UISLAMU UMEINGILIWA NA SERIKALI MASHEIKH WAJA JUU TANZANIA

  Рет қаралды 68,372

SHALBA OnlineTV

SHALBA OnlineTV

2 ай бұрын

Пікірлер: 449
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 2 ай бұрын
Masheikh wetu shukran sana kwa kuona uvundo huo.M'mungu awape umri inshaAllah. Wallah wengi hawayaoni haya mambo yana madhara hapa duniani na Akhera.Quran inajitegemea yenyewe haihitaji kuchanganywa na uchafu wowote wala kutungiwa mtaala wowote fyuuuuuu, pyuuuuuu !!!!!!
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 2 ай бұрын
Shehe Ponda nakutafuta. Mungu awabariki sana. Tanganyika tusipoangalia tumeingiliwa. Wakristo wa kweli na waislamu wa kweli. Hii serekali ina jambo lake nyuma ya pazia mbaya sana
@lolubokhalifa3836
@lolubokhalifa3836 2 ай бұрын
Masha Allah Allah awatie nguvu tupo pamoja na tunashukuru kwa kufungua masikio kwa kinachoendelea🙏
@afandechanel1507
@afandechanel1507 2 ай бұрын
mimi kama mkristo naungana mkono na masheikh ila masheikh watambue kwa Sasa Dunia iko mbioni ya kutaka Dunia yote iwe na dini moja tuombe tu sana M/Mungu atu jalie mwisho mwema
@SalehSaidmbarouk-pu9jq
@SalehSaidmbarouk-pu9jq 2 ай бұрын
Hayo ni maksudi sio bahati mbaya ila wacha walivuruge tutalinywa sote.
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 2 ай бұрын
Allahumma Aaamin 🤲🤝
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 2 ай бұрын
Kwa uwezo wa Rahman atawashinda ishaallwah , napia wameona watu wapo kimya wsiyo Wana tafuta sababu waaze kuhujum mashekh
@SalumHamadi-sq3up
@SalumHamadi-sq3up 2 ай бұрын
Dini yetu ya kiislam inajitosheleza kwa chochote unachokifikiria kwa sababu muumba wetu katupa mwongozo wa Kila kitu
@Swamadu-om3uj
@Swamadu-om3uj 2 ай бұрын
Hiyo dini yao bkwt serikali wanahaki c wanagombeana uongoz ila cc waumini a zanzbr dini yetu iko salama na serikali akitokea mtumiongoni mwa hao wanawojita mashehe wdundeni kw nn muwalipe hlf wakutieni mdomo wagongeni kama mmshaambiwa serikali haina dini nynyi mmenda kufanya nn na hch kikundi chenu wkt wao wameshsema hwn din
@omargargaar5611
@omargargaar5611 2 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah awahifadhi wte mlio jumuika masheikhe wetu
@AndulHida-hs5py
@AndulHida-hs5py 2 ай бұрын
Mola atusaidie kusimamisha dini yake ya kiislam mpaka kiyama inshaallah, Barak Allah kheri mashekhe wetu, kwakweli tupo pamoja bega kwa bega mpaka tupate ufumbuzi wa Jambo hili inshaallah na mola atasimama na waislam wote inshaallah.
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 ай бұрын
Jifunzeni kwenye zinazoongozwa na sheria za dini ya kiislamu uone kama kuna amani,siku uislam ukitawala dunia ndipo utaona mauaji na ubakaji mkubwa na vita kila mahali
@omante194
@omante194 2 ай бұрын
Amina
@Nuru_Maftah
@Nuru_Maftah 2 ай бұрын
@@FridayMwassakwaiy unachotaka kusema ni nn? Unajua unachoongea ww au unafungua tu mdomo? Mxiuuuuuu
@AshaOmar-vk7kg
@AshaOmar-vk7kg 2 ай бұрын
Fahamu mada kwanza ww pumba​@@FridayMwassa
@jumasabour5886
@jumasabour5886 2 ай бұрын
Uislam ni Dini ya Aman sana na hizo nchi unazozizungumzia wanamatamanio yao tu kidunia. Makafir tu wanatuxhonganisha.
@IsmailMjesh
@IsmailMjesh 2 ай бұрын
Tusiwe waoga ila tuwe wakweli💪💪💪💪💪 Hasbunna'llah 'wannemal wakeel 💪💪💪💪💪
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 2 ай бұрын
Hakika
@RamadhanKhalfan-tq1go
@RamadhanKhalfan-tq1go 2 ай бұрын
Tupo tayari
@KaramaMuhammad
@KaramaMuhammad 2 ай бұрын
Mashaaaaallah
@dadithemr.4029
@dadithemr.4029 2 ай бұрын
Tunawapenda saanaa viongozi wetu tuko pamoja nanyi...
@kabwangaselemani5228
@kabwangaselemani5228 Ай бұрын
Mashekhe mpo makini katika kufuatilis hizi kadhia za dini Mwenyezi Mungu awajaalie upepo zaidi Inshallah
@tunudimandogreek9683
@tunudimandogreek9683 2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu awapeni nguvu zaidi masheikh wetu mpaka waelewe hao wenye tamaa ya kuangalia ya kidunia Tu na kusahau km yana mwisho, insha'Allah awazidishie nguvu viongozi wetu wa dini ya kislam ,na itasimama mpaka siku ya mwisho
@HamadHamduni
@HamadHamduni 2 ай бұрын
Silabasi ya waislaamu ni Quran na suna
@AnnaMkasa
@AnnaMkasa Ай бұрын
Inshaallah Allah awatie nguvu makhehe shetani kateka makanisa sasa inaingia katika uislamu mungu awatetee wakiristo na waisilamu kwakila aaminio Allah yupo🙏☝️
@ramadhanayub5877
@ramadhanayub5877 2 ай бұрын
Da yan twashukuru sana mashehe Allah awaifadhi ila Hawa mashehe wali wa bakwata wanajuwa tu kugombania misikiti na kutuchanganya kwenye menzi
@zakiangubiagai266
@zakiangubiagai266 2 ай бұрын
Maa shaa Allah Masheikh wetu twawapenda sana, muna msimamo safi, pambaneni tupo nyuma yenu wallah Na Allah awape nguvu ya ushindi in shaa Allah 💪
@najimshaib9306
@najimshaib9306 2 ай бұрын
Yani hii nchi mtaiyona chungu hatutakubalii upuuzi huu hasbiyallahu waniimal wakeel
@victorgasper7563
@victorgasper7563 2 ай бұрын
wewe ndio utaiyona chungu yani nchi iwe chungu kwaajili ya waislam mpumbavu ww
@user-kd6xn7ux4v
@user-kd6xn7ux4v 2 ай бұрын
​@victorgasper7563 jifunze kuvaa vzr arafu ndio uje ktk vikao vakiungwana km iv
@alyumaraos
@alyumaraos 2 ай бұрын
​@@victorgasper7563ww hunaakili kwan unadhan waislam ni dhaif ktk nchi hii ww ndo pumbav hujielew
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 2 ай бұрын
Laana ziwashukie Kila mwenye Nia mbaya na dini yetu .
@HamisAbdallah-cj2sc
@HamisAbdallah-cj2sc 2 ай бұрын
Wameona uwisilamu unazidi kuota mizizi KWA hiyo wanataka kuupotoa
@khloevibe7569
@khloevibe7569 2 ай бұрын
​@@HamisAbdallah-cj2scwakina nan? kwan mwny serikali c ni muislam
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 ай бұрын
​@@HamisAbdallah-cj2scRais wa nchi ni mwislamu mwenzenu lakini ikoje,jiulizeni alipoongoza mkristo nchi ilikuwaje na kwa mwislamu ilikuwaje
@MariamOfficial-ve1yt
@MariamOfficial-ve1yt 2 ай бұрын
Nahiyohiyo laan unayo tuombea sisi ianze na ww kwa jina ra yes
@saodashabani2652
@saodashabani2652 2 ай бұрын
Watawapotosha waislam nasio UISILAMU watashindwa kwa uwezo wa Allah Hasbinallah waneymal wakil
@MtemisengeMwanga
@MtemisengeMwanga Ай бұрын
Allah akutangulien katika kutetea uislam wetu usiangamiee tuko pamoja katika hili Allah atuongoze
@kassimkipande1858
@kassimkipande1858 2 ай бұрын
Mashaallah mungu awabaliki pia mungu aulinde uisram wetu inshaallah
@hidayakhamis936
@hidayakhamis936 2 ай бұрын
Allah tunakuomba ilinde dini yetu kuna watu wana nia ya kuiharibu hii dini yetu ya hakki
@MohamediMwishehe-oj9vi
@MohamediMwishehe-oj9vi 2 ай бұрын
Allah atufanyie wepesi Inshallah ktk maisha yetu pia tuombe tupate mwisho mwema lkn tuendako baadhi ya viongozi wakitangulia akhera wengine utakua mtihani viongozi wetu wote tunawapenda na tunawaamini kubwa zaidi mumtangulize sana Allah ktk maamuzi yenu
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 Ай бұрын
Your arguments not only tangible but also excellent. Mashallah
@hafidhseif9638
@hafidhseif9638 2 ай бұрын
Mashaalah nakupongezeni sheikh kundecha na sheikh ponda Allah azidi kukupeni hekima na elimu zadi
@SaidJangoli-hr7ww
@SaidJangoli-hr7ww 2 ай бұрын
Mashallah jazakallah khaira tuko pamoja ❤💯
@ahangfaith1180
@ahangfaith1180 2 ай бұрын
Allah awape umri mref masheikh wetu muzd kuutetea uwislamu
@omante194
@omante194 2 ай бұрын
Amina amina yalabilalamin 🤲🤲
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 2 ай бұрын
Mashallah waislam ni wapole ila wakichokozwa lazma wasimame kwa pamoja nikweli huo ni uchokozi na utovu wa nidhamu serikal hatuitaki katika dini ya uislam 🥺
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 ай бұрын
Kule Nigeria, Mali, Pakistani, alfaganistan na somalia walichokozwa na nani, ndiyo maana Israel umeamua liwalo na liwe mmebaki kubweka
@abdulijuma3969
@abdulijuma3969 2 ай бұрын
Hiyo ndo shida yenu wazee wa kukurupuka. 😅
@SalamaJuma-mg3ru
@SalamaJuma-mg3ru 2 ай бұрын
Maashaallah masheikh wetu tuko pamoja nanyi wasituchokoze waislamu tumeshadata na maisha lolote tutadili nalo
@user-ny2fu8bu2u
@user-ny2fu8bu2u 2 ай бұрын
Wanatuona waislamu tuko imara sasa mungu uwaraani yeyote akigusa uislamu kwa nia mbaya afikwe na balaa
@kamalmukaddam1521
@kamalmukaddam1521 2 ай бұрын
Nawapongeza masheikh wangu mashaalah tupo pamoja mpo sahihi
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Ай бұрын
Naipenda sana dini yangu yakiislam na najivunia sana kuwa muislam mimi na familia yng na familia yang ...namuomba mwenyezimungu nipate mwisho mwema mim na familia yng na nife nikiwa muislam..na nipate mwisho mwema mim na vizazi vyang na wazazi wng na familia yng natupate mwisho mwema aturehem
@dulasele-ud8cw
@dulasele-ud8cw 2 ай бұрын
Bola Niwe mfanya biashala kuliko kuwa serikalin ata watoto sipendi wawe serikalin😢
@awadhally1052
@awadhally1052 2 ай бұрын
Kwel kabisaa
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 2 ай бұрын
VIVA MASHEKH WETU....SIMAMENI IMARA NA WAISLAMU WOTE TUKO NYUMA YENU....HUU NI UPUUZI WA BAKWATA...EWE MUFTI NA VIONGOZI WA BAKWATA MUOGOPENI MWENYEZI MUNGU MTUKUFU....ATAWAANGAMIZA!
@muhammadilukuta685
@muhammadilukuta685 2 ай бұрын
Mkakamae masheikh maadui wanataka kutumia serikali kutuhujumu serikali iandae dini yake sio kuingilia uislamu asanteni masheikh
@kingkiya6640
@kingkiya6640 2 ай бұрын
Alhamdulillah,,,Katiba ya ulimwengu inatakiwa iwe Qur'an hata kama hawaikubali
@Ernestlaiza
@Ernestlaiza 2 ай бұрын
Shetani wewe
@prochesernest5439
@prochesernest5439 2 ай бұрын
Mnataka katiba iwe Quran hili Kuna jema Gani humo kwenye?
@alkhalilalkhalil8208
@alkhalilalkhalil8208 2 ай бұрын
​@@Ernestlaiza Wewe bado NI mjinga kwanza nenda kajielimishe huwezi kuwa wewe upo na akili alafu unasema yesu ndio kakuumba Hali ya kuwa yeye anakataa katika bibilia unajua hilo
@yonasimion3130
@yonasimion3130 2 ай бұрын
Ndugu zetu wakristo na waislam, Tusibishane kuhusu dini zetu, Qur'an na BIBLIA . Waislam wanasema MWISLAM ndugu Yako MWISLAM. Ila sisi wakristo hatujabagua nani ndugu Yako, tuheshimiane wote Kwa ajili ya amani ya nchi yetu.
@landelinusbyabato2512
@landelinusbyabato2512 2 ай бұрын
Huu ujinga ndo unafanya wapalestina wakungutwe. Na watapigwa tu
@InnoScorfield
@InnoScorfield 2 ай бұрын
Shekhe upo sahii sana na mungu akulipe kwa ukweli wako mungu atusimamie kwa aki tu inshaallah
@user-pg2tw8yt4l
@user-pg2tw8yt4l 2 ай бұрын
hivi wana malengo gani hawa watu mbona kama vile wanakaribia kuuvuka mstari mwekundu enyi waja wa mwenyezi mungu hakika nawaambieni jambo hili ni baya zaidi kwa imani za watu na sizani kama kuna ulazima wa kufanya hivyo na wala sizani kama kuna mtu anaekubali jambo hili halafu em tizama watu walivyo riakti jambo hili na hapo ndio utajua kua hili c jambo zuri tena halifai kabisa
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 2 ай бұрын
Subhannallah, Kama Serikali itafanya hivyo, itakuwa ni DHAMBI KUBWA mbele ya Mwenyezi Mungu, Mbele ya Malaika, na mbele ya Waislamu wa Tanzania. Maana mguso wa imani kama ukiingiliwa na Serikali kwa namna ambayo Masheikh hao wanavyo eleza kama ni kweli , tuombe Mwenyezi Mungu atupe subra.
@BakariMhando-sv1ki
@BakariMhando-sv1ki 2 ай бұрын
Allah watie nguvu mashekh wetu hapa tz na dunian kote,
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 2 ай бұрын
Hapa mmenifurahisha sana. Msisubiri hao DP world wakaleta dini yao ya kiaina😢😢😢😢
@HassanJambia
@HassanJambia 2 ай бұрын
Tunashkru masheikh
@user-sz8sx8pn7v
@user-sz8sx8pn7v 2 ай бұрын
Asalam aleykum ndungu waisilamu Mashekh na waisilamu sote tuwe ngangari Kwakweli hii Dunia kwa sasa imeshikiliwa masiidajjal.mambo ya naanza pole pole. Tujitayarishe kiimani ya kikweli tupambane na hizi sirikali
@alisaid7440
@alisaid7440 2 ай бұрын
Wanatengeneza uungu wao kama firauni hao tusome sana natusomeshe vijana wetu dini ya kweli yakwao tuwaachie na muungu wao tuone watakako fika.
@khadjahakamali-njufsk-7827
@khadjahakamali-njufsk-7827 2 ай бұрын
SubhanaAllah hi ni musiba, ni mambo ya magharibi
@awadhally1052
@awadhally1052 2 ай бұрын
Mambo ya makafir hayo Allah awa laani
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Ай бұрын
Iyo nikufuru na ni utovu wa nidhamu..nawanaingilia Imani yetu sisi kama waislam..muongozo wetu sisi waislam ni quraani na mtume wetu s.w..na mwenyezimungu Aliahidi kuwa dini yetu yakislam mungu atailinda yeye mwenyewe...kwaiyo watuachie dini yetu yakislam...mtume wetu Muhammad s.w na quraani yetu inatutosha ..wabilah tawfiq
@user-ps7kv7lp4m
@user-ps7kv7lp4m 2 ай бұрын
Jambo baya sana kwakwel ,ndani yakekuna dini yaushetan freemason wanahitaji kusimika utawala wao baadae ,kunavitu vigumu sana Allah atailinda dini yake ishaalah
@shufaa8921
@shufaa8921 2 ай бұрын
Allha atuongoze juu yahili na awatie nguvu viongozi wetu wadini lnshaallah
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 2 ай бұрын
Serikali kaeni mbali na dini yetu.
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 Ай бұрын
Amina kazi nzuri maShekh❤
@user-ry4kx9hg7o
@user-ry4kx9hg7o 2 ай бұрын
Mim kiwa mkristo,naunga mkono waislamu.
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 ай бұрын
Nenda kwenye uislam usisubiri ufukuzwe kafiri wewe
@IssaSalim-kv4gr
@IssaSalim-kv4gr 2 ай бұрын
Ndugu yang muislam dini yetu inasema hakuna kulazimishana katka dini hvyo tumia lugha nzur kwa watu kuwanasih sio kuwakashif mana hakuna baya alilosema ndugu yetu hapo
@willygwaikana
@willygwaikana 29 күн бұрын
@@IssaSalim-kv4gr Wewe hujaujua vizuri uislamu. Dini ya uislamu ni ya mabavu, bahati nzuri tu kwamba mataifa makuu yenye nguvu sio ya kiislamu, la sivyoi kila mmoja angeshurutishwa kuwa mwislamu. Kama si kwa upanga, basi uislamu usingekuwepo leo maana ulienenezwa kwa vitisho na unalindwa kwa vitisho hata sasa.
@khamismbaruk0017
@khamismbaruk0017 2 ай бұрын
Serikali za kiafirika zinapelekwa na wazungu Fanya hivi watafanya tu dini imeshatimia Alhamduliah
@user-lu1yr8nx1o
@user-lu1yr8nx1o 2 ай бұрын
Mama samia ni muislaam vipi akubali kuleta shariya zinazo pinga sheriya zilowekwa na Allah
@mohamedothman5792
@mohamedothman5792 2 ай бұрын
Samia ni muislamu akiwa nje ya Urais, akiwa ofisini sio muislamu
@taurehassan7399
@taurehassan7399 2 ай бұрын
Mbn mwahukumu mtu mmojammoja?kwn mam Samia yy ni nani?km yye kalifumbia Hilo ukaliona ni kosa je ww huna kosa unalolifanya ktk dini yko?hpa haukumiwi mam Samia p1 na kuwa na mamlka yte hpa pakizungumzwa serikali ni wte watendaji wa serikali,kemea Jambo usimnyooshee mtu kidole acha chuki zczokuwa na msingi kla 1 anakosa lake aso hili ana lile
@abuuaidh6500
@abuuaidh6500 2 ай бұрын
Kwani huyo Mama Samia anaukubali uislam . Maana yy mwenyewe uislam unamkataa kuwa kiongozi wa kuongoza Jamii
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 2 ай бұрын
@@abuuaidh6500Well said brother
@emmadora7848
@emmadora7848 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Kwa hiyo wakupe wewe urais au?​@@abuuaidh6500
@hatujuaniimani4425
@hatujuaniimani4425 2 ай бұрын
Subhana Allah!Huko mnakoelekea viongozi wetu wa serikali sio kuzuri.Dini yetu ya kiislamu muingozo upo kwenye kitabu cha koraani.Mambo mengine hayafai kuingiliwa hasa jambo km dini,mtambue dini ni imani za watu
@w4058
@w4058 2 ай бұрын
Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Tunawakabidhi Allah hao wote wanaotaka kutuchezelea dini yetu
@lusamhamanish5486
@lusamhamanish5486 2 ай бұрын
من المؤمنين رجال 💪Allah wajaze kheri mashekh zetu
@bekabakari7394
@bekabakari7394 2 ай бұрын
Hapo nakukubali Unapo sema kama Serikal inataka iunde dini yao Naipatie jina lao hiyo dini yao Lakini wasijiingize kwenye dini za watu
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 2 ай бұрын
Hapa wale kikundi Cha wahuni wanae pokea mishahara wapo kimyaa hawasemi kitu utasikia mwezi hauja andama msitangaze mwezi ndio kazi Yao kwenye swala la DINI hawaongei
@sharfumbarouk6168
@sharfumbarouk6168 2 ай бұрын
Yaani na wao Ni miongoni mwa watekelezaji wa yanayotaka kufanywa.. hawapo kwa maslahi ya Uislamu Ni kwa matashi ya nafsi zao
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 2 ай бұрын
@@sharfumbarouk6168 nandio leongo kuu la bakwata na lengo kuu la aliye Unda hii BAKWATA nambaka Leo wapo kimya ungekua swala la mwezi na mauridi saizi wamesha fumuka kutoa tarifa l
@jumannekiumbo6790
@jumannekiumbo6790 2 ай бұрын
Mashallah allah awape nguvu ktk kuisimamia dini yetu 🤲
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 2 ай бұрын
Wasisubutu uo upuuzi atukotayari
@seifserenge3340
@seifserenge3340 2 ай бұрын
Kumbukeni maneno ya marehemu Ilunga
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 2 ай бұрын
Serikali haina dini itafundisha nini? LAANA ya ALLAH iwashukie popote walipo wote walioshiriki kutunga hiyo mitaala. M'mungu awaangamize hapa Duniani kabla ya Akhera InshaAllah.
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 2 ай бұрын
Amin Amin Amin in shaallah in shaallah in shaallah
@issarashid7707
@issarashid7707 2 ай бұрын
Tunaiyomba serikali nchi yetu ya Aman ...Wafifanye mambo ya kuvuruga Aman bado Watanzania Wanaipenda Aman na Serikali isiwe chanzo cha kuvuruga Aman baada ya kuboresha ...
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 2 ай бұрын
Nilikuwa simfahamu Sheikh Ponda.... Ni mkiristu lkn napenda misimamo yake, ni mkwelivna hapinfishi maneno
@mussahamisi1191
@mussahamisi1191 2 ай бұрын
Unauhakika sheikh ponda ni mkiristu au umekurupuka tu
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 2 ай бұрын
@@mussahamisi1191 , Kuna cheo Cha sheikh kwenye kanisa gani, wewe pimbi!
@carmp3
@carmp3 2 ай бұрын
@@mussahamisi1191 jalibu muelewa kasema yeye ni mkristo ila anapenda misimamo ya sheikh panda
@FabianTebeka
@FabianTebeka 2 ай бұрын
ALLAH AKBAR tuongoze na dini yetu
@SalminiAmur
@SalminiAmur 2 ай бұрын
Mashekhe nawaunga mkono kwa kupinga kwa silekali kumiliki dini
@SoudShuraim
@SoudShuraim 2 ай бұрын
Ponda nakukubali sana
@AminaKassim-ni9wd
@AminaKassim-ni9wd 2 ай бұрын
Selekali kama selekali ikipitisho dini yahajabu kama iyo wallah namuomba Allah kwakutengua amli za mwenyeezi mungu kupindua dini wanavyojua wao na ikiwa bwana mtume alishamaliza kila kitu ametuachia njia nzuri sasa uyo ni nani kiukweli Allah atuongoze na uyu mama samia wallah ajiangalie amuogopi mungu 😢😢 kweli kilicho mdanganya nn ii dunia sasa wapotosheni watu mna yakujibu zaidi mbele ya Allah mungu anamuona na walio chini wote
@allyjuma2584
@allyjuma2584 2 ай бұрын
Allahu Akbar. Uislamu watuachie waislamu wenyewe
@chande2k250
@chande2k250 2 ай бұрын
Mtihani sana ktk serikali zetu Inakuwaje serikali kuingilia masiala ya kidini mufti hili yampasa kupaza sauti Ndio tutajua Bakwata wapo nasi KTK imani na sio kuwaachia waislam wenyewe Icwe Kwny kutangaza Mwezi tu mnatoa Maneno suala hili ni zito na linapaswa mapema litatuliwe
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 2 ай бұрын
Huyo mufti mwenyewe ni sehemu ya tatizo
@muniraally4091
@muniraally4091 2 ай бұрын
Mshahara aloo
@abuuaidh6500
@abuuaidh6500 2 ай бұрын
Mufti hasubutu na Bakwata yake kulisemea hili wao inawezekana ikawa ni miongoni mwa wanao unga mkono
@user-ff7hl3mh3h
@user-ff7hl3mh3h 2 ай бұрын
subhanaAllah,Mungu alilipeperushe hili lisisimame kwenye nchi yetu
@AkhyFarqanah
@AkhyFarqanah 2 ай бұрын
Mansha Allah ❤❤❤
@NOORMOHAMED-sg9lo
@NOORMOHAMED-sg9lo 2 ай бұрын
Mnahangaika sana. Huo ni mtaala wa wafalme . Jikomboeni watanzania. Mwalimu nyerere alituweka vizuri sana. Turudie uzalendo na tuwatoe mahaini na wadhalimu . Tutafute wazalendo na viongozi wanaoongoza na sio vyeo. Mtaala wa dini upo na msiwaruhusu kabisa. Umoja ni nguvu .
@ibrahimayoub8972
@ibrahimayoub8972 2 ай бұрын
Ktk dini sote tuko tayari, kuitetea tupeni habari tutasimana pamoja, inshallah
@sukicgermain8135
@sukicgermain8135 2 ай бұрын
Ndo mana kuna mvua na upepo wa ajabu ajabu Dunia nzima kumbe kuna watu wanamjaribu Muumba subhana llah!
@HasaniBakari-yx5yg
@HasaniBakari-yx5yg 2 ай бұрын
Wao wafanye mambo yao kwenye dini wasiguse kama kunasehemu wamepewa mamlaka warudishe huko huko sisi hatutaki
@dullahfar7775
@dullahfar7775 2 ай бұрын
Tupo tayari kuondoa Watoto wetu mashuleni kama serikali haita sikia
@awadhally1052
@awadhally1052 2 ай бұрын
Kwel kabisaa
@zenaiddbago
@zenaiddbago 2 ай бұрын
Kweli kabisa, Hata mimi nipo tayari kuwaondoa wajukuu zangu kuliko kuwapotezea motoni hali ya kuwa najitambua
@shaameshaame9721
@shaameshaame9721 2 ай бұрын
Laana ya Allaha iwashukie woooote wooot wooote walishiriki ktk hili
@awadhally1052
@awadhally1052 2 ай бұрын
Amiin
@BakariAthumani-vs8lk
@BakariAthumani-vs8lk Ай бұрын
Allah awape ulinzi hawa mashkh kaeni kimya mtaona hawa mashkk wanapewa kesi ya ugaidi mtaniambia maan ukweli hii nchi hautakiwi ni maoni yangu msipo niona mjue coment yangu imeniponza nitakua msitu wa mikumi mje mnifungue kamba
@mohammedmussa7378
@mohammedmussa7378 Ай бұрын
Wanafikiri dini mchezo ndio mwenyezi mungu aliposema hivi mnadhani tumewaumba kwa ajili ya mchezo na kwake hatutarejea
@SalminiAmur
@SalminiAmur 2 ай бұрын
Hata mimi na pinga kwa selekali kumiliki dini
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 Ай бұрын
SADAQTA SADAQTA SADAQTA 💯👏💯💯💯💯💯💯💯💯 ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR TAKBIR.
@thedon8467
@thedon8467 2 ай бұрын
Mashaallah tabarakallah
@user-fb7hw8vg6q
@user-fb7hw8vg6q 2 ай бұрын
Penda sanaaa Islamic dinii Mashaall ALLAH
@SaingaOmmy
@SaingaOmmy Ай бұрын
Mashaallah
@danielouma
@danielouma 2 ай бұрын
Mmeona mbali wakuu! Hii ni sauti ya Mungu!
@SirajuKhalidi-sz6gu
@SirajuKhalidi-sz6gu 2 ай бұрын
Allah ailinde dini yake insha Allah
@JumaDoce
@JumaDoce 2 ай бұрын
Allahu akbar laailaaha illa Allahu
@mohammedmussa7378
@mohammedmussa7378 Ай бұрын
Hii dini walishindwa makuraishi , kina thamud na fir-aun wataweza wao mlizi wa uislam mwenyezi mungu mlezi
@user-nx7jd3cf1m
@user-nx7jd3cf1m 2 ай бұрын
Mbona wasiwaongoze wanao abudu mizimu. HASBUNALLAHA WA NI'IMAL WAKIIL.
@abduljuma7807
@abduljuma7807 2 ай бұрын
Nyinyi hamjui serekali inasikiliza wazungu nakazi Yao kubwa nikuwaingiza watu motoni
@abduljuma7807
@abduljuma7807 2 ай бұрын
Sasa mnaende kuangamia woooote mtakao husika sisi tutamuambia mwenye dini yake apambane yeye Mwenyewe kama alivyo fanya watu tembo
@sharfumbarouk6168
@sharfumbarouk6168 2 ай бұрын
​@@abduljuma7807Wao washajua kuwa Ni watu wa motoni kwa maovu yao kwa hivyo wanataka wapate kundi kubwa waingie nalo motoni
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 2 ай бұрын
Masha allah Sheikh Pondaaa
@galoleali780
@galoleali780 2 ай бұрын
Mashehe kaeni ngaringari
@FadhiliMakasi-vb9dl
@FadhiliMakasi-vb9dl 2 ай бұрын
Hapo nawapongeza japo mimi ni mkiristo hii sio poa kuingilia imani Zawatu
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 2 ай бұрын
Nikweli
@user-xz6nr4qp5y
@user-xz6nr4qp5y 2 ай бұрын
Innallillah wainallah rajiuun mwnyezmungu atuepushia mbali zahama hiii
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 2 ай бұрын
Hao ndio makafir. Hawali Wala hawalali .. wao ni kuiandama na ya kweli kuipoteza.. wao washapotea wanataka watupotoshe na sis
@sharfumbarouk6168
@sharfumbarouk6168 2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu anasema; wanatamani waliokufuru na nyinyi mkufuru Kama walivyokufuru wao ili muwe sawa sawa" na Hilo ndio wanalolitaka saivi
@MozaOmary
@MozaOmary 2 ай бұрын
Swadakta , sheria ya mungu ibaki kuwa ile ile tu. Na sheria ya binaadam itabakinkuwa ni ya kibinaadaam tu. Hivyo basi baatwil,isitake kuchafua ukweli wa allah . Serikali ianfalie kwa makini sana. Isije ikapata laan ya muumba wa mbingu na ardh.
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 2 ай бұрын
Oooh allsh tujaalie kila la kheri yarabi
@hafidhseif9638
@hafidhseif9638 2 ай бұрын
Basi ni bora hata wange kua nania njema wengekushirikisheni
@alwialhajialwi0012
@alwialhajialwi0012 2 ай бұрын
Dini na serikal ni vitu viwili tofauti..
@faridsalehmohamed1230
@faridsalehmohamed1230 2 ай бұрын
Bakwata kimyaa wao wanangojea mwezi tuu na maulidi kisha watu wanataka kuongoza waislam eti ndio Taasis kuu
@husseinchaka1821
@husseinchaka1821 2 ай бұрын
Amani haiji Kwa upole shehe,kubali kufa Kwa minajili ya kunusuru kizazi chako Cha baadaye,watanzania mnaongoza Kwa ushoga east Africa ,hili mzungu kalifahamu ndio maana anazidi kuboroga maneno .kuongoea peke yake waisilamu haitoshi ,lazima mkue tayari kuenua silaha kunusuru dini kama isemavyo Quran.
@kikonohussein5700
@kikonohussein5700 2 ай бұрын
Maishaallah
@wakuchunmk4927
@wakuchunmk4927 2 ай бұрын
Innalilah waina ilahi rajiun Allah atuajalie mwisho mwema amin amin
@SalimRashid-bt4up
@SalimRashid-bt4up 2 ай бұрын
Serikali ni watu kwahiyo inamaana hawa watu wachache ndo wamekaa na kuungana ili kuuondosha uislam bc biidhnillah hawawezi inshaAllah watapotea wao na lana zao za kupapatikia ulimwengu na Allah ndo mjuzi zaidi
MBUNGE KHATIB AICHANACHANA BAKWATA, AULIZA MASWALI MATATU MAZITO
11:07
Mwananchi Digital
Рет қаралды 167 М.
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 13 МЛН
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 38 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 60 МЛН
JE MWANAMKE AMERUHUSIWA HIVI? || SH.SHARIF ALBASHIR
6:17
SHALBA OnlineTV
Рет қаралды 293
HISTORIA FUPI YA KHALIFA MUSSA YA ELIMU YAKE
28:29
KHALIFA MPYA TV
Рет қаралды 2,1 М.
MAJINI WA DK SULE SIO WEMA USIMTETE || MAJIBU KWA BABA KIR'WASHA || Muhammad Bachu.
1:04:29
CHAKULA SIO KITAMU NJAA NDIO TAMU // SHEIKH OTHMAN MAALIM
47:44
arkas online tv
Рет қаралды 6 М.
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН