NATHUBUTU KUSEMA NDIYO MAANA MUNGU ALITENDA MUUJIZA WA KUKUOKOA MAISHA YAKO KWANI SI RAHISI KUPONA KWA KUPIGWA RISASI 16 NA KUPOTEZA DAMU NYINGI HALAFU UKAPONA!!!
@justinemwenda68545 жыл бұрын
sanaaaaa lissu tumekumiss
@jemedarikalimasi5754 Жыл бұрын
We we achana na magu ule ulikuwa mwamba yule huwezi kumfikia
@emmanuelyjaphety9371 Жыл бұрын
Aachane nae vipi na wakati hii clip ni ya miaka ile, Hamnazo kweli
@gracejulius83206 жыл бұрын
vizuri sana
@jaksonjulius90104 жыл бұрын
Kweri kabisa kamanda
@festoluhwago2873 жыл бұрын
Wee Tundu Lisu ndiyo wa ajabu
@jumasollo40553 жыл бұрын
Hatuna njaa sis kwaiyo si ukalime unataka rais afanyaje au yeye ni mungu piga kazi achana na ujinga wako
@fredyjeremia70746 ай бұрын
Wewe ndo kunguni,,kama upo bado
@johnmahu5060 Жыл бұрын
Asnt lisu kusema ukweli ni Leo taifa inaangamia wanauza bandari tulia anasema mkataba unawapa nafas hyo
@fredyjaphet56452 жыл бұрын
"Genius"
@abelkifuka68424 жыл бұрын
Magufuli ni chaguo la Mungu Baba Mwenye Enzi
@justinekashiriririka86903 жыл бұрын
Mungu yupi huyo wa kuzimu?
@MrSmartBrand3 жыл бұрын
Kumbe
@barakastephano96583 жыл бұрын
Labda Mungu wa ukokwenu fsm
@fredyjaphet56452 жыл бұрын
Eti ee!?
@zawadimbwambo10913 ай бұрын
Unatumia mavi kufikiria wewe.
@King_Of_Everything6 ай бұрын
👊✌️👍.
@dennisrwekaza89482 ай бұрын
Huyu ni kiigwa chetu vijana
@user-jy2ly7ux6y7 ай бұрын
Raisi wa ajabu yuko nchi gani ? Lisu acha kupotosha watanzania harafu kwanini unawasifia viongozi walio maliza mda wao wakati wako madarakani bado uliwasema vibaya tukueleweje? Tuachie nchi yetu yenye amani
@mathayopetro59216 жыл бұрын
Do mis sana lisu
@hassangaudence18146 жыл бұрын
uko vzr sana lisu
@abeidissa71456 жыл бұрын
kumbe mtakatifu basi wewe mbunge waajabu
@adamjeromeluoga59625 жыл бұрын
Mkuu nimekusoma
@williamkirway46203 жыл бұрын
Umeona mbali,umeenda mbali hadi kumsema kiongozi wa nchi, Tutajifunza mengi mikataba.
@eunicegerminus49644 жыл бұрын
Mdomo uliponza kichwa
@graphixmaster61464 жыл бұрын
uliona mbali nduguyangu 😄
@manjalejuniorlg70246 жыл бұрын
Hapa kazi tu asiyefanya kazi asile
@bahatijacob7430 Жыл бұрын
Wewe,lisu,huna,lolote,magufuli,alikuwa,mwamba
@georgemchalumbi83573 жыл бұрын
Hii ndo ujue huyu jamaa hafai utawala wa magufuli nani kafa njaa
@emmanuelyjaphety93713 жыл бұрын
Huna kumbu kumbu, imeshapita mda mrefu ukanda wa baadhi ya sehemu fulani
@katungenyanda61776 жыл бұрын
nafikiri were Ni mwehu haijawahi kutokea
@katungenyanda61776 жыл бұрын
nafikiri huyu nitaahira kabisa hivi mamlaka hazipo zinamwacha antukanaamlaka tundu lissu Ni Mani katika nchi hii mpaka aachwa atukane anavyotaka kweli mwalimu angekuwepo huyu mpuuzi angeozea jela
@frankjekela39746 жыл бұрын
Katunge Nyanda Hakuna Tusi hata moja hapo Ila Tundu Kakosoa tuu Ninyi huwa mnakurupuka na kumpeleka Tundu Lissu Mahakamani kwa kusema katukana Huwa hamtafakali alichoongea Ndio maana Kesi Zenu zote mnazomshitaki Tundu Lissu huwa mnashindwa TUNDU LISSU KASEMA RAIS ANATAKIWA KUPINGWA NA WOTE WENYE AKILI Ila mii naona watu kama ninyi mnaokurupuka bila kuchambua aongeacho MTU hamuwezi kupinga
@bockernyarusahi36555 жыл бұрын
Katunge Nyanda We ndiyo taahira
@raynoldlisanga48955 жыл бұрын
We ni miongonu mwa walewale
@laisedward8825 жыл бұрын
Katunge Nyanda acha ushenz upumbavu kwa kakosea wapi
@robbiejerrson74376 ай бұрын
Mjinga wewe. Kama kuandika tu kwa ufasaha ni shida kwako, utakuwa na akili na ufahamu wa kuelewa anachokisema Tundu Lissu kweli? Nenda darasani kwanza ukanifunze kuandika!
@reachthegoal76245 жыл бұрын
Tundu usifikiri utambabaisha Rais John Pombe Magufuli. Tumepewa na Mungu atalindwa na Mungu, ataongozwa na Mungu hivyo fanya ufanyavyo watanzania tutamuunga mkono na malengo ya kutimiza utekelezaji wa ilani hauzuiliki. Mambo sawa sawa , Mungu akiwa enzini Mambo Ni sawa, sawa!!!
@bahatikashinje55574 жыл бұрын
Mungu yupi huyo alietuletea raisi wa ajabu
@rehemaconeriocostance90114 жыл бұрын
@@bahatikashinje5557 una akili wee ivi uyo lisu unamuona yuko sawa kichan mwak taira uyo
@noelmzunya14762 жыл бұрын
Yako wapi Mungu kawaumbua Lissu Ni mboni ya jicho laMungu
@frankjekela39746 жыл бұрын
MII NAPENDEKEZA WATANZANIA TUSIKURUPUKE TUWE TUNATAFAKARI MAMBO HUKU KUKURUPUKA KWA AJILI YA UPENZI WA CHAMA FULANI KUTAJASABABISHA TAIFA LETU KWENDA MRAMA IPO SIKU TUU