#SAUTDIGITAL l #HABARI l #RadioSAUTFm l #sautdigitalupdates l #ukrainerussiaconflict
Пікірлер: 58
@emmanuelfari892413 күн бұрын
Keep going 💪
@user-ii6gs2jg4g13 күн бұрын
Jino kwa jino mpaka kieleweke
@user-mm9qr7em8k13 күн бұрын
Kule anaendelea kuchukua maeneo huku anawasubiria waje uwanjani.😂😂😂😂😂
@athumanisudi89113 күн бұрын
Yaan ni shida kweli dunia ipo moto sana ipo mbele ya muda dah!
@paulalopes709 күн бұрын
Witch language is this
@HajiKlein-so1rk13 күн бұрын
🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏
@shd12m5513 күн бұрын
Putin wee wanyooshe tu sisi waa Africa tunakuombea sana tu,,ila mkumbuke kutotuhusisha na hayo mambo yenu,,,halafu nnavyo kujua hata kabla hujavamia uklein ulisema hivyo hivyo unafanya zoezi mara tukaskia timbwili limeanza
@samwelipima379513 күн бұрын
Nachomanisha ulaya wajitazame nakujitafakali watashangaa putini kawazingira
@jumakapilima729510 күн бұрын
Kweli alisema kuwa anafanya mazoezi mara tukasikia kaanza kuishambulia Ukraine
@user-xc6ls9xn8h13 күн бұрын
Kazi imeiva urusi hataki ujinga tena
@KilimbikeHaji-iy2fm7 күн бұрын
Mwenyezi mungu azidi kuipa nguvu urusi iwashinde mashoga wote duniani amiiiiiiiiin yarrabana takabali duwaaa zetu
@Allybinamour13 күн бұрын
tupo pamoja babu putin
@user-sj3wf5vz7l13 күн бұрын
Tawala nyingi zimepita. Hata marekani itapita kwa sababu imekwenda kinyume na mapenzi ya Mungu. Kuifanya nchi wanaume na wanaume kufunga ndoa. Wanawake na wanawake kufunga ndoa. Kishi na wanyama kama wenzi. Marekani Mumgu keshaondoka. Na Mungu akikuacha ujue huwezi shida vita hata kama unazo technolojia za namna gani. Maana amiri jeshi wa majeshi yote ni Mungu peke yake na Mungu anachotaka umtii na kumheshimu. Putin kiroho yupo vizuri. Na anaweza kuwakunguta vibaya hadi wakashangaa. Daudi na goliath.
@show...00213 күн бұрын
👍👍
@KihangoIsmail-qn2uh13 күн бұрын
umeshakula matango poli eti unajigamba hakuna nchi inayoweza kuipiga marekani marm
@samwelipima379513 күн бұрын
Kinacho nishangaza hizi meli zilikua zimepakiwa tu kabla ya valangati make Tanzania nzima tunaweza tusiwe hata na jumla ya meli 40 hata hizi za kawaida
@SalumJuma-iz2gj13 күн бұрын
Hakuna nchi inayo weza kuipiga marekan ule ni mziki mwengnee wee jitie tiee na vimeli vyako ivo mpaka ujae kwenye kumi nananezake uangalie kiama chake
@stevenmahinda65713 күн бұрын
Kwenye movie ni kweliii....hlf Putin ni Smart kiliko ww anaelewa nn anafanya
@user-cw8zn2dn6m13 күн бұрын
Soma hata historia utaona nchi ndogo tu ya Vietnam, ilimpiga marekani hii unayosema ww.
@SalumJuma-iz2gj13 күн бұрын
@@user-cw8zn2dn6m nikweli vetnam ilipiga marekani lakini sio kweny nchi yake nikulekule vetnam ndo jesh la Marekani lilishindwa sasa urus anaenda kumchezea simb ndevu
@matendupiterngoge870713 күн бұрын
Kweli kabisa marekani alipigwa mno @@user-cw8zn2dn6m
@christopherjoseph833013 күн бұрын
Marekani mwenyw anategemea NATO hawezi simama pekeyake mbele ya Urusi.
@bukuruyassini13 күн бұрын
Poutine niatal
@jumakapilima729510 күн бұрын
We support you King Putin
@wahabiahamadichongera636113 күн бұрын
Uko sasa
@mkulimatanzania13 күн бұрын
Mbabe wa kivita ambaye hajawahi tawala nchi yeyote Africa. Kufanya mazoezi uko ni kwa ajili ya kumlinda honorable Putin wanajua njia USA watapitia ni Korea kurisini ndio mana wameenda piga kambi pembezoni mwa Korea kusini wanaona kila kinachoingia kwa iyo wametawala ilo eneo mpaka mzee mkubwa anywe kahawa na dogo kiduku. Aise tunaona mengi izi zama mkubwa mkubwa tuu.
@fadhilisecha426813 күн бұрын
Mpaka sasa mkubwa ashajulikana. USA ilikua kelele Tu hamna kitu palee. Putin baba lao
@abuukajembe-to6sd13 күн бұрын
@@fadhilisecha4268 naaaam
@fadhilisecha426813 күн бұрын
Uraaaaaaa
@jumakapilima729510 күн бұрын
Uraaaa
@user-lv1ki7nn7t13 күн бұрын
Good job Russia ❤❤❤❤❤tupo pamoja Russia is a super power fully country in the world mbwa waarekani kaaa mbali shenzi kabisa
@user-bl3vk3vt2o13 күн бұрын
Kinachokushangaza nn hapo.? Kufanya mazoezi au
@venancerutta687512 күн бұрын
Hana lolote mbwembwe zake kaisha sasa anapigwa ndani nchi mwake
@jumakapilima729510 күн бұрын
Tulia dawa ikuingie
@user-lv1ki7nn7t13 күн бұрын
Viva putini mwamba wa dunia mbwa wa magharibi kaeni mbali maana tutawapeleka kuzimu
@user-ey1fq6hd9l13 күн бұрын
Hakuna kitu hapo
@jumakapilima729510 күн бұрын
Tulia dawa ikuingie
@aloycemchuo768713 күн бұрын
Kachanganyikiwa ,sio kashindikana
@hamzamasoud912013 күн бұрын
You are LGBTQ
@kamanapomo702913 күн бұрын
Hayo yakwako
@AshaOmar-vk7kg13 күн бұрын
Waliochanganikiwa nihao mashoga wenzako wa magharibi