UCHAMBUZI BAADA YA MCHEZO DHIDI YA AZAM FC KUTOKA KWA MBWADUKE NA JAMES SAMUEL/NONDO ZA MAANA

  Рет қаралды 43,430

Simba SC Tanzania

Simba SC Tanzania

28 күн бұрын

SUBSCRIBE NOW:

🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC KZfaq Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi

Пікірлер: 47
@elianyulinyul
@elianyulinyul 27 күн бұрын
Azam inatakiwaa ajuee Simba ni simbaaa2 .... Very nice simbaaa akika simbaa nguvuu Moja
@jumaMohammedi-rt2ys
@jumaMohammedi-rt2ys 26 күн бұрын
Yan jaman lait wakisikiliz maon ye2 washabik wakimuachia jum mgund tim msim ujao 2tafik mbal🙏🙏
@AndrewLikiti-yb2ws
@AndrewLikiti-yb2ws 25 күн бұрын
Sio bahati mbaya, kiswahili ni Isivyo bahati.
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 26 күн бұрын
Mtani Dunduka mi nimefurahi kuwafunga Azam,wasijifananishe na team kubwa, team kubwa Tz ni yanga na Simba TU Safi Kwa kuwashikisha adabu ila Mgunda ni kocha mzuri shida watanzania kutoamini wazawa.Hivyo hapo viongozi inaweza kukuta wanahangaika kutafuta makocha.
@jilalamaligisa4854
@jilalamaligisa4854 26 күн бұрын
Yaani wewe kama ni Yanga basi ni mtu wa mpira sana, vema sana mtani kwa maneno yenye ukweli
@mariamCharles-ti6qi
@mariamCharles-ti6qi 26 күн бұрын
Yes. Wewe ndiyo mtu sasa. Mtani
@JoshuaLeonard-lo3cs
@JoshuaLeonard-lo3cs 26 күн бұрын
Kwajili ya maslah ya clubu naomba sana mgundaa ale mkataba wa kua kocha mkuuu simba hiii itakua kalii
@MariamJames-qn5gx
@MariamJames-qn5gx 26 күн бұрын
Simba nguvu moja
@ackreyjoseph3102
@ackreyjoseph3102 26 күн бұрын
Nguvu moja 🦁🦁🦁🦁🦁
@Amosmsechu
@Amosmsechu 26 күн бұрын
Wamekaaaaaa this is simbaaaaa nguvu moyaa😂😂😂
@jamesjames2368
@jamesjames2368 26 күн бұрын
Utopolo wanaweweseka. Pilipili inawawashaa! angalia wanavyo jikuna kwenye comments zao 😂
@rockygappi1018
@rockygappi1018 26 күн бұрын
😂😂😂....na baaado mpaka wajiparue sio kujikuna tu
@JamalKanani
@JamalKanani 26 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@sunwizy608
@sunwizy608 26 күн бұрын
simba nidude moja kubwaaaaaaa
@elkanangosha9588
@elkanangosha9588 26 күн бұрын
Goli zuri sana Kanute alifunga
@LukasYaredy
@LukasYaredy 27 күн бұрын
❤❤❤❤🎉
@SamsonTanzania
@SamsonTanzania 26 күн бұрын
🦁🦁💪💪💪💪💪💪👏👏👏
@marcelinndimbwa837
@marcelinndimbwa837 26 күн бұрын
Ramadhani Mwenuke na James Samwel wanamichezo wa Kitanzania Afrika na Duniani kote wana appreciate uchambuzi wenu. Ndugu yangu Salamba amegeuka kuwa shabiki na mpiga debe wa Yanga. wanamichezo tumeshamkataa hakuna anayefungua post zake tena. Labda awe sio mwanasport. BUp
@shelyboyshely2928
@shelyboyshely2928 25 күн бұрын
Mzee wetu kocha mgunda apewe timu mimi nilisha mkubaligi kitambo sana
@user-up9bw6sj4r
@user-up9bw6sj4r 26 күн бұрын
Hivi kwann wasimuachie mgunda na Simba yake maana PAMOJA na maumivu yaliopo ila anawafanya watu wafurah
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 26 күн бұрын
VIONGOZI MJARIBU KUWAAMINI NA MAKOCHA WAZAWA.
@YohanaLeyani
@YohanaLeyani 26 күн бұрын
❤😂😂
@GeorgeElias-ny4li
@GeorgeElias-ny4li 26 күн бұрын
Tim kubwa imeonekana uwanjani
@zakaria924
@zakaria924 26 күн бұрын
Mchezo wa mpira wa miguu ni wa ajabu na hautabiriki, ni kama upepo unaovuma! Mashabiki nao hivyo hivyo hawatabiriki, kocha anapofanya vizuri husimama naye, yakiharibika humgeuka na kusahau mema yake! Mgunda huyohuyo aliwahi kukutana na KATAAKATAA Fulani, Leo mmmmhhhh mzuri
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 25 күн бұрын
ILA UTOPOLO WANATESEKAAAAA HII NDO SIMBA BILA KUWAROGA LAZIMA UDHALILIKE
@ElimGabriel
@ElimGabriel 26 күн бұрын
Page ilopost hii ni ya simba
@jumaMohammedi-rt2ys
@jumaMohammedi-rt2ys 26 күн бұрын
Nakumbuk msim ulio pit azam wali2tes san
@chibospy8
@chibospy8 26 күн бұрын
Hili goli la pili kiukweli shabalala katumia ufundi mkubwa sana japo anasifiwa zaidi alie funga
@jameskilasa759
@jameskilasa759 26 күн бұрын
Useme mchezo wetu unajionesha kabisa huo uchambuz utakaa kisimba simba
@monifrank347
@monifrank347 26 күн бұрын
Unataka ukae kiazama azam
@desmondjulius9185
@desmondjulius9185 26 күн бұрын
Kaeni Kwa kutulia, next game draw. Simba ya msimu huu ni Ile Ile 😂😂
@user-je7gr4jv8o
@user-je7gr4jv8o 26 күн бұрын
Kweri
@user-qu9lh8dn8p
@user-qu9lh8dn8p 26 күн бұрын
Sawa mtabili tambitambi
@BabaLovenesy
@BabaLovenesy 27 күн бұрын
Tafuteni v2 vya kupost hizi hazin konteni ya aina yeyote kuen wa bunifu mna uzaman mwingi. Samahan lakn nitakua nimewakosea maan ni mawazo yangu
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 26 күн бұрын
Kwani umelazimishwa kuangalia? Usitupangie kazi
@josephkonney937
@josephkonney937 26 күн бұрын
0-3
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 26 күн бұрын
@@josephkonney937 🤣🤣.. anateseka huyo
@RobertMatuso-pf6rx
@RobertMatuso-pf6rx 26 күн бұрын
Hujalazimishwa kuangalia tuache na Simba yetu pumbavu wewe
@hando8329
@hando8329 26 күн бұрын
Hii comment yako ndo ya kisasa siyo ?? Maana uzamani unaousemea siuelewi
@RashidyHalidi
@RashidyHalidi 26 күн бұрын
Ndo muweke had uchambuzii
@RobertMatuso-pf6rx
@RobertMatuso-pf6rx 26 күн бұрын
Ulilazimishwa kuangalia kaa kimya tuache na Simba yetu
@jilalamaligisa4854
@jilalamaligisa4854 26 күн бұрын
Bora sisi uchambuzi sio mabango
@jacksonmatitu3918
@jacksonmatitu3918 26 күн бұрын
Mim ni simba lakin kwa hili ni lack of creativity
@hando8329
@hando8329 26 күн бұрын
Kipi ambacho ni lack of creativity kuwa specific
@Gisakijamaduda
@Gisakijamaduda 26 күн бұрын
Weeeeeeee ngogwe hujui neno creativity nini?
@arbinuwamahoro7370
@arbinuwamahoro7370 26 күн бұрын
❤❤❤❤🎉
NI FITINA TU NDIZO AMBAZO ZINAMKWAMISHA FEISAL SALUM PALE AZAM
4:26
Why You Should Always Help Others ❤️
00:40
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 13 МЛН
WHY DOES SHE HAVE A REWARD? #youtubecreatorawards
00:41
Levsob
Рет қаралды 40 МЛН
Sprinting with More and More Money
00:29
MrBeast
Рет қаралды 139 МЛН
ROMA - Derby (Paka & Panya) Feat Latifah
6:01
VIVAROMA
Рет қаралды 5 М.
MO DEWJI ANARUDI SIMBA NA USAJIRI ATASIMAMIA MWENYEWE@darmagazine
9:32
MOTO WA TUNDU LISSU SINGIDA KASKAZINI JIMBO LA NYALANDU
13:05
Chadema Media TV
Рет қаралды 460
KWAHERI: WACHEZAJI 10 KUTEMWA SIMBA | HAWA HAPA
12:14
SoccerData
Рет қаралды 51 М.
This duo #UFC302
0:13
ESPN MMA
Рет қаралды 1,2 МЛН
When Players Steal Ronaldo Goals 😢
0:24
Shmizer
Рет қаралды 3,3 МЛН
Ramos VS Lehmann VS Messi VS Dzeko VS Ronaldo Cold Challenge🥶
0:26
Football King
Рет қаралды 42 МЛН
«Ты как проиграл??» Друг переживает .. #нашедело
0:25
Наше Дело Студия +
Рет қаралды 1,7 МЛН