Ufugaji wa Samaki aina ya Sato hybrid na Faida zake kemkemu Pt 1|

  Рет қаралды 6,292

Mulap Farm

Mulap Farm

8 ай бұрын

Tumeanza project mpya kama mafunzo kabla ya kutanuka zaidi

Пікірлер: 22
@aminamollel6639
@aminamollel6639 2 күн бұрын
Kipindi ni kizuri ila jifunze namna boraya ya kuhoji maswali na pia mpe nafasi mtaalamu aelezee vizuri ili watazamaji wako tujifunze. Tulia pia wakati wa kuhoji unahangaika sana huna utulivu, unakera. .
@salamaMasauti-s7l
@salamaMasauti-s7l Ай бұрын
Asalam Alaykum bei zenu za ujengaji wa bwawa ni bei Gani ?
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 4 ай бұрын
Mtaalamu wetu wa samaki na mwanajeshi wamejiongoza vizuri kwenye kipindi...
@yonazakaria9706
@yonazakaria9706 8 ай бұрын
Safii sana.
@mulapfarm9664
@mulapfarm9664 6 ай бұрын
Asante sana
@EdwinDoctor
@EdwinDoctor 7 ай бұрын
Nashukuru kwa hii Makala ya ufugaji Sato ,,je mwenye kuanza mafunzo yanapatkana. Wapi ,,mi nipo mwanza
@mulapfarm9664
@mulapfarm9664 6 ай бұрын
Tunapatikana Kibaha
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 13 күн бұрын
Nimefurahi kwa maelezo mazuri naomba namba yenu
@mulapfarm9664
@mulapfarm9664 13 күн бұрын
@@user-ls2uj3fl1o 0659770886
@lukasandy7620
@lukasandy7620 3 ай бұрын
kama ndo nataka kuanza kabsaa kufuga nahitaji kiasi gan kuazisha mradi kama huo na eneo kiasi gani linaweza kutosha
@sethnzigo7087
@sethnzigo7087 6 ай бұрын
Asante kwakipindi bora. Ingekuwa muhimu sana tupate phone number ili tupate kuwasiliya kwatarifa zaidi.
@mulapfarm9664
@mulapfarm9664 6 ай бұрын
Asante sana 0659770886
@yusufusylivanus9762
@yusufusylivanus9762 6 ай бұрын
Jamani mbona sina mbegu bora za samaki nipo kigoma Kakonko
@mulapfarm9664
@mulapfarm9664 6 ай бұрын
Tunapatikana kibaha
@fikirijoelmupenda6652
@fikirijoelmupenda6652 4 ай бұрын
safi sana. inaomba mtu awe na pesa ngapi ili kuanza huyo mradi?
@mulapfarm9664
@mulapfarm9664 4 ай бұрын
Kiasi chochote kinafaa ni malengo yako tuu
@user-so9nd6ei1w
@user-so9nd6ei1w 4 ай бұрын
Namba namba sim
@mulapfarm9664
@mulapfarm9664 4 ай бұрын
0659770886
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 8 ай бұрын
Sauti imekata
@mulapfarm9664
@mulapfarm9664 8 ай бұрын
Sehemu gani mkuu mbona kwangu sauti ipo
@walumonamlendalaurent7446
@walumonamlendalaurent7446 5 ай бұрын
Napenda nipate namba zako za simu ili nizungumze nawe
@mulapfarm9664
@mulapfarm9664 5 ай бұрын
@@walumonamlendalaurent7446 0659770886
UFUGAJI WA KISASA WA SAMAKI KWENYE MABWAWA
9:36
Mbeyainfo TV
Рет қаралды 9 М.
KILIMO AJIRA YANGU  - Ufugaji wa Samaki aina ya Sato 24.02.2018
26:14
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 18 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 60 МЛН
UFUGAJI WA NGURUWE na Jinsi ya kuwa MILIONEA| Hatua kwa hatua|
32:28
SUA yafanikiwa kuhamasisha ufugaji wa samaki Kilombero
22:29
UFUGAJI WA SAMAKI: MACHINGA ALIYEFANIKIWA KUFUGA SAMAKI
21:35
Ufugaji wa samaki Kwa namna rahisi
11:24
Yaliyojiri Online
Рет қаралды 6 М.
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН