Ujenzi kwa kutumia matofali ya Hydrafom unapunguza matumizi ya saruji inayotumika kwenye ujenzi wa kuta za nyumba kwa sababu matofali hayo yanashikana yenyewe na kuondoa haja ya kuwepo saruji kati ya tofali na tofali.
Пікірлер: 40
@chrispinerespicious14322 ай бұрын
Tofali moja bei gan
@MwombekiJovitus3 ай бұрын
Iko poa
@fakihdarusi43853 жыл бұрын
Yes hii technology nzuri sana
@sashoright82132 жыл бұрын
Sema kwa ghorofa sio nzuri Sanaa nahs Mana Kama znaleta Creek izo kwnye njia zake sema mwznon zinakua ngumu balaaa
@GeRbAnGUjUnGTiMuR2 жыл бұрын
Nice 👍 Nice 👍
@dithardmgungile7759 Жыл бұрын
Naipataje hiyo mashine
@alexloy53352 жыл бұрын
Mahusa tofali
@juasokofa59216 жыл бұрын
Love it how do I buy one I'm ready to move there
@mamababa82705 жыл бұрын
Hizi tofali upatikanaji wake upoje na gharama zake
@abdirahmanismail11914 жыл бұрын
Quality ikoaje? Hamkutaja tofauti
@giantelectronics18393 жыл бұрын
Habari! Je naweza kuipata wapi hiyo machine?
@sashoright82132 жыл бұрын
Mmh sauz nyumba zao ziko ivyo karbu zote kwnye vijiji vyao
@mujetuzimbefenatv90944 жыл бұрын
Looking for a brick laying machine for clay soil
@dinahnyagosaima1259 Жыл бұрын
Tunawapataje?
@josephmwanadyogo53115 жыл бұрын
Mnapatikana wapi?
@xaverylibaba53714 жыл бұрын
Kwa hiyo nyumba za chini unatumia tofali ngapi?ni kiasi gani kwa tofali moja? Nyumba hizo zinaweza gharimu kiasi gani?
@josephemerusabe96873 жыл бұрын
mnapatikana wapi?
@selinalukwembe73633 жыл бұрын
Unaitaji kujuwa namba za sm tuweze kununu tofali
@sweetluc26606 жыл бұрын
Kama unaitaji vipi nawataka
@leymansalim1626 жыл бұрын
Nipo nayo mm kama wataka sema
@mamababa82705 жыл бұрын
Unauzaje kwa tofali moja?
@mrwangxingcai67112 жыл бұрын
Leyman Salim naomba namba yako tafadhali kama bado unafanya hii biashara
@sashoright82132 жыл бұрын
Samahan lkn jaman tujitahidini serikali yetu kwnye mfumo was kuwka nyaya za umeme Mana daah hatar Sanaa mikunguru na Mambo ya nguzo kuanguka no hatar
@nazielmakuru93382 жыл бұрын
Nahitaji hiyo mashine ya Hydrofoam inauzwa Bei gani?
@abdallahyahyasaid97086 жыл бұрын
Hayo matofali yanauzwa wapi? cost per block? Mimi nipo Dar es salaam
@leymansalim1626 жыл бұрын
Abdallah Yahya Said nipo nayo na mm nipo na matofali ya size ya kawaida hata ukitaka michine nitakuuzia bt ni michine ya manual si automatic bt pia ukitaka nitakuletea