🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402), 🔘WhatsApp (+255 692 318213) 🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com
Пікірлер: 29
@julianamwamgogwa19 күн бұрын
Waende tu kwani walipoenda kuna wengine wazuli wameibuka ivyo wakilud wataziba nafac za wengine wazuli kuliko wao
@user-jx5ze9wz8e20 күн бұрын
Mimi nasema hatuhitaji kabisa lisu youk vizur san
@bezalelmbijima818218 күн бұрын
Hii ni siasa wakirudi watafanya siasa wasiporudi pia wanafanya siasa. Watu 19 ni mtaji, wawaombe radhi wenzao wapokelewe. Ndio siasa hata wazee wetu wakubwa hurudi tena kule waliko kimbia na kupokelewa kwa vishindo ndio raha ya siasa!
@julianamwamgogwa19 күн бұрын
Mdeee na wenzie wakilud chadema ninaludisha kadi yatosha kutuchezea.
@daudimaembe336014 күн бұрын
Msimtaje Lissu personal, agenda iwe ni ya CHADEMA, siyo ya mtu binafsi.Mnataka COVID-19 wajue Lissu ndiye mbaya?
@user-cx1xz2is5d13 күн бұрын
Lisu oyeeee waende ccm kwa muda huu hawana hata upako wanafiki tu
@user-lm3lt7xx6l17 күн бұрын
Mnyama wowote wa porini ktk tumbili au wenye kufugika mitaan ukimchukuwa mnyama ukamfuka badae akakukimbia akamuwa kurudi porini .huko porin hataminika tena na kawaida wanyama wenziwe humkìmbia au kumpiga
@filexkivuyo838318 күн бұрын
Chadema mnajichanganya tena. Kwenda mbele na kurudi nyuma
@malkavoice257019 күн бұрын
Haiwezekani hawa watu wakarudi chadema na kugombea labda warudi kuwa wanachama wa kawaida
@abelmghana284319 күн бұрын
hao wabaki ccm kama wata rudi chadema inakufu kwamaana walitusaliti wakati tukiwa kwenye matatizo makumbwa ya kutekwa watu na wenginekuuwawa hii itakuwa nimaingizo bora wabaki hukohuko
@AllyMandunda-tj9jc18 күн бұрын
Hawa wasirudi kamwe
@charlesphilipo353319 күн бұрын
Uwanja WA fisi Kuna Raha zake maana mizoga haikosekani
@josephmantago283720 күн бұрын
Hakuna mh Lisu komaa hawa mkiwarudisha mnaua chama
@kelvinsanula-in2km19 күн бұрын
SACCOS, ilimpeleka bungeni miaka 10 na mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa miaka 10 na pia Waziri kivuli wizara ya maliasili na utalii !? Watu wengine ni chenga sana yaani watu nje ya Chama waingilie maswaka ndani ya Chama "under our watch " hell No! Hivi yule Mzee wa mapesa yupo?
@MwitaTv19 күн бұрын
Halima mdee kumanina zake,
@CretusMwalongo19 күн бұрын
Wasamehewe ni majembe hao,ingawa waliponyoka
@hamisimuhunzi791619 күн бұрын
huwezi kuwasamehe watu ambao hawajaomba msamaha na hawakubaliani na maamuzi ya chama
@user-rn9og1rk3l19 күн бұрын
Tundu Lissu shikilia hapo hapo usiachie hawa wahuni
@SaidOmar-iw9kk19 күн бұрын
Mh lissu waachani wale pesa isokuwa na KAZI hao wenzetu ila wasameheni warudi kupanga safu mpya 2025 ukweli licha ya kurud bungeni walikuwa wakitetea Wananchi tunaomba wasameheni
@user-rn9og1rk3l19 күн бұрын
Hawa ndiyo wachawi hawatakiwi.
@fmleli.tz200419 күн бұрын
Wasirudi
@tumainimwaifunga388420 күн бұрын
Halima tunamhitaji chadema
@melch309720 күн бұрын
Kwa lipi
@josephmantago283720 күн бұрын
Ww ndo unamhitaji
@philemonsnyanda945019 күн бұрын
Chadema ipi?
@admaumsengi423019 күн бұрын
Mchukue wewe
@hamisimuhunzi791619 күн бұрын
keshajiunga na adui hatufai tena
@GABRIELBAHANGARWA19 күн бұрын
Hawa wanaoitwa wasaliti ndio wanakiwezesha chama chama chao kupata mgao wa razuku kumbe bariani mbaya kiatu chake dawa