Umekuwa ukiota ndoto na kweli inakuja kutokea? Fanya hivi

  Рет қаралды 23,529

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

2 жыл бұрын

Mtumishi wa Mungu Prophet Joseph Minja anachambua tafsiri za ndoto mbalimbali tuotazo usiku. Pia ameandika kitabu kiitwacho Ndoto na Tafsiri Zake

Пікірлер: 61
@Amobizzy_OG
@Amobizzy_OG 2 жыл бұрын
Daah...umenifunza jambo Prophet waga naota Kabixaaaaa na jambo linatokea ntakutafuta unipe somo zaidiii..Asante sanaa❤️‍🔥❤️‍🔥 ntaanza kuziandika kuanzia leo...maana
@Mimy_keys
@Mimy_keys Жыл бұрын
Hapo kwenye Kuandika na Kuiombea Mungu Akubariki Prophet nitafanya hivyo kuanzia Leo🤗💯👌Mungu Atuwezeshe 🤲🙏
@johnmajondokitulla
@johnmajondokitulla Ай бұрын
Unachokisema ni sawa
@christinamhono5029
@christinamhono5029 Жыл бұрын
Niliwahi ota nimemfumania mme wangu hadi mara mbili tenna nyakati tofauti! Ilitimia! Kuna wakati nilionyesha unzur wa mbinguni kwa sehemu ! Mungu Alisha nionyesha mengi sema kupuuzia
@marymuasa1251
@marymuasa1251 Жыл бұрын
Asante kwa kuelezea tunavyofaa kufanya, ni swali limenisumbua tangu utoto wangu
@hellennjeri2431
@hellennjeri2431 2 жыл бұрын
OMG hii huwa yanitokea sanaa most of the time 😅😅 💕
@massoudsuleiman-xv7hy
@massoudsuleiman-xv7hy Жыл бұрын
Nikweli kaka yangu sana sana sana
@amissaabdallah2542
@amissaabdallah2542 Жыл бұрын
Asante kwa kutujuza Mungu akulipe kaka,,
@jenifercharles8197
@jenifercharles8197 Жыл бұрын
Nakushukuru sana maake umenifundisha kitu
@user-bu1fh4ei4d
@user-bu1fh4ei4d 3 минут бұрын
Mimi niliota ugonjwa na nilivoenda kupima ikatokea kweli
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 2 жыл бұрын
Mpo vzr sana kwa kweli! Mie naotaga ndoto na yanatokea kweli kama siyo kwangu kwa ndugu zangu au mtu wangu wa karibu ! Naomba no ili nikutafute ndoto nyingne zatisha mno na sijuagi maana yake mf. Mtu alikufa, tukamzika miaka 20 ilopita, then naota tunamzika tena upya sijuw ni nini!
@milengeclestine4421
@milengeclestine4421 5 ай бұрын
Ubarikiwe saana Kaka 🙏🏾🙏🏾
@user-fv2sn7js7g
@user-fv2sn7js7g Жыл бұрын
Iyo ndoto huwa ninamimba na inajiludia
@budodianthony8094
@budodianthony8094 2 ай бұрын
Mimi huwa zina 😢😢 timia niliota sehemu naenda kufanya kazi naile sehemu nipo fikaa hadi dani ipoo hivyohivyo😢😢
@nurundumo7587
@nurundumo7587 3 ай бұрын
Nimeota nilikua natembea ila njia ikawa mbaya sikuweza kupitia ipo juu kama ki
@user-qp2re8ud4g
@user-qp2re8ud4g 2 ай бұрын
Mm niliota nilikuwa nilikuwa nimegombana namtu miaka mi2 chaajabu nimelala nimemuota ule mda namuota akanipigie mda uleule
@Rubavu
@Rubavu 2 жыл бұрын
daah! jaama yupo real
@user-do4ft3mw6y
@user-do4ft3mw6y 2 ай бұрын
Mm naota nipo na watu mishi wa kubwa wa mungu nini maana yake Kila mara naota hivyo
@NEEMASamson-pj2ql
@NEEMASamson-pj2ql Жыл бұрын
Hata Mimi nikiota inatokea kweli kuna kipindi Niko na miaka kumi na tano kuwa nimepata ajali kuna mwanaume alinisaidia nakweli 2022 imetokea hivo hivo
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@johnmajondokitulla
@johnmajondokitulla Ай бұрын
Lakini naomba msaada mara nyingi naongea na watu wa nyumbani am
@ashleystarqueen8780
@ashleystarqueen8780 Жыл бұрын
Mimi niliota mume wang anaomba mwanamke namb kumuuliza akaniambia alikuw aombe msichana mwengine anitengenezee kidude cha mkno ety alivyoskia hivo akaniambia aliacha mara nikaota tena anaongea na msichana nikaota tena wasichana wawili anawatamani na kuna mwengine anamtamani inaamaanisha nin tafadhali maaana hizi zengine alikana akutaka nijue kama n ukwl na anafnya kazi ya usku uenda ikawa akona wanawake uko nje mm nataka nimuache uwa naota anachepuka sjui mbn baadae anaez niletea magonjwa maana apo nyuma nikiwa darasa la saba niliota mjombangu amekufa saa sita za usku na hiyo siku huo muda alikufa na skuambia mtu ningesema ningeitwa mchawi ilitimia kwel toka iyo sku sipuuzi ndoto
@user-ft4qk6xc2z
@user-ft4qk6xc2z Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe mm naitwa rose kutoka Kenya mm huwa naota ndoto na.kutokea ,SASA naomba unitfusirie mm huwa naota ndoto mbili tu yangu 2017 ndoto ya Kwanza huwa nakutana na paster katika ulimwengu wa kiroho nikiwapea chakula na yapili naota nakutana na Rai's nakula naye ananipea pesa,SASA juzi niliota pastor wa..nne walikuja nyumbani Wana furaha.wakanisalimia kwa furaha Kesho yake nikaota nko kwa mkutano na Marais ,naomba unitfusirie ndoto hizi barikiwa
@danielmkama24
@danielmkama24 2 жыл бұрын
Mimi huwa nikiota nafny mapenz bac cwez malza wiki cjafny na naotaga tu khs hilo sa cjui tatzo ni nn apo
@Moserichard96
@Moserichard96 3 ай бұрын
Ndoto ya kulia usiku ina maana gani
@ireneisack6671
@ireneisack6671 2 жыл бұрын
Mimi ninaota na vinatokeya na siandiki na sijawah saau
@adelinamussa5828
@adelinamussa5828 Жыл бұрын
Hata mimi ety
@nestorassani5461
@nestorassani5461 2 жыл бұрын
Tanzania Kuna watu wajabu saana, mungu aliumba dunia na majabu yake
@youngpaincompany1440
@youngpaincompany1440 2 жыл бұрын
Maajabu gan 😂😂
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Ajabu gan sasa?😄😄
@user-je9pe4im9l
@user-je9pe4im9l 11 ай бұрын
Mimi niliota namimba aikuchukua week kwenda kupima namimba kweli ndoto ikaendelea nimejfungua mtoto wakiume na hospitari ikaonekana kwenye ndoto s
@leyanlily3581
@leyanlily3581 Жыл бұрын
Haki mm zingine nnasahau
@nahventure1717
@nahventure1717 9 ай бұрын
Jamn msaada mimi naota nasahau ninapoishi mara nyingi nisaidieni
@AnithaMusa
@AnithaMusa Жыл бұрын
Mimi nililala nikaota naugua ukimwi nanilivo endaa kupima nikakutwa nawo
@JenipherMourice
@JenipherMourice 8 ай бұрын
Nikweli hata mm huwa naota ndoto lakn inakuwa kweli.lakn kuna ndoto inajirudia ya kupita njia mbaya kwashida kama vichaka milimani,mwisho natokezea pazuri nilikokuwa naenda,inanisumbua sana mara nyingi cjui ni nini
@julietkimigho8500
@julietkimigho8500 Жыл бұрын
Iyo verse ya Bible nime i such but cjaona at Hesabu 6:10 which is Numbers cjaona.ak
@charleskhan7491
@charleskhan7491 2 жыл бұрын
mm huwa Nikiota inatoke baada siku mbili au masaa
@evelynenshimrimana1079
@evelynenshimrimana1079 11 ай бұрын
Mimi nimtu nikiota kitu kinafika kbs niliwayi uta nina mimba na hapakupita 3 nirifik nashik mimba
@azizamayombo5284
@azizamayombo5284 Жыл бұрын
Ukiota umezaa mapacha
@julietaianyasunya7587
@julietaianyasunya7587 Жыл бұрын
Niliota cousin yangu amekufaa baada ya wiki tatu guka yangu akafariki,
@camilahazal7119
@camilahazal7119 2 жыл бұрын
Naomba nisiandke ndoto zangu za kutosha tena za alafu naogopa
@stellah3844
@stellah3844 2 жыл бұрын
Mm pia huwa naota nazinatokea ila siyo zote nkiota ndoto mara 10 bas mara 2 zitatokea na hizo nane badi 5 nkiamka nasahau na 3 nakumbuka.
@SafiApele-fs2sc
@SafiApele-fs2sc Жыл бұрын
Naomba namm unitafsiriye maaana nina ndoto nyingi sijui napataje namba zako ili tuwasiliane
@leyanlily3581
@leyanlily3581 Жыл бұрын
Nmeota nafaamiwa nataka kudungwa na kisu but baadaye naona nmetoroka alafu huku nje natafuta mbuzi wangu niuze nifanye kama nauli ya kupanda gari ili niende. Iyo ndoto ina maana gani ??
@bitricemarcus1219
@bitricemarcus1219 Жыл бұрын
Mimi nikiota ndoto inatokea Kesho yake au mda huo huo yaani ata sielewi
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 Жыл бұрын
Mi niliota mtu aliekua rafiki yangu kuwa ananipa sale tena sale aina mbili ya shughuli ya harusi kesho yake naongea na ndugu yake ananiambia shoga yako anaolewa tena na anasambaza sale mwenyewe nikasema kumbe ndio sale nikiyoiota jana yake
@jacintaitumo5571
@jacintaitumo5571 Жыл бұрын
Mimi naota ndoto sana na huwa zinatokea vile vile nilivyo ota. Tena kwa siku chache tu. Nifanyeji?
@vanessarobyn4584
@vanessarobyn4584 2 жыл бұрын
Jamani mimi huwa naota yanatokea ama nikiwaza jambo linatokea yaani mfano naweza kuona kama mtoto wa fulani anaumwa kweli naambiwa fulani anaumwa hii kitu inakuaje kwangu
@saidfhamad
@saidfhamad 2 жыл бұрын
Hapo unatakiwa kunitafuta tu!!
@lucykapinga369
@lucykapinga369 2 жыл бұрын
ikatae iyo rohoo yakufikilia mabaya Naata ikijileta unapaswa uombe Mungu hapo hapo kama kibayakifuttwe kwa JINA la YESU
@ryobasubeti3447
@ryobasubeti3447 Жыл бұрын
Tuoane mama angu
@vanessarobyn4584
@vanessarobyn4584 Жыл бұрын
@@lucykapinga369 ahsante dear nafanya hivyo but huwa lazma tu iwe hivyo yaani mda mwingine hata siyo naota yanakuja kwenye hisia tu na inakuwa kweli
@vanessarobyn4584
@vanessarobyn4584 Жыл бұрын
@@saidfhamad ili iweje
@salummzee9739
@salummzee9739 Жыл бұрын
acha ukafiri Nabii unamjua ww
@prophetjminja2478
@prophetjminja2478 Жыл бұрын
Kama Imani yako haiamini Kuna manabii basi,kwanini Imani ya wengine ikusumbuwe...
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 2 жыл бұрын
Na neema ni uwepo wa vitu ambavyo unavupata pasina kuvilipia kwa kila viumbe. Uwe mbaya au mwema..kwakua mvua ni neema, Jua ni neema, kula na kunuwa ni neema..... Na mambo ya kusema kwamba ukiona umuombe mungu akufunulie sio kweli kwenye mambo ya ndoto au njozi. Angetoa kwanza SALA AU MAOMBI ambayo hayabadiriki wakati wakuomba tafasri na nani mwenye bible alieomba kama yeye?
@prophetjminja2478
@prophetjminja2478 2 жыл бұрын
Unasoma biblia kweli?? Nebokadreza aliota ndoto akataka kujuwa tafsiri zake,akaambiwa kuhusu Yusuph lakini yeye alitaka aambiwe ndoto aliyoiota na kuisahau na tafsiri yake,Sasa Yusuph alipoenda akamwambia ngoja nikamuombe Mungu awezaye kutufunula Siri. Mwanzo 39,41 ndio Mungu akamfunulia ndoto ya Mfalme na tafsiri zake. Tafadhali Kama haujui kitu jifunze usicomment kitu usichokijuwa
БИМ БАМ БУМ💥
00:14
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 4,7 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 35 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 20 МЛН
EX WAKO-Ukiota Na Mpenzi Wa Zamani, Je Ina Maana Gani  [] +254706945821
42:36
NDOTO ZINAZOHUSIANA NA SAFARI KINYOTA
8:39
Utabiri Wa Nyota
Рет қаралды 47 М.
HATARI YA NDOTO UNAZOOTA Part 2/5 - MKUTANO WA MBEZI DAY 7 | Bonyeza SUBSCRIBE
22:51
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 131 М.
Мировой Рекорд по Засыпанию (@DazByron )
0:30
Голову Сломал
Рет қаралды 9 МЛН