Maswali mazito aliyouliza Mbunge wa Konde, Khatib Said Haji alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya waziri mkuu kwa mwaka wa fedha 2018/2019, mjini Dodoma.
Пікірлер: 200
@sasha-ri7tf3 жыл бұрын
Allah azidi kukurehem na kukuweka ktk daraja la waja wema katika pepo ya firdaus INSHA ALLAH.
@AbdulAbdul-pr9qe3 жыл бұрын
Allah akulipe pepo maalimu wangu na alifanye kaburi lako kuwa ni viwanja miongoni mwa viwanja vya pepo
@abuubakalmtangenange43893 жыл бұрын
Allah akulipe kheri kwa mcmamo wako wadhati kwa kuitetea dini yako na nchi yako ya Zanzibar kwa dhulma mnayofanyiwa
@bilalikambo72026 жыл бұрын
big up Khatib, khasidi kweli mtu mbaya, wa2ache na dini yetu
@istambuliahmedi82033 жыл бұрын
اللهم ثبته بالقول الثابت في الحياة الدنيا وفي الآخرة
@khamisdaima14556 жыл бұрын
Mh, khatibu big up wape kweli hao ving'ang'anizi.
@othmanalnabhany32083 жыл бұрын
Allahumma ghfirlahu warhamhu waskannahu filjannah ... Mola akupe pepo ya juu kabisa marhum kiongozi wetu maalim khatib umefanya jihadi wallahi hiyo ni miongoni mwa jihadi Umeitetea sana nchi yako na wananchi na umewatetea sana masheikh wetu na ndugu zetu wa uwamsho ni jihad hata kutetea au kuchukia uwovu,, Mola akulipe kheri huko uliko
@dullatanga78116 жыл бұрын
Yuko sahihi sana mh Khatib
@Hassan-vn6nn5 жыл бұрын
They know what they are doing....they don't want to see Zanzibar and it's people exist... We are rising up and no will stop us...Time is due ...
@user-tc3bg9ln9jАй бұрын
Swali lako ni zuri sana
@ashamwandu65723 жыл бұрын
Nakupenda bule Mungu akupokee katika jaanat,fidaus
@ashamasoud1223 жыл бұрын
Mungu akuhufadhi ulipo shujaa wetu
@anjunurdin23923 жыл бұрын
Hongera khaatibu .umeongea kweli
@Rastamuslim3 жыл бұрын
Innal llai khatib allah akuepushe moto
@machinjashabani53313 жыл бұрын
ALLAH akuzidishie kila jema huko uliko
@eddysaid96113 жыл бұрын
Hakuna marefu yasiyo na ncha inshaallah allah atawateketeza wote wanayoifanyia ubaya nchi yetu ya zanzibar allah humma aamin
@salehsuleiman12186 жыл бұрын
yan she Khatib unanifrahisha kweli si wanasema kama kuna muungano wa Tanzania Na Zanzibar kwa nn wasiwe pamoja ktk biashara ili tusaidiane wao hawaitaj tuendelee kbs lkn wapo wanatukandamiza.
@mozamansour79126 жыл бұрын
Asante sana umeongea point 👏👏
@bakarhamad47512 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akurehemu na akupe mwangaza kwenye kaburi lako
@hamadmasoud39196 жыл бұрын
Dah kiongozi umetisha........... Big up , five stars to u 👍
@rajabngai51503 жыл бұрын
ALLAH AKUHIFADH NA AKUSAMEHE MADHAMBI YAKO PIA AKUPE KAULU THAABITI
@kishingokishingo18403 жыл бұрын
Hii hutuba iliwauma Sana baadhi ya watanyika na ni ukweli mtupu tunamuomba Allah akupe nuru kubwa ktk kabri lako inshaalah
@allymusira21533 жыл бұрын
Allah alitie nuru kaburi lako na akusamehe makosa yako na akupe kauli thabit
Ndugu yetu leo 20/05/2021 ametangulia mbele ya haki. Mungu ampe makazi mema peponi aammyn
@mohamedishabani7176 жыл бұрын
inatiya sana uchungu kwa kweli sioni faida ya muungano hapo.
@dinhomdullah29653 жыл бұрын
mashaallah wewe ndio mbuge wakwanza kuongea pwenty na kuongea ukweli
@madiyaahmad27496 жыл бұрын
In sha Allah Mungu atawalaani hao laanatullahi inauma kwelu watakufa vinywa wazi wametuganda tu Mungu atawafarikisha wafe huku wakinya hasbiyallahu waniimalwakil Mungu awalani laaana hao
@zaidiissa37143 жыл бұрын
Allah atakulipa kwayalemema ulioyafanya napia kuombea Allah akusemehe kwayaleuliokosea Akuhifafadhi maharapema peponi amen🙏
@zahorsalum6633 жыл бұрын
Allah akupe kauli dhabiti.
@shebbybongo5675 жыл бұрын
Mwenyezi mungu azidi kukulinda shekhe, siku zote ukweli utakuweka huru mbele ya Allah
@wardajoseph69093 жыл бұрын
Chema hakidumu Tanzania nchi ya ajabu sana mtu akiwa mzuri na msema kweli anafariki
@ismailabbas41973 ай бұрын
Hivi huyu kumbe ashafiriki
@juniordilema10975 жыл бұрын
Hakuna haki nje ya qur-ani rudini ktk sheria ya Allah
@joshuasamson41746 жыл бұрын
bakwata si ya waisilamu bakwata ni taasisi iliyoundwa na serekali bakwata ibaki Kama bakwata waisilamu wabaki na uisilamu mzuri
@hechechacha40326 жыл бұрын
Joshua Samson sahihi
@destiny4life4396 жыл бұрын
kak unaakili sana muislam wa kweli anaamin allahu na kufany yatakayomsaidia baada ya kufa suo bakwata
@mengicacoconut81446 жыл бұрын
Uko sahihii@khatibu
@salmasalim60556 жыл бұрын
Hongera muheshimiwa Allah akusimamie
@mohdabdi41575 жыл бұрын
mh ALLAH akuzidishie uzidi kutetea haki na akufanyie wepesi
@aboudmsonde28906 жыл бұрын
Mh umeuliza swali zuri kuhusu bakwata oac big up
@nainasmash69666 жыл бұрын
mh hongera sana wallah umenifurahisha sana
@adamkatet2746 жыл бұрын
Jamaaa ameongea point Sana
@kulthumhaji69283 жыл бұрын
Bora umeliona hili jambo ni kero.
@kibelaame51786 жыл бұрын
Hongera sana allah atakulipa
@hechechacha40326 жыл бұрын
Safi kabisa kamanda
@harunakony20123 жыл бұрын
Kwakweli maswali haya sijui Kama watakuwa namajibu mamb meng yaakiislam yanahusishwa sana naserekali serekali na wiislam inahusika vp yani
@abdukherykhamis735 жыл бұрын
mh hatibu wallahi m/mingu akupe umri mrefu sana, kwahili nikopamoja na weyee
@oscarjohn50396 жыл бұрын
nice point
@slemansaid72133 жыл бұрын
Mh.... kwel jmn
@masoudsaid54883 жыл бұрын
Innalillahi wainnailaihi rajiun .. kesha ifanya kazi keshaondoka Allah kaiyona kazi yake..
@hadijamagufuli26613 жыл бұрын
Doh nasikia naye kaondoka 😭😭
@Emedroadtocanada3 жыл бұрын
innaa lillah wainnaa ilaih rajiuun
@swaiseif29896 жыл бұрын
Dah ameongea kwauchungu sana nchi yetu inapoelekea sasa nipabaya...
@kibelaame51786 жыл бұрын
Swai Seif hujambo
@madiyaahmad27496 жыл бұрын
Tatizo kuwa choyo kimewatawala na dhulma lkn iko siku yote yatakwisha hayo generation itakayokuja itakuwa si ya mapunguwani au mahasidi au mibichwa vifuu wasomi ndio watakaokuwa wengi ln sha Allah mambo yatabadilika
@chagulaniadams39656 жыл бұрын
BAKWATA ni jukwaa kuu la waganga wa kienyeji Tanzania maana lipo kurudisha nyuma maendeleo ya waislamu.
@wardajoseph69093 жыл бұрын
Hahahaha
@jumakessy75606 жыл бұрын
hilo swala la hija serikali imeona ni fursa ya biashara kwahiyo kuachia ni ngumu Na ndio maana wanatumia BAKWATA kama idara ya serikali
@omarynassor63133 жыл бұрын
Inatiashaka
@tztanzania22623 жыл бұрын
اللهم غفرله ورحمه واكرم منزله ووسع مدخله وغسله بالماء وثلج والبرد.....nililia nilipo sikia amefariki maana ok ilikuwa taarifa ngumu mno kwangu na kwa familia yangu na tulimfaham kupitia clip yake ya ramadhani ya 2021 akizungumza kuhusu hukumu ya masheikh
@salehlofy42515 жыл бұрын
Udugu mwisho tunawapenda wao lakn wao hawatupendi muungano hatuutaki
@ashooraashoora54156 жыл бұрын
Mungu anawaonaa
@chachamadini93726 жыл бұрын
Duh huyu mmbunge kaongea pwent sana yaani sina neno hapo umemaliza,waruhusu bidhaa ziingie huku tununue maflat kwa bei poa banaaaaaa
@shemelaruhinda61136 жыл бұрын
Asante Mh umeongea ukweli.
@abdalahsuleiman89896 жыл бұрын
Flavian
@abdalahsuleiman89896 жыл бұрын
Haifai kitu gani kujiunga oic?
@alfaarouqjongo49806 жыл бұрын
JAZAKA LLAHU KHAYRA
@sudidoto97593 жыл бұрын
Rais niwenu kwassa Zanzibar itakuwa tuuh
@istambuliahmedi82033 жыл бұрын
اللهم غفر له ورحمه واسكنه فى الجنة
@allyhasani84476 жыл бұрын
Inatia uchunqu na inaliza wallah
@daudihamisi57893 жыл бұрын
Allah akubaric akusahilishie ulipokosea aijaalie pepo kua makaz yako
@rashidsuleiman26636 жыл бұрын
tema cheche kaka majeneza tunashare maumivu ndugu zetu kibao wa jwtz wamekufa congo lkn biashara ambayo itainufaisha zanzibar inaekewa kikwazo alafu tunaambiwa znz hatuutaki muugano lohhhhhhh.
@victorygadiel50846 жыл бұрын
rashid suleiman Mh Khatibu hao ni waongo wafanyao magendo ni watu wao na kama wanabisha wamuulize mkuu wa mkoa Tanga au mkuu wa wilaya ya Pangani wanauza mafuta ya kula ni wanzanzibari ? toka wawatafunishe pweza wabichi kama siwatanzania kwakweli wanzanzibar wameacha shughuli zote ziusiazo bara wachilia mbali magendo , hivi nikwanini mnawaonea sana Wazanzibar hasa wewe mzee Aly Kessy mimi ningekua na uwezo nikutafuta ili unijibu maswali yangu ila pindi mwakani
@omalliddy2126 жыл бұрын
rashid suleiman ... ....
@achiliadinan4303 жыл бұрын
Mheshimiwa Khatibu kwa hili nakunga mkono kwa nn mtu wa bara akiwa Zanzibar hata kununua Tv kuja nayo bara ni isue sukari hata kg moja ni shida kwa hili lazima liwekwe sawa tuwe huru kununua chochote ndani ya muunganano hiyo ndo utakua muungano wa kweli
@ibrahimmagambi616 жыл бұрын
mm binafsi siijui bakwata
@machinjashabani53316 жыл бұрын
Mm naona Bakwata ni chombo cha serikali, c chombo cha waislam
@allypharahani21683 жыл бұрын
Innalillah wainnailayhi raajiun
@abdillaahirichardkasisi86916 жыл бұрын
Naaam Wambie uwo serikali aina dini
@hamisidd28056 жыл бұрын
BAKWATA si chombo cha waislam kama wanabisha serikali ipigwe kura ya maoni kuhusu BAKWATA hii ilianzishwa na mkatoliki hakiwezi kuwa chombo cha kiislam
@sharkbinaally33815 жыл бұрын
Mimi muungano siupendi hata kuusikiya ungekufa hasa uwo muungano
@yasinmgen20726 жыл бұрын
good speech
@twilindeissa45055 жыл бұрын
Bakwata vibaraka waserekali ni mashehe wanafiki wapendaela
@SumaLTD6 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 keshokutwa utaskiya keshatekwa shauri zake langu jicho
@saidaliy15674 жыл бұрын
Suma Spain hahahah wacha zako
@ismailabbas41973 ай бұрын
Kishafariki tayari,, aisee wanaadam ni viumbe hatari sana
@husenially86496 жыл бұрын
umesema kweri mh
@mumybhay49845 жыл бұрын
kweli kabisa
@AliHussein-lk2gw3 жыл бұрын
R.I..P. 😭
@tumahamza89726 жыл бұрын
Kwakweli swala la muungano kizungumkuti. Sijui kwann wanabanwa wa zenj.
@mtindikoja8837 Жыл бұрын
Hajatokea Wala hatatokea mbunge zaidiyake
@ulfarashid98765 жыл бұрын
Safii sana
@jjnjau6 жыл бұрын
Hasidi ana husda mbaya.
@mrishojumaamrisho32123 жыл бұрын
Allah amrehem
@issahalfan18273 жыл бұрын
Allah aalam.
@arbaab93375 жыл бұрын
Muungano mukiuvunja basi tuachieni misambawanda tafadhali watanganyika...✍
@saidaliy15674 жыл бұрын
Nadir Al Busayyid hahahahha
@pettermasika91206 жыл бұрын
shida Udini wewe haujuii Wewe daima unaonekana haupendi Muungano, ila Leo umeubariki bila kujuwa, Tanzania moja Milele Hakuna tena cha Zanzibar wala Tanganyika sote Nchi moja Tanzania,
@gavanaimrani67773 жыл бұрын
BABA MUNA HASAD NA ROHO MBAYA HAMTUTAKIII MEMA NYIE MBONA NYIE WAKOROFI SANA NYIE MNAROHO MBAYA SIJAPATA KUONA SISI WAZANZIBARI HATUONI FAIDA YA MUUNGANO
@jumamomba95026 жыл бұрын
MUHESHIMIWA KHATIB UMEZUNGUMZA HAKI
@changchuma92564 жыл бұрын
Faidayanyama yangamia maalim Yusuf
@rayanalhabsi80296 жыл бұрын
zanzibar amkemei madawa ya kulevya sisi kwetu bara tunapiga malufuku madawa ya kulevya
@arqamibnarqam.71854 жыл бұрын
Tunahitaji wabunge wanaojielewa Kama huyu.
@kadhyazaid70006 жыл бұрын
Kweli
@elenestjackson1296 жыл бұрын
Mashehe wrote wabakwat ninawanafiki wote
@likandapahasani31396 жыл бұрын
Ukweli kabisa mheshimiwa
@aliymkuutv43676 жыл бұрын
Safi sana
@narlonabuu46656 жыл бұрын
Sisi waislam a2itaki bakwata lkn serikal inaing'ang'ania bakwata 2 kwann?