Kweli doctor christ yani kuanzia sasa lazima operation chunguza mamkwe ifanyike 😅😅
@tsongokauta591122 күн бұрын
Shukurani sana kwa somo
@Cyper25526 күн бұрын
Kwel kabisa
@victormkello957526 күн бұрын
😅😅😅 duh. Kikaangoni it was necessary
@VeronicaRugoyi18 күн бұрын
Ukweli semwe ❤❤❤
@Beth_shebaJoram2 күн бұрын
Habari doctor mimi ni mwanamke ziwa linaniwasha naomba nisaidie shida inaweza kuwa nini?
@hadijambwambo683320 күн бұрын
Wewe Chris,kama sio mm kumuongoza hata nyumba ya kulala tusingekuwa nayo !
@edwardntamaboko341418 күн бұрын
Huyo ndiye aliyeshindwa kukusimamia! Ndiyo maana akashindwa hata kuwa na nyumba mpaka wewe ukamsimamia ndiyo nyumba ikajengwa
@menzanealide518321 күн бұрын
Doctor mimi nimekosa mke kwenye u mkasa
@PendoPogwa19 күн бұрын
Mwanamke anarudisha mara mbili ya unachompa.hakuna mwanamke mkorofi akionyeshwa thaman na upendo.mbona mnataka utii pasipo upendo??
@edwardntamaboko341418 күн бұрын
Wanawake hawaridhiki pesa mbele kuliko kingine,sasa upendo gani kwa anayejali pesa kwanza?
@PendoPogwa19 күн бұрын
Wamaume nao wanachepuka sana jaman kuna mda hawajali wake zao hawana mda na wake zao matumizi shida heshima itatoka wapi? Umtii ktk manyanyaso hawajui nafasi zao ndo maana wanadharaulika.
@edwardntamaboko341418 күн бұрын
Wanawake nao hawaolewi wengi kwa sasa ßbabu ni wafisadi kwa wanaume,wajeuri.Hata wanawake wanadharauliwa ndiyo maana wengi SK Hz hawaolewi
@djramsoyusuph966123 күн бұрын
Nataka semina yote napateje semina hii
@hamasikatv23 күн бұрын
Tazama sehemu ya pili hapa Ishi na Wanawake kwa akili - Dr Chris Mauki kzfaq.info/get/bejne/bq6knMx7va-0pn0.html
@masalakulwa760125 күн бұрын
hii video nataman hubby aione ..hajiwezi kwa kila kitu..acha nimuongoze tu aise🚮
@pendosailo198923 күн бұрын
😂😂
@African51123 күн бұрын
Hata maandiko yanasema ishini kwa akili na wanawake,wewe ishi kindezi unywe chai kwa mruzi.