TAFSIRI YA NDOTO KUOTA MVUA INANYESHA | TARAJIA KHERI NYINGI KATIKA MAISHA YAKO"SHEIKH ABUU JADAWI.

  Рет қаралды 10,493

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

Жыл бұрын

#ShkAbuuJadawi #Tafsirizandoto #Zvponlinetv #Mwanza

Пікірлер: 29
@MarthaMalashi
@MarthaMalashi Ай бұрын
Asante. shehe
@naomiwasike1814
@naomiwasike1814 Ай бұрын
Amini
@nadirmahfoudh1812
@nadirmahfoudh1812 Жыл бұрын
Masha'allaaaah! Mimi napenda sana ilmu hii ya ndoto na nafuatilia. Naomba namba yako ya simu Shk.
@mwanaidiraimwanaidirai5662
@mwanaidiraimwanaidirai5662 2 ай бұрын
Amin❤❤
@user-pq4ul5us2m
@user-pq4ul5us2m 3 ай бұрын
Asante kwa tfs zako nimeota nanyeshewa nanikaoga mikono Maji ya mvua
@suzanne9517
@suzanne9517 Жыл бұрын
Shukran
@salmakadede
@salmakadede Ай бұрын
Shukrani
@AdamBwambale
@AdamBwambale 9 ай бұрын
SHUKRANI SHEHK
@user-bg3op6jg8z
@user-bg3op6jg8z 3 ай бұрын
A salaam alykum Mimi nimeota ndoto nipo ndani ya nyumba ya marehema bibi mzaa mama mvua inanyesha sana mabati yametoboka mvua inaingia ndani
@saudaumar3354
@saudaumar3354 10 ай бұрын
Mashallah
@nibigirahassina9308
@nibigirahassina9308 Жыл бұрын
Inshaallah
@OmanOman-mg2vt
@OmanOman-mg2vt 8 ай бұрын
Salaam aleykum warahma tullah wabarakatu jina langu ibrahim sheikhe mimi nimeota nachinja mtu nikachinja mpaka nikaachanisha kichwa baada yahapo ikabidi nikimbie hukunikifikilia marengo nilionayo kwamba sito yatimiza tena kabla yahii niliota mvua inanyesha
@HamidakomboKombo-xs2ju
@HamidakomboKombo-xs2ju 5 ай бұрын
Assalamualaikum warhmatullah wabarakatuh shekhe wangu ,naomba nikuulize swali! Mimi nimeota nyumba ninayokaa imejaa maji mpaka kwenye madirisha, na nje kama bahari Haina kikomo nn manayake?
@user-qj5sj7mf2w
@user-qj5sj7mf2w 10 ай бұрын
Mm nimeota ndiyo nayishewa namvua yenye utulivu na nimenyanyua.mikono naomba Dua ila sikujuwa Hina gani
@mariamusultan2659
@mariamusultan2659 Жыл бұрын
Asalam aleykum mimi nimeota ndoto nikiwa na watu wengi tuko kwenye kisomo cha dua na badae mvua ikaanza kunyesha.hii inabashiri nini 🙏🙏 lkn Naomba namba yako nina mengi sana
@ndayambajefikirini7252
@ndayambajefikirini7252 8 ай бұрын
Assalam aleikum sheikh,tatizo SheIn wangu tunapo uliza hutupi majibu,kwa KZfaq,nimeota jeneza mbili zinamaiti ndanimwe ila wakawa hao watu si waisilam pakawa kunawatu wengi wanajiandaa kwenda kuzika,mudapunda mvua ikanyesha ila watuwakasema hatakama mvua imenyesh lazima twendekuzika hivohivo ndoto ikaishiahapo
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 3 ай бұрын
Shekhe naomba uni saidie kila saa kinyw changu ki atamla kuw mama kafariki yanı wiki hii nzima kinyw changu kinatamka wakati mama yangu ni mzima jipo nipo mbali hebu niambie inamana gani
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 3 ай бұрын
Nimeota juzi mvua kubwa snaaa mpka miti inadondoka
@shanithadawson1943
@shanithadawson1943 2 ай бұрын
Samahan nimeota mvua imeisha nying sana maji yakajaa nikawanatembea juu yake kuwaangalia wenzangu ila awakudhulika
@FatumaOmary-gk8zy
@FatumaOmary-gk8zy 8 ай бұрын
Asalam aleykum mi nimeota nvua inanyesha lakini nikondani nyumba inavuja namaji yameingia ndani kitanda kimeloa godoro limeloa tepetepe nikashangaa sana mpaka godoro limeloa sana na kitanda kilikua kibovi kwa pembeni hivi
@SaidaKazuvi
@SaidaKazuvi 8 ай бұрын
Waalaykumsalam msikilize vizur shekh amesema ndoto iliyosababisha madhara si nzuri.... hivo ni vema ukamtafuta ili akushauri zaidi
@MarthaMalashi
@MarthaMalashi Ай бұрын
Nimeota. nanyeshewa. mvua. nikiwa. ndani. ya. nyumba. nikapata. balidi.
@MwajySebe-qh8ik
@MwajySebe-qh8ik Жыл бұрын
Je ukiotaa mvua imesha nyesha majii nimeng sn yalio nyesha barabarani nikawa. Navukaa
@cynthiamathias7913
@cynthiamathias7913 6 ай бұрын
Sasa vua ya upepo handi inaharibu nyumba tukakimbilia kwanyumba lakini hiyo nyumba ilikuwa dogo upepo ukapinga drisha kukawa kunataka kumbomoa lakini tukazimba ila bado ikawa inanyesha kubwa
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 2 күн бұрын
Mvua ile ya lashalasha inanyesha imetulia nzuli, ila mim siloi naiangalia na inavyonyesha ardhi matone yake yakiwa yametonea ardhini vizuli na tope lake zuri naiangalia tuu uzuli wake
@neymakubi173
@neymakubi173 Жыл бұрын
Je ukiota mvua inanyesha lakini maji yanaingia uvunguni na mpaka godoro lime roa na uvunguni kulikua na kifaranga cha kuku cheusi kime kufa na mwanamke mwingine ame kitupa Nje
@neymakubi173
@neymakubi173 Жыл бұрын
Shee nijibu nakuomba
@SofiaUmande-ss1zj
@SofiaUmande-ss1zj 10 ай бұрын
Nimota nyumba inanyesha chumban vitu vinalowa vyote na muda uwo nipo na mwanaume nilio achana nae
TAFSIRI ZA NDOTO ZA MVUA / Imamu Mponda
10:32
Mponda Media
Рет қаралды 6 М.
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,3 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 159 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 23 МЛН
Ukiota umeokota hela, unanyeshewa mvua hii ndio maana yake
10:11
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 13 М.
Ruqyah ya kutibu hasad, uchawi na kutoa mashetani (Isikilize kila siku mpaka mpone, In Sha Allah)
30:03
Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili
Рет қаралды 708 М.
Kuota Na Maji Machafu Ina Manisha Nini?
1:56:46
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 9 М.
SIKILIZA SIKU 7 KISOMO HIKI UTAFANIKIWA
27:05
AN-NAJM TV
Рет қаралды 18 М.