No video

Umoja wa ULAYA waishika CHINA pabaya! Waongeza Ushuru kwenye Magari ya Umeme kama alivyofanya US

  Рет қаралды 14,986

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 105
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 2 ай бұрын
Umoja WA ulaya umefeli,,,china ni unstoppable
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 2 ай бұрын
Umoja wa ulaya ni vichaa pamoja na marekan
@MsAggie5
@MsAggie5 2 ай бұрын
Marekani wanaona China inawazidi katika kipato cha nchi na maendeleo. Watawaumiza wananchi wao wenyewe, makampuni yao ndo yamekimbilia huko kupunguza ghalama za uzalishaji. Wao walitaka China waongeze thamani ya hela yake. Watake wasitake europe wananunua sana toka China.
@Yayouselim
@Yayouselim 2 ай бұрын
Hii inaonyesha mataifa makubwa hayataki mataifa mengine yainuke
@uwimana6533
@uwimana6533 2 ай бұрын
Ndomanake marekani nimtuwafitna 😂😂😂
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 2 ай бұрын
Hata maisha yakawaida tu iko hivyo😊
@Yayouselim
@Yayouselim 2 ай бұрын
Sasa wasijifanye kutoa ushauri wa kimaendeleo ya kiuchumi au kujifanya kupanga sera za kiuchumi kupitia world bank au imf
@Yayouselim
@Yayouselim 2 ай бұрын
Hili inaonyesha marekani ni mpinga maendeleo
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 2 ай бұрын
Kbsa ila watashindwa 😂
@johnsindayigaya9485
@johnsindayigaya9485 2 ай бұрын
Hawataweza china 🇨🇳
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 2 ай бұрын
Vikwazo vyovyote vya Kiuchumi dhidi ya China ni sawa na kuzuia dhoruba kwa viganja vya mikono. Kukua kwa teknolojia ya China, sambamba na Uchumi wake, hakuzuiliki kutokana na; idadi kubwa ya watu iliyonayo, wenye elimu na wachapa kazi, sera nzuri za ndani ya China pia za nje. nk.
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART 2 ай бұрын
Anaekupa kilema ndie anekupa na mwendo wanasahau kama anaeongoza dunia ni mungu pekee na sio wao hawatoweza kumshusha mtu ambae mungu kaamua apande juu na wahanagaike tu mwisho watatulia!
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 2 ай бұрын
Hakuna maradhi yasiyokuwa na dawa. Vikkwazo vya ulaya dhidi ya China lkn lengo Zaidi niurusi, lkn Zaidi hii inaonnesha umoja wa ulaya Hali sio nzuri
@Gulfnas1
@Gulfnas1 2 ай бұрын
Xi jinping jaman kaisha sema, hakuna atakae zuia ukuaji wa China hayupo mtu huyo!!
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 2 ай бұрын
Hawezi kuisha kwa sbb watu wamechoka na manyanyaso ya wamaghalibi vikwazo havizingatiwi kwa sasa
@matikowambura7657
@matikowambura7657 2 ай бұрын
China ni wachafuzi wa mazingira msiwashabikie tena wamegeuzi afrika kua damp
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 2 ай бұрын
Ww choko chukua chuma icho 🖕
@Yayouselim
@Yayouselim 2 ай бұрын
American wao ndio walingania free trade 😂😂 Sasa hivi imewatokea puani,wanatumia ubabe hawataki China akuwe,,hawatekelezi theory zao wenyewe za international za comparative advantage walizotengeneza wenyewe
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 2 ай бұрын
Mfa maji haishi kutapa tapa mtoa rizki ni mungu sio binadamu ugumu unapokuwepo wepesi upo karibu 😂😂😂
@ce-08
@ce-08 2 ай бұрын
China atuletee magari ya umeme Afrika kutokana na kipato chetu hili ni soko jingine pia ambalo anaweza kulishika mapema kabla ulaya + marekani hawajatushika
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 2 ай бұрын
Wafanye assembling waje wauze huku africa kama Vipi 😂
@Fgldesigns
@Fgldesigns 2 ай бұрын
Wazungu ni wapuuzi miaka yote hawajawahi kuwa na aibu
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 2 ай бұрын
Marekani anatapatapa tu sasa hajui afanye nini
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 2 ай бұрын
Huu unaoitwa umoja wa ulaya na mashirika kadhaa yapo kwa ajil ya manufaa ya marekan tuu
@magorymara5515
@magorymara5515 2 ай бұрын
Kama mtu akitaka kukopy jambo lako si ananunua bidhaa zako dukani tu nakwenda kukopy huko kwake
@TuyageComcast
@TuyageComcast 2 ай бұрын
Nilisema USA unatumia vetendo haina manenone mingi kama wao na urussi,,,ao wajama tuachane nao wakitaka waneza funga dunia yote na hakuna mwenye atasema hata akue nani,,,,jamainiii pabayaa hapoo
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 2 ай бұрын
Waambie Hao kazi kubweka tuu Wuwuwu matendo ziro pumbavu 👉🐶🐶🐶
@magorymara5515
@magorymara5515 2 ай бұрын
Yaan ni ngum kumwangusha China ni ngum sana kama ingekuwa zaman hapo sawa lakin kwa Sasa ni ngum wanawasomi wengi na asilimia kubwa ya watu wa Dunia wanaitegemea China hasa sisi Africa Asia na Amerika ya kusin @user-nb6yh2bn9y
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 2 ай бұрын
Mwenye uwezo wa kufunga dunia yote ni Mwenyezi Mungu peke yake.
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m 2 ай бұрын
Njoo nikutombe shoga
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 2 ай бұрын
Acha kusifia wapumbavu na mashoga na masenge
@emanuelidamiani2943
@emanuelidamiani2943 2 ай бұрын
Kuna siku marekani atainunua ulaya
@kingpunzy194
@kingpunzy194 2 ай бұрын
Mchina inatakiwa awe bega kwa bega na Mrusi asiruhusu kabisa fitna iwafike. Wakimaliza kwa mrusi wanahamia kwa mchina then watakuja kwa muhindi. Then wakisha safisha Asia wataanza kulipuana wao kwa wao.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 ай бұрын
👊👍✌️.
@daviddeus6437
@daviddeus6437 2 ай бұрын
Kwanza ni magar feki wayapige marufuku kabsa uko ulaya
@user-fl1xz3ln3c
@user-fl1xz3ln3c 2 ай бұрын
Hii Dunia ili nchi zieshimiane vita inahitajika
@hassansingano1150
@hassansingano1150 2 ай бұрын
Wazungu si watuua
@dannywillson5874
@dannywillson5874 2 ай бұрын
Marekan anawatumia vibaya wenzake anafaidika yye 😂😂😂 china 🇨🇳 anapaswa kuwa na roho ngumu kma mrusiii
@gabapentin8070
@gabapentin8070 2 ай бұрын
Ivi marekani ni nn anaangaika ivi Mungu aiangushe tumechoka aya majitu 😡
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky 2 ай бұрын
China anategemea sana soko la ulaya noma sana wanamuumiza mchina.... Hila macho madogo wana akili sana... Watageuza meza sio mdaa.... Marekani akiona nchi yoyote inamkimbiza wanamuaribia...
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 2 ай бұрын
Umoja wa ulaya waliziea kufanya ushenzi wao wakaona hakuna mtu atawapiku waliokuwa wakificha technology nk sasa wkavimba vichwa sasa mambo yamipinduka ndio maana sisi wamekuwa wakisimba madini lakini wakatutukana waafrica hawana akili mali wanazo lakini haziwanufaishi .
@MirajiHussein-um7pc
@MirajiHussein-um7pc 2 ай бұрын
Yan shida ya sns wako chin n urus tu
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 2 ай бұрын
Marekani na ulaya mashoga
@maprosokelly2986
@maprosokelly2986 2 ай бұрын
Kila mtu apambane na maslai ya taifa lake pongezi
@user-km1dm8et9x
@user-km1dm8et9x 2 ай бұрын
Ukigundua apa china agundui ila kelele nyingi sana acha aone cha moto
@Fgldesigns
@Fgldesigns 2 ай бұрын
Hawezi kuona cha moto Afrika tutanunua na pia hizo hizo nchi zinauhitaji kutoka China hapo in wanajing'ata na kujipuliza
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 ай бұрын
​@@FgldesignsAfrika hatuna uwezo wa kununua bidhaa za bei ya juu za china.Ulaya na marekani ndiko kwenye soko zuri na lenye faida.
@graysonpastory1918
@graysonpastory1918 2 ай бұрын
China hawez teseka kwa vikwazo hivi vitawarudia wenyewe EU ,ko wanajitekenya na kucheka wenyewe
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 ай бұрын
@@graysonpastory1918 vinamtesa na ndio maana analalamika kwa mfano hata sisi hapa Tanzania kuna kipindi serikali inapiga marufuku wakulima kuuza mahindi nje hususani kenya unaona jinsi wakulima wanavyoumia.
@martinisadru9899
@martinisadru9899 2 ай бұрын
​@@Fgldesigns tena wewe, hicho ki inifinix chako ndo kinainua uchumi wa china, nenda kauze bamia. Mchina kukosa soko la ulaya, atazoofu uchumi, bizaa ya china daraja ya kwanza wa africa mafisadi ndio wanaweza kununua, sio wauza bamia na nyanya.
@bishweko
@bishweko 2 ай бұрын
Haya yalikuwa yatokee hapa hapa jirani yetu UG kama Museveni hakutumia akili kubwa kukataa pendekezo. Ingelikuwa hivyo Tz tusingeli uza Mchele huko. Lakini pia Tz wanazuia Sukari kutoka UG hii sio sawa ni kufanya wazalishaji wetu kuwa wazembe.
@user-rt1wf6se5f
@user-rt1wf6se5f 2 ай бұрын
Kk moja kwa moja anaenda kupunguziwa bei ya mafuta na mrusi kimya kimya bila kusema ndio huwa zinafidia hasara kama hizo 😂😂
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 2 ай бұрын
Hawapendi China isonge mbele lakini wamechelewa saana najua nani anawalazimisha wafanye hivyo ambaye ni Marekani
@mussaabobakar7537
@mussaabobakar7537 2 ай бұрын
Ss marekan huwa anataka nn huwa jaman dunian
@MsAggie5
@MsAggie5 2 ай бұрын
Aendelee kuwa number one, mchina anakuja juu atawazidi au labda kashawazidi kiuchumi
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 2 ай бұрын
Unauliza swali dhaifu sana
@Fgldesigns
@Fgldesigns 2 ай бұрын
Haeleweki kama mwanamke mwenye wivu
@kwaleboy6064
@kwaleboy6064 2 ай бұрын
Naomba mnijulishe please marekani wanaeza kuekea vip ushuru wa juu bidhaa zinazo tengezwa China huo ushuru unaingiliaje naomba mnifahamishe please
@EliasYunus-ev7wq
@EliasYunus-ev7wq 2 ай бұрын
Maana yake ni kuwa vitu vilivyotengenezwa China ili viweze kuingizwa Merekani vitalipishwa Kodi kubwa. Ni kama vile kwa mfano serikali ya Tanzania iamue kuweka kodi kubwa kwa bidhaa zinotoka Kenya kuingia Tanzania.
@martinisadru9899
@martinisadru9899 2 ай бұрын
tena wewe, hicho ki inifinix chako ndo kinainua uchumi wa china? nenda kauze bamia. Mchina kukosa soko la ulaya, atazoofu uchumi, bizaa ya china daraja ya kwanza, wa africa mafisadi ndio wanaweza kununua, sio wauza bamia na nyanya.
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 2 ай бұрын
micro-chip..
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 2 ай бұрын
Sidhani issue ni kumridhisha marekani,,,ISHU ni low cost za china na quality
@Fgldesigns
@Fgldesigns 2 ай бұрын
Low quality? Kama in quality ya chini kwanini waongeze kodi!
@fatnasaeed2937
@fatnasaeed2937 2 ай бұрын
You have small mind, do you know the low and high quality?? You can dig deeper to get this knowledge
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 2 ай бұрын
@@Fgldesigns wanaongeza kodi ili kulindwa viwanda vyao,,,china anapeleka gari ulaya na ni cheap cost KULIKO magari yanayozalishwa ulaya ivyo viwanda vya ulaya vinashindwa ku compete,,,HATA HAPA kwetu bidhaa zinazotoka nje zinakua nafuu pengine KULIKO tunazozalisha HAPA NDIO maana serikali inaweka Kodi kubwa KWA bidhaa KUTOKA nje ili kulinda mwekezaji WA ndani,,
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 2 ай бұрын
@@fatnasaeed2937 MFANO MZURI,,,Tesla ni expensive KULIKO BYD ya china,,,NDIO maana Elon musk kaenda kufungua kiwanda kingine Cha Tesla UKO Shanghai china ili kuweza ku compete KWENYE soko what if viwanda vya ulaya vikahamishia uzalishaji china? Mnufaika atakua machina
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky 2 ай бұрын
Low quality ni kwa Africa tuu
@OscarAsukenie
@OscarAsukenie 2 ай бұрын
Hiyo kodi inatozwa kwenye nchi zao huko umoja wa ulaya, au na nchi zisizokuwa katika umoja huo? Hap wamefeli 1000% hapa china wahamishie tu soko africa
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 ай бұрын
Afrika hatuwezi kununua bidhaa za bei ya juu kutoka china ila ulaya na marekani ndiko kuna soko
@OscarAsukenie
@OscarAsukenie 2 ай бұрын
@@MathewNathan-yb2bz wewe ndo huwez au africa ndo haiwezi? Ina maana wewe tayar ushajikataaa, maanake wewe ni kundi tegemezi kama jins ulivyoaminishwa na wadhungu🤣🤣🤣
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 ай бұрын
@@OscarAsukenie mimi kusema ukweli sina uwezo huo na pia naomba unielewe kuwa inawezekana wenye uwezo wa kununua bidhaa za hali ya juu kutoka china wakawepo ila ni wachache sana tofauti na nchi za ulaya na marekani na ndio maana tunaambiwa mchina pia anatengeneza vitu original ila anauzia ulaya na marekani kwa sababu kuna watu wenye uwezo na huku Afrika huwa anatuletea vitu feki kwa sababu ya uwezo wetu mdogo.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 ай бұрын
Watakao umia Ni Wananchi
@MsAggie5
@MsAggie5 2 ай бұрын
Sana hayo magari yatauzwa ghali na watayanunua tu
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 ай бұрын
Mfaidikaji ni yeye Marekani ila watakaoumia ni Washirika wake zaidi hasa hasa Umoja wa Ulaya.
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 2 ай бұрын
​@@GeorgeAkasha-zx2rjhafaidiki anatapatapa tu mashoga hao
@zakariaabdalla-uo3nk
@zakariaabdalla-uo3nk 2 ай бұрын
Mchina saiv ni moga tu kuingia vitani kwnn na yeye asiwatishie km mrusi akiekewa vikwazo ataishambulia taiwan
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 2 ай бұрын
Unadhani China haijipendi?
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 ай бұрын
Nahisi ila nahisi Narudia tena UCHINA Yuko vitani na Marekani na NATO kwa kumtumia RUSSIA, maana kwa vikwazo alivyowekewa RUSSIA sidhani kama Kuna nchi ingestahimili hivo vikwazo ila Kwa msaada wa UCHINA asilimia kubwa basi anastahimili(Maoni yangu).
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 2 ай бұрын
Ni mambo ya uchumi,,,kua na akili vita vya kibiashara
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 ай бұрын
@@josephwilliam5813 Sawa mkuu ila kwenye vita vya kibiashara pia Kuna vita vya matumizi ya nguvu mkuu, ndo maana nimekwambia nahisi mbona husomi kwanza unawahi gari kwa mbele mkuu?
@Fgldesigns
@Fgldesigns 2 ай бұрын
Vita sio lazima ushikiwe silaha
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 2 ай бұрын
Kwanini umoja wa ulaya usiachane na marekani ? Kwani umoja wa ulaya wasijitegemeye ? mpaka wa mtegemehe marekani ? Ujinga kabisa umoja wa ulaya unategemea marekani 'niahibu kwani umoja wa ulaya ina inchi ngapi ? atari kweli 😂😂😂😂😂
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 2 ай бұрын
China akijichany kwa taiwan pia ataisha kibiashara
@sosbrayantbenjamin9701
@sosbrayantbenjamin9701 2 ай бұрын
Hawakurupukag wachina
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 2 ай бұрын
@@sosbrayantbenjamin9701 i seeee hii marekn mbaya sana
@MsAggie5
@MsAggie5 2 ай бұрын
Marekani anaona anazidiwa na mchina. Akiwa chini ya mchina hatakuwa mbabe tena
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 ай бұрын
Ndio maana UCHINA anataka mpka kufikia 2050 awe amejitosheleza kwa kila kitu ndani ya nchi yake kwanza, ili atakapoivamia TAIWAN basi hata vikwazo vyao viwe ni kama Bure tu.Hivi unajua UCHINA wananunua sana dhahabu kiasi kwamba hakuna kesho pia, sasa hivi wanatengeneza Chinese SWIFT na wanatengeneza Chinese Bitcoin lengo lao hao ni moja tu kujiandaa na maisha baada ya Vikwazo kwani wanajifunza kwa Russia.Pia lengo lao biashara baina ya Russia na China wanataka mpka mwaka 2035 iwe imefikia zaidi ya $bill 590 kwani sasa hivi wapo $bill 240 tu mkuu.Kumbuka China ndo largest exporter wa bidhaa duniani ana export zaidi ya $ trill 3.570 kwa mwaka jana na import zaidi ya $ trill 3.267 mkuu ila asilimia kubwa Exports yake ni Nchi za Ulaya na Marekani, hivo basi sasa hivi anapambana kutafuta masoko mbadala kwanza.Taiwan ni suala la muda wa mbeleni itarudi tu China kama ambavyo imerudi Hongkong na sasa hivi Sheria za Uchina ambazo ni Kali zinafanya kazi Hongkong.
@Fgldesigns
@Fgldesigns 2 ай бұрын
Wachina wana akili sio kama hao wazungu wapumbavu
@bishweko
@bishweko 2 ай бұрын
Ujinga kama huu ndio unaendelea Africa pia. Badala ya kuongeza uzalishaji kwao ili bidhaa zipatikane kwa wingi pia kwao na hapo bei itakuwa nafuu. Wao wanaona kuongeza tozo ndio ushindani.
@bishweko
@bishweko 2 ай бұрын
Kwanza ulaya wanapata mali ghafi kaa bure haswa kutoka kwa makoloni yao. Kwanini wasiwe wazalishaji kwa wingi na nafuu kuliko CHINA?
@user-km1dm8et9x
@user-km1dm8et9x 2 ай бұрын
China mjinga sana anapewa analeta ujinga ngoja akili imkae
@Awatee
@Awatee 2 ай бұрын
Mjinga weye Mungu akimpa mtu hakuna wakuzuia
@Fgldesigns
@Fgldesigns 2 ай бұрын
Kama ni mjinga jitahidi usijitangaze hadharani, ni bora ungenyamaza
@SileIsmail
@SileIsmail 2 ай бұрын
Anapewa nin
@mustwafathabiti2978
@mustwafathabiti2978 2 ай бұрын
Atimjinga jewew ninani Sasa au unanini
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 2 ай бұрын
Ww choko chukua chuma icho 🖕
Waziri Mkuu wa China akutana na PUTIN nchini Urusi
2:52
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 4,8 М.
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
Mtu Mrefu Zaidi Duniani |WATU WA AJABU ULIMWENGUNI
8:02
Afrimax Swahili
Рет қаралды 188 М.
Hiki ndicho kilimpeleka Bilionea ELON MUSK nchini CHINA, aitosa INDIA
5:24
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН