No video

MZEE PINDA AMFICHULIA RAIS SAMIA SIRI NZITO, KILICHOTOKEA AKIWA WAZIRI MKUU

  Рет қаралды 53,383

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

Пікірлер: 45
@msamanga2277
@msamanga2277 Ай бұрын
Amazing man. Huyu ni mtu anae weza kupiga sim ikulu isikataliwe bado anaunga mstari kama wananchi wengine wakawaida hongera kwake!
@mussaharun7257
@mussaharun7257 Ай бұрын
Nakukubali sana Mh PK Pinda. Una busara kubwa Allah amekujalia, una haiba ya uongozi, msikivu, Mzalendo na huna majigambo. Kweli umewatetea Wakulima. Unafaa kugombea urais
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Ай бұрын
Ni kweli yuko vizuri maelezo hayo asingeweza kuongea maneno hayo
@heronimomsefya3190
@heronimomsefya3190 Ай бұрын
Hahahaha dah nimependa sana pozi la mama Mheshimiwa Dr Samia Hoyeeeee 🎉🎉😂😂
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 Ай бұрын
Kazi iendelee, lets the work continue Kazi njema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Kila la kheri na mafanikio. Tazama ramani utaona nchi nzuri !!!🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@eliasboniphacekidanha7596
@eliasboniphacekidanha7596 Ай бұрын
Mama naomba ufanye Royal tours awamu ya pili
@amanikudeli5297
@amanikudeli5297 13 күн бұрын
Safi sana
@MarbleBaswige
@MarbleBaswige 22 күн бұрын
Mh wiziri mkuu mstafu Mungu aendelee kukulinda na akubariki sana nakumbuka utumishi wako ulikuwa mgumu sana enzi za mauwaji wa albino
@maligiretongora3333
@maligiretongora3333 Ай бұрын
Wanaofaidi wanamuelewa sana
@user-xc3yo4ke4p
@user-xc3yo4ke4p 15 күн бұрын
Mama upo kazini na wanao tunakuona,na tunakuunga mkono mama ni mama 5 tena.
@maryamsharif6926
@maryamsharif6926 Ай бұрын
Good job mhe pinda
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Ай бұрын
Kachuo kapo
@wanguwangu34
@wanguwangu34 Ай бұрын
Kwani kampeni imeanza?, wabongo shida sana.
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Ай бұрын
Shughuli imeanza rasmi
@francisMhulula
@francisMhulula 28 күн бұрын
Mzee pinda salaamu alekumu mm nauliza vp ile campuni ya deci pesa zetu
@shabansumaiya4770
@shabansumaiya4770 Ай бұрын
Namshauli mama wilaya ya korogwe iwe mkoa sasa maana imekua kubwa
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 Ай бұрын
Wilaya ya Korogwe haina maendeleo kubali usikubali Old Korogwe na Manundu bado kupo nyuma sana kimaendeleo. Ingawa katika historia wakati wa kilimo na biashara ya mkongwe Korogwe ilivuma sana na mkoa wa Tanga kwa ujumla nakumbuka anatoka marehemu Shaban Robert mzee wa fasihi ya kiswahili, mara yangu ya mwisho Korogwe ni karibu miaka 35 iliyopita lakini naona katika habari na KZfaq
@rashidkinyasi5645
@rashidkinyasi5645 Ай бұрын
​@@abdulhajiahmed8735 Shaban Robert alitokea Wilaya ya Pangani......na Wilaya ya Korogwe SASA hivi ina Halmashauri mbili....ambazo...ni...Korogwe Mjini na Korogwe vijijini....
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l Ай бұрын
Hiyo hela uliyo fund ya kujenga shule wewe Pinda iliipata wapa kama siyo hela ulizoiba za ESCROW.?????? SHAME ON YOU
@akibabautunzi2393
@akibabautunzi2393 24 күн бұрын
KAMA KIGOMA MPO NJOONI TUMUSAIDIE YUNUSA GAMBO MIAKA 20 YUPO NDANI ANAPATIKANA MANYOVU WILAYA YA BUHIGWE KIJIJI MWAYAYA KITONGOJI RULOLO
@gracethomas683
@gracethomas683 12 күн бұрын
Mpingwe wamenuna…….
@jackisonmlaari4556
@jackisonmlaari4556 Ай бұрын
Acha sifa za kijinga mzee.huyo mama kafanya nini kipindi hiki kama siyo kutuletea madeni ya ajabu
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Kumbe pinda kisukuma hujuwi. Mzee pinda mwambie Rais ukweli. Wanaomusifu ni wengi wanamuziba macho. Tanzania haiendi vizuri kwa ufisadi. Wizi umeshika kazi. Hakuna wa kulkemea
@NDEWARA
@NDEWARA Ай бұрын
Pole 😂
@bernardjosephmulokozi3901
@bernardjosephmulokozi3901 Ай бұрын
Wewe umeibiwa nini?
@huyu1993
@huyu1993 Ай бұрын
Tukuulize wewe umeibiwa nini?
@huyu1993
@huyu1993 Ай бұрын
Wacheni majungu nyinyi .fitina mbaya
@user-mp4hk1vv1u
@user-mp4hk1vv1u Ай бұрын
Sema wewe na wajinga wenzio Tulio weng tunampenda kwa kuifanya Tanzania Ina amani na maendeleo ya naenda bila kugombana Wala kukatipiana Uwezo wake na wanaomsaidia ni Mkubwa sana anatengeneza mifumo ya kumanage bila kutumia nguvu nyingiiiii Moumbavu hawez kumuelewa huyu mama ila waelevu wanamuelewa
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 Ай бұрын
Wajinga watampa tena kula na familia yake
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 Ай бұрын
Mmh
@MarcoNtobi
@MarcoNtobi Ай бұрын
Mno L😅lu l
@titoamani-e8b
@titoamani-e8b Ай бұрын
Tunaomba Samia akataze Harmonize kuharibu accounts za Wasanii wa Diamond kwenye KZfaq na uchawi🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 Ай бұрын
Kumbe magufuri alikutingisha na wewe dah! Yule kweli kiboko
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
MrishoMpoto
Рет қаралды 146 М.
Logo Matching Challenge with Alfredo Larin Family! 👍
00:36
BigSchool
Рет қаралды 18 МЛН
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 4,5 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 38 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 44 МЛН
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, 20 Agosti 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,7 М.
RC MAKONGORO AWAVUNJA MBAVU VIONGOZI
22:21
Uhondo TV
Рет қаралды 30 М.
Logo Matching Challenge with Alfredo Larin Family! 👍
00:36
BigSchool
Рет қаралды 18 МЛН