KUOTA NDOTO ZA KIFO AU MAITI // MAANA NA TAFSIR ZAKE // SHEIKH ABUU JADAWI

  Рет қаралды 57,169

ABUU JDAWI ONLINE TV

ABUU JDAWI ONLINE TV

2 жыл бұрын

KUOTA NDOTO ZA KIFO AU MAITI // MAANA NA TAFSIR ZAKE // SHEIKH ABUU JADAWI

Пікірлер: 107
@rahmajay1034
@rahmajay1034 2 жыл бұрын
Shukran. Ila, ungepunguza maelezo ukapata muda wa kuelezea style nyingi kwenye ndoto moja ambazo huenda zikagusa miongoni mwetu na kufanya tufikie lengo la kufungua channel yako.
@WallSaliim
@WallSaliim Жыл бұрын
Shukran USTADH.Nimeota kuwa Mamdogo amekufa na pia ameoshwa lakini Hakufika kuzikwa nimeshtuka Kumbe Ako hai
@user-ty5gn2ve2w
@user-ty5gn2ve2w
Kuna mtu ameota yeye amekufa lakini ktk hiohio ndoto akajikuta yupo hai na baadae akaanza kusikia matangazo ya kifo cha baba yake mzazi kwenye redio kinatangazwa.
@kitengealmas4085
@kitengealmas4085
Nimeota mume wangu amekufa akaniambia njoo tufe wote kwanini uniache niende pekeyangu nami nikaenda nikafa lakini tunaongea na kunawatu wanaongea sihem sijui wakati tunaenda kuzikwa tukiwa ndani ya gari tunaongea nikashtuka
@hemedomarhemed8196
@hemedomarhemed8196
Asalam aleikum warhamtullahi wabarakatu sheikh naomba kujuwa nimeota nime kufa lakini kwenye ndoto hiyo nikaomba tu nirudishiwe roho yangu nimuone mtoto wangu kwa maraya mwisho nimkumbatiye basi kweli nikarudiahiwa nikaenda kumuona mtoto wangu kwa maraya mwisho nikamkubatiya kidogo mke wangu akaniamsha nika shtuka maana yake ni nn sheikh
@khadijakomba4812
@khadijakomba4812
Ustadhi mimi nimeota Nina mume,ghafla akatokea mwanaume mwingine akataka kunioa,mume wangu akaniambia olewa nae nikaolewa nae nilivyoolewa sikukaa mda mrefu yule mume wa pili akafariki nikawa mjane, alikuja mume wa mwanzo ananifariji,nikashtuka,naomba unisaidie nini maana yake?
@saidimsangi8116
@saidimsangi8116 Жыл бұрын
Asalam aleykhum sheikh, naitwa SAIDI ATHUMANI, usiku wa kuamkia Leo nimeota nipo na Dada yangu ambae Ni mgonjwa nikawa namtambulisha kwa jamaa zangu wanaungali mguu wake ambao unauma, Mara akatokea mama yetu ambae Ni marehemu na alikufa angali kalemaa lakini Kwenye ndoto anatembea nikamuuliza kumbe umepona unatemea? akajibu ndio hata huyu Yani Dada atapona huku mama akiimba kwa furaha
@user-dt3vz3jq5j
@user-dt3vz3jq5j
Asalam aleikhum warahmatullah waabarakat. Nimeota mchumba ang amefariki huku nikiwa mjamzito pia katika ndoto nikiwa sikubaliani na kifo chake yan siamini kama amekufa.
@sashatom9463
@sashatom9463
Nimeota naokota korosho nilipata korosho nyingi sana Kisha nikaenda kumpelekea babu yangu zile korosho ..na babu yangu Alisha fariki
@user-vv7vj1xm1d
@user-vv7vj1xm1d
Leo hii nimeota nakimbizwa na maiti nikiwa nimebeba mtoto mahali najificha zinanipata inamaana gani
@user-vl7tp4dl1k
@user-vl7tp4dl1k
Allah atulinde na kila shar amiin
@sadamrisho7719
@sadamrisho7719 Жыл бұрын
Asallaamu aleykumu shehe nashukuru kwa kutupa elimu kubwa sana ya ndoto miongoni mwetu elimu ya ndoto huwa atuna kwaiyo kwa niaba ya ndugu zangu ktk Imani nasema shukrani Sana Allah aakulipe ktk hili kwa upande wangu huwa naota Bibi yangu amekufa na ikiwa Bibi yangu uyoo yupo bado hai naomba msaada wako shehe
@pasikoabudala3461
@pasikoabudala3461
MIM NIMEOTA MUKEWANGU NA MENANGU WAMEKUFA NAOMBA UNISAIDIE SHEHE🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@sumayyahally866
@sumayyahally866 Жыл бұрын
Subhannallah Allah atuepushie na mandoto hayo inshaAllah
@happyjuma410
@happyjuma410 Жыл бұрын
Shukran. Je ukiota unaenda kumuona baba yako nau khar amekwisha fark
@stanleykihwele2434
@stanleykihwele2434
Mungu akubrk
@suzanne9517
@suzanne9517
Shukran sana
@user-zv4hr4zx3q
@user-zv4hr4zx3q
Mwanangu kaota mimi nimefariki 😢 naomba tafsiri ya ndoto hii shekhe
@amonmacha8135
@amonmacha8135
Habari shekhe,nimeota tumebeba maiti mwenzangu akaidondosha nikaiokota
@alemamwakufundwa4248
@alemamwakufundwa4248 Жыл бұрын
Shukrani kwadrasa
dalili za mtu anaye karibia kufa muda mfupi ujao
10:22
FAFANUO MEDIA
Рет қаралды 34 М.
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 4,9 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 52 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 4,5 МЛН
TAFSIRI ZA NDOTO ZA KUFA /Imamu Mponda
8:06
Mponda Media
Рет қаралды 5 М.
ndoto ya Kifo Cha Mtoto  ina Mambo 8 Muhimu Kuyajua
15:07
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 13 М.
UKIOTA  UNALIA  JIANDAE  NA  MABADILIKO  YAFUATAYO  // SHEIKH  ABUU  JADAWI
16:22
ABUU JADAWI ONLINE TV
Рет қаралды 3,7 М.
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 4,9 МЛН