Ufugaji wa kuroiler - kuku wa kienyeji

  Рет қаралды 42,073

Changamkia Fursa

Changamkia Fursa

6 жыл бұрын

Ufugaji wa kuroiler - kuku wa kienyeji
Kuroiler ni kuku wa kienyeji aliyeanzishwa nchini India.
Kuroiler wanapokutana kwa kupandisha jogoo wa broiler na jike la Rhode Island red au jogoo la white leghorn na jike la Rhode Island Red.
Faida za ufugaji wa kuroiler
1. Kuroiler wanakua kwa haraka sana
2. Wanauwezo wa kuvumilia magonjwa
3. Wanafugika kienyeji kwani wanauwezo wa kujitafutia chakula wenyewe
4. Jogoo wa kuroiler anauwezo wa kufikisha mpaka kilo 5 na jike kufikia hadi kilo 3.5
5. Mayai na nyama ya kuroiler inapendwa sana na walaji hivyo humuongezea kipato mfugaji
Ndugu mfugaji kutoka Changamkia Fursa Tv nakushauri uanze pia ufugaji wa kuku wa kuroiler
#kukuchotara #kuroiler #kukuwakienyeji

Пікірлер: 102
@titusziro1611
@titusziro1611 2 жыл бұрын
Najifunza mengi sana kutoka kwenu kuhusu ufugaji wa kuku.Mungu awabariki. Kutoka Kenya.
@saumumunisi8013
@saumumunisi8013 2 жыл бұрын
Mimi ninapenda unavyoelezea vizuri. Natamani nikuone live sijui uko mitaa gani nije nijifunze zaidi. Napenda sana kuku.
@evaristmsimbe8028
@evaristmsimbe8028 2 жыл бұрын
Mwalim kuku project
@abdallahmkini3653
@abdallahmkini3653 3 жыл бұрын
Nafurai sana kuona ufugaji wa kuku aina ya kuroiler na Mimi nipo arusha je naweza kupata wa mayai tu
@shamfarouk4829
@shamfarouk4829 5 жыл бұрын
Hongera sanaa ndungu ,nimependa sanaaa mafunzo yako ,na nimependa ufugaji yako Mungu akuzidishie
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Akubariki na wewe pia
@daudiherony3493
@daudiherony3493 5 жыл бұрын
Aise ndugu yangu hongera...vipi una mbegu ya kuchi
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Hapana
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 5 жыл бұрын
shukrani sana ndugu yetu kwa elimu bora ya ya kujikwamua na maisha magumu .naam naomba kuuliza ,kuna kuku nilipata kumuona mtandaoni , anaitwa brahma je kwetu tanzania yupo huyu kuju na kama yupo gharama yake ni kiasi gani ? ahsante
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Maranyingi kuku hao hua ni kuku wa mapambo na hua wanapatikana kwenye maonyesho ya sabasaba na nanenane
@nichorousmwakanyika7932
@nichorousmwakanyika7932 5 жыл бұрын
tafadhar naomba unipigie ir unipe maelezo vizur maana hua tunauziwa vifaranga ambavyo sio bora yaani fek tofaut na hivo
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Pole kwa changamoto hiyo, kujiunga na group la what's app, tuma elfu3 M-pesa 0752209073 au tigo pesa 0712404341 Kisha tuma sms inavyoonyesha Jina lako na namba unayotaka iungabishwe what's app
@walterkisali1498
@walterkisali1498 6 жыл бұрын
Shukrani sana. Kutoka Kenya twawapenda zaidi
@changamkiafursa
@changamkiafursa 6 жыл бұрын
Shukran pia nasisi Tanzania tunawapenda pia
@erckevarst9022
@erckevarst9022 4 жыл бұрын
nashukur kwa ushauli ndugu
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 5 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa kutoa no nitakutafuta Mungu akubariki sana
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Pamoja mkuu
@faridahhamza8704
@faridahhamza8704 5 жыл бұрын
Nataka nianze ufugaji je nifanyeje nitakupataje kwa somo zaidi
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Karibu Katika group letu la what's app kwa shillingi elfu3, tuma pesa hiyo kupitia M-pesa 0752209073 au tigo pesa 0712404341 Kisha tuma sms inavyoonyesha Jina lako na namba unayotaka iungabishwe what's app
@eliasenyannko7045
@eliasenyannko7045 2 жыл бұрын
Nitawexaje kuwapata Hawa kuku wa crroiller wanaokuwa haraka
@pasclausikelemenc5411
@pasclausikelemenc5411 4 жыл бұрын
Nimeanza 3
@abdul24seven5
@abdul24seven5 4 жыл бұрын
Mm nataka mbegu ya kuroiler naipataje nipo dar
@johnmuk8895
@johnmuk8895 5 жыл бұрын
Jambo kwa wote Ndugu zanguNataka ushauri wenyu kuhusu ufugaji wa kuku. From congo
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Fatilia vipi vyetu kila video mpya inapotoka
@allihajj6540
@allihajj6540 5 жыл бұрын
Mungu akupe nguvu
@godlovejohnson687
@godlovejohnson687 6 жыл бұрын
Pamoja saana...nafatilia saana video zako...iv uko mkoa gan
@changamkiafursa
@changamkiafursa 6 жыл бұрын
Mwanza
@tausially6866
@tausially6866 4 жыл бұрын
Kiongozi naomba mawasiliano yko...nakuomba kiongozi naomba xana
@elikadoelias8053
@elikadoelias8053 6 жыл бұрын
Nimelipenda somo hili pia nahitaji kufuga niko kigoma ntawapataje
@changamkiafursa
@changamkiafursa 6 жыл бұрын
Unahitaji kuku wangapi
@shamfarouk4829
@shamfarouk4829 5 жыл бұрын
Mimi nina jenga banda la kuku sasa ,nataraji kuanza karibuni ufugaji wa kuroiler
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Karibu ndugu
@witnessjohn2394
@witnessjohn2394 3 жыл бұрын
Ongera kaka na Mimi nimejifunza kwa ko lakininiko geita nitawapataje!??
@elizabethmatsekhe7909
@elizabethmatsekhe7909 2 жыл бұрын
Nawaz pata aje his menu niko kenya?
@jamalitan9390
@jamalitan9390 6 жыл бұрын
Maelezo mazuri sana ndugu ,lkn naona kwa wengi huwa wanajisahau sana tena ,kutoa mawasiliano ,kama hapa nduge yetu katuhamasisha tumeingia hamasa kubwa ,lkn hamasa bila ya mafanikio , mawasiliano muhimu kaka weka no yako ya cm .
@changamkiafursa
@changamkiafursa 6 жыл бұрын
Pamoja sana ndugu
@agnethakululinda9358
@agnethakululinda9358 2 жыл бұрын
Mi nimeanza na kuku 60 tu
@rashidmngongo8526
@rashidmngongo8526 5 жыл бұрын
Nawapata wapi hawa kuku kroiler
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Wanapatikana kote Tanzania, nitafute what's app 0752209073
@eleneusbaraka7759
@eleneusbaraka7759 5 жыл бұрын
asante sana mkuu, nilihitaji kuwasiliana na wewe he inawezekana ???
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
0712404341 /0752209073
@eleneusbaraka7759
@eleneusbaraka7759 5 жыл бұрын
ChangamkiaFursa , Tv ahsante sana nimezipata NAMBA zako
@monicaisuja1383
@monicaisuja1383 3 жыл бұрын
Najua ni siku zimekata katakana vifaranga namba 0712425712 dodoma nijbu
@changamkiafursa
@changamkiafursa 3 жыл бұрын
Nakushauri ujiunge na darasa la mwezi ujao
@luckmansiuji6146
@luckmansiuji6146 5 жыл бұрын
mi ni mwanafunzi kidato cha pili sasa lakin napenda sana kufuga kk na nahitaji kufikia malengo makubwa sana ninapo fikia mwezi wa kumi mwaka kesho so namependezwa na elimu yako
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Karibu ndugu kwenye ufugaji,
@prospermuchunguzi7829
@prospermuchunguzi7829 5 жыл бұрын
Nahitaji elimu Ya ujenzi wa mabanda Ya KUKU.
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/bpOJpaWI15mncYU.html
@legend7dn407
@legend7dn407 5 жыл бұрын
Mimi niko Burundi bujumbura how can i get hawa kroiler vifaranga 50 wa mwezi mmoja
@novatusfabian4109
@novatusfabian4109 6 жыл бұрын
naomba unijuze mpango wa chanjo ya vifaranga kuanzia siku 1
@changamkiafursa
@changamkiafursa 6 жыл бұрын
Tazama video hii kzfaq.info/get/bejne/qtaogLyfuKyXg2w.html
@novatusfabian4109
@novatusfabian4109 6 жыл бұрын
mambo vp bro, sasa hao wana umri gani
@changamkiafursa
@changamkiafursa 6 жыл бұрын
Wapo wa mwezi 1 miezi 2 na miezi 5
@kherially4729
@kherially4729 5 жыл бұрын
habari kaka mfano ss wa moshi tukiitaji tufanyeje hao kuku
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Tuna tuma mikoa yote Tanzania
@isacknguvumali3445
@isacknguvumali3445 4 жыл бұрын
Nime shangaa sana kuku wangu kroila nime kuta ame lalia mayai hii ipoje wadau?
@changamkiafursa
@changamkiafursa 4 жыл бұрын
🤔 umenunua kampuni gani
@rahabnderitu7974
@rahabnderitu7974 5 жыл бұрын
Uko wapi
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Dar kuanzia tarehe 3
@mpelwamasunga2568
@mpelwamasunga2568 6 жыл бұрын
Brother nitumie namba ako mm Niko Simiyu naitaji tuongee
@changamkiafursa
@changamkiafursa 6 жыл бұрын
0752209073/0712404341
@nancyundisa2209
@nancyundisa2209 3 жыл бұрын
Yr contact
@hemeddosty5192
@hemeddosty5192 4 жыл бұрын
Nipo zanzibar nahitaj kufuga kuku namba zangu izo kama kuna group lawhatsup naomba nitalipia nahitaj 07783594 28
@mosseszyherizonic2584
@mosseszyherizonic2584 5 жыл бұрын
bro...naitaji kuanza kufuga kuku npo dar es salaam..nataka nikafuge dodoma nitawapataje awo kuku..naomba ushauri
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
0713707165 / 0712705839 piga namba hizo
@concykimoi1084
@concykimoi1084 5 жыл бұрын
Nawahitaji jamani
@bensonmwambete4223
@bensonmwambete4223 6 жыл бұрын
eti samahani,nilijua naomba ushari kuhusu ili swali wanasema kwamba kuku wa kienyeji ukiwafuga kama kuku wa kisasa wanasema majogoo wanauwezo wa kupandana samahani nilikua naomba kuuliza ilo swalii
@changamkiafursa
@changamkiafursa 6 жыл бұрын
Sina uhakika na hilo
@peterkalistopeter1396
@peterkalistopeter1396 5 жыл бұрын
Mkuu wanaatamia wenyewe?
@ricardomusk6791
@ricardomusk6791 4 жыл бұрын
Asanteni!!!!!!!!!
@shepardhudson4528
@shepardhudson4528 3 жыл бұрын
I know Im kind of off topic but does anybody know of a good website to stream new movies online?
@lukekobe2343
@lukekobe2343 3 жыл бұрын
@Shepard Hudson i watch on FlixZone. You can find it by googling :)
@deckerimmanuel600
@deckerimmanuel600 3 жыл бұрын
@Shepard Hudson Lately I have been using flixzone. You can find it on google =)
@drewbriggs7749
@drewbriggs7749 3 жыл бұрын
@Shepard Hudson Lately I have been using flixzone. Just google for it :)
@GloriousRestorationTV
@GloriousRestorationTV 5 жыл бұрын
Naomba namba yako ya watsapp tafadhali
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
0752209073
@williamngaira4594
@williamngaira4594 5 жыл бұрын
kama unaeza kufunga kuku inafaa uanze na kuku wangapi
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Kuku wa kienyeji na chotara Anza na kuku 300
@bensonmwambete4223
@bensonmwambete4223 6 жыл бұрын
mimi swali langu hao kuku wa kuroiler bei yake wanaanzia bei gan?? mfano uyo wa mwezi mmoja alikuwa anauzwa bei gan??
@changamkiafursa
@changamkiafursa 6 жыл бұрын
Wamepanda bei kwa ajili ya sabasaba, ambapo walikua wanauzwa elfu4 na wa miezi 2 elfu 7
@changamkiafursa
@changamkiafursa 6 жыл бұрын
Wasiliana nao kupita namba 0713707165 /0784824846
@hellenngowi9833
@hellenngowi9833 5 жыл бұрын
Bro nipo moshi nawapataje?
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
0783833335 Wapigie hao ni kampuni ya AKM
@nichorousmwakanyika7932
@nichorousmwakanyika7932 5 жыл бұрын
namba yangu hio 0764668947 0626720778
@lealea8193
@lealea8193 4 жыл бұрын
Kuku miaa mbili itatumia pesa kiasi ngani?
@changamkiafursa
@changamkiafursa 4 жыл бұрын
50m square
@annahkichambati1428
@annahkichambati1428 5 жыл бұрын
naomba namba yako niko kigoma 0767488091 nimeipenda sana
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
0712404341 / 0692518225
@anthonymhoja2198
@anthonymhoja2198 6 жыл бұрын
niko mwanza nahitaji kroiler nitapataje ? na shilingi ngapi? nipo Buswelu
@anthonymhoja2198
@anthonymhoja2198 6 жыл бұрын
nahitaji wa mwezi miwili au mitatu walau hata wawili au watatu
@shabanothman6201
@shabanothman6201 5 жыл бұрын
Nipo manyara naipataje hiyo mbege
@chirstinachiganga3315
@chirstinachiganga3315 5 жыл бұрын
mm ni mfugaji ndo nimeanza na fuga kuku aina ya kroiler na omba namba yako kam uto jali nko mwanza namba yangu 0769964745
@judithiwakaroyo8694
@judithiwakaroyo8694 6 жыл бұрын
Asantesana kakaangu Mimi nataka kuanza kufuga .nipo dar mbagala. nitapata wapi Iyo mbegu ya kuku wa kuroila? Na jogoo NI beigani na mtetea nibeigani?
@changamkiafursa
@changamkiafursa 6 жыл бұрын
Asante kwa kutazama video ya Changamkia fursa tv. Ukiwa dar ni rahisi kuwapata wasiliana na nzua enterprises kupita namba hii 0712705839/0713707165. Usisahau kusubscribe na karbu tena Changamkia fursa tv
@edsonmahenge6624
@edsonmahenge6624 6 жыл бұрын
Tunashukuru kw Elim nzuri
@changamkiafursa
@changamkiafursa 6 жыл бұрын
Pamoja sana ndugu
@issahrasta3110
@issahrasta3110 5 жыл бұрын
Naomba namba yako nmpenda mradi 0745871443
@luckmansiuji6146
@luckmansiuji6146 5 жыл бұрын
bro we unafunga kuku au ndo unatupa elimu tu
@changamkiafursa
@changamkiafursa 5 жыл бұрын
Nafuga pia
@concykimoi1084
@concykimoi1084 5 жыл бұрын
Nipo manyara nawahitaji nawapataje
NILIANZA NA KUKU 50 WA KIENYEJI  SASA NINAUZA VIFARANGA 2500 KILA WIKI
12:12
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 6 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
Chekesha : Shida ni Mkeo Mama Emma
10:18
CHEKESHA
Рет қаралды 26 М.
KUTOKA CANADA NA KUANZA UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI TANZANIA
10:52
Mutafarm TV
Рет қаралды 8 М.
Ushauri wa Mama Lymo kwa Anae Anza Ufugaji wa Kuku Chotara
9:36
Changamkia Fursa
Рет қаралды 54 М.
Kuroiler Chicken 1 of 2
18:20
Village Chicken
Рет қаралды 273 М.
Jinsi ya Kutunza Vifaranga wa Kuku Chotara (Kuroiler)
9:06
Changamkia Fursa
Рет қаралды 33 М.
Sifa za Kuroiler: Kilo 5 Ndani ya Miezi 6 na Kutaga Ndani ya Miezi 4
4:02
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН