Рет қаралды 848,863
Huu wimbo umeshinda katika mashindano ya kwaya katoliki za Jimbo la Kigoma, yaliyofanywa kutafuta kwaya na wimbo bora wa mwaka wa UMISIONARI.
WIMBO: Umebatizwa na unatumwa
MTUNZI: Gabriel.D.Ng'onoli
ORGANIST: Fredrick Giligwa
CONDUCTOR: John Kasindi(JOKA)
WAIMBAJI: Kwaya ya Yesu Kristo Mfalme- KATUBUKA
AUDIO: Aegies Studio
VIDEO: Tanganyika Productions
DIRECTED BY; Laurent Ludovick
#TanganyikaProductions #kwaya #KwayaKatoliki