UBISHANI MILLARD NA FRIDA: KUOMBA RUHUSA KWA MPENZI WAKO NI SAWA? KAMA MAJIZO NA LULU

  Рет қаралды 15,212

Millard Ayo

Millard Ayo

2 ай бұрын

Пікірлер: 39
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 6 күн бұрын
Mwanamke hawajibiki kulisha familia, kulipa ada na zingine vingi, Ni jukumu la kila Mwanaume, na ndoa ili iwe TAMU , Mke awe mjakazi Kwa Mumewe na Mume awe mtumwa Kwa Mkewe
@user-wh7gj9ug9s
@user-wh7gj9ug9s 2 ай бұрын
Nimewapenda hamna presha na maongezi
@NANCYWARD488
@NANCYWARD488 2 ай бұрын
Mke bora. Anapenda Mume na watoto pia. Lakini Hapiki kwa wakati. Watoto nguo za shule hazina usafi wa kutosha. Nyumba hata pazia hazina mpangilio. Vyombo usiku vinalala vichafu. Huyo sio Mama bora. Anampenda Mumewe Ana msikiliz Mumewe Hana hekaheka za Mtaani. Ham cheat Mumewe
@user-sv2uj8ty9p
@user-sv2uj8ty9p 2 ай бұрын
True
@bina2557
@bina2557 2 ай бұрын
Mimi natoa taarifa pia😂😂😂
@aleyidukury8333
@aleyidukury8333 2 ай бұрын
Frida ww unaendaga kutafuta kwajil ya familia unaweza
@goodluckabdul7316
@goodluckabdul7316 2 ай бұрын
Nakukubali sana Frida
@andreatutu6179
@andreatutu6179 2 ай бұрын
Converstion yenu ni nzuri na ya kibabe, i love it
@vidovidox2632
@vidovidox2632 2 ай бұрын
🔥🔥🎉
@lovesallu5292
@lovesallu5292 2 ай бұрын
Ujue ruhusa Unaeza kataliwa🤣😁inshort natoa taarifaa
@user-qy5qw1jv4s
@user-qy5qw1jv4s 2 ай бұрын
Mimi naomba niongee kitu hapo kwenye swala ya kutafuta, mimi naishi marekani ambako wanaaminisha wanawake kua mwanamk na mwanaum ni sawa yaani 50/50 lakini likija swala la majukumu kisheria bado wanakuambia mali za baba niza wote lakini za mama ni zake hapo ndo utajua ni jukumu letu kutafuta so ukweli usiopingika ni kwamba ni jukumu la mwanaum kutafuta na sio la mwanamk, so kwa mwanaum yoyte anayejitambua ni lazima atimize jukumu lake la kutafuta na mama ni sehemu tu ya kuchangia kwa kile anacholeta baba.
@aishajuma7813
@aishajuma7813 2 ай бұрын
Ila nyieeh😀😀😀😀😀
@joesimba
@joesimba 2 ай бұрын
7:27 "mhhh na ni very ok" 😅
@user-tf5mm2fn3p
@user-tf5mm2fn3p 2 ай бұрын
Mpenzi ,wazazi. Kote huombi ruhusa. Adabu 0
@hellenmroso6786
@hellenmroso6786 2 ай бұрын
Eti mke bora awapende mawifi😂😂😂
@gloryprotas1043
@gloryprotas1043 2 ай бұрын
Mm nilienda zanzbar hata nyumban sikusema nilisema baada ya miez miwili tena nikasema mm sahv sipo tena tanga nimepata connection kwamwalim wangu wa chuo tna nilituma mesej fullstop😅😅😅😅
@MosessMaganga
@MosessMaganga 2 ай бұрын
Yani vido mumebora ni mtu Ambae anakupenda ww saana kila ukitakacho unapata ila tuu ukisha Kua na ujauzito uliofikisha miezi Saba anakua mvivu kwakoTena ukijifungua tuu ndio anakuja nyumban kwa mwez maramoja ukweli apo anasua sua kwa majukum uzazi ndipo seem ya matumizi mengi ya pesa,
@joshemman520
@joshemman520 2 ай бұрын
kuna tofauti ya matunzo na malezi....mfano kumpa mtoto shule bora, chalula na hata mavazi hamaanishi ndio malezi bora hapo ndio utapata mume bora ambaye sio baba bora
@khamisshee803
@khamisshee803 2 ай бұрын
Frida mjinga Sana 😂😂😂 Ati mume anazaalisha njee ale mtt apate kuambia c mke Bura nimeipenda Sana AKA BACHUCHU MOMBASA 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@pascalmgassa8441
@pascalmgassa8441 2 ай бұрын
Huyu dada Jeuri hafai kuwa mke Ana kiburi
@dianamlagwa9383
@dianamlagwa9383 2 ай бұрын
Frida 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@user-sg6ez3cf1f
@user-sg6ez3cf1f 2 ай бұрын
Millard unaonaje kuanzisha Moja segment inayohusiana na kuonyesha fursa mbalimbali za Ajira kwa vijana kupitia taasisi au makampuni au sehemu mbalimbali kuzitembelea kwa kuzionyesha kupitia kamera zenu
@user-sg6ez3cf1f
@user-sg6ez3cf1f 2 ай бұрын
Asante!
@bina2557
@bina2557 2 ай бұрын
Mnatafuta ajira hapahapa TZ ama wapi😂😂
@user-sg6ez3cf1f
@user-sg6ez3cf1f 2 ай бұрын
Hata ingewezekana nje ya hapa MR MIllard
@bina2557
@bina2557 2 ай бұрын
@@user-sg6ez3cf1f saivi uhaba wa ajira ni mkubwa sana kazi ndio zipo ila ajira amna
@EvaJuakaliTV
@EvaJuakaliTV 2 ай бұрын
Wazo zuri @millardayo njoo uone
@spency2371
@spency2371 2 ай бұрын
Na mm ni fridah kabisaa niko zangu kitaa napambana
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 2 ай бұрын
Yaani Frida unanichekesha😂😂 yu r such a genius kudadavua staffs
@aggreyyonna5925
@aggreyyonna5925 2 ай бұрын
Unavyo cheka kama ngumu😂😂😂😂
@user-nc4ko3qz7t
@user-nc4ko3qz7t 2 ай бұрын
Rrida kanicheksh mwisha wa hii video yani kajitetea hawez leo watot wa shigaak❤😂😂😂😂😂😂hawez iy
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 2 ай бұрын
Mi nilikuwa nimekaa muda mrefu single kwa miaka 4 nilipamua kuwa kwenye mahusiao jamaa akawa anataka nimuage hata km natoka nje ya nyumban yani hata km naenda beach 😂😂😂😂sasa bac mi hizo sijazoea kbs nimezoe nakurupuka km chafya huyoooo sasa akawaakinipigia namwambia sipo nyumban nipo kwa bro wangu nimelala huku😂😂😂😂anasema sinilikuwa uwe unaniambia km unatoka nilichomwambia we zoea tu na mie nitajitahidi nizoee kuupa taarifa km natoka
@user-nc4ko3qz7t
@user-nc4ko3qz7t 2 ай бұрын
Ruhusu kwamzaz sio mpenz mpenz mpenz apew taarifa2 ili ikiktokea lolot ajue nilisem
@pascalmgassa8441
@pascalmgassa8441 2 ай бұрын
Kiburi hicho
@user-nc4ko3qz7t
@user-nc4ko3qz7t 2 ай бұрын
@@pascalmgassa8441 chanin wakat nimahusian sio wanandoa
@user-wh7gj9ug9s
@user-wh7gj9ug9s 2 ай бұрын
Kuishi ni kunyenyekeana
@CarinEmil
@CarinEmil 2 ай бұрын
Ka frida kana macho ya wizi aka
@gloryprotas1043
@gloryprotas1043 2 ай бұрын
Wewe🤣
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 27 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 49 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 4,4 МЛН
HISTORIA YA MILLARD AYO NA SIRI YA MAFANIKIO YAKE.
52:04
KINDII MEDIA
Рет қаралды 12 М.
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 27 МЛН