Nashkuru sana kwa elimu nzuri nimejifunza kitu hapa kwa kweli
@amisamaurid18825 ай бұрын
Barikiwa xana kaka haya ndo mambo ya msingi yatanisaidia xana
@estherdavidjohn-py7hh5 ай бұрын
hongera kwa kutoa elimu mtambuka asante nimepata kitu kikubwa ninapenda kujenga
@LailaLaila-kg2qd3 ай бұрын
Kakaangu Mungu akubariki sana
@Official836405 ай бұрын
Hapo kwa Jumalokole🙌🙌🙌
@AbuuYaseen11 ай бұрын
Shukran mdogo wangu napata faida hapa. Nyumba yangu ya kwanza nilipigwa mno
@happylynguya346411 ай бұрын
Binafsi nafurahia uwepo wako, kwa sababu nimejifunza mengi sana. Na sijawai pita bila kuangalia chanel yako.
@gracekakwezi894111 ай бұрын
Barikiwa sana brother.,...
@user-vf8mw6eu9w3 ай бұрын
Ushauri mzuri sana
@Tiffahmkundia-lz3tc5 ай бұрын
Masha allah ❤❤❤
@ibrahimlukumay843010 ай бұрын
❤❤❤❤ much love brother
@godskymwamwaja978511 ай бұрын
Mmmmh,yaani,au basi tu acha! Huku mtaani tunapigwa mno,halafu baadhi ya mafundi hawa mafundi,MUNGU anawaona!
@aishafranco10555 ай бұрын
Asante broo kwa elimu
@user-iq3sw9ud2j11 ай бұрын
Kaka umeongea point sana sisi tuko huku oman yaan ndugu zetu matapel sana
@hadijamatimbwa-xf8el10 ай бұрын
Oman sehemu gan
@user-iq3sw9ud2j10 ай бұрын
@@hadijamatimbwa-xf8el barka
@user-mx2bw2by2s7 ай бұрын
Asante kaka
@Flaviosafari5 ай бұрын
Unatusanua kaka. Keep it up bruh.
@Halimamchafu11742 ай бұрын
Hata mimi nataka kujemga so nitakutaguta Ila shida ni kwamba najenga Bukoba kagera. Sijui kama mnafika
@user-ep7tb9cf7f21 күн бұрын
Nauliza swali kwamba et ni sheria kwamba kujenga nyumba mlango lazima uangaliye barabarani???
@johanesikalumuna88246 ай бұрын
Elim saf kabsaa barikiw saan br
@SurprisedAtom-hg2wc5 ай бұрын
Ntakutafta nmeipenda
@chamimdesa1488 ай бұрын
Safi sana
@fatumaomary97811 ай бұрын
Sante sana
@user-nw8jw2im2v10 ай бұрын
Inshallah
@alhajjwaupe45934 ай бұрын
nakubali
@user-ni7td2vo6d7 ай бұрын
Nmependa elimu yako
@ammymodu730611 ай бұрын
Ntakutafuta kwa kweli unatupa ukweli
@user-dl1gy9pe1g6 ай бұрын
Kweri
@zuhurarikosaidi6 ай бұрын
Umenitia moyo wa kujenga nyumba kubwa na sio nyumba ndogo tena
@ombenimwanjali2 ай бұрын
Namba za simu tuwekee kaka
@SalimhchialaAtilio-qj5cs5 ай бұрын
😢😢🤕😊
@patrickmarwa50243 ай бұрын
Mimi naitaji kuendeleza ujenzi mimi na wewe tu kwenye ujenzi na tuma pesa moja kwa moja kwako.unaweka fundi mwaminifu lakini ndugu wanambadilisha site uwezi kuamini ndio huyu fundi ni ngumu sana ishu ni fundi kuwa mwaminifu tu.
@hadijaseboha51883 ай бұрын
Hivi Kati ya msingi wa Mawe Na wa tofali Ni UPI Bora?
@bientismail5117Ай бұрын
Swali zuri
@ibrahimlukumay843010 ай бұрын
Duu mbona imeniguza jumba yangu Niko mbali nayo broo Sina budi kazi
@sabrihomoud38275 ай бұрын
napenda kukuuliza mr house ,inatakiwa sentimita ngapi ya cement baina la tofali la juu na chini