Nyumba nzuei lakin hutaki mawasiliano nakutafuta toka jana tumechat mwisho hujibu lolote na nimekuomba uje arusha unijengeeee
@Mazoea2 ай бұрын
Ni kweli Watu wanadhania kujenga wanatishana sana kuusu Kujenga
@fanni-ck6do4 ай бұрын
gharama iko vizuri MashaALLAH
@jobnsemwa80824 ай бұрын
Mimi naiona ni nyumba nzuri sana hizo gharama ya ujenzi mpaka kupaua naona Nikama material haitatosha vile.
@nassercurtis95794 ай бұрын
Jaribu kuelewa tu hapo ni mpaka kupaua tu, bado finishing, ukijumlisha mpaka finishing nzuri inaweza kufika ml 12
@user-zj8ul2tp4t9 ай бұрын
Nimeippenda kaka naomba unitafute jamani❤
@floridajoseph978713 күн бұрын
Nikitaka iwe na paaa la kuinuka
@everinrobert65392 ай бұрын
Kila nikilala lazma niicheki hii nyumba dahh ni nzuri eti
@user-pn5gv7ix3g11 күн бұрын
izi gharama za ujenzi unazungumzia maeneo ya wapi?
@mantahamad3755Ай бұрын
Daah kilakitu kinawezekana🙏
@salehekisebengo8554Ай бұрын
Mimi nataka ramani isimple tu but isiyo ya hiden roof ,vyumba 3
@MatildaMakawia2 ай бұрын
Asante sana
@JoyceBenja-dw6et9 ай бұрын
Upo vizuriiiiii
@welcomeorange735710 ай бұрын
Mambo swafiii kwa kweli
@francomwacha22625 ай бұрын
Mhh! Aisee mbona garama nafuu sana!
@janesuma-is4wc28 күн бұрын
Boss hii nyumba mpaka finishing ukiacha umeme na maji kuingia ila system yote mpaka rangi vigae vifaa vya chooni yaan kila kitu ina garimu shilingi ngapi naomba nijibu bos
@user-jk7ip9qo4e8 ай бұрын
Naweza kujuwa galama
@gracemariki48412 ай бұрын
Mimi nataka finishing ya nyumba yangu nitafute
@user-yk2sf7vy3x7 ай бұрын
❤❤❤
@agnesnnko88725 ай бұрын
Aisee hongeraaa ni kweli zinavujisha mvua?
@NickoMapikipik10 ай бұрын
Mambo mazuri
@BrysonMsabila5 күн бұрын
nataka nijenge 2026
@mwanahamisiabdul50672 ай бұрын
Nikitaka chumba kimojaa kikubwa na kipana naweza garamika matofali mangapi
@loningoletayo84534 ай бұрын
Hiyo bati ni very quality geji 28 ni bati nziri
@DanierKisumo15 күн бұрын
nikweli
@user-gb2ud1ov6g5 ай бұрын
Utusaidie tutakuunga mkono kwenye bando uwezo hatuna
@getuswai81099 ай бұрын
Eneo la ukubwa ngani
@khadijahali483711 ай бұрын
Nataka unijengee km hy
@godfreyobadiah78923 ай бұрын
Bado hujasema, na bado utasema tu, hiyo finishing je , ya muonekano huo kwa hiyo ela ?
@victormd58115 ай бұрын
Finishing yake (plasta, milango, grills, sakaf ya kawaida, RANGI) inagarim sh. Ngapi ?
@Marytony-rc4cp9 ай бұрын
Niko Mwanza naomba unijengee
@user-vx1pw5dq7k6 ай бұрын
Ata mm pia
@ddfatma42814 ай бұрын
Apo kwenye kupauw bajenty ya bati mbona naumiya natamani
@MwakibackBonge-xb4tr4 ай бұрын
Kaká unapatikana wap nipe namba
@user-vx1pw5dq7k6 ай бұрын
Mtu akitaka mumjengee mkoani mnaeza?
@SarahShao-jw1up5 ай бұрын
Hiv hizi ni gharama za kweli?
@ndotokumalija11 ай бұрын
Naomba nitumie michoro wake wa chn
@Happy-tx7p4 ай бұрын
Tatizo ujibu sms wsp
@michaelbenedict883111 ай бұрын
Iyo 4m inavyumba vingap??
@kamandashupavu2065 ай бұрын
Nikikupa pesa hiyo unanipa nyumba?
@henryselemani4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@dianamartin-rb9vj8 ай бұрын
Upo wapi
@user-po8hz7xw9j11 ай бұрын
Lakini nyumba hiz zinavuja sana
@JanethMathias11 ай бұрын
Hmmm sio kweli
@user-po8hz7xw9j11 ай бұрын
@@JanethMathias kila alie jenga analia invuja haya tuambie usha jenga kama hii huku uwarabuni nikama tawi la mti zinavuja balaa
@hellendaniel380910 ай бұрын
Sio kwelii khaaaaa.
@Mpakauseme10 ай бұрын
@@user-po8hz7xw9j Kuvuja kwa nyumba ya jinsi hiyo utegemea na fundi , so rekebisha sentence yako si kila nyumba ya aina hiyo inavuja