with rope
2:18
crazydiy
Рет қаралды 401 М.
MBWA WENYE UMRI WA MIEZI 11 WAFANYA MAAJABU MAONESHO YA  NANE NANE MBEYA
7:02
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 59 МЛН