Ujenzi wa ghorofa usikutishe niraisi sana || Jenga NAFUU na mr_housedecoration

  Рет қаралды 17,098

Sanuka Media

Sanuka Media

2 жыл бұрын

Пікірлер: 45
@johnbundala7596
@johnbundala7596 22 күн бұрын
Safi
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 10 ай бұрын
Kazi mzuri Salam zangu kutoka USA marekani
@user-gk5ws8pv7b
@user-gk5ws8pv7b 7 ай бұрын
Good job" david from Taveta kenya, nimeipenda
@AsungaSteven
@AsungaSteven 28 күн бұрын
Ulaya hakuna mapovu na maji
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Ni nzuri
@SaidSaid-ef8md
@SaidSaid-ef8md 5 ай бұрын
Kaka habari yako.. Naomba nikuulize. Hivi kujenga nyumba ya gorofa ni lazima kutumia nondo, kwaajili ya column
@amoursalman1038
@amoursalman1038 3 ай бұрын
Je eneo hilo lilotoka lina ukubwa gani kuweza kutoka ghorofa hiyo by meter
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 6 ай бұрын
Ndio kwenye ngazi kunakuwafa na madilisha
@rachealmawiamwangangi7638
@rachealmawiamwangangi7638 9 ай бұрын
Nimeipeda
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 6 ай бұрын
Izo tailz zimeingia ni spanish tailia na ina vyumba vingapi
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Balcony haijakwisha
@user-bk3sv3ts7v
@user-bk3sv3ts7v Жыл бұрын
Imeturia
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 Жыл бұрын
👍
@fathimamct232
@fathimamct232 Жыл бұрын
Hicho kigorofa kinagharimu kiasi gani jamani tuwekeni wazi hebu.
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 Жыл бұрын
0659877756
@maitatobias9420
@maitatobias9420 Жыл бұрын
Gharama shilingi ngapi
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 Жыл бұрын
0659877756
@fauziakimario6757
@fauziakimario6757 Жыл бұрын
Hiyo ni gesti mbona hakuna kitchen au wanapikia wapi 😢
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 Жыл бұрын
Hiyo imeungwa inanyumba nyingine ya chini yazamani uwe unasikiliza nakuangalia vzr video sio unakomenti upuuzi
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 6 ай бұрын
Kiwanja icho kina ukubwa gani
@SimbaM2kufu
@SimbaM2kufu Жыл бұрын
Hiyo balcony ya juu sio salama hata robo sekunde.
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 Жыл бұрын
😁😁😁 kweli wabongo hamjui ujenzi sasa we unaona hata ngazi hajaweka zile chuma za usalama unasema Balcony wakati bado wanaendelea
@richardrichope3528
@richardrichope3528 11 ай бұрын
Wataweka balusters si wamesema au husikie
@SimbaM2kufu
@SimbaM2kufu 11 ай бұрын
@@richardrichope3528 nitakua nilimisi kitu.
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 6 ай бұрын
Nilikiwa nataka golofa dogo kama hilo kozi kiwanja nataka kununiwa roho heka
@ongeshabani8439
@ongeshabani8439 Жыл бұрын
Iyo nyumba umechukuwa tofali ngapi au ngarama nikiasi ngani
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 Жыл бұрын
0659 877 756
@gloriachristian1470
@gloriachristian1470 Жыл бұрын
Mko wapi
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 Жыл бұрын
Dar
@zunnahmohammed4719
@zunnahmohammed4719 Жыл бұрын
bei
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 Жыл бұрын
0659 877 756
@gloriachristian1470
@gloriachristian1470 Жыл бұрын
Yaan napenda gorofa jamani pesa tuu.hivi hichi niandae sh ngapi
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@jennifermmanyema6693
@jennifermmanyema6693 Жыл бұрын
Muwe mnatuakbia na garama jaman mfn km hiyo mnatwambia imegarim Kia's kadhaa Hadi hapo
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 Жыл бұрын
0659 877 756
@helencasmir5457
@helencasmir5457 Жыл бұрын
Naomba unitumie tel no yako
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 Жыл бұрын
0659877756
@janetmuhando1419
@janetmuhando1419 Жыл бұрын
Kighorofa Cha mchongo hiki, kwanza hakieleweki hata kidogo!..... Mmeweka garage wakati hakuna jiko Wala Nini !......
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 Жыл бұрын
Sawa boss ila hiyo ni ghorofa ambayo imeungwa kwenye nyumba chini so nikm nyumba mmoja tu na ata hilo jiko unalolisema lipo kwenye nyumba ya chini mzee
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Ай бұрын
​@@sanukamedia9084achana nae huyo mtu ni wivu na hasadi ndio vinamsumbua
@tinomangi6487
@tinomangi6487 2 жыл бұрын
Gharama zake ni ngapi
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 2 жыл бұрын
0659877756
@bassamalrwili6312
@bassamalrwili6312 Жыл бұрын
Ni pesa ngapi
@ali_ford
@ali_ford Жыл бұрын
ukiulizwa bei ndugu jarb kutathmin utujib namba tunayo lkn makisio tueleze kabisa🤗
@hamisimkoma7380
@hamisimkoma7380 Жыл бұрын
Muda mwingine huwa ni utapeli kwann asilete makadirio ya ujenzi ili sote tujue gharama zake....ila hataki kusema zaidi ya kugawa namba...
UJENZI WA GHOROFA YA GHARAMA NAFUU #ujenzinafuu
3:15
Sanuka Media
Рет қаралды 3,2 М.
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 57 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 5 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 69 МЛН
TSHS MIL 55, NYUMBA MPYA INAUZWA GOBA KINZUDI
10:01
DalaliMwanamke
Рет қаралды 17 М.
Ramani Kali - Ghorofa ndogo- 2 self contained Rooms,Dinning & Kitchen
0:30
Ramani Kali Visual Lab
Рет қаралды 4,1 М.
Ramani ya kupangisha ya kisasa | 0679253640
2:47
RAMANI TZ
Рет қаралды 9 М.
Nyumba ya Maajabu
2:34
FASHIM TV
Рет қаралды 840 М.
jenga kwa pesa kidogo
5:27
Sanuka Media
Рет қаралды 9 М.
ujenzi  wa gorofa ndogo unaendelea
1:06
Jiver Kasigara
Рет қаралды 9 М.