UKIOTA MVUA INANYESHA TARAJIA KUPATA KHERI NYINGI KATIKA MAISHA YAKO // SHEIKH ABUU JADAWI
Пікірлер: 18
@user-bz4tl9wk5t7 ай бұрын
Asalaam aleykum sheikh,mm nimeota mvua kubwa sana na inanyesha kwa utulivu sheikh wangu nimeiyona maana yake shukran sana🙏🙏
@user-yp7ey4ve8u5 ай бұрын
Asalaam alkumu mimi nimeota mvua kubwa inaonyesha na upepo mkali
@oman1oman1797 ай бұрын
Shukuran sana ,mimi nimeota mvua inanyesha nyingi kisha juu kulikua na nyota nyingi ,kisha nikaoga niko na furaha nyingi
@user-hp6eb2cl1w7 ай бұрын
Asante mtoto wangu alitoroka nyumbani
@kwizaraclaudine848911 ай бұрын
Asat👏👏🤲🤲
@kwizaraclaudine848911 ай бұрын
Shuclani🤲🤲🤲🤲👏👏
@fatmakitenge6464 Жыл бұрын
Alhmdulilah shee nitamwambia amfanyie duwaa
@user-jz8sj5us1h Жыл бұрын
Shukraan sana mm nimeota mvua Inanyesha mm nilikuwa nakinga maji
@abuujadawionlinetv3675 Жыл бұрын
wafasiri wa ndoto wanafasiri ukimuotea mtu anaingia na mtu aliekufa kwenye nyumba isiyo julikana basi huyo ulie muotea atakufa na atakutana na huyo maiti akhera Na kama ni nyumba inayo julikana na ikawa wanazozana ndani basi nihoja ndoto hii amfanyie dua au swadaka
@user-ho8fv9qn3f7 ай бұрын
Mimi nimeota ndoto mvua inaninyeshea
@fatmakitenge6464 Жыл бұрын
Asalykum shee mimi nimelala nikaota bint yangu mume wake amekuja sasa nikawa namwambia wewe uyo c amekufa bint yang akajibu huyu ajafa wakaingia chumban yaan mkwe wang mbele bint ysng nyuma lkn nikawa namsisitiza usiende nae ndan uyo amekufa yule bint yang akasema mama uyu ajafa ndomana unamuona wakaingia ndan nikaskia kule ndan kama vile wanabishana kitu nikawa nimeshtuka naomba maana yake shee..lkn pia kiualisia uyo mkwe wangu amefariko kweli kama miez mitano Sasa tokea amefariki
@MorineAseyo10 ай бұрын
Mimi nilikua nalala mchana nkaota mtoto ako inje mvua inamnyeshea ile kidogo
@abudahmed52939 ай бұрын
Asalaamu aleyecum Mimi niliota nime chinja ngamia na Nika toa ngozi na kupika
@mariamharoon184011 ай бұрын
❤❤😢
@ProllyCargo9 ай бұрын
Ndotozote nizauongo
@LuciaKivamba7 ай бұрын
Ndoto sio zakuzarau MUNGU anakuoneshabkitu kupitia ndoto
@DaudiIdrisa-ei3sz Жыл бұрын
Nimeota mvua inanyesha yakawaida na upande wangu wa mkono wa kiume kulikuwa na moto unawaka nini maana yake?