UPENDO HULETA FURAHA - KWAYA YA MT. JOHN BOSCO,KIGANGO CHA MKWAJUNI, PAROKIA YA MWAMBANI.

  Рет қаралды 76,142

Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani

Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani

2 жыл бұрын

Upendo Huleta Furaha ni wimbo mmojawapo katika mlolongo wa nyimbo 10 zinazounda albamu toleo la kwanza la Kwaya yetu inayoitwa Tumwimbie Mungu. Maudhui yake kwa ujumla yamelenga kuhamasisha upendo baina yetu na hasa katika familia zetu tukiiga mfano wa Familia Takatifu ya Yesu,Maria na Yosefu ambapo kwa umoja wao ndio nembo ya upendo wa Kikristo na namna familia zetu zinapaswa kuishi.
Umeimbwa vema na Kwaya ya Mt.John Bosco maarufu kama Kwaya ya Vijana kutoka katika Kigango cha Mkwajuni, Parokia ya MWAMBANI, Jimbo Kuu la Mbeya, makao makuu ya Kwaya yakiwa ni katika mji wa Mkwajuni wilayani Songwe katika Mkoa wa Songwe.
Wimbo huu umeandikwa(kutungwa) na ndugu ADAM BUKUKU (0754777654)
Mpiga Kinanda: CY. Luseba (0762265245)
Audio & Video imefanywa na Tanganyika Production kutoka Dodoma (0762380376, 0765449914)
Step Master: Joseph Zungumaji (0757761764)
Tufikie sisi kupitia
KZfaq: Kwaya ya Mt. John Bosco, Mkwajuni, Mwambani
Facebook : Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Instagram: kwaya_mtjohnboscomkwajuni
Audiomack : Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Email: kwayayamtjohnboscomkwajuni@gmail.com
Kwa mahitaji ya DVD au Flash za albamu hii wasiliana nasi kupitia namba zifuatazo:
0742 619 354 - Katibu wa Kwaya
0756 529 232 - Paroko,Parokia ya Mwambani
0786 741 581 - M/kiti wa Kwaya
0768 886 884 - M/kiti wa Kamati ya recording/shooting
Karibu sana

Пікірлер: 38
@immaculataroeser9094
@immaculataroeser9094 6 ай бұрын
Asante kwa kuhamasisha fadhila ya mPendo Mungu awa b ariki.
@fanuelabebe2357
@fanuelabebe2357 Жыл бұрын
Beautiful song. God bless you
@thobiaskatoto8590
@thobiaskatoto8590 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana,Mungu awabariki
@russiaululu7723
@russiaululu7723 2 жыл бұрын
Mbarikiwe kwa uinjirishaji
@eliudmishago3070
@eliudmishago3070 2 жыл бұрын
Good song mungu awabaliki
@naimamarko2367
@naimamarko2367 2 жыл бұрын
Hongeren kaz nzur
@philimontweve9634
@philimontweve9634 Жыл бұрын
Kwakweli.mko.vizuri.sanaa
@yohanaghambi2964
@yohanaghambi2964 2 жыл бұрын
Hongeleni watumishi wa kristo
@soniandasowa5438
@soniandasowa5438 7 ай бұрын
The talent is on another level
@Kingdon8765
@Kingdon8765 2 жыл бұрын
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu kristu
@franciscandanu7634
@franciscandanu7634 11 ай бұрын
Congratulations 🎉👏👏👏👏🎉🎉🎉
@Kingdon8765
@Kingdon8765 2 жыл бұрын
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi nzuri mulio tuletea yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho Mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
@cathywalwit5437
@cathywalwit5437 Жыл бұрын
Mungu azidi kuwainua na kuwategemeza hakika Nyimbo zenu daima ni ujumbe uliokamilika hakika Upendo huleta furaha
@MathewAlphonz
@MathewAlphonz 2 ай бұрын
😊 0:32
@daudisalamba878
@daudisalamba878 2 жыл бұрын
Mungu ibariki kw kwaya hii iendelee kufanya vizuri zaidii
@TumainImhagama-vc8ku
@TumainImhagama-vc8ku Ай бұрын
Nyimbo no nzuri
@felisterligwa
@felisterligwa 2 жыл бұрын
Safi sana
@pasilisajerono7409
@pasilisajerono7409 2 жыл бұрын
Nice song congratulations.
@tingambahillary8558
@tingambahillary8558 2 жыл бұрын
I have loved your music though I have accessed it late
@user-vl4mn6ij7w
@user-vl4mn6ij7w Ай бұрын
Amina wapendwa katika bwana
@amonjames3878
@amonjames3878 2 жыл бұрын
Mwasalipa jamani mkwimbila vinonu
@hydanruta1511
@hydanruta1511 2 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana... nafurahi Sana Kuiona Kazi yenu ya kumtukuza Mungu..... Upendo huleta ...........
@jacksonpallangyo7158
@jacksonpallangyo7158 2 жыл бұрын
God bless us
@fanuelabebe2357
@fanuelabebe2357 Жыл бұрын
Beautiful song. I Love this song. Be blessed, from Ethiopia
@TumainiBwegure-mw6ux
@TumainiBwegure-mw6ux Жыл бұрын
Mripendeza sana
@berthajohn2722
@berthajohn2722 2 жыл бұрын
Mmeimba vizuri Sana..🙏
@Kingdon8765
@Kingdon8765 2 жыл бұрын
Mubarikiwe Watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
@fredetal652
@fredetal652 2 жыл бұрын
Upendo huleta amani.. mungu awabariki..sauti nzuri.
@felisterligwa
@felisterligwa 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@amambiastephen178
@amambiastephen178 2 жыл бұрын
Kazi bila doa. Hongereni sana na Mwenyezi Mungu awazidishie baraka na neema
@kwayayamtjohnboscomkwajuni
@kwayayamtjohnboscomkwajuni 2 жыл бұрын
Ahsante sana kiongozi. 👋👋👋
@kafefegabriel5749
@kafefegabriel5749 2 жыл бұрын
This is where our faith is.
@eliasdaud1563
@eliasdaud1563 2 жыл бұрын
Ningepita bila ku subscribe nisingepata baraka zenu hakika kazi yetu ni kuhakikisha tunaitangaza injili
@kwayayamtjohnboscomkwajuni
@kwayayamtjohnboscomkwajuni 2 жыл бұрын
Hakika huo ndo wajibu wetu. 👏👏👏👏
@auleusmuyamba4208
@auleusmuyamba4208 2 жыл бұрын
💯💯💯💯💯💯
@veronicasimba5583
@veronicasimba5583 2 жыл бұрын
Mungu atuongoze vema
@florianmangasini1269
@florianmangasini1269 2 жыл бұрын
Let's Love one another to bring joy and comfort to the human race. Be blessed for your better vocation.
@zakayoogango2879
@zakayoogango2879 2 жыл бұрын
Let us be ready to forgive and show love towards our enemies .
MAPENZI YAKO YATIMIZWE  - KWAYA YA MT. JOHN BOSCO,KIGANGO CHA MKWAJUNI, PAROKIA YA MWAMBANI.
6:31
Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Рет қаралды 66 М.
NDOTO YA WOKOVU  - KWAYA YA MT. JOHN BOSCO,KIGANGO CHA MKWAJUNI, PAROKIA YA MWAMBANI.
3:52
Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Рет қаралды 31 М.
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
Mt. Kizito Makuburi - Nusu kwa nusu (Official Music Video)
5:53
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 960 М.
SAUTI YA MAMLAKA _Kwaya ya Mt.Bernadetha MUCE
4:05
St. Bernadetha MUCE
Рет қаралды 8 М.
EWE MAMA YETU MARIA Official Video 4K
6:08
St Theophilus Choir Thika Official
Рет қаралды 21 М.
Roho ndiyo itiayo uzima-Charles Rudibuka ( Official music video) - KWAYA YA MT JOHN BOSCO, MKWAJUNI.
6:18
Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Рет қаралды 1,7 М.
MANABII WA UONGO  - KWAYA YA MT. JOHN BOSCO,KIGANGO CHA MKWAJUNI, PAROKIA YA MWAMBANI.
4:43
Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Рет қаралды 16 М.
Jaloliddin Ahmadaliyev - Kuydurgi (Official Music Video)
4:49
NevoMusic
Рет қаралды 12 МЛН
Dj Jack SpaRRow - Akbar Ghalta Bahiati ( Slap Remix Arabic ) #TIKTOK
2:21
Dj Jack SpaRRow
Рет қаралды 2,3 МЛН
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 1,2 МЛН
Ulug'bek Yulchiyev & Aziza Qobilova - Esim ko'p (Premyera Klip)
3:32
ULUG’BEK YULCHIYEV
Рет қаралды 1,8 МЛН
R-ONE - SENSIZ / СЕНСІЗ (Official Audio)
2:51
R-ONE MUSIC
Рет қаралды 80 М.
Sevinch Ismoilova - Ustozlar qo'shiqlaridan popuri (Xorazmcha)
6:15
Sevinch Ismoilova
Рет қаралды 1,2 МЛН