No video

UMPOKEE SAASITA

  Рет қаралды 64,744

RAJO PRODUCTIONS

RAJO PRODUCTIONS

Күн бұрын

Ee Mwenyezi Mungu, tunakusihi uipokee Roho ya Charles C. Saasita kwenye Nuru ya uso wako.
Utakumbukwa na wanamuziki wa kanisa Katoliki na wapenzi wote wa muziki wa kanisa.
upumzike kwa amani. Amina.

Пікірлер: 78
@abdonmwombeki2383
@abdonmwombeki2383 6 жыл бұрын
raha ya milele umpe Ee Bwana..na Mwanga wa milele umwangazie...apumzike kwa amani... Amina.
@drkaswalala
@drkaswalala 6 жыл бұрын
Tu mavumbi na mavumbini tutarudi! Pumzika kwa Aman ! Raha ya milele uwape Ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie, wapumzike kwa aman, amen
@georgekahabi9699
@georgekahabi9699 6 жыл бұрын
Charles Saasita upumzike kwa amani kwel mungu ni mkuu, nakukumbuka sana kwa nyimbo zako nzuri , kipaji chako kilikuwa kizuri sana hivyo mungu akubaliki huko uendako Amina.
@salvatorymogesi8781
@salvatorymogesi8781 6 жыл бұрын
Mungu Baba yetu akurehemu makosa yako na akupumzishe kwa Amani mwalimu wetu, Amina
@raphaelmagai4817
@raphaelmagai4817 6 жыл бұрын
Mungu mwenye nguvu akukumbuke kwa talanta alokupatia ukaitumia vema kuhubiri injili kwa nyimbo akusamehe mapungufu yako ustarehe kwa amani ya Kristo
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 6 жыл бұрын
inauma sana maskin mbaba mdogo hajagusa hata50 mungu awape faraja familia kwauweza wake
@audaxbizimana9391
@audaxbizimana9391 6 жыл бұрын
R.I.P tutakuenzi kwa tungo zako mbalimbali za nyimbo hakika Mungu amekupenda zaidi
@remymkoni7982
@remymkoni7982 6 жыл бұрын
Sisi tumekupenda ila mwenyezi Mungu kakupenda zaiidi........ tutakukumbuka na kukuenzi daima mwl. na tunu ya kanisa
@ellumziray2952
@ellumziray2952 6 жыл бұрын
Poleni pia familia ya Saasita tunaamini yu pamoja na Mungu mbinguni akiimba na malaika wake
@moeselinus111
@moeselinus111 6 жыл бұрын
Mungu ametoa Mungu ametwaa jina la Bwana libarikiwe
@mosessaule2977
@mosessaule2977 6 жыл бұрын
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amina!!
@davidamundala9720
@davidamundala9720 6 жыл бұрын
Baba Mungu tunakusii ju ya Kristu Mkombozi wetu umujalie ndungu Charles pumziko Wa amani kwako, pia uwatulize ndungu zake. Amina.
@ellumziray2952
@ellumziray2952 6 жыл бұрын
Poleni sana wakatoliki Mungu wetu ampumzishe kwa amani
@clementotieno4618
@clementotieno4618 6 жыл бұрын
Mungu aweze kumlaza mahali pema peponi. Amen.
@cyrilologe
@cyrilologe 4 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mwalimu...mm mkenya lakini sifa zako zimetapakaa hadi huku kwetu.
@paultesha7644
@paultesha7644 5 жыл бұрын
Apumzike kwa Amani. Roho ndiyo itiayo uzima mwili haufai kitu -nabarikiwa sana na tungo hii ya saasita
@robertkairo8483
@robertkairo8483 6 жыл бұрын
Dah apumzike kwa amani mtumishi asiye na faida... Aliyefanya tu yale aliyopaswa kufanya...
@sylvestrengwelu2012
@sylvestrengwelu2012 6 жыл бұрын
R.I.P CHARLES SAASITA,YOU DID MORE WITHIN THIS COUNTRY WE WANNA MISS YOU IN LARGE.
@eliaskhamis1546
@eliaskhamis1546 6 жыл бұрын
Pumziko la milele umjalie Ee BWANA
@ceciliaboniphace6303
@ceciliaboniphace6303 6 жыл бұрын
pumziko la milele umpee ee bwana, n'a mwanga wa milele umuangazie, mpendwa wetu Charles Saasita apumzike kwa Aman -AMINA.
@furahambughi4977
@furahambughi4977 6 жыл бұрын
Asante kwenu waimbaji. Mungu amfungulie mlango wa mbingu, mwalimu wetu Apumzike kwa Amani. AMINA!!!
@agustinommassi2443
@agustinommassi2443 6 жыл бұрын
Damu ya YESU ikanene mema kwaJili yako mwalim saa 6
@lilianmachera
@lilianmachera 6 жыл бұрын
Raha ya milele umpe eeh Bwana, marehemu apumzike kwa amani.
@emanuelconrad3955
@emanuelconrad3955 6 жыл бұрын
Ee Mungu umjalie kk yetu uzima wa milele
@deoalbert3790
@deoalbert3790 6 жыл бұрын
R.I.P utakumbukwa daima kwa kazi ya kwaya
@levinaraphael6066
@levinaraphael6066 6 жыл бұрын
Mungu aipumszishe Roho ya mwalimu wa kwaya Charles sasita mahali pema peponi. Amina
@leonardchoma1836
@leonardchoma1836 6 жыл бұрын
May Almighty GOD rests his soul in eternal life.Amen.
@dionizkipanya2355
@dionizkipanya2355 6 жыл бұрын
Pumzika Kwa Amani Mwalim Charles Saaasita.
@stephenjuma7846
@stephenjuma7846 6 жыл бұрын
Tupo nyuma yako mwl. Pumzika kwa amani
@anitajames4309
@anitajames4309 6 жыл бұрын
We'll forover mic your piano on mass and hope now you are doing that in heaven
@embatidennis6107
@embatidennis6107 5 жыл бұрын
Feeling so moved for his death here but to the almighty I hand in his spirit "How precious in the eyes of God is the death of His faithful" Eternal rest grant to him o lord.....Amen
@nyotasingers
@nyotasingers 6 жыл бұрын
mwanga wa milele ukwangazie, upumzike kwa amani mwalimu
@nellymollel4672
@nellymollel4672 6 жыл бұрын
pumnzika kwa Amani mtumishi wa mungu
@mtembeijoy321
@mtembeijoy321 6 жыл бұрын
pumzika kwa amani ipo siku tutakutana nawe mbinguni Kwa baba, raha ya milele umpe ee bwana
@EliasCharlesNyanza
@EliasCharlesNyanza 6 жыл бұрын
Mungu amrehemu, apumzike kwa amani
@charlesmtingwamaziku1926
@charlesmtingwamaziku1926 6 жыл бұрын
Apumzike kwa Amani Mtumishi wa Mungu Mwl Charles Saasita
@olivernyakiage954
@olivernyakiage954 4 жыл бұрын
Oohi can't believe he passed on rest in peace Charles pole kwa familia
@kaigamutongore8791
@kaigamutongore8791 6 жыл бұрын
Apumzike kwa amani. R. I. P saasita
@charlottemacimu4061
@charlottemacimu4061 5 жыл бұрын
Ni safari ya Kila mmoja wetu tuwe tayari.
@kibiwotrobert8066
@kibiwotrobert8066 5 жыл бұрын
Pumzika pema Mwalimu Saa sita
@peterkisoki4951
@peterkisoki4951 6 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mwalimu
@samsongati199
@samsongati199 4 жыл бұрын
R.I.P CHARLES Nani ndiye mtunzi wa huu wimbo?
@rajopro
@rajopro 4 жыл бұрын
Mtunzi ni Bernard Mukasa
@nagagwanagagwa9591
@nagagwanagagwa9591 6 жыл бұрын
Pumzika kwa amani nwalimu Charles Saasita
@alphoncemulima1715
@alphoncemulima1715 6 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani mtumishi wa Mungu.
@stephanmpangire4741
@stephanmpangire4741 6 жыл бұрын
Raha ya milele umpe EeBwana, apumzike kwa amani. Amina
@consalvakilunga1446
@consalvakilunga1446 6 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ampokee, Apumzike kwa Amani.
@maryemmanuel3356
@maryemmanuel3356 5 жыл бұрын
Apumzke kwa aman amina
@belinashauri8373
@belinashauri8373 6 жыл бұрын
May his soul rest in eternal peace.
@jacintambuvi6238
@jacintambuvi6238 6 жыл бұрын
May his soul rest in paradise and sing with the angles
@joxehphilip2093
@joxehphilip2093 2 ай бұрын
apumzike Kwa amani, Amina
@emanuelpetro5196
@emanuelpetro5196 6 жыл бұрын
Pumzika kwa AMAN RIP
@fabianmpangala4397
@fabianmpangala4397 6 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Mwalimu
@samuelwachira6411
@samuelwachira6411 6 жыл бұрын
TU SAFARINI NA MWENYEZI MUNGU ATULINDE NA MUOVU SHETANI
@elvisishengoma7384
@elvisishengoma7384 6 жыл бұрын
Rest in peace mwl.saasita
@jamesjamesh.5822
@jamesjamesh.5822 6 жыл бұрын
upumzike kwa amani mwalimu saasita.
@beckychepngetich758
@beckychepngetich758 6 жыл бұрын
Oooo my God that man died oooo my God .
@nadiaaaminmuguawajalienada2309
@nadiaaaminmuguawajalienada2309 6 жыл бұрын
Amina
@franciscageorge7906
@franciscageorge7906 6 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mwalimu SAA 6
@winifirdamayara2419
@winifirdamayara2419 6 жыл бұрын
amina
@colynxtz4351
@colynxtz4351 5 жыл бұрын
R.I.P mwl
@Myunani_DivineStudios
@Myunani_DivineStudios 6 жыл бұрын
R.I.P
@catherinethomass116
@catherinethomass116 6 жыл бұрын
rest in peace brother
@bonifacelighuda6722
@bonifacelighuda6722 6 жыл бұрын
mwanga wa milele umwangazie
@charlottemacimu4061
@charlottemacimu4061 5 жыл бұрын
RIp
@GervaisMughanyiri
@GervaisMughanyiri 6 жыл бұрын
Rip
@angelajohn446
@angelajohn446 6 жыл бұрын
Inauma lakini kazi ya Mungu haina makosa tutaimba naye na malaika huko mbinguni apumzike kwa amani Amina
@GervaisMughanyiri
@GervaisMughanyiri 6 жыл бұрын
Raha ya milele umupe Ee bwana na mwanga wa milele umwangazie
@eliaskanyamaha6447
@eliaskanyamaha6447 6 жыл бұрын
umevipiga vita vilivyo vizuri imani umeilinda
@eliaskanyamaha6447
@eliaskanyamaha6447 6 жыл бұрын
umevipiga vita vilivyo vizuri imani umeilinda
@titusmbigili35
@titusmbigili35 6 жыл бұрын
mungu ampokee mwalimu na mtunzi wa nyimbo za kikatoliki
@drkaswalala
@drkaswalala 6 жыл бұрын
Tu mavumbi na mavumbini tutarudi! Pumzika kwa Aman ! Raha ya milele uwape Ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie, wapumzike kwa aman, amen
@paulinevincent484
@paulinevincent484 6 жыл бұрын
Pumziiko la amani umpe Ee bwana na Mwanga milele umwangazie apumzike Kwa amani Amen
@emanuelhhary3952
@emanuelhhary3952 6 жыл бұрын
Mungu wetu,ni Wa kuvuna nakupanda,Ampe Raha ya milele,Apunzike kwa Amani(RIP)
@michaelmwania3386
@michaelmwania3386 6 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mwailmu
@constantinennonjela3922
@constantinennonjela3922 6 жыл бұрын
R.I.P
@josephlugome3838
@josephlugome3838 6 жыл бұрын
R.I.P
JEMEDARI WA MBINGU_Kwaya ya Mt.Joseph Mfanyakazi_Kijenge Arusha
9:39
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 941 М.
UMISIONARI KWA WATU WOTE_Kwaya ya Malaika Gabriel_Segerea
7:51
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 42 М.
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 19 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 24 МЛН
NIKO KASI_Kwaya ya Mt.Joseph Mfanyakazi_Nzihi Kidamali - Iringa
6:58
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 1,4 МЛН
Bwana Kafufuka Official Video
5:52
Starvision Media Pro
Рет қаралды 5 М.
TWALIA kwa matumaini
7:09
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 216 М.
MKE WA MARCO ALIVYOAGA MWILI WA MUME WAKE KWA UCHUNGU MKUBWA
8:43
Ophoro Tube
Рет қаралды 343 М.
Jicho la Tatu -  Kwaya ya Ukombozi KKKT Msasani
8:54
Ukombozi Choir
Рет қаралды 1,1 МЛН
NITAKUTUKUZA MUNGU_by Kwaya ya Mt.Gregory Mkuu, St. John University DODOMA TZ
8:54
Mt. Kizito Makuburi - 150(Official Music Video)
10:21
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 5 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 19 МЛН